Azam FC 4-1 Namungo FC | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 03/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 05. 2024
  • Magoli matatu ndani ya dakika 20....lakini mwisho wa game ikawa ni 4-1, Azam FC wakiwatupa nje ya mashindano Namungo FC katika mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa leo Azam Complex, Chamazi.
    Wafungaji kwenye mchezo huu ni Kipre Junior dakika ya 10, Iddy Nado dakika ya 15, Feisal Salum dakika ya 19 na Gibril Sillah dakika ya 52, huku goli la kufutia machozi likifungwa na Ayoub Semtawa dakika ya 45+2.
  • Sport

Komentáře • 14