KONDOO WA AJABU KWENYE MAANDAMANO YA TUNDU LISSU, ATEMBEA MWANZO MWISHO WA MAANDAMANO, NI YATIMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 04. 2024

Komentáře • 116

  • @user-hm8yt9ol4c
    @user-hm8yt9ol4c Před 8 dny +2

    Wazalendo, tumpe ushirikiano kijanamzalendo mpenda haki rc makonda

  • @barakamwasi7442
    @barakamwasi7442 Před měsícem +4

    Ungo sio jini sema huyo Kondoo amepewa Malezi Ya Kibina Damu

  • @nyonyomamwaisa
    @nyonyomamwaisa Před měsícem +5

    Eti anakunywa mpaka energy😂mpeni K vant tuoneeeee

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Před měsícem +13

    🤣🤣🤣🤣 Ukistaajabu ya mussa utayaona ya kondoo

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Před měsícem +3

    ila wandishi wa tanzania bwana 😢😢😢 mbona wanyama wengi tu dunian hapa sasahivi wanakula vyakula kilichopikwa na wananyonya maziwa kwenye chupa na anakunywa kilakitu hadi vilevi nijinsi ulivo mlea mnyama hiyo ndivo atavoishi akikua

  • @BakariKibauri-qh7gf
    @BakariKibauri-qh7gf Před měsícem +5

    Kondoo anakunywa Supu😂😂

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl Před 24 dny

    Msishangae mnyama yoyote ukimpenda nae anakupenda siwezi kushanga nisha jionea mwenyewe wanyama wengi

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x Před měsícem +2

    Hongera sana kw kupenda wanyama ila ktk tiba nimwachie mungu aliyehai umesema kweli usingehojiwa kweli?

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 Před měsícem +9

    Unajua sis n wavivu kufikir jamaa ana ilo n fumbo kwa serikalii kuhusu huduma za jamii

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Před měsícem +2

    Chadema mjipange awamu ya saba ni yenu

  • @user-sn9ip6qr3l
    @user-sn9ip6qr3l Před měsícem +9

    Ha😂😂😂😂mganga anapiga zake promo,tutakutafuta bhana kondoo uje utunusie na ukuiii😂😂😂

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 Před měsícem +10

    MH. TUNDU LISSU ANAMALAIKA WA MUNGU HAKIKA

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y Před měsícem +7

    Wacheni ujiko nyinyi kondoo ni mnyama anaependa kujichanganya na binaadamu tu msiseme maajabu yakawaida tu ayo

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Před měsícem +3

    Kondoo kanywa ujiiiiii😂😂😂😂dah yatima maskini. Inabidi serikali imuangalie kondoo huyu😂😂😂

  • @Jesusbelongtome
    @Jesusbelongtome Před měsícem +1

    Kweli atari

  • @dianahussein8934
    @dianahussein8934 Před měsícem +1

    Embu tunaomba number yake tafadhali

  • @laithalfairuz1189
    @laithalfairuz1189 Před měsícem +1

    Hatari kwakweli duuh

  • @user-eo4pv8zy2o
    @user-eo4pv8zy2o Před měsícem +1

    Kondoo Anakunywa kahawa
    Gonga like

  • @user-ug9nl8lo1o
    @user-ug9nl8lo1o Před měsícem +1

    Mimi Nina tatizo la sukari Kwa miaka 30 sasa,

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Před měsícem +3

    Sisi tulioko Bali tutakupa vipi utu Sandie

  • @rosekilawe786
    @rosekilawe786 Před měsícem +2

    Huyo Ni mtu mnadanganywa Ni kondoo binadamu washirikina Bwana tumwachie Mungu wanamaajabu Sana.

  • @LudovickTibakyenda-gs2wh
    @LudovickTibakyenda-gs2wh Před měsícem +1

    Waafrika tunajivunia uchawi eti!.

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb Před měsícem

    Wewe ndo mganga wa tundu lissu ???ndoma unaleta kondoo shetani ???

  • @SabahSabah-by6tj
    @SabahSabah-by6tj Před měsícem

    Jamani Mimi nauliza nitampataje huyu jammaa nahitaji tiba

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    SANA IVI SASA USITUPANDISHIE NDANI YA TRENI YETU YA UMEME UKATUINGIZIA UCHAFU UMWAMBIE APAHE NA UNGO TU😂😂😂

  • @johnnzumbe
    @johnnzumbe Před měsícem

    Uzuri ni kwamba Miladayo katumia Kondoo kufikisha Ujumbe wa Maandamano hasa Ubovu kwenye Wizara ya Afya.

  • @MonicaWantora
    @MonicaWantora Před měsícem

    Huyu baba wa kondoo naomba mawasiliano namba ya simu

  • @issaomary7718
    @issaomary7718 Před měsícem

    Inavutia sana hii ,sharaut mingi Kwa kondoo

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Před měsícem +4

    Hilo ni jini, siku litamnyonya damu yeye mwenyewe 😂

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 Před měsícem

    Hahahaha siasa ina mambo ya ajabu Sana

  • @wilsonmsenga6447
    @wilsonmsenga6447 Před měsícem

    Naomba aweke namba ya simu yake.

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Před měsícem

    HADI KUCHIMBA DAWA YUPO VZR.😂😂😂

  • @unclesammykaniki1184
    @unclesammykaniki1184 Před měsícem

    Kahama wapi na wapi jamani....#Ndanj ya Nusu Saa kondoo Yupo BABATI AMEFIKA TAYARI KUTOKA KAHAMA.

  • @PartySekemi
    @PartySekemi Před měsícem +1

    Mbona mganga hajaweka namba kwenye promo😂😂😂😂😂

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Před měsícem

      Hakuna haja ya namba utamtafuta mwenyewe yakikufika

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 Před měsícem +1

    Watu wa kz sio mchezo

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před měsícem

    Hahahahaha mzee Muongo balaa anapiga zake promotion

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Před měsícem

    Siku zote washirikina wa hali hiyo ni masikini,mganga asiyekuwa na hela

  • @assengamn
    @assengamn Před měsícem +1

    Huyu jamaa apeleke huyo kondoo akafanyiwe research, huyo kondoo anaweza tumika kama service animal kama wanavyotumia mbwa kusaidi watu wenye msongo wa mawazo, hicho kitu huyo kondoo anafanya ni very unique kinaweza kuzaa fursa.

    • @Mwend95
      @Mwend95 Před měsícem

      Wewe hilo nijini babu hawezi kuliachia unavyofikilia😂😂😂😂😂.

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh Před měsícem +2

    Huyo sio kondoo Tundu awaambie tu ukweli.

  • @kaupigwe
    @kaupigwe Před měsícem

    Some animals act like pets, sio ajabu

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 Před měsícem

    Nilimuona aisee kondoo kamzoea sana jamaa

  • @herrymakambi5906
    @herrymakambi5906 Před měsícem

    Neyeye

  • @user-xh9ko2cs1r
    @user-xh9ko2cs1r Před měsícem

    Maisha magumu san😂

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Před měsícem

    KAHAMA TO BABATI WEEEEEEE

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 Před měsícem

    This is business promotion of this mganga. Shida ya maisha yakiwa magumu ndio hii. Lots of fraudsters

  • @user-gj9zq9ez6p
    @user-gj9zq9ez6p Před měsícem +1

    Namba zako

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před měsícem

    ✌️👍👊.

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 Před měsícem

    Sawasawa kiongoz umetufunza jambo ila kwa wenyew akili

  • @justice607
    @justice607 Před měsícem

    😂😂😂 Soda, nyama choma 😅😅😅

  • @AminiMuhammed-pi6dx
    @AminiMuhammed-pi6dx Před měsícem

    Wajua mambo mengine wala haifai mi icho kiumbe mnakihangaisha ivo

  • @user-oh6wc8xr5w
    @user-oh6wc8xr5w Před měsícem

    Uyo kondoo akififaa ufanye mazishi yake vzi jeneza na sanda ununue na utengeneze

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Před měsícem +3

    Tangazo limekaa kimkakati sana

  • @Mwend95
    @Mwend95 Před měsícem

    Je itafikia hatua aoe maana anagonga kahawa kama kawaida 😂😂😂.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Před měsícem +1

    CHADEMA MMEMUIGA MAKONDA KWA VITUKO 😂😂😂😂

  • @user-li2cy1st6o
    @user-li2cy1st6o Před měsícem +1

    Huku kuna mbuzi zaidi ya huyo kondoo anaitwa uchebe nitafute

  • @user-do5by8jl6g
    @user-do5by8jl6g Před měsícem

    Hadi kondoo hawataki ccm wanaotaka katibia mpya nam nataka katibia mpya

  • @user-jk6we5qu2x
    @user-jk6we5qu2x Před měsícem +1

    Mtaficha hisia zetu ila ztakuw awaz bila nyie kupenda

  • @Monica-vq2iy
    @Monica-vq2iy Před měsícem

    Sasa mnaeudia nini kondoo nijni kwani kasema huyo kondoo nini jiongezin wananchi

  • @davidnnko9428
    @davidnnko9428 Před měsícem

    Jamaa tulisoma naye Shaha Mariri

  • @user-li2cy1st6o
    @user-li2cy1st6o Před měsícem

    Nitafute milad nikuonyeshe mbuzi anakunywa bia soda kila chakula anakula kasoro nyama tu

  • @Mwend95
    @Mwend95 Před měsícem

    Acheni zenu huyo nikondoo jini hilo

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 Před měsícem

    Mbona mnamtisha mama samia 2025???

  • @user-oh6wc8xr5w
    @user-oh6wc8xr5w Před měsícem

    Maajabu ya dunia ilo ni mapenz au ni mazoea

  • @susumantalanta8505
    @susumantalanta8505 Před měsícem

    Mbona hakuna maajabu hapo, kwa sisi wafugaji tunajua hizo mambo

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 Před měsícem

    Huyo so wakawaida

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 Před měsícem +1

    WAPO WENGI SANA KONDOO WA KUFUATA WATU. CHADEMA INAPENDWA NA WATU WENGI

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Před měsícem

    😅😅😅ana kunywa hadi kahawa

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot Před měsícem

    Acheni ibada za sanamu mponyaji ni MUNGU na YESU tu nanyi chadema mtangulize MUNGU atawasaidi hiyo sanamutupeni mbali. Namsirudie tena

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Před měsícem

      Soma bibilia vizuri

    • @nicholausmramu
      @nicholausmramu Před měsícem

      Sasa chadema una wahisisha nakondoo mtu kaja nakitu chake unaweza mfukuza hiyo sio bunduki nimyama ali mfuata acha kujitoa ufahamu

  • @umaima1178
    @umaima1178 Před měsícem

    Kondoo anakula majani sasa😂

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot Před měsícem

    Toeni toeni toeni sanamu hii

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya Před měsícem

    Anakunywa apple punch hahahaaaaaaaaa

  • @vitusjumah
    @vitusjumah Před měsícem +1

    Uhuni ninachojua mbuzi au kondoo anapofugwa mahali akiwa peke yake basi huwa na tabia ya kumfuata nyuma mfugaji wake ama kuambatana naye kwa sababu ya mazowea na kukosa uwepo wa wenzake kwa lugha rahisi huyo kondoo anaona mfugaji wake ndiye kondoo mwenzake ni sayansi rahisi hii.

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 Před měsícem

    Hahahahah kondoo yatima 😂😂😂😂😂

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 Před měsícem

    Mshirikina huyu hakuna chochote nahuyo sio kondoo ni jini hilo kondoo gani anakunywa kahawa

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c Před měsícem

    😁😁

  • @mtangag774
    @mtangag774 Před měsícem

    🤣🤣🤣🤣hatar

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Před měsícem

    😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tanzania sihami kabisa

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Před měsícem

    Mtangazaji ungemuuliza sasa huyo kondoo anatumia vipi watu? na anajuaje kama mgonjwa huyu ana tatizo flani ,kwani ana uwezo wa kuongea?26.04.24

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před měsícem

    Weee jamaa mimi chombo yangu haipigi status njoo tibia mimi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před měsícem

    Bang havut 😅😅

  • @user-kv2wg4xi9k
    @user-kv2wg4xi9k Před měsícem

    😅😂😂

  • @EmanuelJuma-sq6sx
    @EmanuelJuma-sq6sx Před měsícem

    mh

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Před měsícem

    Maana ya kondoo huyo ni kwamba hao ni wenziwe kondoo ni mnyama anaye fata mkumbo tu. Kwahiyo woote hao wanafata tu kama kondoo hajui lolote.😂😂😂😂

  • @user-jk6we5qu2x
    @user-jk6we5qu2x Před měsícem

    We milard Ni mnafk onyesha mandamano yote acha kutumika uncontestable drama tu

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 Před měsícem

    PEPO SHINDWA

  • @user-mt3id9lt2n
    @user-mt3id9lt2n Před měsícem

    Huku Africa ndo binaadam akimfuga mnyama kama rafiki anaanza kuwatisha watu mambo ya kiganga cheki huko kwa wenzetu watu wanafuga simba chui nk na hakuna hizo michongo za kizushi ukichangia na umasikini wa watz wengi mzee kashafanya promotion

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 Před měsícem

    Huyu jamaa aache porojo, na aache kuwaibia watu. Huyu mbuzi amezoweshwa malezi ya Kibinadamu tangia utotoni wake na matokeo yake ametengeneza mazoea na utegemezi kwa mlezi wake na sio vinginevyo ambacho ni kitu cha kawaida kabisa. Mbona watu wanalea simba na simba anakua mpole tu.

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 Před měsícem

    Hivi wazungu wana majini au ni sisi tu?

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb Před měsícem

    Lissu analeta kondo yakafara aliambiwa na maframason mashetani yatowe sadaka nakafara za shetani yamaframasson wewe bwana unasema uwogo nikafara za mashetani ili watz wampe l'issu utawala watz lissu hâta tawala nchi yatz tz inawenyewe tz ni ya watz sio yawa Congo RDC kama lissu nawazazi wake au na babu zake

  • @SebastianDaniel-es4rf
    @SebastianDaniel-es4rf Před měsícem

    😂

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Před měsícem

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 Před měsícem

    Maandamano ya makondoo ya chadomo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Před měsícem

    Ujinga mtuy uko hapo tafuten kaz zakufanya mjenge maisha pamoja na miili iliyo zofika wapuuz san

  • @mohammededy7086
    @mohammededy7086 Před měsícem

    muongo mmbwa ww

  • @denysemariebaziruwiha702
    @denysemariebaziruwiha702 Před měsícem

    M23 terroristes uko RDC wanaanza tembea na kondoo uko vitani . Rpf uko rwanda wakati walikuwa vitani kutoka uganda waritembea na kondoo mweupe ni code zao.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Před měsícem

    Ushirikina wa kijinga

  • @Mwend95
    @Mwend95 Před měsícem

    Acheni zenu huyo nikondoo jini hilo