Kujenga Uwezo Wa Kufanya Maamuzi Sahihi Siku Zote

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 07. 2024
  • Kujenga Uwezo Wa Kufanya Maamuzi Sahihi Siku Zote:
    Karibu tujifunze mbinu na mikakati inayoweza kutumika kuboresha uwezo wetu wa kufanya maamuzi sahihi kila siku.
    usiache kutupa maoni yako kwa kile utakachojifunza hapa, LIKE na ku-SHARE somo hili kwa wengine.
    .
    KUPATA MSAADA WA KUREKODI VIDEO ZAKO:
    Tuma ujumbe What'sApp andika neno: CZcams
    Ingia What'sApp, bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    CHUKUA KOZI YA KUENDESHA CZcams CHANNEL BURE:
    Bonyeza hapa: / @youtubepesa255
    .
    JINSI YA KUNUNUA VITABU:
    Kununua vitabu tuma ujumbe (neno): KITABU
    kwa SMS | WhatsApp namba: 0759-19-10-76
    Ingia What'sApp, bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    KUNUNUA KOZI YA UJUZI WA KUZUNGUMZA (Speaking Skills Course):
    Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
    Bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    Bei ya punguzo kwa sasa: 10,000 TZS tu.
    Wahi mapema!
    .
    OUR SPONSOR’S:
    Al-Rahmah Schools
    Location: Mkuranga
    Phone: 0673-52-66-44
    IG: / alrahmahschools
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent | Content Entrepreneur | Speaker
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / voiceovertanzania
    .
    KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri
    Tuwasiliane:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    #success #path #network

Komentáře • 19

  • @SalmaMsikiti-lu5eb
    @SalmaMsikiti-lu5eb Před 8 měsíci +4

    Jaman jaman nikweli kabisa aisee asante sana

  • @sadysalim9212
    @sadysalim9212 Před 8 měsíci +3

    MashaAllah umetoa piont muhimu Mnoooo.

  • @severinemziba6226
    @severinemziba6226 Před 8 měsíci +2

    Sina cha kukupa kwa huu ushaur wako lakin nakushukuru na Mungu aendele kukubariki🎉

  • @RiberatusBavano-v2v
    @RiberatusBavano-v2v Před 20 dny +1

    Thanks too

  • @irakozeshela1809
    @irakozeshela1809 Před 8 měsíci +1

    1:31 tangu nianze kukufatiliya nimebadilika mno allah akubariki

  • @user-qw1np9vb6k
    @user-qw1np9vb6k Před 8 měsíci +1

    👏👏

  • @user-pm4mv2bn4l
    @user-pm4mv2bn4l Před 8 měsíci

    Noma sana ❤❤❤ 😂😂😂 ATI walaumu Kila mtu 😂😂😂

  • @irakozeshela1809
    @irakozeshela1809 Před 8 měsíci +1

    ❤❤t

  • @manenojuma6324
    @manenojuma6324 Před 7 měsíci

    Nashukulu bloo

  • @aldiphoncealbogast5372
    @aldiphoncealbogast5372 Před 2 měsíci +1

    ❤ broo unashauli sana sana

  • @WaziriMajeshi
    @WaziriMajeshi Před 2 měsíci +1

    Asante Sanaa mwalimu

  • @fatumaabdallah-ui7pj
    @fatumaabdallah-ui7pj Před 8 měsíci +1

    Tatizo la kufanya mamuzi linatukabili watu wengi sana. nashukuru kwa kufuatilia masomo yako yananifungua ubongo kwa kutafakari zaidi na kufanya maamuzi. Kwenye somo lilopita nilipata mwanga wa namna ya kufanya maamuzi sahihi, kuorodhesha mazuri ya pande zote na mabaya ya pande zote ili kupata maamuzi sahihi, nashkuru ilinisaidia ila leo nimepata mwanga zaidi wakati mwingine kabla ya kuamua jambo ni bora zaidi kufikiria malengo yetu tunataka nini au kuwa nani baadae.
    Pia kwa kuongezea nivizuri zaidi tutumie akili kuliko kutumia moyo mara nyingi moyo huendeshwa na hisia. Anawezakuwa unajua jambo gani ni sawa kwako ila kwa msukumo wa moyo utachagua hilo ambalo moyo unataka hata ikiwa halina faida au linamadhara baadae, hapo ndipo wengi tunapo feli, poit yangu NI VIZURI TUISHI KWA MALENGO. itatusaidia sana kwenye kufanya mamuzi. Shukran sana Kaka kwa elimu unayotoa nakufuatilia from🇰🇪

  • @user-fm4qc8cl1h
    @user-fm4qc8cl1h Před 2 měsíci

    Nimejifunza kwanza kujiamini kwenye point namba 4 kubali natokea yeyote

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Před 2 měsíci

      Kujiamini ni msingi wa kwanza kwenye mafanikio
      Karibu sana uendelee kujifunza zaidi