VIJANA WA PANGONI 2.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 04. 2020
  • Ni vijana walmipenda Mungu wa kweli na kuamua kujitoa muhanga na hata kufa kwa ajili yake ,Vijana hawa walilazwa miaka 309 Pangoni usingizi na wala hawakufa
    ndio maana tunawaita vijana wa pangoni.uwezi amini na hivi ndivyo mwenyeziMungu atawafufua waja wake.
    kama mfano huu unaonyesha naman ALLAH alivyo na nguvu na hadi zakei .kwa mfano huu kumbuka kuwa utakuja fufuliwa kama hawa jmaa walelal mika 309 hawakuoza basi mungu atakurudisha hata ukiwa umeoza .belive in God and Worship Him Only..

Komentáře • 3