🔴
Vložit
- čas přidán 28. 10. 2023
- 🔴#LIVE: DIAMOND AKIWASILI KAHAMA, AFUNGUKA KUTAPELIWA BILIONI 4 - "SERIKALI INAFUATILIA"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Diamond💎 is very hardworking ❤Nairobi was 🔥🔥
This guy is a performer,he killed it at Nairobi Octoberfest 💥💥💥💥💥
Simba la masimba dangote,gosto muito deste cantor,pesso para vir aque em Moçambique.❤❤❤
NAMKUBALI SAAAANA MH. BABU TALE...ALLAH AZIDI KUKULINDA MKUU WEWTU.....#AMEEN....AMEEN 🤛👌🙌🙌
Mm nipo mbezi salam zimfikie da dida maana ndoto yngu nilitaman niwe kam yy sombay nilivokosa nikamzaa mtt anaitw dida lovu u so much dida.
Na unataka mtt wako akikua afuate nyayo za dida😂
Diamond ni jamaa anaejituma sana sana big up lion
Yeahman hardwork always paid
🔥🔥🔥 Simba la masimba
Anavyo ongea Diamond amekua vzr kiakili yupo vzr ndg yetu kila la kheri amin🤝🤲
Mchaga OG kesho
Diamond Marekani.
Huyu jamaa Noma sana
Simbaaaaa....myamaaaah....!!! By Mr okay 1time
Formidable vraiment
Akuna kma Diamond platinum 🎤
❤❤❤❤
The hard worker # simba
❤❤❤❤❤❤❤
"Naona vitu vya red" Boss hana wivu anafurahia kuona vijana wake hawashushi brand.. zingatien sana muonekano wazee..kitu hamjui kijana jipende,zingatia muonekano..ni mojawapo ya njia ya kukupa maokoto..blv💊🤏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌
😊😊😊
Gd work my bro,
Sou teu fã a partir de Moçambique, te adoro muito
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥
Ila Mungu kuna watu anabariki sana.
Safi Sana mtangazaji..
😊😊😊😊😊
🎉🎉🎉🎉
Diamond ❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wa kwanza Leo. Nipen. Maua yanguu
Ximbaaa 🔥🔥 much respect
Respect simbaaaa
nawakubali wasafi
APO KWENYE KUGONGEWA MBONA KIEYEJI 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dar liniiiiii
Guiné Bissau, Tanzânia África is a one
Lion
Pole kwa kuzulumiwa ndege yako inshaalla utapata haki yako
Akuna
Iyo Chata sio privet jet
Vizr san yan nakubali san
Blood nakukubali sanaaaaa
Sauti ya Chini sana.... Mmechemka
Haina shida sauti kabisa inategemea unatumia cm gani kaka
Hera inaongea mond sio maneno tuu. Bravest mond
Simbaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Simba Simba Simba 🎉
Simba unaua sana broo 🎖🎖🎖🎖🎖🎖🎖🎖🎸🎸🎸🎺🎺🎺🎺🎼🎼🎼🎧🎧🎧🎤🎤🎤🎬🎬🥈🥈🥉🥉🎫🎹🎹
katapeliwaa sh ngap
Kweli muongo uyu kenge
Pole Kwa mwamba Simba Binafsi Hua Nakubali Haso Zako Kifupi Tu Ni Kwamba haki haipotei bure Relax
Dodoma lini
Ni mwendo wa private jet tu 🔥🔥🔥🙌
Simba🦁
Kutapeliwa tena
Wale wazee wa kuiga muige na hiyo tuwakute ICU😂😂😂
Mwandishi hajui aina za ndege
Uongooooooooo
Tu Support
Wasafi
we s una boda boda wako mwenzio ana pilot wake
😂😂😂😂😅
Kk mondi samahan ntkulipa billioni 4 zako nlizotapeli
Baby by vkatana
Huyo boss wenu Chocolate flavour... awadanganye nyie machawa wake...
Duu
Baada ya apo bukoba
Mondi wewe niatari naumesaidia wengi Tanzania saiz tupo vizuri kimziki kwasababu yako nakuombea dua tubaitaji kuona mzikiwako ufike duniani kote naomba enderea kuwaonyesha watoto wadogo kwamba wewe nibaba yao tunakukubali sana tengeneza ki2 ambacho uweke histori kwenye dunia hii wewe sio mtu wakawaida
Jim's irsri
Toto la mama simba dangote😂
Sema shetani acha uongo mfasi wa shetani
Kimemramba simba
SIMBA bhana😂😂😂
Eti uwanja wa Taifa
ndo jina maarufu la huo uwanja
Ndio unaitwa hivo
Uliza watu wa Kahama
Jna la uwanja wa Kahama unaitwa uwanja wa taifa
Yanga s Azam
😂😂😂 ndege imepaa
Wanakupigaje 4b easy km ivyo watakuwa wanakujua
Naona mguu mswaki.. 😂😂😂
MwaMBIE WASAFI BET PESA HAZITOKI
Asante kwa taarifa, tunafuatilia
Ataacha uongo lini jameni mwambieni atulie
HEEE HIYO AIR PORT
Jmn mm tu nataman nikutane na dida shaibu
Usijali utaonana nae, muombe mungu kwani hakuna kinachoshindikana kwake
Niďunia inawadanganya mtaiyacha ilivo
ZUUCHU 😂CHUCH🤣🤣🤣🙌
Kwani huyu Tale jimboni kwake anakuwepo lini?
Jana na Leo 😂😂😂😂
Simba punguza tungi mzee
Bado hujasema, mpaka useme
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunakubali sana uyu mwamba
Huyu nae kama boya
Uyo shoga alikua anapiga story na rubani akataka kama kumpa tano ya kuregea rubani akamkwema kidizaini😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Boresha mitambo, sauti hafifu
Hii ni ndege ya shamba 😂
Nmeona mtu kma kenny
Chatter plane not a Private Jet 😂
Hiyo immigration counter Mungu wangu weee……. Halafu yule pembeni left kakaa anafanya nn or ndio supervisor wao?
Uwanja wandege kahama bado ni wa vumbii aibuu kubwa tanzania
That's an airstrip
In other words uwanja wa ndege wa tharula🤣🤣🤣🤣🤣
Upo kwenye maboresho.
Mgodi kupitia mradi wa ufungaji mgodi (Closure) moja ya community related work wanayofanya ni kuboresha uwanja wa ndege wa Kahama.
As you can see, kuna building moja ile mpya wanamalizia kama bado haijakamilika.
Wakati madini yote yanatokea hapo
Aise siku nyerere akiludi atakuta baadhi ya mikoa ata lami haijaungana miaka 60 ya uhulu. Ni uhulu au ni mateso🤐🤐🤐🤐🤐.
Katapeliwa 4B😂😂😂😂😂😂😂
Mwijaku alisema documents zote zilikuwa poa Sasa leo kazurumiwa kaa balaa tatizo wasani ndio zenu
Mamwambia pilot nikiamka ntakushtua daaah Simba bhn
Uyu ni muongo wa adjabu Sanaa 🤣🤣🤣
Watu tumepiga pesa wasafi bet hatulipwi
Haki wakenya hawana adabu hawana shukrani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣utapeli right left center🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Simba kagongwa
hiyo imeenda🤣🤣🤣🤣🤣🤤
Let me advice diamond
Before any performance itisha chako pap mkononi wakenya ni hatari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weeee zombi
Yakukodi ya kununua mbona kujikweza bila ngazii kazi mnayo
Hapa hamna kitu
Maisha ya sifa bado unayo si ndio hayo unayoyaongea leo