MOYO WA CHUMA FULL MOVIE.
Vložit
- čas přidán 13. 06. 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Pole sana mwamba, series Iko sawa kabisa, quality ya audio sawa, location sawa sana, wahusika wachache na wanaelewa majukumu Yao na zaidi ya yote ubunifu wa high quality, kaka Kenya unapendwa na kazi kama hizi zinafanya upendwe Zaidi
Kweli sana
Zablon damiano @4492@@aligermano3615
Pole sanaa mwamba moyo wa chuma iko sawa ❤mimi niko america bali nafatiliziya muvie zako thanks bro
Akih pole sana mungu ampunzishe pema peponi niwapenda nyote mbalikiee
Watching from kenya 🎉🎉 kazi nzuri
Uko vizuri bro.ila chado kaharibu ju ya Tamaa Ila movie iko POA nikiwa kenya
Naikubali sana hii movie❤🎉
Wakwanza .... yeah...!!! By Mr okay 1time
Pole sana kaka❤
Pole sana kaka.to mach love from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Pole sana
Pole sana kaka mungu akupenguvu
Ado kakimbia
❤❤❤wanasema ni tam ajabu chukua maua yako🎉🎉🎉 Gozi😊😊😊
Very nice, wow movie zuri sana, Sasa mwishi mwapendeza sana thanks
Pole sana😢😢
Pole gozi kwa kumpoteza mzee ila umeweza movie tamu sana
Nasubiri next season
Oops pole sana gozi kwakumpoteza mzeekazi yamungu Haina makosa ila asante kwakazi nzuri
Shukulan kwa KO gozi kazinzuri s
Pole na msiba gozi
Pooole sana Asante
Anisa mkorogo umekataa vdoleni
Pole sana kaka 😢😢bt pokea zawadi ya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakupenda sana
good movie
So emotionally
Eu também gostei esta história. Dop!
Pole kwa msiba wa dady wako mungu akutie nguvu
Movie nzuri sana , na pole kwa kupoteza babako
Pole sana kwa hayo lakini sinema ilikua tamu sana
Kaka umetisha hii movie n zaidi ya noma bro❤❤❤
Good❤❤❤❤❤❤❤❤
Pole sn kw kumpoteza babako 🇲🇴🇲🇴🇲🇴
Pole sana kaka kwa kumpoteza baba
❤❤❤hongera sana kazi zuri sana na pole sana
Mmmmm pole sana kakangu
Pole sana goz Allah akupe subta inshallah
Pole kaka❤ kz nzur sana🎉
❤❤❤❤
Big up bro,kazi bora sana
Big up very nice movie n it’s clear
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉safi sana
Pole sana bro gozi
oya goz we fund san
Pole kaka na msiba wa baba
Big up xna bro nimeona kazi yako
Poleni sana kaka wangu
Pol San dudia ndo ilivy
Kazi nzuri sana!
Pole sana kaka
Pole San kaka
Gozi uko vizur San
Hongeraa snaah gozii
Nice one
Nice move
polewuinmbk chewsa kmoi. Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
nice one
Pole Sana mkuu
Kumbe gozi muzulu?
Gozi aliharibu Hanifa alikuwa anaenda ndani na sioni kama atakuwa mke Sawa
Goz fund wewe
Hongera sana broo ila pole xna kwa kufiliwa bba yko mngu amulaze mhli pena peponi
Hanifa, kwaninihumpi habariya yule ejamaa, ambaeanakujahaponyumbani, nakuku koromea.
Ongera sana broo
Pole sana movie Kali sana nmeipenda sana
Pole sana