PAMBALU AWEKA WAZI''NITAJIVUA, SITOKUWA MWENYEKITI BAVICHA TENA/ATAJA SABABU ZA KUJIVUA NAFASI HIYO.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 05. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►CZcams: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Komentáře • 27

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 13 dny +2

    Hongera Pambalu kwa kazi nzuri ya kikakamavu na ujasiri, tunakutambua vizuri sana, tunakuombea uendelee kuwa kamanda muaminifu katika nafasi itakayofuata. Fahari ya vijana ni nguvu zao...

  • @fabby1181
    @fabby1181 Před 12 dny

    Perfect
    Munofu imeeleweka

  • @PROFESSORSHEDY
    @PROFESSORSHEDY Před 12 dny

    Respect kamanda

  • @AnossyMbonekela-sb6ol
    @AnossyMbonekela-sb6ol Před 13 dny +2

    Take note that Hii ni machine kwenye siasa be careful!!!!

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku Před 12 dny

    Kijana unatakiwa kua kiongozi

  • @user-ii3xo5jw9y
    @user-ii3xo5jw9y Před 13 dny

    A leader is a commitment you have aleadership quality. Go on the sky is nolonger a limit.

  • @zebedayokatamaduni9676

    Tatizo mukipewa pesa ccm mnatusaliti makamanda.

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 Před 13 dny

    Pamoja sana

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Před 10 dny

    Lifisi byemu acha basi kutuzingua tutapigania tanganyika yetu kwa jasho nadamu

  • @user-cz4pu9py5s
    @user-cz4pu9py5s Před 13 dny +1

    Kwa nini msichague huyu jamaa Pambalu anatosha kabisa

  • @Mwitabenson_tz
    @Mwitabenson_tz Před 12 dny

    Ndio umetuachia nini

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Před 13 dny

    acha tamaa kaa huku chin kwanza ujifunze usikimbilie madalaka makubwa bado mda unao

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si Před 13 dny

    Masikiniiii hana elimu ya kutosha juu ya utawala wa majimbo kuanzia America! Halafu ana hasira !

  • @charlzmboya
    @charlzmboya Před 13 dny +1

    Yule anae beza wee endelea kubeti kwa mchina na kushabikia mpira wa Simba na Yanga ...msipiganie àTAIFA LENU WAPUUZI NYIE MMEBAKI KUBETI ...

  • @charlzmboya
    @charlzmboya Před 13 dny

    Taifa linahitaji vijana wadogo wa humri huu ndio wazalendo na wenye nguvu ya kupigania rasilimal ZETU nakuzilinda ...hongera chadema kwakuibua hivi vpaji....

  • @ceciliamagalabajimmy4391

    Asante mwalimu. You have a good self understanding .

  • @charlzmboya
    @charlzmboya Před 13 dny

    Dogo ana zungumza kwa point ...kama chadema Wana mashine hyu ni balaa haswaa na hii ni HAZINA YA CHAMA YA BADAE HII NI MBEGU BORA YENYE KULETA MAZAO MEMA YA BAADAE KTK CHAMA ...UONGOZI WA taifa haujakosea kua na hii mashine

  • @charlzmboya
    @charlzmboya Před 13 dny +1

    Wee k Wacha ushoga wewe Hii ni mashine kweli kweli inasaga nakukoboa...MH PAMBALU NI JEMBE

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Před 13 dny

    Huyu dogo anapapala sana akiongea harafu hajielewi kwwnye siasa bora wampe hata Twaha mwaipaya hyo nafasi

  • @charlzmboya
    @charlzmboya Před 13 dny

    Dogo huna papara uko vyema haswaa tulio timamu tunakuelewa sana pambana PAMBALU endelea kuji pambanua kisiasa

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Před 13 dny

    Dogo hajielew huyu ngs

  • @BonifasiAmosi
    @BonifasiAmosi Před 13 dny

    Tuko nyuma yako kamanda

  • @ceciliamagalabajimmy4391

    Uko flexible kwa kweli.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Před 11 dny

    Wewe sina shaka na wewe

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 Před 13 dny +1

    dogo haielewi marekani majimbo ni nchi ziliungana na kila jimbo lina fanya uchaguzi kumchagua rais wake kule wanaita gavana ni tofauti na hapa kwetu ni nchi mbili zilizoungana kabla sijaendelea mbele kajifunze siasa wewe bado

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o Před 13 dny

    Chadema bdo sanaa muache kwanza huu ukabila na udini 😢mjitadhimini kitandakindaki 😢