Kazi nzuri wana donta hakika mna ndoto zinazoendana na ndo maan mnafanya kazi kwa pamoja siku zote mwisho wa movie napenda kuangalia story imetungwa na nani kila nikifuatilia basi naona kila mtu ana participate hongera TINA INAFUNDISHA,,, SANAA KWA STORY YA KUFUNDISHA
Mm apo kwa Figo caddy tunaeza onana kado tuongee ka watu wazima 😂😂😂😂, anyway kazi zuri sana loveness my dear leo umekua na roho mbaya lakini nakupenda tu bure 🇰🇪
Lovenes ngoja nikuambie kitu dada yang roho mbaya haijeng hata sikumoja hata ivo ww mwenyewe unalelewa tu tambua sio kila mtu nitajir wengine tunapambana katika njia mbalimbali moja wap ni hiyo
mnafanya vizuri sana pia napenda sana kazi zenu lakini story zenu zinafanana sana hivyo ndugu zangu badirisheni sana aidia maana aidia zenu nimoja sana a

Nimejifunza ktu,wakat unaokata tamaa ndipo Mungu anapokuinua na kukubalk,ubalikiwe sana Wana donta TV 🙏🙏
Mm apo kwa Figo caddy tunaeza onana kado tuongee ka watu wazima 😂😂😂😂, anyway kazi zuri sana loveness my dear leo umekua na roho mbaya lakini nakupenda tu bure 🇰🇪
Lavenesi aca roho mbaya 😢😢unamunyanyasa mwenziyo kiasi ico he😊
Kazi nzuri sana Wana donta tv
Tunaaaaanzaaa burundiii🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nawapenda sana wana donta
Hongera sana dada Tina kwa msimamo wako na upendo kwa dadako.
Tina niambie insta unatumia jina gan nateseka ujue loveness anites hadi we jmn❤❤ 😄
Kazi nzuri sana kongole kwenu wana Donta family endeleeni na moyo huohuo ♥️❤️❤️
Duu leo nimekuwa number one maua yangu jamn😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉
Hongereni sana wana donta family ❤❤❤❤❤bigger up
Kenya Watching, twapenda
Kazi nzuri sana Wana donta family chukueni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉yenu nawapenda ❤❤❤❤❤sana 😂😂😂😂😂 wa 2 kutoka 254
Jamani love hufai kuw na roh mbaya hiyo😢
wow candy wangu huyo karud
Lovenese utajiri hukuzariwanawo achakero nakuchukiya .😮😮😮😮
Lovenes ngoja nikuambie kitu dada yang roho mbaya haijeng hata sikumoja hata ivo ww mwenyewe unalelewa tu tambua sio kila mtu nitajir wengine tunapambana katika njia mbalimbali moja wap ni hiyo
Love haupendezi iyo roho mbaya kipande iko angekuwa shangazi
Nawapenda San jmn kaz nzr
Nice movie❤❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jaman had huluma
Lovness acha roho mbay
Tina asante sana kwa maamuzi yako
wew loveness mungubanakuona
Hata sina lakusema zaidi yakuwapenda tu❤❤❤❤❤❤❤❤
hongereni
Mko namafunzo hki mungu wabariki
🎉🎉🎉🎉 congratulations donta tv hamboeshi
Kazi ni motoooo❤❤😊😊
Laiti ningejuwa walahi nsinge angalia hii cz love ata ujui kesho yako astaghafiru allah😢😢😢😢😢
Nice movie ❤❤🎉🎉🎉🎉
Umasikini mbaya 😢😢😢😢😢
Kasdweiukwe cheswa these kmnb Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Vizuri sana tina❤❤
Waoooo kelvin ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Good job tina❤❤
Nice 👍👍👍👍 ndonta
Wow amazing ❤❤
Kaz nzur
Upo vzur sana da Tina
Wow hatimaye nmemuon candy nlikumic san nana wapend wot
Na shanaiza yuwapi
uko kam mim tuu at mim nlimmis
Loveness jamani huruma basi hata kindogo 😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉
mnafanya vizuri sana pia napenda sana kazi zenu lakini story zenu zinafanana sana hivyo ndugu zangu badirisheni sana aidia maana aidia zenu nimoja sana a
Wapi #Shenaiza ki sauti
Hapo loveness alitaka kuchekaa
❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow nice ❤❤🎉🎉
Nimeingia Kwa mpigo 🏃🏃🏃🏃
Weeeeee mchumbaa 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka brother nae anatia aib 🤣🤣🤣asa huo unga vip🤣🤣love sijapend tabia yako😓😓
👌👌👌👌
Dada mkari uyu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉❤❤❤
Namimi ni miongoni mwao walo tangulia
❤❤❤❤❤
❤❤❤
Zur jaman
Nelly hata haendani na hiyo sekta mliompaa,,,,
🎉🎉🎉
Nko ndani nawapenda bure
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shanaiza yuko wapi jamani
Apa mmetuibia mawazo
💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
😢😅
Mmh imeishaje sasa?
😂😂😂
Wakati TINA yupo uku yule dada mlemavu kule anaishi na nani ??
duuh kazi nzuri sana, ila loveness roho mbaya kama iyo umeanza lini?
Kweli nashangaa
Ni uigizaji WA series jamani,,unacheza kulingana na mipangilio ya wakubwa.
Jmn candy tulimmis
Like inaanza 🇰🇪 jamani au sio
𝐂𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐲𝐧𝐠𝐮 𝐬𝐢𝐭𝐤𝐢 𝐢𝐬𝐡𝐤𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐭𝐲 𝐲𝐨𝐲𝐨𝐭𝐞😅 𝐤𝐚𝐳 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐜𝐧
Tunaaaaanzaaa burundiii🇧🇮🇧🇮🇧🇮