MAKONDA AMCHENJIA POLISI - ''AFANDE ACHA MASIHARA BASI - HUYO MTU ANAFANYA UHALIFU - KUNA SHIDA''...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 06. 2024
  • MAKONDA AMCHENJIA POLISI - ''AFANDE ACHA MASIHARA BASI - HUYO MTU ANAFANYA UHALIFU - KUNA SHIDA''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 49

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 9 dny +9

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ondaomari6255
    @ondaomari6255 Před 7 dny +10

    Wote wakiwa kama Makonda Tz kama ulaya moja kwa moja

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf Před 9 dny +15

    Huyo nyota niza nini hajuwi kitu chochote

  • @RASHIDMPUMU
    @RASHIDMPUMU Před 4 dny +2

    Mkuu wa mkoa, upo vizuri kabisa, wewe unabahati sana mshukuru sana Mungu wako fanya sana ibada umeifanya Arusha kuwa pamoja na wewe wengi tulijua unaenda mahala pagumu kumbe hakuna mkate mguu mbele ya chai

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be Před 9 dny +17

    tumepokea tunafanyia kazi....so Mkuu wa Mkoa asingekuja msingefanyia kazi!!!?

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 Před 2 dny +2

    Mwenye kiti mbona ana akili sana kuliko police na wengine

  • @M_tika
    @M_tika Před 5 dny +1

    Huyo kibaka kitu ataenda kufanyiwa huko 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @Ahmedikiringamoyo
    @Ahmedikiringamoyo Před 3 dny

    Hongerasana makonda munguakubariki

  • @LilianKisumbi
    @LilianKisumbi Před 2 dny

    Kazi nzuri

  • @user-it2tr7ny8d
    @user-it2tr7ny8d Před 9 dny +3

    Habari mbana ya zamani😂😂😂

  • @imeldasamwel539
    @imeldasamwel539 Před 4 dny +1

    Eti naye anaitwa police wanachafua jina serkal tyu haw

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Před 9 dny +2

    Huenda Polisi wanashiriki na Wizi anaotendenda na kuvuncha Nyumba za Wananchi wanapokuwa kazini Kijana huyo asante

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 Před 6 dny +1

    Hakuna kitu hapo Mkuu Makonda kunahitajika kitu cha ziada.

  • @evelina9621
    @evelina9621 Před 2 dny

    Polisi.mishahara.vizuri.kazi
    Endele

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b Před 9 dny +6

    Polisi wa tz ni wahovyo sana tatizo ra mapolisi tz hawajui kabsaaa usarama hakuna,,uku Oman ukipga sm polisi tu wanakuja hawangari wiraya wara kata mazari kunatukio tu wanarishugurikia nashangaha viongozi wanasafri nchi za watu hawajifundi

    • @shamzone388
      @shamzone388 Před 9 dny

      Kila nchi na sheria zake
      Usijivunie police wa oman ni nchi yao na ni wajibu wa kulinda nchi yao…
      Nchi yetu hata ikiwa vipi tutarudi makwetu tukamalize maisha yetu
      Makonda hoyeee❤❤❤

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 Před 13 hodinami

      Mbona kama vile mkurya anaishi Oman?

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před 9 dny +2

    Afande itakua anafaidika na huyo kibaka

  • @user-fi1yg4qj1i
    @user-fi1yg4qj1i Před 4 dny

    Ila makonda anajua kuwakamata watu napendaga sana hapa kiongozi wawanyonge tunae🙏🙏🙏

  • @user-ih9xy5vd5d
    @user-ih9xy5vd5d Před 7 dny +3

    Nchi imeoza hii dah mpaka aibu, mifumo ya ajabu kabisa, hii mikutano ni mpaka lini? Nyerere alijitahidi kuondoa ujinga lakini mpaka leo hii majitu majinga yamekaa hapo, unatatua matatizo kama gengeni?

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 Před 6 dny +1

    Oc,d,punguani

  • @Amirimohammedi-hb8xu

    Bombo

  • @flova7022
    @flova7022 Před 2 dny

    Kitacho mkuta huyo mwizi nko palleeeee ashikweee tuu shenzi

  • @andrewelangwa5147
    @andrewelangwa5147 Před 2 dny

    Huyo afande hanyooshi maelezo

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z Před 6 dny +1

    Mbona mnaweka maridio shida nin

  • @AlifaHamis
    @AlifaHamis Před 8 dny +1

    Police Wana kuka Mishahala ya buletu kazi 0

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Před 8 dny +1

    Mahakama hakuna

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b Před 9 dny +1

    Hakuna urizi shirikishi jeshi ra polisi hariereweki watu wanataka polisi wao wanasema hurinzi shirikishi unasaidya nn wengiwao ni vibaka

  • @andrewelangwa5147
    @andrewelangwa5147 Před 2 dny

    Mkuu wa upelelezi ndo kanyoosha maelezo

  • @user-hv7pw6ih5v
    @user-hv7pw6ih5v Před 4 dny

    Mheshimiwa Makonda kwanini usiwape kibano hao police

  • @sergiohalhakeem11
    @sergiohalhakeem11 Před 5 dny

    Wananchi wenye hasira kali mpo wapi tena... Kajamaa kamoja kanazingua kata nzima huku😂😂😂

  • @evelina9621
    @evelina9621 Před 2 dny

    Sheria.mahama.anafanya.n,n.polisi.wapewa.pese.wapewa.mishara.kwa.wakati
    Wambunge.wana.pewa.mishahara.mikubwa.wafanyakazi.hoi.hata

  • @seiphyahya5353
    @seiphyahya5353 Před 5 dny

    Huyo mwizi achukuliwe hatua na wenzake kama walivyofanywa wale PANYA ROAD WA DAR.

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 Před 7 dny +1

    Vunja mikono

  • @LukaBaraka
    @LukaBaraka Před 4 dny

    Huo ndo ukweli sasa wako wapi?

  • @seiphyahya5353
    @seiphyahya5353 Před 5 dny

    HILI SUALA KAMA LA MATUKIO YA SALENDER BRIDGE HAPA DAR

  • @RobertLyimo-vj3up
    @RobertLyimo-vj3up Před 6 dny

    Afande anaongea kwa logic

  • @user-hv7pw6ih5v
    @user-hv7pw6ih5v Před 4 dny

    Huyo afande aache kujiuma mdomo kama vile paka aliyekamata panya, nikwamba hata uwe Police kutoka Mkoa mwingine una haki ya kukamata muharifu,hivi kipindi unaapishwa uliapa nini si uliapa kulinda raia na mali zao Tanzania au uliapa kulinda maeneo ya mke wako kusudi akiweka maji ya ugali umwambie dkk tatu unga unafika

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Před 9 dny +1

    Mbona taharifa hii mlishaiwekaga?

  • @JumanneKimuna-lo7yp
    @JumanneKimuna-lo7yp Před 7 dny +1

    :

  • @ChristianMkumbo-ix2ke

    Mahakama ndiyo inatowa hukumu makonda hiyo siyo kaziyako

    • @AlifaHamis
      @AlifaHamis Před 8 dny +2

      Kwahiyo watu wandelee kuibiwa hadi mahakama itoe hukumu kwanza unajua kazi ya mahakama wewe

    • @kakaaignas3675
      @kakaaignas3675 Před 8 dny +1

      Auna akil wewe

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 Před 8 dny +1

      Jinga kabisa

    • @edsonmganyiz9520
      @edsonmganyiz9520 Před 8 dny +1

      Ww ata D1 huna

    • @alexlyamsema2725
      @alexlyamsema2725 Před 8 dny +1

      Ndo yaleyale mambumbumbu kwenye hii nchi yasokuwa na akili ,jinga kabisa watu wanaomba usalama wa Mali zao kuna fara anaongea ety hiyo sio kazi yako ,mbwa kabisa