Mwanamke Shujaa Ni Nani? | Night Of Miracles Mbeya | Pastor Tony Kapola
Vložit
- čas přidán 15. 04. 2024
- Je wafahamu hadithi ya Esther, Tujifunze kupitia Shujaa huyu namna ya kuishi ndani ya Mungu.
Link to full video from this series:
czcams.com/users/liveb3PGCWqnIqc?...
Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
Facebook:
/ pastortonykapola
Instagram:
/ pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA) - Hudba
Nilifikia maamuzi magumu na mabaya ila baada ya kumsikiliza huyu mtumishi nmejielewa na nmebadilika sana mungu akubariki mtumishi aleluyaaa
Ni kweli nilifunga na ile saa ya kwanza ya siku ya kwanza nikajibiwa. Fasting works
Amen naenda kupokea aman kwa jina la yesu.nimeteseka kwenye mahusiano kwa muda mrefu San.Mungu nisaidie
Amen
Huu mkesha nilikesha hadi bujeeeee 🔥🔥🔥🔥🇦🇪🇦🇪Mungu Anajibu kwa wakati barkiwa @pastor Tony Osborn 🪛🪛🪛🙌🙌🍷💪💪
Napokea kufanikiwa, Napokea ndoa nzuri Napokea biashara mkubwa katika kila eneo kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
Ameeni
Lakin ili upokee yote hayo lazima umpokee yesu kuwa bwan na mwokoz wako na yote hayo utapata
Nikweli kaka
@bonansamusnic7801 nikweli kaka
@@bonansamusic7801 mtumishi mm ni mwana wa mungu, yule ambaye alikufa kwa ajili yangu, God bless you my brother ❤🙏🏻I love you
AMEN BWANA nipe moyo wa Shujaa na ujasiri ndani yangu 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🤲🤲🤲🤲
Mungu umetuonyesha inawezekana naomba nioneshe mimi na familia yangi🙏🙏🥺
I call him katika ulimwengu wa roho kupitia madhabahu hii na neno hili kwa Damu y Yesu
Anitfute 🙏🙏
Ameeen
Ameeeeen
Huyo ndiye pastor TONY ni yeye tu hakuna mwingine
HALLELUJAH BABA nisiende kwa hisia nitie nguvu
Ameen
I'm waiting the word of God.
Napokea ndoa nzuri in Jesus name amen Amen
TONY IS MY PASTOR
Amen dearest dady 🙏
Amina napokea
Amen Amen Amen ❤❤❤ God bless you pastor ❤❤
Ameen ameen
You Can not Miss the Person you Hate
Imekua fupi mno 😢😢...ningali narecherge...kumbe imeisha
❤
Ameeeen 🙏🙏🙏
Ameeeen
😂😂mbon km pastor kweny emotions ankuw personal 😂
Mtumishi napenda mafundisho yako sanaa,ila hapa kwa ESTA soma Tena vzr,modekai na ESTA ni mtu na binamu yake Wala sio mjomba,mfalme pia alimpenda ESTA,Wala hakumkumbuka vasht akiwa na ESTA,lkn pia ulikuwa utaratibu wa jamii ya umedi na uajem kwa mfalme kuwa uwandani mda kadhaa kwa kwa ajili ya kuabudu miungu yao.so nakupenda na tuko pamoja ila hapo kuna mahari hapajakaa sawa
Kinyume cha Utaratibu
Da mtandao unasumbua jaman
Mnoo😢
Am in dar es salaam...how can I get the timetable of your preachings... I've so many things to say to that altar
Every Thursday 10:30 jioni, Sunday 8:00 mchana Millennium Towers 2 floor number moja
Mweny ratb Kamil y ibad y wik hii.... anisaidie
Alhamic sa10 :30Jion na jumapili8:00 mchana mkuyuni
Pia ijumaa atakuwa mbeya
@@neemachuwa6819 Samahan atakuwa mbeya sehem gani hiyo ijumaa?
@@anethmichael6888 ukumbi wa st. Marys
Nadhan tangazo linaweza toka kesho
Amen
Ameen
Amen