Video není dostupné.
Omlouváme se.

Fix You: Ni Bora Mwanamke akosee kuolewa kuliko Mwanaume akosee KUOA!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 06. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Komentáře • 30

  • @elishaluhwago6940
    @elishaluhwago6940 Před 2 měsíci +10

    Kwa wanaosema ni mtazamo wa zamani, ni kwamba huu mtazamo mpya wa kisasa, ndo ambao umepelekea ongezeko la Ndoa kuvunjia...
    Mtazamo wa zamani umekuwepo miaka na miaka, na ndio ulioFanya Ndoa kuwa imara.. .
    Always, Mungu alishaSema, Mume ni kichwa , na atamuongoza mkewe..... mume ni kichwa na kiongoz wa Familia, (lakini anapaswa kuongoza familia kwa kumcha Mungu, na kumpenda mke wake na watoto)...

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk Před 2 měsíci +3

    Mama uko vizuri zaidi. Unatoa mafundisho ya kweli isipokuwa sisi binadamu tulio wengi hatupendi kuelezwa ukweli.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Před měsícem +2

    Asante Mungu leo wanaume wamepata mtu wakuaongelea vyema wanaume wengi wanapitia mengi kwenye ndoa but hawana pakuongelea,rudisheni uyu aunty maana kanifuraisha

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Před měsícem +1

    Ukimpata Yesu umepata vyote,

  • @priscamichael1980
    @priscamichael1980 Před 11 dny

    Nakupenda Irene, keep strong dear

  • @monicasongolo5805
    @monicasongolo5805 Před měsícem

    Ni kweli bila kuaminiana hakuna ndoa,,,,imani ni kiungo kikubwa mno

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před měsícem

    Hiyo sio elimu ya Kichungaji, Kuficha dhambi ni elimu ya dunia ya giza ambayo haimuaibishi shetani, sema tu nimedanganywa sana nikaingia majaribuni lakini kwa sasa Yesu amenikomboa!.

  • @chichiswagger3225
    @chichiswagger3225 Před 2 měsíci +1

    Kweli ndoa ni Imani ..mama yuko sahihi… ukimchunguza bata huwezi kumla

  • @Mcsceo
    @Mcsceo Před měsícem

    Mambo poa👍🏾

  • @liberatamwombeki5640
    @liberatamwombeki5640 Před 6 dny

  • @chichiswagger3225
    @chichiswagger3225 Před 2 měsíci

    Yah! We have enjoyed a lot of..mama yuko vizuri arudi tena… pia nashukuru episode kama tatu nne hivi tuliomba uwe unawauliza wahusika walikutana wapi kabla hawajaingia kwenye ndoa na uliweza kuwauliza shukrani…inatusaidia ambao hatujaingia bado kwenye ndoa bado . Kwamba muda mwingine tusidharau mazingira tunayokutana na wapenzi wetu coz huenda ndio yakatengeza safari ya ndoa na mahusiano yetu yalio sahihi

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Před měsícem

    We need more of this

  • @happnesskitumbo5713
    @happnesskitumbo5713 Před měsícem

    Ni kweli kabisa heri mwanamke akosee kuolewa kuliko mwanamume akikosea kuoa kwani mwanamke ndie mwenye ndoa.

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 Před 2 měsíci +4

    Hayo ya zamani mimi mwanaume hawezi kunitawala. Hapa ulaya wanaume wanajali sana wanawake mpaka anakupikia na kufanya majukumu yote ndani. Hayo mawazo yalikuwa ya zamani wakati wanawake walikuwa hawafanya kazi walikuwa wanakaa myumbani. Hiyo system hata ulaya ilikuwepo ila maisha yamebadilika. Siku hizi wote tunaenda kazini kitafuta pesa tukirudi nyumbani tunashirikiana kazi pyeee. Huyu mama anaongelea vitu vya zamani.

    • @Nickbrown127
      @Nickbrown127 Před 2 měsíci +6

      Ndio maana ulaya hakuna ndoa ila wanaishi kama patners.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Před 2 měsíci +3

      Yeye anaongelea utamaduni wa kiafrika haongelei utamaduni wa wazungu. Kwenye utamaduni wa kizungu ushoga umehalalishwa ila kwenye utamaduni wa kiafrika ushoga ni haramu. Feminism imeanzia kwa wazungu, ila sio lazima waafrika wakubaliane nayo ikiwa wanaona iko against na utamaduni wao.

    • @mariastella1878
      @mariastella1878 Před 2 měsíci +1

      Nilijua tu kuna mtu atakimbilia kwenye ushoga😂,Tanzania ushoga haujahalalishwa lkn upo saana tena kwa wazi tu.Ulaya ndoa zipo tena saana na sio wazungu wote wanapenda hayo mambo.
      Cha kujifunza ni kwamba maisha yanabadilika huwezi kung'ang'ania mfumo dume zama hizi,ulaya pia kuna meengi mazuri ya kujifunza kuliko hilo moja mnalopenda kuliongelea kila siku.
      System ya ulaya huwa inawabadilisha wanaume na kutoka kwenye mfumo dume, na uzuri ni kwamba wenyewe wanaona faida yake.
      Mfumo dume unafanya mwanamke anaishi kama mtumwa kisa tu mwanaume anataka kuheshimiwa.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Před 2 měsíci

      @@mariastella1878 Inakufanya uone huo ni mfumo dume kwa sababu ndivyo wazungu walivyokukaririsha. Umekuwa brainwashed. Kama unaona feminism ni nzuri kwa nini uone ushoga ni mbaya wakati vyote viwili vinapigiwa promo na wazungu? Kwa huku Africa bado mtasubiri sana mtaendelea kusema mfumo dume ila cha moto mtaendelea kukiona kwa sababu mko against na nature.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 Před 2 měsíci

      ​@@mariastella1878umeongea kama watu 1001. Big up sana

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Před měsícem

    Mama,kumweka mtu ndani pekee hakutafsiri upendo,au kutembea nje huku hajamwacha mke hakutafsiri kumpenda.Vipi akipata magonjwa na kumletea huyu alomweka ndani?anapotapanya kipato huku ndani wakapungukiwa kule nje wakiinjoi ndo amependa wa ndani???na hujui kwamba huyu baba anayetembea nje na mabinti wa wababa wengine ndivyo watakavyotendewa binti zake ambao amezaa na huyu wa ndani?je hapo ameipenda familia yake??....

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Před měsícem

    Darasa zuri

  • @charlesokumu2363
    @charlesokumu2363 Před 2 měsíci

    Ww kama uko ulaya basi fuata content ya ulaya achana na sisi ambayo tunaelewa

  • @hongerakimbwala8650
    @hongerakimbwala8650 Před 2 měsíci

    Ni fikra zilizopitwa na wakati

    • @Nickbrown127
      @Nickbrown127 Před 2 měsíci +3

      Ndio maana hujaolewa na hizo fikra zako za kisasa.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Před 2 měsíci +2

      Kile kinacholetwa na wazungu ndio unaona ni cha kisasa. Haya sasa wamekuletea ushoga waache watoto wako waige maana ndio mambo ya kisasa.