Itakapo kuja nusra ya Mwenye Enzi Mungu na ushindi.Utawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenye Enzi Mungu makundi kwa makundi.Basi msabihi Mola wako na umuombe msamaha.Hakika YEYE ni mwenye toba
ماشاءالله ماشاءالله Ewe Allah Mim kabla sijafa yarab nijaalie namim niee nimefanya kitu chochote kwa ajili ya Uislam wangu😭😭😭😭Yarab yakariim Mashallah Allahumma barik mabrookiin Wazaz wa mtoto na kijiji kwa ujumla ni Neema Kubwa mmeipata الحمد لله على نعمة الإسلام 🤲😭
Masha Allah, namjua huyu Husna Allah abaarik kwel ana shime khasa yakuijua dini anajituma sana ktk kutafut ilmu ya deen, masha Allah kawa7bu ya kusilim wanakijij wingi kwao ni jambo kubwa mno Allah amlipe kheri
mashaallah Allah akulipe mwanafunzi mwenzetu kwajitihada zako
MashaAllah Tabarakalllah, Allah amlipe Kheri uyo Ukhti Kwa jitihada Kubwa ambazo amezifanya.
Huu ni Mfano wa Kuigwa.
Ammen
Alhamdulillah kwa Neema ya uislam.🤲
Allah azidi kuwaongoza.🤲
Allah awahifadhi🤲
Shukran zote NJEMA ni za Allah kwa neema ya uislamu
Maashaallah...
Allah amlipe heri ukhty wetu... hakika kazi kubwa mno...
SubhanaAllah 😭
ALLAHU Akbaar
MashaAllah TabaraqaAllah ukhty wetu Allah akuhifadhi
Amiin Amiin Amiin
Almdulillahi,mm ni muslim kutoka mozambique ahsante dada.
Hakika unafanya kazi kubwa aliyofanya Mtume wetu na Maswahaba zake. Allah SW Awabariki nyote.
ALLAHU AKBAAR ALLAHU AKBAAR ALLAHU AKBAAR MACHOZI YANANITOKA.HAKIKA UISLAM NI DINI YA HAKI NA TAMU. ALLAHU AMHIFADHI DADA YETU
Aamiin
Aamin
Amin ya rabbi
Ameen
Aamini
MashaAllah ALLAH akujalie JANNAH ukhty wng🤲😢🥰🧡🧡
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
Machozi yananitoka mimi naomba no ya huykty nipo oman mashallah
Namim naitaka iyo namba nipo oman pia
Hata mm
@@SalehomariIbrahim 😊
😊😊😊
Me pia naitaka hiyo no nipo Dubai
ManshaAllah. Allah azidi kuwaongoza woote InshaAllah 🤲
Mashallah Mashallah Allah amsimamie zaid Jee Kaolewa huyu Kijana
Allah akuzidishie hero dadaetu
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH
ALLAH azidi kukulipa kheri zisizo na khesabu mdg wangu fungulako lipo kwa ALLAH kubwa MASHAA ALLAH
Sannna
Amiin
Ma nsha Allah Aslam aleikum wa rahmatullah wa barakatuh sheikh wetu tunakupenda sana SI Moja utembereye Rwanda In Sha Allah
Itakapo kuja nusra ya Mwenye Enzi Mungu na ushindi.Utawaona watu wanaingia katika dini ya Mwenye Enzi Mungu makundi kwa makundi.Basi msabihi Mola wako na umuombe msamaha.Hakika YEYE ni mwenye toba
Maa shaa Allah Maa shaa Allah tabaraka Rahman
Nakumbuka neema ya kuishi pamoja nawe tukiwa kondoa wallah allah akulipe mie ni moja ya ambao nimesilim kupitia mikono ya mme wako doctor abdi
Allah ameihifadhi dada yetu huyu,masheilkh wanagombamia misikiti mijini tu!!
SubhanaAllah SubhanaAllah Allahu akbarr
Masha Allah mwenyezi mungu awajalie wote mji mzima kua waislamu
Allah akbar, Allah awazidishie Nuru na nguvu ya imani.
MaashaAllah laa haula walaa quwwata illa billah
Bissimillah mashaAllah
Allah awazidishie wote na atupe mshikamano na mapenzi ktk Dini yetu Amiin.
Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚
Subhanah lmalik lqudus. Allah Akbar. Allah akujaalie mwisho mwema bint .
MashaAllah. MwenyeziMungu akufanyie wepesi Dada yetu,MwenyeziMungu Akupe umri mrefu,
ماشاءالله ماشاءالله Ewe Allah Mim kabla sijafa yarab nijaalie namim niee nimefanya kitu chochote kwa ajili ya Uislam wangu😭😭😭😭Yarab yakariim
Mashallah Allahumma barik mabrookiin Wazaz wa mtoto na kijiji kwa ujumla ni Neema Kubwa mmeipata الحمد لله على نعمة الإسلام 🤲😭
MashaAllah ❤ Allah akulipe jannah habibty
Maashaallah kwa Mungu yote yànawezekana Allah atujaalie umri mrefu wenye manufaa na àtujaalie mwisho mwema amiin
Masha Allah tabarakallah. Allah akulipe kila la kher pamoja na wazazi wako kwa upokea uislamu ❤❤❤
Mashallah Allah akufanyie ni wepesi katika kazi ambayo mlipaji. Ni ,Allah
MashaAllah Tabarakkah'Allah Allah amlipe kheir uyo ukhty kw kuieneza dini yetu ya haki ya kiislam
Mashaallah dada...vp umeshaolewa dada .. Allah nimwingi Warehma amlinde huyu dada ampe NUSRA FIDDUNIA WAL-AKHERA
Mashallah
Masha allah mama yangu tupo pamoja mie mwanao ost othuman singida niliekua nasoma Tanga naomba namba yako mama yangu angalau tujulikane hali
Mashaallah allah akupe maisha marefu yenye baraka na akujalie uingie peponi...allahumma ameen❤
ALLAH AQBAAR NA INSHAALLAH MUNGU AKULINDE NA AKUBARIKI DADA YNG KIPENZI....
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin
Asalam alaikum shk kishki. Naomba niwe ustadh mm. Natokea. Kenya. Ali Said.
Maashaallaah allaah akulipe pepo
MashaAllah apewe ulinzi! Na kuwezeshwa zaid
Ma shaa Allah!
Allah amlipe kila la kheir kwa kazi kubwa aliyomjaalia kuifanya.
Amiin.
Allah akuzidishie kheri katika dini ya hakika dada gingera pia
Mashaallah Allah akuzdishye kila la khel kwenye maisha yako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maa Shaa Allah
Allah akuhifadhi na akulipe kher nyingi na barka
Allahu Akbar !!!Allahu Akbar
MashaAllah ❤ Allah azid kuismamisha uislam
Mashallah Allah azidishe Nauru ya uslam iyenee kila kona ya dunia inshaallah hongera dd malipo yako nimakubwa mbele ya Allah
Masha Allah.
Allah amlipe khery ktk dunia na akhera
Mungu akuzidishie
Allahu akbar alhamdulilah
Masha Allah, namjua huyu Husna Allah abaarik kwel ana shime khasa yakuijua dini anajituma sana ktk kutafut ilmu ya deen, masha Allah kawa7bu ya kusilim wanakijij wingi kwao ni jambo kubwa mno Allah amlipe kheri
Mwenyenzimungu akubarik sister Kwa juhudi zako shukran
MASHALLAH
Wakristo wakisikia ivo watu wanasilim acha wakereke😂😂😂
MashaAllah MashaAllah
Ma Sha Allah Mungu ajalie Kheir yote na ajidishie elimu
Manshaallah aendelee kuikuza kijiji hiki
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
Allah amlipe kila lililo hitajio la moyo wake na Allah akamlipe ujira mkubwa kesho akhera amiin
Allahuma Amiin yah Rabbal A'alamiin
Maashallah jazakallahu kheyr.
MashaAllah mashaAllah mashaAllah Allah Akbar Allah akuifadh dad yng sio Kaz ndog umefany Allah aidumish din yet🤲🤲🤲
Mashallah jazaka lau khaira
Mashaallah kutafuta elimu ni faradhi kwa kila muislamu
Masha Allah
MashaaAllah
M/Akulipe kheir umejitahidi
MaashaAllaah
Allah akuhifadh ya ukhuty
MaashaAllah
MashaAllah
Mashaa Allah, Allah awazidishie kher inshaa Allah
Mashaallah mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie kheri ❤❤
Mashaallah
Mashaa Allah Tabaraka Rah'man wajina wangu
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaa-Allah Allah akujaze kheir
Ma shaa Allah Tabaraka Rahmaan
Subhanallah
MashaaAllah alhamdulila
Subhaanallah😢😢😢😢 Allahu Akbar❤
Mashaaalah Husna
Masha allah❤❤❤
Ma shaa Allaah
Masha Allah tabarakallah, mungu ampe elimu zaidi❤❤❤❤
Maa shaa Allah
Mash Allah Takbiiiiir Allah Akbar
MashaaAllah 🥰
Mashaaallaah allaah amzidishie elimu
Maashaallah Maashaallah Allah akuhifadhi ndg yetu
MASHA ALLAH
Mashallah mungu akuhifazii uzidi kuipendaa dini yakoo
Maasha Allah Tabarkallah Allahumma Baariiki
MASHAALLAH ALLAH AZIDI KUWAHIFADHI WOTE NA KUWAFAHAMISHA ZAIDI
Ma shaa Allah
Allah akulipe her
Maashaallah thabarakaallah
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah ❤❤❤ Allah amuhifadhi
Allaahu Akbaru
MashaAllaah zabarakaAllah wa Alhamdulillaah
Allaah amuhifadhi daaimnah kwa Neema zake huyu dada ❤❤
Allah akujaalie Pepo inshaakah
Mashaallah . Allah amjalie kila la kheri huo dada yetu 👏