WEWE NI BWANA WANGU KUANZIA LEO/MAUMIVU YA MAPENZI NAYAJUA | ZUU AMGANDA MSHKAJI - HIVI NI KWELI
Vložit
- čas přidán 30. 05. 2022
- WEWE NI BWANA WANGU KUANZIA LEO/MAUMIVU YA MAPENZI NAYAJUA | ZUU AMGANDA MSHKAJI - HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Huyu jamaa ni bonge la mbunifuuuu safi Sana kipindi chako nakielewaaa Sana, sio km vipindi vinginge vya mashoga kina juma lokole na kinadida
LEO NIMETISHA SANAA..
NIMEKUWA WAKWANZA...😋👆
Fanya KULIKE APA
Iwe zawadi kwangu ♥️♥️♥️
Nembo ya mtaa unahari nyingi sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana mpaka mbavu zinauma huyo Dada huwa nampenda sana. Sanya 🙌🙌
Haha 😘🤗
Sanya ungevaa nguo za jeshi kutishia zaidi ingekua poa sana 😄🤣🤣
Sema huyo dem angeu na ngoma nagwaaa ingewaka sanaaaa
Hatali afro mwenyewe au vip
Daaaah sema sio fresh wahuni daaaaah😂😂😂😂
Huyu mwanang wa ETIHAD kapendezesha show sana 😀😀😀😀 mwana kafurahisha sana. WASAFI HUYU JAMAA ALIPWE PESA NDEFU KIDOGO ILI KUMSHUSHIA PRESHA.
We jamaaa unatsh sn
Hhhhh
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Akya MUNGU me ni muislam🙌
Nawapendaa saaana jamanini asaaah mo town saaanya na zuuuu mumetisha saaana
Brother kweli kabisa unaweza chezea shaba7 pasiko hatia mapenzi yananguvusana🤣🤣🤣
8:00 Cjuii kanionaa mjingaaaa Cjuii kaniona me mtoto ,🤣🤣🤣🤣🤣 ETIHAD
Akiya Mungu nakwambia me muislamu 😂😂
Lol 🤣🤣 mo town sanya siku hizi creativity next level , congrats.
Do you know what da min of lol or you use da tin where u like
@@loganpoul what does it mean?lol
@@ramadhanmaisa788 acheni kushoboka,
@@loganpoul ww unafirwa nini xaxa mi nimeshoboka sinimeuliz🙄
X movie
Sema dogo wa Pili respect saana.. Ni confident saana
Wabongo da mungu anatuona
Mumetisha 💖💖💖😂😂😂🤣🤣wa kwanza nimecheka jmn mbavu zangu 🤣🤣🤣
Sanya Hongera san nakubali san hii 😂😂😂💯
nimeipenda sana kitu kma kinauhalisia bg up sana mzee
Zuuuuuu.
Bonge la actress katika kila uhusika.
"Ujui kazi yangu na ujui nafanya kazi ofici gan
😂😂😂 Mo town leo nakupigia saluti dizaini ya Kiba😂
Nimecheka leo mpaka mke wangu alitaka kukimbia akijua nimechizika😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Uyu mwamba t shirt ya njano apana 😁😁 hii song tz haipo
Atakuwa kapata chanjo😄
Unyama ni mwingi mzee wangu sanya
KWELI HII CREATIVE SANAAAA
Nmependa sna MO town ....
Maniga tunavutana pembeni alafu yanaisha kiume oya weeeee gonga laik kwa wajuba wote tuishi umo.
Mo Town Sanya nembo ya mtaa 😄 hivi ni kweli,😂😂😂
Daaadeki 🤣😆😂😂 so creative 🔥🔥🔥🔥🙌
Nmecheka sana
Sema moo town nmependa ulivyo mpoza dogo God bles u kaka
MO Town shoo tamu mzee baba, ila ingenoga sana..kama mtu angepita kwanza amuulize hata jina na kama ingewezekana angemuomba simu then asevu namba ya Zuu, ilete confusion kwa hao washikaji waliofanyiwa Prank, na wewe ungeingia kwa shari iwatoe jasho, kwa huyo wa Man city ila all in all 🤣🤣🤣🤣Unazidi kutoa Maboko ya Mitaaani
Kweli kabisa
Kanikuta mtoto sijui mjinga flani ivi🤗
Kipind kizur kisha kifupi kwanini😊😊🥰🥰🥰😂😂😂😂
High level San 🔥🔥
Sana
Nice ni mependa show ya leo
Jamaa Kaongea Ukweli....kutoka moyoni.
Ukwel wap muoga 😅 tu
Ogopa sanaa mtu akwambiee"Hujui kazi yangu,yan hujui nafanya kazi gani"""Yani utajua hujui🙄🤣🤣🙌
Ila Motown akili zako unazijua mwenyewe yaani sijui huwaga unawaza kwa kutumia nini?
Sema nikiwa namawazo naagalia to hivi nikweli 😊😊
Mo town sanya nakubali Sana mwanangu🔥🔥🔥
Aisee wewe jamaa mbunifu sana 🙌🙌🙌🔥🔥🔥😂😂😂😂
Niongee na mwanume m,,wewnzangu hahahahahhahah dah noma sana Mo town sanya umetisha eti mimi muislam 🤣🤣
🔥 sanaaaa
jimigijijimigiji ooohhhh mayaaaa jamaa wa njano na zambarau katisha kinomaa😁😁😁😁
Jama baba wawatu kaimba kwa hisiya sana dhaaaa hahaha 😆😅🤣😂
Noma sana
Best Tv show now in Tz
Noma xn
Hahaha umeua broo big up Motown sanyaa
Mda ni huu
Mo town nakubali
Motown Sanya nakubali
Mashallah mdg wangu zulekha
Maskini kijana wawatu
@mo town, bro naku fata toka UGANDA🇺🇬 u so creative bro, and u taking it to the next level, keep it up geee💪💪💪💪💪
Creative sana ww jamaa
Nic montauni sanya
Daa hao ma DJ🤣🤣🤣 hatari na nusu
Akia mungu m MUISLAM........
🤣🤣🤣🤣🤣😂aki thanks nilikua nimeboeka sana bt nko sawa 😂😂😂😂😂🥰💯
🤣🤣🤣🤣Mo town Mo town mwanangu nakukubali saana😍😍🔥🇷🇼
😂😂😂dah mwanangu sinaneno
You kill it mnatrahsha san asee big up
Una ubunifu mwingi mo town Sanya hongera Sana 🤣🤣🤣🤣
🤩🤩😄😄ila wanaume wa dar ni waoga kweliii
Kali mpaka noma🔥🔥🔥
Nembo ya mtaa kipindi ichi buni zaidi WASAFI ndio mtakuwa wabunifu kwa kwanza wa prank kama izi napenda sana ni mambo ambao nafuatiliaga sana tena sana ongezeni na kesho kila week tunataka mpya boss Mungu abariki kazi zenu kabisa
Wanageza tu nigeria hawajabun kitu hapo!! Nigeria ndo wana izi mambo sn kama unafuatiliaga
😂😂jamani Kwan bado tu hawamjui mo town
Hahahahaha mi ningeshachukua boda gheto 😁
Katoka liwale kwetu
I like it so much mo town sanya,,,, I really agree
Congrats 👊
Wasafi chama lao
Huyu jamaa noma sana huyu anatisha motown
Saiv mmeshutia gomzi.... Dah washikaji wa gomzi wapole sana
Hhhhhhh
Nimeipendaa
Kazi nzur Sanaa 👊
Unajuwa nafanya kaz gan
Ipo ck utapelekwa geto shauri yako
Hakia Mungu mi muislam 😂😂
Gonga beat 🤣🤣🤣🙌
gongo la mboto hapo kuelekea msikiti marcus🔥
Tishert ya zambalau na njano katisha 🤣 kanichekesha
😂😂😂😂
Hahahah Mimi mpka machozi yameisha kwakuchek
Kakaaa utakuja kuua......!😭😭😭
Hatari
Gonga beat tujuane🤣🤣🤣🤣🤣
baba umeuwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mo Town 🗣️🗣️🗣️
Mamae
Em kwanza apo nichekee🙄🤣🤣🤣🤣🤣,,,et kumbe wewe ndyo yule mo nani vileee"😄🙌
Daah Motown mbunifu sana💥💥💥💥😊
Unyama ni mwingi sanya 🔥🔥🔥
mshikaji kaongea kwa isiya sana😂😂😂😂😂😂
hapo ingkuw kavaa gwanda sas
😂😂yanga kama yanga
Umetisha sana mzee
Too much funny 😄 😄😄😄
Creatvty of next level nakubal sana motown sanya 👊🥶
HHHH noma sana