MANZESE WAFUNGA MADUKA WAKUSANYIKA NJE YA OFISI YA MBUNGE KITILA MKUMBO 'AMETUTENGA'

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 06. 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Komentáře • 36

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku Před 14 dny +4

    Huyu mpuuzi anasema kwamba mama hapendi kodi za dhuruma..hivi hajui kwamba masuala yanayohusu kodi na tozo nimaswala yanayomuhusu rais

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi Před 21 dnem +3

    Ninyi manzese vichwa vigumu,msikilize kiongozi wa mwanza wa wafanyabiashara alivyosema,sheria zibadirishwe.sio mama yetu ssH

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Před 21 dnem +3

    Asante sana wadau .

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Před 21 dnem +3

    Serikali inajeuli sana haitaki kusikiliza wananchi,angalieni yanayo jili kenya

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 Před 14 dny +2

    Msilalamike fanyeni kama kenya acheni kuregeza ulimi myaka yote raiya wa tz wanakuwa kama hawanahaki uaonaikikaribiya uchaguzi wanapita wakiomba kura wakipata tu basi wote waliyobaki hawana haki raiya wanaishi maisha yatabu myaka yote wanapewa maneno matam wanaregeya.simameni mkagombee haki zenu.ila msifanye uharibifu .nendeni ikulu mkaome kuongeya na mama yenu .wa tz mmepooza sana .

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 Před 21 dnem +3

    Kweli mkuu hii service levy iwe kwa

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi Před 21 dnem +3

    Yaani itatuchukua muda sana kuwa na akili,mnaye muomba ndio anatia Saini,ndio anayekopa nje sasa ninyi.mna akili kusema YETU tunaomba rudini shule vichwa viwe na akili

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s Před 21 dnem +1

    Servce revy ni sawa na kikokotoo tozo za wafanya biashara mwiguru atawamaliza

  • @masoudabdoul8447
    @masoudabdoul8447 Před 21 dnem +1

    Hapo kwenye mama mnazingua

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku Před 14 dny

    Kila mtu mama mama mama kwani utafikiri wote hapa hamna mama zenu

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v Před 21 dnem +1

    Pesa za maauzo yabandari haitoshi nanyinyi mchangie kodi ni ndogo sana mnalipa.

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 Před 21 dnem +1

    Mama Samia out kama ruto

  • @kadiakirua7621
    @kadiakirua7621 Před 21 dnem +1

    Safi sana boda boda mmeongea kwa hisia sana

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Před 14 dny

    Mtu yupo na milion.moja heti kod 450000.tra.lesen 100000.sevilev 108000 bado usafi bado uliznz bado dod ya nyumba kujilipa mwenyewe kiukwel kazi ngum

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi Před 21 dnem

    Acheni ujinga mmeambiwa Kila Sheria ya fedha zinazohusu fedha,rais ndio anatia saini.nanyi mnasema mama YETU atusikilize.pumbavu sana manzese

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 21 dnem

    Sasa wananchi waungwana gomeni mpaka majibu yapatikane sio kuanza kukata tamaa mmoja mmoja hii serikali ina jambo lake! Ndio mpeni masifa ndipo atajibu matatizo ya wananchi kwa maelekezo...

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 Před 21 dnem

    Nisikilizenii watanzania TRA sio tatizo tatizo ni wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi kutokana na uhorela wa bei zao

  • @peterrandego1489
    @peterrandego1489 Před 21 dnem +1

    Tatizo kwenye Kodi hizo za kiuni ni mwigulu hata magu alimfukuza kwa matendo yake hayo

  • @user-bx3kl4hn6j
    @user-bx3kl4hn6j Před 21 dnem

    Hii nchi inashida nyingi mkima hataiyona shamba, mjenzi nae hataiyona mbao

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s Před 21 dnem

    Dai aki achana na ujane wala mwanamke wala kusifu rais sheria ni kila kitu nchi yetu inaendedhwa kiujima enzi izoo utazani ndipo imezariwatz