#LIVE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 06. 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !
  • Zábava

Komentáře • 19

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Před měsícem

    Bravo Odemba.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Před měsícem

    Angalia sana mdomo wake..............

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 Před měsícem

    Well done chief Odemba. Hilo jamaa lilitakiwa kuwepo na kiongozi mwingine wa upinzani ili aliweke sawa.

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 Před měsícem

    Kwenye unique hapo umesema😂😂😂😂

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz Před měsícem

    Brother we researched and we have evidence to prove beyond reasonable doubt just for your information

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz Před měsícem

    Hili jamaa najisikia kichefuchefu kulisikiliza. Odemba Pat on the back!

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Před měsícem

    😂😂😂😂😂 duuuu low sana yaani

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 Před měsícem

    HILI JAMAA LIMEJAA MAVI KICHWANI

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Před měsícem

    Capacity ya kufikiri na uelewa ya huyo ndg ni ndogo,hata katiba hailewi.

  • @user-kl8xf1yk2b
    @user-kl8xf1yk2b Před měsícem

    Jaamaa anauwezo mdogo xana

  • @alexmwamtobe3850
    @alexmwamtobe3850 Před měsícem

    Hivi Hawa viumbe wanawaza kutumia nini? kwahiyo vyama ambavyo havina wawakilishi maeneo mbali mbali, wanafanyaje kutafuta wanachama kama watataka wasitembee maeneo mengine?

  • @laulianmeneja5923
    @laulianmeneja5923 Před měsícem

    Hajielewi huyo jamaa wa ccm hajui kujibu hoja

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 Před měsícem

    KATIKA MAJITU MAJINGA HILI NAMBA MOJA....NIKICHWA HASARA

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz Před měsícem

    Hili jamaa takataka kabisa ndiyo haya yanayosubiri kubebwa

  • @user-kl8xf1yk2b
    @user-kl8xf1yk2b Před měsícem

    Odemba unajuwa san

  • @user-fx6zr6ij5y
    @user-fx6zr6ij5y Před měsícem

    Hawa ndiyo wapumbavu wanaotuaribia. nchi kwa kujipendekeza

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před měsícem

    Hapa tunapoteza mb tu acha tuhame..Anatabasamu nini sasa?!Ukandamizaji wa kidola ndio anaita maarifa kwa kukosa hoja!. Kimtokacho mtu ndicho kilicho moyoni ubaya ubaya tu lakini maneno yako yanatapisha kuliko kuona kinyaa!

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz Před měsícem

    This guy is very narrow knowledged politically

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před měsícem

    Huyo jamaa hawezi kujibu hoja zako Mr.Odemba,unamuuliza swali anajibu vitu vinģine tofauti,unalirudia kwa technic,anazidi kujibu uvunjifu wa katiba yao wenyewe! ndio mana kavaa sox za shule afu anazianika tuzione,nne yenyewe anatundika tu mguu loh! sisi sio wajinga