UCHAMBUZI wa HANS RAFAEL, Je, CHAMA ataisaidia YANGA SC? Ni PIGO kwa SIMBA SC?
Vložit
- čas přidán 23. 06. 2024
- Kumradhi jina la ni NASSIB MKOMWA na si BASSIB MKOMWA kama Ilivyoandikwa.
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz - Sport
Interview zenu ni nzurii sana.. ila ziko hazina back sounds. Mjaribu kufanyia kazi hilo. Weken back sounds ili kuongeza radha
Daah mnajuwa sana wanangu
Ukweli 5imba watateseka kwa chama ni nguzo muhim kwao watani wamewapiga yanga wanajua wanachokifanya Nbc 24/25 Imeisha wakimpata Chama Ligi yamabingwa yanga ndo wanatazama Bongo tayari wamemaliza yanga Bingwa
Ww naye tumeingia. nafasi ya tatu tumepigwa tano na yanga chama yupo achaaendevuko yanga
Okwi alikuwa bora kuliko mtu yeyote simba lkn wengine wote ni watoto,chama asepe tutavuka na wengine
Hakika
Yangaaaaaa
Me cjaelewa kuhusu legend ... Chama legend vp kuhusu shabalala
yangaaaaaaaaaa
Noma sana 🎉🎉🎉
Jamaa ana vision kubwa
Fukuzaa vizee
🔥🔥
inono🎉
Goli 5 nyingi
Kwenye redio saa ngapi mda wa michezo?
Chama hawezi kuisaidia Dar Young African
Hance leo ndo nmekuelewi,na nmefurahi kwa unavyozungumza,,,ila kumbuk Emmnuel Okwi was better than Chama na aliachiwa simba na bado iliendelea kuwa juu,ko simba ni kubwa na itafanya mkubwa,,,
Inonga, Manula, na Chama waende tu.
yanga hiii mboga ugali moto
❤❤❤
Maneno yake kwamm nakubaliana nae ulejendali tutampa tu maana hata okwi alienda pia lakini aliludi tukampokea namauwa 🎉🎉🎉🎉 yake tukampa kwaiyo kubadilisha changamoto kupo tunamtakia kila lakheli huko aendako
Ebhn eeeh
Hapa ni nyumbani
Changamoto kwenye kuandika mna mawenge
makoro kazi wanayo
Kaondoka sasa tufanyaje Hansrafaely
Yanga club yangu achaneni na chama ni mzigo kwa sasa. Tafuteni vyuma vingine achenani na huyo mzee
pigo aliondoka Okwi piko kwako ww sio sisi simba
mwambie uyo siyo mombeki ni mwombeki wanaalibu majina ya watu
Anajisikiaa sanaaa aendee hukooo
Mimi binafsi sion umuhimu wa chama yanga na uwo ukubwa anaozungumziwa chama sababu chama tayar anadhuka kiwango na ukizingatia una azizi ki na pacome mi naona huusajili ni wa mihemko kama utangalia mpira kiufundi bora uchukuwe saido saido na chama mi kwangu bora saido
Dah kumbe mkomwa upo huku kwa kikeke
Sio kwa kikeke yupo kwa kingkiba
Matatizo makubwa anayo hadi viongozi na makocha wamemchoka
Ww mwandishi et ataisaisia ndo kiswahili Gani ila upo sawa kulingana na akili yako
Mtamchukia chama msimu ujao,,chama kaishakwiaha,,yanga msimu ujao Mtaiponda
Alikiba hayupo serious. Hii ndo redio au TV yake??
Muulize mamaako atakuapa majibu
Ww Yako Iko wapi tuje tuchek maana uko serious sanaaaa nadhani Radio Yako au TV itakuwa inakimbiza sanaaaaaaaa😁
Kaka una hoja ya muhimu, ila tambua hii media imefunguliwa redio tu,bila shaka hata vipindi havijaanza rasmi, huenda ikawa hizi podcast tu ambazo zitaruka kupitia crown digital,tupe muda sisi team crown mambo yatakuwa sawa tu
Shobo 😅😅😅😅😅😅
Kwa kipindi hili ambacho Chama anamaliziamalizia muda wake wa mpira ilifaa abaki Simba ili aje astaafu kwa heshima zaidi. Akistaafia yanga hawatampa Ile heshima anayostahili coz hakutumika hapo muda mrf.
Boko amepewa heshima gani simba ? au nyoni
@@user-ri5pc6es4m amepewa kuwa kocha wa u17 na anasomeshwa na team kwenye kozi zake za ukocha na ataendelea kulipwa kama mwajiriwa wa simba mpaka atakapoamua mwenyewe kuondoka
Individual CV au mafanikio binafsi ya mchezaji kwa maana ya vikombe au maisha mazur Zaid ni Bora kuliko sifa(heshima) watu wapo kwa maslah zaid
Huyu hans ni mchambuz wa yanga
mwambie uyo siyo mombeki ni mwombeki wanaalibu majina ya watu