KWANINI BIASHARA NYINGI ZINAFELI - JOEL NANAUKA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 02. 2023
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Komentáře • 33

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 Před rokem +12

    Nafikili uwepo wako upo kwajili ya jamii inayokuitaji uzidi kuwa nanguvu imala gonga like kuthamin mchango wake kwa tunaomfuatilia

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Před rokem

    J . your great ever

  • @Udindigwa
    @Udindigwa Před rokem

    Yani Nizaidi Ya Uhalisia Kabisa MH . Joel Nanauka Yani

  • @Udindigwa
    @Udindigwa Před rokem

    Amina

  • @AdventJulius
    @AdventJulius Před 5 měsíci

    Yaa brother mi ishanikuta kufelishwa na marafiki kwenye biashara Kwa kunikopa

  • @jamilaabdul5481
    @jamilaabdul5481 Před rokem

    Nimepitia changamoto nyingi sana kwenye biashara ikiwemo hii ya kukopesha marafiki lakin nimejifunzia na nimeacha kabisa kaka

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Před rokem

    MJ, Asante

  • @abdulrahimmohamed857
    @abdulrahimmohamed857 Před rokem

    Thanks a lot i get it

  • @chrissmalloy9
    @chrissmalloy9 Před rokem +1

    Kabisaa bro

  • @gipsongidion9087
    @gipsongidion9087 Před rokem

    Hii ni Kubwa sana brother Joel MUNGU ukutunze kaka

  • @tanasimwakatungila-jk8jg

    Elimu na maarifa unayo wekeza kwenye jamii Yako
    NAMUOMBA MUNGU AKUKUMBUKE NYAKATI ZOTE NGUMU UNAZO WEZA PITIA Mr Joel.

  • @listonereuben4450
    @listonereuben4450 Před rokem

    Kwenye hisia hapo nimejifunza kitu sababu kuna muda huwa unafika unakutana na changamoto mbili tatu ambazo zinakupunguzia morale uliokuwa nayo ila pale unapopata kitu morale inakuwa ni kubwa sana nimejifunza juu ya hisia ntajitahd kulifanyia kazi hili thanks Joel god bless you

  • @sarachipando5391
    @sarachipando5391 Před rokem

    Katika biashara ndugu huwa kikwazo kikubwa kuuwa biashara za WENGI . Nakushukuru teacher Joel kwa kutufunza ilo mungu akubaliki

  • @salmashoo8100
    @salmashoo8100 Před rokem +1

    Broo ni kwel mtu una biashara yako ndiyo mtu anakopa arudishi tena ni ndugu au rafiki yako wa karibu,hii point namba 4

  • @siahraphael9349
    @siahraphael9349 Před rokem

    Somo zuri mno kaka tumekutana changamoto nyingi sana na bado tunaendelea hatukatitamaa kamwe. Ubarikiwe Brother J

  • @leilalusekelo153
    @leilalusekelo153 Před rokem

    Ahsante sana kaka Joel

  • @buffalomonkmonkbuffalo7956

    Ni kwel upo sahih big point

  • @boscobalame8018
    @boscobalame8018 Před rokem

    Unafaa

  • @gipsongidion9087
    @gipsongidion9087 Před rokem

    SoMo zuri sanaa barikiwa

  • @mosescharles1921
    @mosescharles1921 Před rokem

    Shida yangu kubwa ni mda nimeshafilisha compuni yangu
    Kwa kukosa mda

  • @Siemawn
    @Siemawn Před rokem +5

    1.hauna muda wa kuisimamia
    2.kutokuwa na soko la kutosha
    3.uwezo mdogo wa kihisia wa kuhimili changamoto za kibiashara
    4.kuanzisha biashara kwa kutegemea ndugu au marafiki

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 Před rokem

    Asante kaka unachokisema niukweli kwahakika

  • @japhetjohn5697
    @japhetjohn5697 Před rokem

    Nimekupata Sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Před rokem

    Amen amen amen

  • @awalimunishi
    @awalimunishi Před rokem

    Shida yangu kubwa ni masokooo

  • @deboralaiton-ge8mf
    @deboralaiton-ge8mf Před rokem

    Asante kaka

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Před rokem

    Asante

  • @avirakaguna4593
    @avirakaguna4593 Před rokem

    Nashukuru sana kwa somo zuri kaka Joel. Ningependa kupata muongozo zaidi maana kama ulikuwa unaongea na mimi kabisa.

    • @avirakaguna4593
      @avirakaguna4593 Před rokem

      Naweza vipi kupata vitabu vyako?Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu hili,napenda nijifunze zaidi.

  • @hekimamyoba-hm5ij
    @hekimamyoba-hm5ij Před rokem

    Kweli kabisa

  • @badiyusuf1735
    @badiyusuf1735 Před rokem

    VITU VINAVOFANYA BIASHARA YAKO KUFELI .....
    1.Muda wa kutosha wa kuisimamia....
    2.Kukosa soko kubwa la kutosha la wateja.....
    3.Uwezo mdogo wa kihisia wa kuhimili changamoto ,inatakiwa uwe na uhisia wa imara....
    4.Kuanzisha kwa kutegemea ndugu au marafiki wakusaidie ktk biashara yako either wao ndo wawe wateja wazuri ktk biashara yako....

  • @hekimamyoba-hm5ij
    @hekimamyoba-hm5ij Před rokem

    Kweli kabisa