Mheshimiwa Raisi na CDF,naomba hawajamaa wapande vyeo,km ni lutenant bc wawe captain,na km ni Captain bc wawe Majors.Wamejituma mno mno mno,very fantastic and Excellent to them🎉🎉🎉
Sio rahis hvyo ulisema hvyo Kila mwaka watapanda wangap kwenye siku ya uhuru Tanganyika, Zanzibar na siku ya Muungano hapo labda ataenda mwalimu au aliyeonekana kafanya vzur zaidi like right mark
Polen sana fam ya Milard kwa kuondokew na mpiga pic wenu
Nakumbuka miaka 6 iliyopita mungu ni mwema sana
Mheshimiwa Raisi na CDF,naomba hawajamaa wapande vyeo,km ni lutenant bc wawe captain,na km ni Captain bc wawe Majors.Wamejituma mno mno mno,very fantastic and Excellent to them🎉🎉🎉
Ni jeshi la police na sio tpdf
Sio rahis hvyo ulisema hvyo Kila mwaka watapanda wangap kwenye siku ya uhuru Tanganyika, Zanzibar na siku ya Muungano hapo labda ataenda mwalimu au aliyeonekana kafanya vzur zaidi like right mark
Kweli kabisa, mtu akifanya kitu kizuri vizuri kumsifia. Umesema vizuri
🎉🎉🎉🎉
Yes nakubaliana na wewe, wapande vyeo
Nimejikuta nacheka kwanguvu safi sana vimwanasesere
Nimekumbuka enzi za Tabora millitary school.Hongera!
Respect to INSTRUCTOR
So amazing Tanzania 🎉
That's nice be blessed our mum
czcams.com/video/mZVB8CONDrQ/video.html🚨 RDC🇨🇩M23 IFASHE IBINDI BICE GIKOMANDO💪za KALEHE,MINOVA🔥SADEC BAHATAYE IBABA🇿🇦 ABARUNDI🇧🇮FARDC,FDLR😭😭czcams.com/video/mZVB8CONDrQ/video.html
Huyo anayewakagua Yuko vzr
Ongeleni sana askar♥️
Discipline ya hali ya juuu 👆🏽🆙 kazi nzuri Hongera sana askari mmeonyesha ushujaa wenu
Hepu nipe maana ya ushujaa
@@ce-08kufanya vitu hatarishi.
@@ce-08kufanya vitu hatarishi.
Kufanya kitendo ambacho mwengine hawezi kufanya kwa kuhofia maisha yake. Ni kutekeleza kitendo ambacho mwengine kitamshinda kukitekeleza
Mnafiki anapiga makofi ,wapi jpm❤, 😭😭😭
Good job
Nimemkumbuka Charlchampil hapaaaaa hizi movement zao
Kama mimi
Uiuiiddiiii
Am from Kenya......in Kenya we call them scouts 😂😂😂
Scouts wapo na hicho kikosi kilikuwepo kbla y uhuru uniform tuuu zinawiana
You’re right this is scouts
sisi kwetu scouts ni watoto kumbe kwenu ni mijitu mizima ivi
Kisha they are taking alot of time for nothing
Yesi saar kazi nzuri makamanda
Muheshimiwa rais nakuomba mama anza mradi wadaraja lakutoka fire hadi magomeni mapipa raia wako tuondokane naadha yamaji
Mungu awalinnde na kuwapa nguvu.mmenikosha sana
Mungu amjalie rais wetu maisha marefu! Tabasamu yake ni faraja kwa nchi!
Allahumma ameen ya Rabby 🙏❤
Hatari sanaaaaaaaa
Saluti kwao
CDF was like waaoh vijana wangu wameiva.
He's so impressed
CDF hasimamii Polisi.
Honestly hii ni sarakasi banaaaa
Mmetishaaaa wooooosh
Safiii saana
wow SF from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 i loved this
Nanga wamejaa hapo
😂😂😂 Tanzania yangu😂😂
Walio sikia sauti ya mc inafanana na ya dj rufufu naomba like zangu apa
Dah kweli bana dah rest in peace mkandala
Saut adimu sana
😂😂😂😂😂uhakika aisee
wonderful display
ممتع ورائع مبدعين ❤
Inyeshe mvua jua liwake bora mkoloni aliondoka Tuko huru kiduuchu🤌
Nimependa hili gwaride
Nice,great parade
daaaa vijana wameiva
Ottomans empire Fes Hat but so beautiful military shows Republic Tanzania 🇹🇿
Inafutia Sana kwa Inje ila ingia duuuh hatari Sana 😂😂😂🎉🎉 hongerani Sana
Ata sisi tumevulaia sana
Hahahahaa gwalide ni zuri kulitazama sio kushiriki humo ndani ni noma na nusu
Hongera sana mpo vizur sana mola awalinde awape afya njema
Inamaanisha tuliko toka ni mbali
Wakenya kujeni mwone hii nayo ni kali sana
Ushawahi ona jeshi la kenya likifanya makosa 😂😂😂😂😂😂😂we us kenyan our army are 👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Ndio naona sarakasi
Hapa ni utoto tu amna kitu hapa
Hawa ni sikauti was SDA hapa kenya
Ka@@justersmatiko3553Kafanye wewe kama hujalazwa unakula skonsi mbili na Azam cola halafu ukacheze gwaride Hiro weweee acha kabisa
Sensacional!!!
Si jambo rahisi kuchekesha viongozi wamefanya vyema hongera zao
Safi sana
Da! Gwaride nimelipenda
Hawa ni askari gan millard ungetufafanulia.. Au kuna mtu anajua atueleze
Polisi hao tena wa Zenji
Askari wa zenji bhn,
Yaan ni mdebwedo mpaka kwenye gearide.
😁😂😂😂
Yaan nmechekaaa
Great country so peaceful ! Viva Tanzania!
Kazi ngumu saana hii jamani hongereni
Wacheni kuwatia Imani mbovu Wananchi
Good job 👍🏾
Hawa ndio askari kanzu sio
WANASTAHILI PONGEZI NYINGI
Tz Amna wanajeshi hapo sema tu vita aijawafikia
Hujitambui
Pole sana jaribu
Wew hujaelewa Kuna makosa yanafanyika kimakusudi ili kuonesha umahili wao mzee
Wew hujaelewa Kuna makosa yanafanyika kimakusudi ili kuonesha umahili wao mzee
Inshallah haitufiki ngo hujielew ww
Hii kazi ngumu jamani😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Wapewe maua yao
Tarabush!😂😂😂
Vijana wameiva
Wanachekesha comedy tosha😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Hilo Kofi limeenda
Kwata safi 😁
Kazi nzur ma kamanda
Ukiwa kiongz raha sana ata ukichek tu wana kupost kuna wew na mimi😅😅😅
Ata ukilia hutizamwi wanajitia hawakuoni😊
Ww ukicheka wanajua ni chizi
Big up😅
Masyallah 😁😁🤲
Mwalim hongera xana
Amesahau tuu kuweka lile sharubu kubwa
I like it❤😂
Wanapendeza sana❤
🎉good show
Safiiii❤❤❤
If we are Somaliland people we love our brother's Tanzanian People ✅🙏♥️🙏✅
Benta daaaaf, sithaan aqonsii lugumaheelaaa
Looks like the colonial era
Just a millitary drama resembling collonia army
That's what they were doing! Making funny of how things were during the colonial era!
Hawa ndo waliingia jeshini kuandaliwa kuwatesa watanganyika wenzao kwa manufaa ya mkoloni. 😂😂😂
Duuuh, kwann
Saiv wakolon wamegeuka watanganyika
@@user-ex6sh1rl4d acha ujinga ww
Kifupi hao ndio sisiemu
😊
❤mimi pia nmecheka pia nmehuzunika
Kwa hii unform ya wakati wa wakoroni bado ipo dah 😮
Inaweza ikashonwa ikafanana na ya mkoloni
Hata huo mfumo wa kijeshi ni ule ule wa kikoloni yaani ukoloni kila mahali
Huyo MC si rufufu kabisa huyoo😂
😂😂😂 kazi kwelikweli
Wametisha sana salute🫡 🫡nyingi mno kwao kwakweli👏👏👏👏👏😀😀😀
Nimejikuta nacheka kwa nguvu😂
Diamond hakuepo au mvua?au wa2 hawakujua?au ndo wameingh Kwa passport,au watanganyik ndo hawatak muungano Sabab wenzao hawautak
Wako vizuri 😂
Naona Jeshi la Tz lina mengi ya kujifunza kuhusu gwalide
🤩🤩🤩🥰💞💞💯
Kweli serikali nia wa mama hii ,kaptura ziliisha kipindi Cha ukoloni Bado tz zipo
Hivi wewe huna vitu vyako vya ukoloni ulivyoweka
@@user-uq2mo7mw2l kwn mmekuwa scouts,mko nyuma sana nyie
Habiri
Hatar san
Ujue wamechukua action ya commedy😂😂😂😂😂had nimemkumbuka champion comedian fire saluti kwenu wamba
Kamanda msumbufu sana hata mie nitakosea 😂
Kenya tuko tu hapa tunacheka😂😂😂
tuko😂😂😂
Ni comedy unahaki ya kucheka
Na sisi from Rwanda tunacheka
😂😂😂😂😂 Raha Sana
Napenda suluhu mchapa kazi
Leo tanzania imefanya majaribio silaha zake za nyuklia
Hehehe wananijaandaa
👍💪🙏
Hatali sana
Hili jeshi gani 😂😂😂, au ni kichekesho
Ilikuwa tabu sana zaid ya jkt leo
❤🙋🇦🇷
Daah...mmetishaaa
Tz mko nyuma saaaana
Ni askari wa kitengo gani hawa . Tanzania mnakazi