Kwa akili ya kujiongeza huyu mwanamke for me hafai kuwa mke wangu kama mi ningekua harmonize, because mwanamke anayejisifia anatafutwa na wanaume wengi, anaona kwamba she is the only who deserves good treatment, yani sura nayoipata hapo ni kuwa she is selfish in love and also anahisi kudate na mtu ni kama anamsaidia tu since anatafutwa na watu wengi. For me personally she don't deserve to be a wife. Am sorry kama nakosea
Omy, kitambo Sana nakubali kazi zako kila unako amia ila nikichukizwa Sana mambo ya makundi kushiliki uchochezi hii sio poa unauwezo mkubwa wa kufikili na kusikika wwe Kama wwe na sio mtu na mtu
Siyo kweli mwanaume akipata hivo vyote utulivu lazima.... Me ni mwanaume nina ndoa zaid ya miaka 17.. Nimeona when niko form 6... Ila kuna jamaa yetu mmoja hivi ana respect ya kutosha kwa mkewe 7bu mkewe ana respect na yeye... Tulisha mtumia wasichana tofautitofauti wazuri,,hadi kumfungia ndani na mwanamke ila jamaa ni mstaarabu sn haja cheat... Kwa sababu hakosi chochote kwa mkewe... Hivo kifupi... Wapo wanaume wenzetu ambao wako SMATER THAN... Wewe unao cheatiwa ujue kuna tundu kwenye bati lako... 😂😂😂😂
A man doesn’t cheat akiwa na discipline tu. Hizo zingine zote ni excuses. Kuna alot of steps to take kama kuna kitu unakosa kwa mkeo mpaka kufikia cheating ila wanaume wasio kua na nidham ndo wanakurupuka na kucheat because hawawezi kucontrol tamaa zao afu wanasingizia flaws za wake zao. Mbona hata nyie wanaume mna flaws but wake zenu hawacheat because of mapungufu. Wakicheat because hawana nidhamu and it’s a choice too
Unaota ndoto za mchana ukiwa umekaa kwenye Kochi.. huyu dada anashepu nzuri sana kajala haingii hata robo.. acha kimcompea na kajala. Kajala mashalla lakini poshy umeumbika vizuri kubali ukatae 😊😊
Nimewahi kuona watu wanajidhalilisha lakini huyu binti amevunja records zote. Lugha anayotumia ya kujifanya mzungu , kujishauwa, kisha philosofia yake ya maisha kama kupenda fedha sana. Ati pesa ndiyo itakayofanya asicheat. 🙄 Ni vigumu kuona umuhimu wa kumsikiliza mtu kama huyu ila tu kujifunza kuwa baadhi ya watu hawana thamani yoyote bali vyombo tu🤮
Tulio kuja mbio 🏃🏃🏃🏃 baada ya kusikia jina la harmonize tujuane please 🥺
😂😂😂😂
Tupo😂
😅😅🎉
😂😂❤
Tupo kabsa
6month ago ila tunao angalia interview saiz kusikia anatoka na Harmonize 👍🏽
Mzee wa STAFF LIKE THAT 😂😂
Here because of Harmonize. From🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The king of interview @👊
Fire # The king of interview
Ukweli najuwa, mwanamke wowote anadamu ya kinyaru( Rwanda) kwanza hela. Yangine yote baadaye . Kwakusema umumiliki ni kumpa hela,
Mbona usitulete harmonize sasa kwa hii podcast
You got a new sub here 🎉 King
Half man half amazing the Lil ommy himself big up ma brother ❤
Kumbe mnyakyuu
Tunakupenda,sana
Lil ommy my love,❤😊.. njoo nikudekeze😜
The lady is looking wow🤔
Huyo ni mnyakyusa wala hana damu ya kinyarwanda, hata moja
Kwa akili ya kujiongeza huyu mwanamke for me hafai kuwa mke wangu kama mi ningekua harmonize, because mwanamke anayejisifia anatafutwa na wanaume wengi, anaona kwamba she is the only who deserves good treatment, yani sura nayoipata hapo ni kuwa she is selfish in love and also anahisi kudate na mtu ni kama anamsaidia tu since anatafutwa na watu wengi. For me personally she don't deserve to be a wife. Am sorry kama nakosea
Don't be sorry bro!
Speak your Mind .......ni kweli kabisa ulichosema
true huyu ni malaya ka malaya wengine
😂😂😂 na nimuongo
Inatakiwa waanze na kulipa kodi
Upo sahihi kabisa...Anaona kama ukiwa nae kama anakuhurumia
Really ideal bro ❤❤
Wapenda pesa kuliko maisha yako
..and now their dating😊 Harmo&PoshQueen
Posh queen, beautiful girl nakukubal san
Ommy usijisafishe mzee… Mwanaume hajaumbiwa mwanammke mmoja Nevaaaaaa,kama yupo huyo hana pesa
HELA NI NATURE KUIPENDA LAZIMA, AU YE ALIAMBIWA NA NANI, WENZIE HAWAPENDI HELA
The king of interview
Hatarii kabisa kazi ipo.
Nawafyata toka Congo DRC
Omy, kitambo Sana nakubali kazi zako kila unako amia ila nikichukizwa Sana mambo ya makundi kushiliki uchochezi hii sio poa unauwezo mkubwa wa kufikili na kusikika wwe Kama wwe na sio mtu na mtu
HARMONIZE IS A BIG NAME.
Bring Anjella next.
Nice interview 🥰🥰
Always amazing lil omy
Dada anaota hela sana😅😂
Sasa tuwache kusema o hamo kamuimba girlfriend wa dj wake kumbe poshy alisha mzimia harmonize kutambooo😂😂😂
yup weng san
Siyo kweli mwanaume akipata hivo vyote utulivu lazima.... Me ni mwanaume nina ndoa zaid ya miaka 17.. Nimeona when niko form 6... Ila kuna jamaa yetu mmoja hivi ana respect ya kutosha kwa mkewe 7bu mkewe ana respect na yeye... Tulisha mtumia wasichana tofautitofauti wazuri,,hadi kumfungia ndani na mwanamke ila jamaa ni mstaarabu sn haja cheat... Kwa sababu hakosi chochote kwa mkewe... Hivo kifupi... Wapo wanaume wenzetu ambao wako SMATER THAN... Wewe unao cheatiwa ujue kuna tundu kwenye bati lako... 😂😂😂😂
A man doesn’t cheat akiwa na discipline tu. Hizo zingine zote ni excuses. Kuna alot of steps to take kama kuna kitu unakosa kwa mkeo mpaka kufikia cheating ila wanaume wasio kua na nidham ndo wanakurupuka na kucheat because hawawezi kucontrol tamaa zao afu wanasingizia flaws za wake zao. Mbona hata nyie wanaume mna flaws but wake zenu hawacheat because of mapungufu. Wakicheat because hawana nidhamu and it’s a choice too
Lil ommy kula chuma hyo 📌
HARMONIZE 🐘 NI KING OF BONGO FLEVA 🇹🇿 ATA BOSS WENU ANAJUWA. NDOMAANA HAMSHINDWI KUMTAJATAJAA👊👊 KONDE GANG HQ. TUPO NGANGARIII.🐘🐘
King wa wapi tutolee Uchafu waki
Tukulaumu wewe au bangi?
Ache kujaza upepe mmakonde bado underground sana
😂😂😂😂watu waoga Sana nilichogundua mashabiki wa konde hamjiamini kabsa Nacc tunawaambia mtasubir Sana Namba moja wetu hapa tz atabaki kuwa mmoja2😅😅😅
Mamae walah tutafute mzigo yani HELA😂😂😂😂😂
Umeongea kwa hisia mkuu
Mdangaji kama wengine
Wow, she has got an accent
staff like that
Mond❤️❤️❤️
Mademu wa bongo rahaaaa sana hawana ndoto wanapenda maisha ya shortcut halafu yanawagharimu sana😂😂😂
Sio wot
sana🎉
Kuna siku nitasema 🙏
Posh queen
Jina la #harmonize limechangia veuws kuwznyiiiingi saaana
Nando video imekuwa nawatazamaji wengi kazidi in#2023 #Harmonize💪
Ommy We miss @country WIZZY here
Huy dada mbaya jamn bora kajal
Yaani utumwa wa lugha ni tatizo sana
Kweli kabisa
Na hautoisha
Kweli kaka, yaani watu wanalazimisha lugha bhana
Hiyo "poa baby" isisafiri sana maana #TAMBWEE sio pigo sake hizo.
Nafurahiya sana interview zenu
Nah hatar sana mamb ya maokoto😂
We muuza k tu yani unaweka mambo hazarani kabisa
Namkubali kwel huyo jamaa
❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hao wanaume wengine wanafata maji
Nimeingiya baada yakumsikia conde
Kachaa ndio nini 😂
Brother interview mmetuibia MB
Mnyakyusa mwenzangu
03:2
Enheee
Kaka Ommy unaendaga mjini ukimzungumzia Kondeboy...watu wengi walikuja kukuskia baada ya kuandika jina la Harmonize
Brabraaaa and staff like that 😅😅😅😅😅😅 dah mwandishi kiboko
Kaa kaaida
King 👑 of interviews
Ashh
☝️
Baby tena mzee kukwamuwe apo
Yaani majanaume yanapenda kuheshimiwa,wakati hiyo heshima haiji bure
NATAKA KUMUOWA UYO DADA.SHIDA NI MUNYERWANDA
Umepend hel au jic alivyo
I’m here bcz of harmonize name
wanaume bado mna kazi endeleni kutafuta pesa 😂
Kwa kweli
😍😍😍😍🔥
Mona Hawa madada wana Sauti sawa
so money is the thing she cares most........kazi ipo
Amekuwa mkweli..😂
😅😅😅😅😅 mimi apoo
Hiyo akili yenyewe ya kuajiliwa anayobasi ni kilaza no 1 show off tu Eti mdogo🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Are you a genius one 😮😮😮 negative azz
yeye namba mbili sanchi anaanza
Etianapenda hela hamo ajipange
lil ommy ka kaaida
INTRO NI KIPINDI KAMILI
Kwaiyo harmo anapendwa juu ya pesa
Ila hamornaz anatakiwa kuwa makini sana na Hawa wanawake
Hana ata kalio kama la Kajala😢😢😢😢ukimweka Pima Maji kuanzia Mgongoni hadi mguuni itasoma level
Unaota ndoto za mchana ukiwa umekaa kwenye Kochi.. huyu dada anashepu nzuri sana kajala haingii hata robo.. acha kimcompea na kajala.
Kajala mashalla lakini poshy umeumbika vizuri kubali ukatae 😊😊
English sasa aaaam uuuuh ummm mhhh like like 😂😂😂😂 hapo anajiona mmarekani 😂
😅😅😅😅nimecheka c waongee tu kiswahil tunajua wanajua
😂😂😂😂😂 kunogesha interview
❤😂
Uongo bwana
Posh uraho amakuru uri mwiza koko urumunyarwanda mama wawe nu mutusti niyo mpamvu uri mwiza
Nimewahi kuona watu wanajidhalilisha lakini huyu binti amevunja records zote. Lugha anayotumia ya kujifanya mzungu , kujishauwa, kisha philosofia yake ya maisha kama kupenda fedha sana. Ati pesa ndiyo itakayofanya asicheat. 🙄 Ni vigumu kuona umuhimu wa kumsikiliza mtu kama huyu ila tu kujifunza kuwa baadhi ya watu hawana thamani yoyote bali vyombo tu🤮
😂😂, kabisa na nyongeza ni kuwa watu wa aina hii hawana muono chanya wa mbele, ukiwa naye usitegemee atakushauri chochote cha maana zaid ya starehe tu
Nime view hii interview after see the name of konde 4 real
Same
Tuna kuelewa hakuna asie penda pesa
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️
Mvp King himself
kondeee boyy
Huyu mrembo nimempenda bure, very smart
Hiyo ni mali safi
Kumbe bila kuandika jina la harmo interview zenu aziwezi kwenda
😅😅😅😅
3:10
Instaf laik zat😢😢 badilik omy baaana
Mwanamke mzr niyule mwenye kujistir