Mungu akupe funzo zaidi kelvin pamoja na team yako Kwa sababu tangia nianze kuwafuatilia Nina experience ya maisha na Nina Imani Kuna wengi pia wamejifunza nawatakia kazi jema manzotuadalia
kazi nzuri sana, donta tv family hamuja wayi kutuangusha hata siku moja, na njo maana hatuta choka kuwafatiliya sisi kamwe, shabiki wenu nikiwa south africa❤💪
Mungu akuinue kelvin nkupenda sana kaka aki filamu zako nazifatilia sana na zinanipea mafunzo mazito sana zanifariji moyo wangu I love you ❤❤❤ broo natazama nikiwa Kenya mungu azidi kuinua talanta yako ❤❤❤❤❤
Mara nyengine badilisha Jina ya filamu,ilioandika PENZI LA TOTO WA BOSS NA DADA WA KAZI,apo filamu inajielezea kabla tá kuangalia...Weka madjina mafupi fupi.😮❤ Sha kumalizia munatumia muda muingi sehemu moja. Muwe munabadilisha madjina
@@Dontatv255 wewe Kelvin natamani Siku moja nikuone, yani wewe ni mwanaume ambaye unaye nipa Maneno ya kujenga maisha nakupenda kwa kweli Kelvin mungu akulinde akuze kazi yako naitwa Michael 🇨🇩
Leo tumeachia series yetu mpya karibu kuitazama usisahau kuweka comment yako ni muhimu kwetu ❤
Tuna kupenda sana kaka❤❤❤
Usijali Kelvin khan tuko pamoja ❤
Shida shemej anaonekana kutuzingua kaka
Hapo sawa
Tuk pamoj kaka
Sijawahi kucoment but leo naomba mungu akulinde na akusimamie ufanya makubwa zaid ya hayo🥰🙏🙏🙏
Kelvin you use to appear very smart keep it up kaka na pia kazi zenu ni njema
Much love from Kenya guys like back Kama mna mkubali kelivin tujuane kwa like Apo chini gonga like 👇😂❤
Asante
❤❤❤
Mungu akupe funzo zaidi kelvin pamoja na team yako Kwa sababu tangia nianze kuwafuatilia Nina experience ya maisha na Nina Imani Kuna wengi pia wamejifunza nawatakia kazi jema manzotuadalia
Amina 🙏
Nimewahi leo naomben like zang kazi nzur jaman tuwape mauwa yao🎉🎉
Sawaa
Hongereni sana kaz nzur
Kaz nzuri 🎉
@@rebekakajange8096n
Poa
Nakufatilia sana kelvin move zako tamu sana,na zenye mafunzo leo naomba like jaman hata 5 tu 😢😢❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Nimeipenda sana iko poa
Zur sana
Daah sijawahi kuangalia aila kwa haya lazima niangalie move zako aiseee kaka angu😂😂❤😊
Nmejifunza mengi tangu nianze kuwatch hiki kipindi Kelvin iyo talent uikeep it up bro God bless you so much
Ooo dada nasra kafik jamon nampenda san dada nikisem kipindi kauwaw hhhh sitomuon ten ❤❤❤❤❤ nawapenda san
Kaka hii movie ni tamu mwanzo hivi huko katikati itakuwaje hongera sana donta tv pia muda mmeongeza kidogo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sijawahi kucoment leo nisku yngu y kwnza bt hongera sna kelvin movie zko nzuri tna tamu na zinafundsha vitu vingi sna hsa kwnye ndoa
Kwann mama hajapeleka hawa korea kachukua wale magumegume wanaofanya uhuni ndo kawapeleka jamani 😢
Kazi nzuri sana kaka
Yani huwa napenda sana move zako hasa kwenye move ikiwa naloveness❤❤❤❤na kelvin
Asante sana
@@Dontatv255❤❤❤
Movie nzuri nawapenda sana ❤❤❤😂
Asante sana
Movie ninzuri ila watupe ep ya2
@@Dontatv255 So nice❤❤🎉🎉
Waooo kitu kipya ico piga kelele kwa Kelvin khan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Piga kelele😂
Woyooooooooooo kwa donta tv from 🇰🇪 nawapnda bure❤❤❤❤❤@@Dontatv255
Eeeeeh
Soooooooo good
@@Dontatv255msiwe mnachelewesha basi kutoa move
Duuh!! Kwa kweli movie Kali sana
Asante sana
I liked the conversation of the two ladies lived together,under one roof.....this world is full of lies...Nd disappointments.😅😅😅
😂😂❤
Jaman Donta raha sana yaan kitu juu ya kitu ❤❤❤
Kabisaa
💓❤️💓movie nzur big up donta tv
Asante
Kaka nimekukubari sana apo kwenye gari ndani uyo dem alivyo kuwa anakushobokea afu wewe unakausha apo umeua sana kaka 🔥🔥 yaan kiboss 👏👏
Wallah hii movie nitamu sana na inamafundisho ndaniyake iwapo nimwanzotu ila nimepata utundaniyake", more love guys 🥰🥰
Sawa inakuja part 2
Lissa again nakapenda sana haka karembo
Oya huyu mwamba kelvin anajua kuigiza
Walioona utege wa loveness gonga like😂😂😂
🙌
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mgonvi ww
😅😅😅😅
Love Ness ulikuwepo wapi we mdada tuli ku miss mno karibu tenaq❤🎉
Mapenzi sio pesa Mapenzi ni muunganiko wa hisia baina ya mwanaume na mwanamke asante kaka kervin
🔥🔥🙏
Kama dawa kama kawa mapenzi so pesa kabisaa m2 asidanganye💯💯🇳🇴🇳🇴🙌🙌💜💜
Kelvin huwa unanifurahixha xaan huo mximamo ulionao
kazi nzuri sana, donta tv family hamuja wayi kutuangusha hata siku moja, na njo maana hatuta choka kuwafatiliya sisi kamwe, shabiki wenu nikiwa south africa❤💪
Asante sana
Iko powa Sana ❤️❤️💯
Asante
Congratulations for you kelvin khan🎉🎉🎉🎉🎉 tumepataaa ujumbeee❤❤❤
Asante
Mungu akuinue kelvin nkupenda sana kaka aki filamu zako nazifatilia sana na zinanipea mafunzo mazito sana zanifariji moyo wangu I love you ❤❤❤ broo natazama nikiwa Kenya mungu azidi kuinua talanta yako ❤❤❤❤❤
Asante sana
@@Dontatv255congrats
Amjawai nifail team kelvin ❤❤❤ tamu sana na lenye mafunzo ,,,,shabiki from kenya
Nimewahi navile nilikuwa naingojea finally ishaa toka❤❤❤❤
Asante ❤
Kazi nzuri jamani 🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Huyu nasla msimtupe tena n mazuri tena mrembo.akue kwenye series nyingi za dontas pliz
Kazi nzuri San kak ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow😮 kazi nzurii next episode please
Kipaji kikubwa kaka unacho ... pambana 🎉🎉🎉🎉🎉
Mawaida mwafaka👌👌👌 next ije kwa mpigo na usicheleweshe tafadhali ♥️
Sawaaa
Love you
Sawaaa
Mr kelvin for sure you are such a blessing and teaches us more Mungu akubariki tena Zaidi kaka ❤❤❤
Asante sana 🙏
Nilisubir sana🎉
Imetoka tayari
Xaw kk iko vizuri good kaz nzur kelvin ukiw na loveness❤❤❤❤
Asante sana
@@Dontatv255 ukiwa na lovness mambo good
mie ombi langu naomba nijue itakuwa inatoka siku gan na muda gan
Akika ni nzuri
Asante sana
Wah leo nasla alikua amepotea sana
Woooow nasra ndan ya nyumba nimefurah kumuona
❤❤❤
Napenda sana dontas movies. Nawaminia sana from kenya
@@Dontatv255napenda muvi zenu jaman mungu awajalie
Nassara naye penzi lake kelvin ua alipati,,kazi njema lakini kelvin kenya tuko imara na twa ngoja mwendelezo kaka
❤❤❤
Big up bro naimn tutaenjoy n tulikua tumemmiss loveness maan hakua ktk series y SIKU 1 KABLA YA NDOA YETU so nafurah kumuona tena
Mtaenjoy sana akikisha aukosi ❤
Safi sana 🎉🎉🎉 Kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 watching from saudi Arabia
Yani mamb ni moto💫💫 ila ikianz kufik ep ya 5 t munaanz kupunguz mda muach iviv ila chukuw mauw yak kelvin🎉🎉🎉🎉🎉
Sawaa
Nzr saana hii
Asante
Nakubali donta tv like kwangu
Hizoo
Pongezi kwa kweli mko vizuri.
Asante sana
Mwendelezo uwai,kinakitu umenifunza kaka kuusu mapenzi nabiashala❤❤❤❤❤npo apa nasubili muendelezo
Naombeni like zangu na mie nimewai
Sawaa
Jamani nzuri sna kabx tutaifuata kka kelvin ushauri wenu bado tunauhitaji mbalikiwe❤❤
Asante
Mara nyengine badilisha Jina ya filamu,ilioandika PENZI LA TOTO WA BOSS NA DADA WA KAZI,apo filamu inajielezea kabla tá kuangalia...Weka madjina mafupi fupi.😮❤
Sha kumalizia munatumia muda muingi sehemu moja.
Muwe munabadilisha madjina
Kelvin kazi zako ni og nakukubali xnaa🎉🎉🎉🎉
Asante sana
😢😮😮😮😢
Kelvin nakukubali Sana mkovizur mno yaa mpaka ndoa yangu imekua mpya sasa kupitia nyie yaa nafurahiya ndoa yangu 🎉🎉🎉❤❤
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Yanga
Team dota tv like zenu apa
Zipooo
@@Dontatv255 Aya brother
Napenda kazi zenu na nafatilia kila kazi mnayo toa...much love from KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kenyas 🇰🇪 like tafathali .team gulf 🇮🇶
Asante sana
@@Dontatv255kelivn
Karibu❤@@Dontatv255
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wanaume wote wangekuwa serious kama kaka Kelvin
Ingekuwaje 😂
@@Dontatv255Dunia ingeona Mbinguni🤣🤣🤣
oy kaka mnapendeza sana wewe na loveness👌👌👌👍👍👍
Nawapenda sana
yani nagupenda sana wemuka Kelvin ❤❤❤
🔥🔥🙌
Bigp sana Kelvin tunashukuru kwakumleta tena mdada mkarim kwenye kesho yangu et.
Asante pia
Napend sana move z kelvini zinafurahish n kufundisha kaz nzur kelvin❤❤❤🎉
Gonga like hapo kama unamkubali kelvin na donta TV ❤😂😂😢😮
Asante
@@Dontatv255 jamani nataka niigize nanyi mnapatikana wapi jamani
Kazi nzur kelvin naomba coment yako bac, hii move inatisha kinyama hongera, ila msiicheleweche, nipe coment yko bac❤
Asante sana
Wenye mnapenda kelvin weken like hapa jaman
❤❤❤❤🎉
❤❤❤❤🎉
❤️❤️❤️❤️ uko na mtuu asking for myself plz njibu@@Dontatv255
❤❤❤
@@Dontatv255❤❤❤
wow twawapenda team kelvin msiwenatukawiza basi❤❤❤
Sawaa❤
Nimependa ushauri Kelvin kuhusu mapenzi hongera sana much ❤️ from 🇰🇪🥰🥰🥰🥰🥰
Tupo pamoja🎉
good job bwana juliaus smith😊
Asante sana 😂
❤❤❤❤❤l Love you🎉🎉🎉
Kelvin yani mi nakupenda sanaaaaaaaa unaingiza vizuri
kelvi, huwa nakupendaga sana , mwenyezi mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yako, na akuvushe akufikishe mbali zaidi ya hapo
Kelvin Nakupenda sana
Asante sana ❤
Nzr sana next please ❤
Asante
Séries hi ni nzuri sana tumeipenda, ina somo nzuri.
Asante sana
Nampenda sana ❤
Asante
Nasra nilikuwa nimekumiss sana karbu sana tupo Wana familia ❤❤❤❤❤
Kajaa ❤
Waoooooh nilikuwa nimekumic jaman nasra❤❤❤
Thanks 🥰
@@Dontatv255nampenda sana nasraaa
Aky mnafanya mpaka ndoa yangu iko sawa juu yenu mpaka mume wangu ameniheshimu kwl naomba likes
Hongera sana
Nafurahia
Kaka inaonekana umeingia ndani la love ila na love naye anastairi kupenda sababu ana tabia nzuri boy from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Haswaa ❤😅
Kweli kabisa kelvin ila nakuaminia sana kelvin unaweza kuigiza
Next please 😌
Sawaa
@@Dontatv255 tunasbiria kaka
Wow nilikuwa nimeitegea Kwa hamu na ghamu akiiiiiiiii
Waooo Kelvin Mimi sijah kupata hata like moja naomba jamani
Waooh safi sana bonge la movie
Asante sana ❤
Asante sana
Love you too baby
Upendo ❤ toka 🇧🇮.. Hii itakua bonge la Movie.. Big Congrats Brother Kevin Khan.. 👏
Asante sana
Shukran Kwa kulete nassra nilikua na miss sana nassra nakupenda sana na kelvn nakupenda sana kutoka kenya
Asante sana
nzuri san mnafny vzr xn
mbn alikufa 😂😂
Nimeipenda sana mnondaaaa❤❤❤❤
Unyama mwingi mzee baba na wakubali sana team donta love from ❤❤❤ Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩💙💙🇨🇩🇨🇩💥💥💥
jamn napenda kelvn akiwa na lavunessi nainjoi kweli❤
Asante 🥰
@@Dontatv255 mtoe mwendelezo jmn tunawaomba mashabikiii
Muvizuri,sana
Nimeyipwnda,sana,kwer,asanteni,sana,kwamuvizuru
Dakk ziendelee hvhv
Sawaa ❤
Ni filamu nzuri sana Kelvin, nafuatilia kutoka Kenya...natamani sana kuona sehemu ya pili, ipo kweli?
Nzuri sana,..ep 2 ije😊
Inakuja
Sijachelewa sana wana donta tv naombeni likes zangu😢😢😢😢
Sawa karibu
Nipeni like zangu wa kwanza leo Kelvin ❤
Sawa Asante
@@Dontatv255 wewe Kelvin natamani Siku moja nikuone, yani wewe ni mwanaume ambaye unaye nipa Maneno ya kujenga maisha nakupenda kwa kweli Kelvin mungu akulinde akuze kazi yako naitwa Michael 🇨🇩
Natamani sana kujiunga na nyie ety@@Dontatv255
Nakubal Sana broo Kaz Zako kelvin mungu akubalik na akuzidishie kipaji chako mara dufu🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤ nice movie
Asante
Nzuri,,, msichelewe kuangusha episode 2
Mapemaaa