KUUAMSHA ULIMWENGU WAKO WA ROHO (Sehemu Ya tatu) Na Pastor Tony Kapola
Vložit
- čas přidán 25. 07. 2022
- Life Chapel International Church, Morogoro, Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My CZcams: / @pastortonykapola
Kwa mawasiliano zaidi: +255 659 085 731 au +255 713 702 187
NAMBA YA SADAKA : +255 762 153 539 (NEEMA MASENGA)
Neno langu la wakati neno langu la majira Mungu ameamua kulisema kupitia hapa nami nalipokea kwa jina la Yesu
Jamn uyumchungaji yupo kwenye isia sana yani atakuongea anamaanisha kwel kunawatu wanamungu ndani mungu atusaidie
pastar mungu azidi kukutunza we na familia yako nakuelewa Sana mafundsho yko mungu akutunze kwajili yetu unatwambia ukweli Kama hapa mm hua naona San vtu vinavokuja nkiotaga ndoto lazma itoke but shetan ananisongaga sana n mastres ya dunia hii naomba mungu anitoe huko
Amen
❤amen
Amen from Kenya 🙏
I'm from Kenya ameeeeeeeeeeen ameeeeeeeeeeen big ameeeeeeeeeeen man of God 🙏🙏
Nakuelewa sana God bless you the man of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
What a blessing to have such kind of a pastor in our generation
Nahitaji msaada wa Mungu kabisa, bila msaada wa Mungu Sina ujanja
6:07,
(7:15 - 8:26 ) Amina 🙏🏿
Naelewa sana mafundisho yako kaka mungu akubaliki sanaa
Kweli njia za mungu hazichunguzikii.be blessed man of God
Kila ukisikia unapata kitu jipya barikiwa mtumishi
Nime receive a Very big Blessing GLORY TO GOD GLORY TO BABA GLORY TO HIM BABA YUPO HAPA
❤
Ilove u God.
God bless you pastor Tonykapola
Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good ministry pastor tuna barikiwa xana na neno mungu na pia ww ubarikiwe
Ameeen
Mafundisho mazuri sana haya kila nikisikiliza napata kitu kipya.
Be blessed man of God.
Amen amen
what I just learnt alot from this message😢..I'm the person that dreams things n they come to pass how I pray God to use me to find a solution and help me get away from all worldly stress relationships doesn't work on me,maisha nateseka ata nikiwa kazini bado am straining 😢😢may God revive me and restore me again may His grace be sufficient in me
Amen Pastor
Mungu akubariki mwana wa Mungu
Amen Pastor.
Ameen
Amina mtumishi
tunakupata kutoka kenya
Powerful!!
Pastor umenifungua kiakili kabisa nmebarikiwa xna kutoka kenye
Katka mtumishi wa Mungu kagundua siri ya kuwa Mungu n baba bas huyu mwamba n wa 1
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏻🙏🙏
🙏🙏
kwa mafundisho haya! mweee walokole tuinuke tuungane tupindue mambo...
Ohooo maandiko ya status woii nimejifunza
Mtumishi hiyo ishu ya Pharmacy imenigusa sana. Ni kweli watu wanasikia unayowaza
Nmemzoea pastor na mic ya mkon asa leo naona tofaut 😂 imechukua mda kugundua .but Mungu azid kukubarik
Amen🙏🏻🙏🙏🏻🙏🙏🏻🙏🙏🏻🙏🙏🙏🏻🙏🙏🙏🏻
Amen Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Amina bro
Amen
Amen