Pastor Tony Kapola : NGUVU YA MSAMAHA
Vložit
- čas přidán 10. 11. 2021
- Life Chapel International Church, Morogoro, Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My CZcams: / @pastortonykapola
Kwa mawasiliano zaidi: +255 659 085 731 au +255 713 702 187
NAMBA YA SADAKA : +255 762 153 539 (NEEMA MASENGA)
Ninapokea nguvu ya kusamehe kwa jina la YESU Kristo Amen
Mungu nisamehe mm kil nikigombana na mme wang huw natamka kuachana na yeye nisamehe siwezi kumpoteza mwanaume mema kweny maisha yangu ni hasira tu 😢😢😢😢
Amen Amen Amen Amen I receive the power of forgiveness to all people who doing wrong to me and who doing wrong to me .ooh holy spirit come to me and give me the power of forgiveness to my family,children and marriage in Jesus might Name Amen .
Ee Mwenyezi Mungu ulinipa msaidizi kwenye maisha yangu ambae ni Roho Mtakatifu, nami naomba Roho.wako mtakatifu akanisaidie kusamehe niliumia kwa vitu nilivyofanyiwa lakini baada ya somo hili hili nmejifunza kuwa natakiwa kusamehe.
Naachilia uchungu wote uliokuwa moyoni mwangu baada ya kuumizwa na ninasamehe wote niliowakosea kwa msaada wa Roho wako Mtakatifu. Na katika wale niliowakosea naomba ukaachilie amani ndani ya mioyo yao ukawagange na ukawawezeshe kuachilia msamaha ndani ya o
Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏
Mungu nifundishe kusamehe🙏
Ninawasamehe wote walio nikosea ninao wakumbuka na nisio wakumbuka ila moyoni niliwafunga katika Jina la Yesu Amen
Father i forgive my siblings.
I forgive my parents,i forgive sister in laws.
I forgive my former boss
I forgive myself in Jesus mighty name.
God help me.
Watching from Qatar Doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦 Shalom Shalom 🙏
Ameen mungu naomba unipe rohowako ili niwe mwepisi wa musamehe maana Nina roho ngumu ya kusamehe eemungu unisaidie
🙏🙏🙏barikiwa mtumishi
Mungu nisaidie roho mtakatifu aniwezeshe kusamehe na kiwachilia wote walio nikwaza,nkapate kuishi kulingana na mapenzi yako
Amen
Ameen
All the glory be God, hallelujah🙌🏾🙌🏾
Vinauma kwa kweli mungu aingilie kati
Nami nimemsamehe mke wako kupitia roho wa Mungu
Hallelujah katika nguvu ya mungu pekee na kwauweza wake yeye nimesamehe wote walio nikosea na kunitendea mabaya mungu awabaliki na awape amani katik yeye aamen
Watch from Kenya I have been going through a very difficulty time ya kusengenywa,na haya yote yalitoka kanisani ninakohudumu ,,,,,ohhh my God had no forgiveness in me bt from now hence forth I have forgive them all who participated....may the holly spirit help me in Jesus name
Amen
I forgive myself
I forgive my siblings
I forgive my parents
I forgive my friends and others heavily father forgive us🙏🙏🙏
Ee Mungu nimewasamehe wote walionikosea naomba Mungu unisamehe na mimi niliyokukosea amina
Asante sana kwa neno hili limenitia nguvu kweli neno hili limenilenga mm kabisa
Am blessed from Kenya.Healing word
Amen. Roho mtakatifu msaidizi wangu nisaidie mahali hapa.
Hallelujah nimebarikiwa na u jumbe wa msamaha ingawa nimeusikiliza siku nyingine.
I nawasamehe wote walionikesea kwa jina la yesu kristo na Mungu awabaliki
kwa jina la yesu,naachilia msamaha kwa wote niliowakosea kwa namna yoyote,na kama kuna mtu nilimkosea kwa kujua au kutokujua Mungu awaponye na awame aman tena
I noticed you Man of God at the right time your sermons/teachings speak to me directly.Thank you be blessed pastor.
May i be able to forgive with the help of His holy spirit
Mtumishi nimekuskiliza kwa umakin nimegundua vingi binadam tunaish kwa unafki sana mungu aturehem
Power powerful
Mungu atukuzwe milele. Pastor Asante kwa mahubiri ya msamaha. Mungu akubariki.
Watching From Kenya.kiukweli mimi nilikuwa napitia mambo mengi nikafikia hatua ya kukataa tamaa ya kimaisha ila kupitia mafundisho yako mazuri,nimepata nguvu mpya
Amen Nabarikiwaa sana,,,, MWENYEZI MUNGU AKUPE LOLOTE JEMAAA mbele zake
Aiseee nimepata kitu kipya....Mungu Asante Kwa kunipa akili ya kujua❤
Roho mtakatifu nipe nguvu na unijaze roho ya msamaha ndani yangu
Asante mtumish wa mungu .....
So powerful,God bless you man of God
Napokea tiba ya milele,,,ya kusamehe kwa jina la YESU KRISTO
Hata Nami mutumishi nimemusameh mume wangu kwamakosa aliyo nifanyiya ikasaba bisha natoko iche yandoa Nami pia naomba mungu anisameh
Pia na samehe ote walio nikosea kwanamna tofauti tofauti ikiwa na mbele za mungu
This is true without Jesus u can't..,.
Nimepona. Mungu nipe roho wako niweze kusamehe ili nawe unisamehe.
Mungu akuzidishie maarifA
Thank you man of God may God continue blessing you as you bless us with His word.....all the way from Kenya Shalom.......
So powerful sermon ,nimejifunza mengi sana,barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mathew6:10-14
Amen thank God
Hallelujah , Iam blessed by the word of God .
Aminaa Sana Mtumishi
Since i started watching and following the sermons I'm growing spiritual i feel that the spirit of God in my soul 🙏 you are such a blessing to me ...Mungu aizindishe neema mtumishi wa Mungu 💚
Wow! Just wow! Sir, you're a treasure in clay pot!!
Asante Sana nmebalikiwa kwa neno la leo
Kutokana ma mahubiri yako mtumishi nabarikiwa sana kwa kweli
Amen 🙏🏽
Mungu nime neema yakusamehe...thank you pastor 🙏🏻
I watch this when I needed the most,it was had for me but now I find peace and the way to forgive and forget
How did you forgive & forget????for me to forget it's had for me
Amen.Barikiwa sana Mchungaji 🙏
Amina pastor
Asante mtumishi Leo nimefunguliwa
My favorite pastor all the time all the would ❤
Am healed thank you Man of God 🙏🏾
Amen nimewasamehe wadeni wangu walio wakosea
Asante baba wa kiroho nakukubar kira sana
Sarafina mndeme namsamehe kwalilaki2 alichonifanyia kwenye maisha yang
Power of GOD 🙏🙏
Asante yesu
Asante Mungu kwa ujumbe muhimu. Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananibariki
Pastor Mungu akubariki umemitoa mahali
Ahsante Mungu nimepona mahali 🙏🙏
Mtumish wamungu nasameh wario niandam wote
watched from UAE, it was so timely thank you Holy Spirit. I cried as i was releasing people from my heart.
Ameen Asante kwa neno nimebarikiwa
Asante Kwa neno zuri
From tictok to here....from Kenya.much love
Nimewasamehe wote walionikosea kwa Jina la Yesu
Amen mtumishi wa Mungu
its hard to swallow but it heal
Ubarikiwe na MUNGU. Amina 🙏
Dah nimepon san
Mungu nisaidie
Amen naomba nipate ufahamu
HALELUYAAAAAA
All Glory be to God Amen
So powerful 🙏
Ameen
Bless you Pastor. I'm healed.
Amen 🙏
Great follower from Kenya man of God we are grateful for you.
.......our God can forgive 💪
amen
asante YESU nimepona
🙏AMEN
Amen mtumishi wa mungu nimebarikiwa
Nakupenda sana from Rwanda
Mtumishi ubarikiwe
Amina
🙏🏼🙏🏼
Child trauma znanitesa ila ntasamehe wote walionikosea nikiwa mdogo 😭😭😭
Somo kubwa sana na limegusa sana maisha yangu roho mtakatifu anisaidie kusamehe walionitenda ubaya
Amina
Ubarikiwe
Watching from Saudi, thank you for empowering me .....nmekumbuka jinsi mamangu mzazi na dada wangu walivyo nisaliti it was hard times but I managed to forgive without their acknowledgement☺️☺️
Same experience but working on it.
Me too am in Riyadh
Hata mimi My Mother alinipitishia mengi hii dunia,,,nilipata mtoto bahati mbaya 2010 bt my mother hakuni samehe alinitesa kama Mtoto wakambo,,,,nliishi nkilia machozi since 2010 hadi 2016,,,,,na pia aka nilaani nitatumiwa na wanaume wakiniacha kwa kweli hii dunia kila mwanaume alikuwa akinitimia ananiwacha bila sababu,,,,,hadi nkaamua nitokr kenya nikuje uku Lebanon,;,,,,,,,La kwa kweli Mama aliwacha kidonda kikubwa kwa Moyo wangu najaribu nisahau bt wakati nakumbuka uwa nalia sana😭😭😭😭😭😭
@@hdhdhdhdhdh3264 pole Sana mpendwa mungu akusaidie uachilie kama unavyosamehewa na mungu ukikosea
@@hdhdhdhdhdh3264 pole sana mpendwa Mungu akuponye nakuombea uweze kupona na kusahau usisahau kujitenga na hyo laana mwaka huu ukawe watofaut kwako ktk Kila idara comments yko imeniumiza coz nliwai kupitia the same thing through my mom ila nlisamehe 😭😭😭tusamehe dear neena ya Mungu ipo juu yetu our future is so bright
🙏🙏