SIMPENDI H BABA/NIKIKUTANA NAYE NAMZIBUA/HANA LOLOTE - (MARA PAAP WAKAKUTANA😂😂🙌🏾)
Vložit
- čas přidán 8. 08. 2022
- SIMPENDI H BABA/NIKIKUTANA NAYE NAMZIBUA/HANA LOLOTE - (MARA PAAP WAKAKUTANA😂😂🙌🏾)
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Wooooyoooooooo team Baba Levo tujuane🤣🤣hata mm nitachagua Baba Levo ili nicheke vituko vyake
Huyo ni H baba sio baba levo mama.
@@captenndunga6745 hujamuelewa
I like him
H. Baba now una trend very proud
Huyo jamaa mwemye tishet nyekundu ana tamaa sana...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Moyo wangu hunafuraishwa sana na h baba kuwa w.c.b afu ana anaonesha lav ya kweli 🥰👌👋👋
Hiki kipindi nomaaa sana 🙌💥💥 nimechekaa mpaka nimelia 😂😂😂😂😂 hahahh hahahaha hahahh hahahaha 😂😂🙌💥🙌💥🙌💥💥😂
Huyu jamaa wa mwisho daa mhh. Mtihani sana
Baba wa blue Tshirt leo anaenda kuwaambia wanawe n wajukuu kua kaonana na Diamond Platinumz Simba 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu anawaona yaaani Mzee wa watu mnamuimbisha kweli🤣🤣🤣🤣🤣 pesa mwanaharamu
🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅
H baba hatareee sanaaaa you kill it🔥🔥🔥💪💯
Ebu nipe kwanza mkono ulinioteaje yani umeniotea chifu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Nilicheka sana
Dah! Eti huyu jamaa mchonganishi😂😂😂mchizi wa mwanzo katingwa sana
waliotisha leo ni yule wa kwanza kuhojiwa na jamaa alievaa nyekundu katumia fursa vizuri mno🤣😂
Wapi like za h Baba🤣🤣🤣🤣🕺🕺Mimi nakupenda Sana H Baba watching from 🇰🇪 Kenya
Gry czcams.com/video/HLqvhu8vj98/video.html
H.baba nafikiri Chama Letu la Wasafi wampe Kitengo cha Utangazaji sababu amechangamsha sana Kipindi cha Hivi ni Kweli. Wasafi for Life Baby.
Hilary mrema hamna kitu hapo jitu zima lakini jinga
@@margarethpolepole7438 kwa nn🤔
H. Baba umepiga mia yya mia kamatia umeua.....oyeeeeee H.dangote.🙌🙌🙌🙌
Leo h'baba amepata niaje, sema fresh jamaa alitaka kuendekeza njaa
Diamond batan, diamond paltam😂😂😂 diamond plantam. Maana apo kwanza ncheke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣👍
Napenda sana vpindi kama hivi kwani zinanifanya kusahau ugumu wa maisha, love kwako mwandaaji
H'baba umetuwakilisha mwanza safi Sana umeuwa 😁🙏
Baba kajua kujiongeza haamini kama anarudi home na ugali dah maisha haya🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
H baba unaroho nzuri sana ubalikiwe kwa moyo wako huo ila usipende kujiita majina ambayo sio yako
Badala awatambulishe watu jina lake anamfagilia Mond
From 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya
Motown sanya unyamwezi mwingi in the building
Mambo freshi barida
H BABA estás de parabéns gostei de Show, sanya unyama nimwingi sana
The guy in blue is so clueless it's too crazy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na Ako dar jameni ata mamangu kijijini anajua bongo music kama zote
Bad enough hamjui diamond 😆😆😆😆😆😆😆
@@alicechambaladainty6851 ameboa kweli
Sio kweli ni mawenge ya kamera tu
Yeah I like him also ( si unajua utani)
much love H. Baba....u made my day
I am Allan doing University in Zimbabwe but Origin Tanzania. One love for Country
🔥🔥🔥🔥🔥
Nimecheka hatari ...eti msifie ngoma yako nzuri😄😄😄😂😂
If u are still watching 2024 like back much love from Kenya❤😂
Kama ungali unawatch hii video 2024gonga like😂
Diamond platnam ame tishaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌️🤣🤣🤣
kodi ya nyumba muhimu😂😂😂😂😂
Yaani kuna watu Tanzania hawajui diamond😂😂😂😂
Tanzania mbali Daresalam Yan mtu upo dar alafu mond humjui dar
🤣🤣🤣🤣🤣huyu baba amenichekesha wa tishet blue
🤣🤣🤣🤣🤣kanimaliza mbavu
This man doesn't know between who is diamond platnumz or H. Baba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Fala sana huyu ashindwa na yule mtu aonekana chizi na yuajua huyu ni H baba yy akili yake timamu na hajui Diamond ni yupi na H baba ni yupi fala sana huyu
Kwanini usiandike tu kiswahili kaka
Kwanini usiandike tu kiswahili kaka
Tatzo tamaa msengee ww mala unga mala kodi ya nyumba utaolewa msenge wewe🤣🤣
Sasa matusi yanini?.
You are kind man.... Hakuna hivi ni kweli zaid ya hii mo hujai fanya hivi ni kwel kam hii... More bless H baba😍🙏
Huyu boy iko na tamaaa they say buy for 10.000K.but still want to get food for 18000 K.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nomaa🤣🤣🤣🤣🤣
Not they say....he said
Show ya kinyama sanaaa nimependa H BABA He’s a good actor
Nimecheka Kisenge Yan🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Huyo mkaka jaman amejigamba mpaka basi na H.baba 😂😂😂😂huyooo anataka amtext°°
Kweli watu wanafiki 😂😂😂😂😂😂
Uyo mwamba atupe raha ya ngoma moja na mond
Baba levo fundi majumba💪😀🇹🇿.dogo wa mwanzo anamkukubali fundi majumba.
Huyo ni h baba sio baba levo.
@@captenndunga6745 nilimanisha jamaa wa mwanzo anamkubali baba levo.
@@mahmoudaziz4717 poa nilikua sijakuelewa ndugu yangu.
@@captenndunga6745 poa ndugu
H Baba & Baba Revo❤️❤️❤️❤️
Loh unamkunja mtu kisa kakuponda. Haaa mimi ndio ningefuguka kabisa kuwa sikupendiiiii😅
😅😅😅ndo safi hiyo kumchana
JAMAA KAWA MCHWA TENA, CHAKULA, MARA KODI...😃😀😁😂🤣💪
Sema mo Town unatisha San na hii show yako.. Ulivokuw unamchongea dogo sas😁😁
Huyo jamaa mwenye t shirt nyekundu aliamua kutumia fursa vzur 🤣🤣
Bongo sihami heshima kwako sananya 🔥 Fire you are unstoppable
Ina maana baba levo anukii ata kidogo🤣🤣🤣🤣
Daaah nimecheka mpaka basi 😂😂😂
Buying food for him and still carrying h. Baba diamond 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Still carrying or calling smh 🤦♂️
Jamaa kasema yeye amfahamu hbaba 🦁🦁😁😁😁😁😁
😃😃😃😃🔩ila watu wanashida mtaani sio poa jamaa kachemka anaomba mpaka kodi ya nyumba😃😃🙌
Huyu baba kanifurahishi nyimbo za amapenzi😛😀😀😀
Uyu Mwamba wa Kodi😂😂😂😂😂
Nimecheza sanaaa
Oya chibu😂😂😂😂😂 dah
Nimechekaa uyo baba wanguo nyekundo yani anaomba vitu vingi mpak azinguw🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SI anajuwa Iko anaongeya na Mondi😄
kaka h baba umeuwa kabisa
imekuwa interview yamfano kabisa
umetoa msaada mkubwa sana
ongelen sana sana sana
kwa uyu jamaa ambae halishiwa
chakula cha nyumban kwake
#AVATASTAR255 🎵👈👈👈👈🙏🇹🇿
Love from Burundi 😂
Me nimempenda uyo mzee wa tatu amekuwa kweli 😎
Huyu mwenye shati nyekundu anaomba mpk anakera, mkwewe anakazi hapa😄😄😄
Huyo H baba ni generous sana🤩🤩
Let him continue being on top
B levo ba😂
Eti na kodi ya nyumba muhimu 😀😃😄😁😆😅🤣😂 umeuwaaaaaaaaa
love to Wasafi from Holland
PAMOJA...
H, baba udhaifu wako unakufanya ufail
Holland ya nyoko
Jamaa wakwanza kanifurahisha Sanaa😂😂😂🔥🔥🔥🙌
Hhhhhhh baba levo oyeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂
Huyo Mzee kanichekesha sn eti Platinomu mara platamu d, ha ha haaaa.…!!!
Aisee kumbe kuna watu hawamfahamu Diamond 😄
Njoo inbox mama
Ht we kuna watu awakufaham nawapo ndanii ya ukoo wako tz nzima awez dili na mziki
Uongoo t kataniaa xio kwelii hamjuii diamond
@@rasvegas8991 ni kweli hasa kama huna smartphone
@@muwezahasani4017 inawezekana kweli hamjui
Diamond 🤣🤣🤣 uluzipateje😄😄 wekamche
🤣🤣🤣🤣🤣 uyu baba inamana amjui kweli mond jamani dhambi 🤣😂
😂😂😂🙌
Baba wa tishet bluu mbavu zangu 😂🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅
Hana lolote h.baba sasaivi alivyo ata sigida ana ila wasafi mashetani kweli🤣🤣🤣
6
Uyo baba 🙌 hana familia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Binadamu wengi ni wanafki sana 😀😀😀😀😀
Kupewa hela kupokea
😅😅 acheni kuzingua watu aisee😂😂😂
Huyu jamaa nyekundu haridhiki
😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃huyu jamaaa wa pili 😂😂😂😂😂😂
Uyu kaka wamisho asipoangaria ataorewa yaani anatamaa atari😭😭
Daaaah hiyo maiki ya wasafi imekupendeza unafaa kuwa mtangazaji wa wasafi
Hahahaha braza kodi ya nyumba"ulinioteajeee!""
Daa nmelazimika kurudi Tena ku comment h baba na Sanya niwaambieni tu mapema mkishindwa shughuli mnazo fanya ingieni commedy yaan mna weza sana da nme checka Sana hasa scene ya h baba anaitwa huku na huko alaf pia kuruka kulipa vtu nyie watoto mtatoa watu rogo mjin big up Sana wanagu. Sanya nadhani umeona unaweza ukatumia watu wachache korotete kpnd na uka fanya poa Sana na hata usipo hoji weng h baba mmetishaa
Cc binadamu tupo wanafki Sana,dogo kamponda H baba kumwona fesi tu fesi kakana duu,nimejifunza kitu
Ujumbe umemfikia ;ulitaka kijana akaze,kwani haogopi vitasa?
@@ramadhanilukambuzi9760 😀😀😀😀😀 mambo Kaka, Naomba support yako kwenye channel yangu jina
Hello Happy Tz
Asante sana 😂😂
Ya Allah ukosefu una tufanya wakati moja ma comedian kwa Ku omba rizki
Allo nimecheka sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
From 🇺🇸 I love you guys
H Dangote🔥🔥🔥
HAHAHAHA Uyu magazijuto mwenejina la hesabu aliyogundua pesa sikitoto aisee
Nilichojifunza H Baba watu wengi hawamjui vizuri pamoja na mziki wake…. Japo anajina kubwa.
Hahaha mandonga Tena 😄😄
Pinda mgongo🤣🤣🤣🤣🏃🏃
H baba na baba levo roho zenu ni safi kulko mwijaku
Huyo mzee wa pili aliye vaa tisheti kanichekesha ki fala kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Thinks mo Sanya for sharing with us
Ahahahah kwel hii hatareeee 😁😄😁😁
Daah jamaa kakuta nuksi sana hakuna mcheele
😂😂🤣😂🤣
Serious nime enjoy sana sana Asanteni sana Kwa Kipindi kizuri
Mwanza ulikuwa wap unajipotezea mda bure na kujishushia heshima Leo ona unavo kula madili kila wakat harafu watu ambao akil zao mbovu et diamond ana nyonya watu hv hata ninyi si mnajionea wap alikuwa h baba na now
H BaBa 😂😂😂
Kha yan upewe unga sabuni sukari...nauli et Kodi ya nyumba muhimu😂😂😂😂😂
Ume nyonywa sasa H baba 😂😂
From New Zealand 🇳🇿, i am still learnig Swahili
Soon you will know