MASOUD KIPANYA AVUNJA UKIMYA MBELE YA WAZIRI JAFO "MNATOA WAPI HIZO PESA"...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 08. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►CZcams: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Komentáře • 73

  • @eliudurassa8996
    @eliudurassa8996 Před 23 dny +2

    Masoud Mungu akupe maisha marefu na uendelee kushirikiana na vijana kuwaamsha na hii serikali inayojiita sikivu ibadilike

  • @mrglobalnyangejr3379
    @mrglobalnyangejr3379 Před měsícem +11

    Ilo ni jambo kubwa sana start up hapa Tanzania ni big challenge sana

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk Před měsícem +1

      Ukiangalia sheria zetu it's like they discourage self-employment of any sort. Matokeo yake ikitangazwa nafasi ya kazi 1 wanakuja watu 200 kuomba,hakuna ajira mpya zinazotengenezwa na sekta binafsi. Wazalishaji wadogo walitakiwa kuwezeshwa sana ili kuisaidia serikali kuzalisha ajira.

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840

    Kaka masud umezungumza vizur sana kwa uzalendo kabisa "TUZALISHE VYAKWETU"

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 Před měsícem +13

    Good presentation Masoud

  • @JuliusMlengeswa
    @JuliusMlengeswa Před měsícem +2

    Tunaiita Dar kuwa ndiko Tanzania huku mikoani ni Tanganyika! Wanafanya wanachokitaka. Kwa mfano Manispaa inataka kujenga soko , inakupa eneo unajenga banda kwa sh Million 5 mpaka 40! Unaambiwa uendeshe biashara kwa kulipa elfu 25 kwa miaka 6 na baada ya hapo miliki inaamishiwa kwa Manispaa, ambaye sasa ataweza kukupangisha au kumpangisha yeyote. Wafikirieni wananchi. Manispaa zisitumie ardhi kuwanyanyasa wananchi

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 Před měsícem +4

    Ukweli ambao hamuwezi kuukubali ni kwamba 'Industrial Revolution' ni mkakati wa siri wa nchi husika. Nchi zote zenye viwanda hawakuamka asubuhi tu wakaanzisha viwanda. Unaomba msaada ukajenge kiwanda wakati masharti ya mkopo hayaruhusu? maybe someone, some day will change the mindset...mtafanya sana mikutano na maombi ila tusipokaa kama taifa na kuanzisha viwanda ambavyo kwanza ni primary producers wa mahitaji ya viwanda vikubwa tutaishia kusafirisha malighafi nche ya nchi. Sera ya viwanda na uchumi haikushirikisha mawazo ya watu wenye entrepreneurship skills, ni watu walikopi au kukaa ndani wakajifungia. hatutazalisha hata nchumvi ya mawe...

    • @salumjabir813
      @salumjabir813 Před měsícem

      @@selemanmussa3459 kaka embu nitumie ht no yko...tubalishane mawazo...well said

  • @homeboybeyondtheborders4935

    Kipanya so artist very creative 😂

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 Před měsícem +3

    Well said Mr. Masoud Kipanya

  • @hassannjiku
    @hassannjiku Před měsícem +2

    Uwasilishwaji bora ila c Dhani kama utafanyiwa kaz 😢ila mmetuwakilisha vyema wachangiaji wote 🎉🎉

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh Před měsícem +3

    Masudi kipanya is very good prosser huyu anafaa kuwa waziristan wa viwanda anajua

    • @JuliusMlengeswa
      @JuliusMlengeswa Před měsícem

      Awe Waziri? Huku atakayewasemea watu ni nani? Huku huku aliko Private sector anatoka kwa heshima

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh Před měsícem

      @@JuliusMlengeswa waziri anaonyesha njia na kuweka mipango ya kulinda viwanda akiwa huku analalamika tu hawezi kuchukua hatua weye hujui kwa sababu si mzalishaji weye ni mchuuzi nadhani

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh Před měsícem

      Sisi wenye viwanda tunajua mapungufu ya vingozi juu ya uchumi waviwanda ni prosser maarum unatakiwa ifutwe ukiwa mchuuzi utapangiwa bei na wenye viwanda na nchi Haiti na fedha za kigeni mpaka wananchi ikiwa hakuna xpot input uchuni utakuwa wa kubatisha

  • @suysoni
    @suysoni Před měsícem +3

    Masoud akili kubwa sana. 👏🫡

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Před měsícem +3

    Hii nimeipenda wote tunakombania vipesa vya serkalini ndiyo maana tunaiba na magereza zinajaa

  • @Khamis_Waya
    @Khamis_Waya Před měsícem +1

    Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwenye system zetu na kikubwa ni kwamba ao walioko juuh wengi wahaelewi biashara nin nin na jinsi gani mfanya biashara anateswa na hizi kodi. Ni wakati sasa tukae na tutafakari jinsi ya kulipeleka taifa mbele. Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿

  • @DennisDidas
    @DennisDidas Před měsícem +5

    Masoud Kipanya umejieleza vizuri sana.

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 Před měsícem +2

    Kwa tanzania ukitaka kufanikiwa tafuta namna ya kukwepa kodi...nazungumza kama mfanya biashara kwa uchungu...unafanya biashara na huku unalipa kodi zinazo fanana ...sevice levy at the same time TRA huo nibmfano. nchi hii ukitaka kuendelea usirasimishe biashara yako kamwe...ni vitu vya hovyo mno na serikali inajua haswa uovu unafanywa na wizara tofauti...sasa unajiuliza ni shule gani hi wanaenda kuendesha nchi kwa namna hii...kila unapojarbu kunzisha biashara ni changamoto za hovyo...jaman wa atendaji wa serikali badilikeni akili za namna gani mnatumia jamani..?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk Před měsícem +1

      Ni sahihi,atakayekubishia jua hajawahi kujiajiri kabisa.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Před měsícem +2

    Masoud kipanya MUNGU akubariki ktk mapambano yako

  • @mohdmood9726
    @mohdmood9726 Před 27 dny +1

    Well said Masoud, msema kweli mpenzi wa Mungu.

  • @user-vy5kn6nz4l
    @user-vy5kn6nz4l Před měsícem +1

    Masoud we2 ni noma umejuaje wanatuibia kupitia tozo za ajabu ajabu.We utakuwa Raisi wangu baada ya samia

  • @farajaMezza-qn4be
    @farajaMezza-qn4be Před měsícem

    Anaongea point halafu watu wanapitapita kupoteza concentration inaboa kinyamaa

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Před měsícem +1

    Huyu dada anasemea juu ya kodi eti "....sasa hivi wameanza kutujia kwa njia nyingine..", hajui kwamba ni Waziri akiwa sehemu ya Serikali ndiyo wametunga hizo sheria ambazo zinavifanya hivyo vyombo vilivyoanzishwa na serikali yenyewe "kuja kwa njia hizo nyingine" za kuhakikisha kuwa hizi SMEs zinaminywa ktk kulipa huo ushuru na kodi? Anadhani anazungumza na chombo tofauti na serikali!!
    Hapo ndo wenzetu majirani wameona ni siasa hivyo tuwatingishe wawajibike ktk matumizi ya kidogo kinachopatikana na siyo kumnyonya mwananchi na mlipa kodi!! Tubadilike tujue watesi wetu kuwa ni hao tuliowapa madaraka ya kutuongoza ndo wanapofika huko wanajali vya kwao posho na magari ya anasa!

    • @evaristcm2734
      @evaristcm2734 Před měsícem

      Wananchi wanatumia akili na maarifa mengi kubuni na kuendesha biashara, badala ya kusaidia hawa wenzetu wanatafuta kila njia kukusanya ili wajilipe mishahara mikubwa. Siku za nyuma magari mengi yalikuwa ya serikali (ST), sasahivi magari mengi ya kifahari mitaani ni ya watu binafsi wengi wao wafanya kazi serikalini.

  • @zabronmahenge6300
    @zabronmahenge6300 Před měsícem +3

    Thanks

  • @meshackwilfred5380
    @meshackwilfred5380 Před měsícem

    Kaongea vizuri kabisa Masoud atuwezi kua na free economy kwa kutegemea importation tu ifike mahala tuwe patriotic as Tanzanians

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk Před měsícem

      Sasa hivi ni mwendo wa frames kila sehemu na kufuata bidhaa hafifu China.

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 Před měsícem +1

    Brother, lithium batteries hazina kodi. Waziri wa fedha mwaka jana walifuta kodi, soma budget ya wizara wa fedha mwaka jana.

    • @erardmporoto2660
      @erardmporoto2660 Před měsícem +1

      Wakenya Wana msemo wao "...things kwa ground ni different"

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr Před 27 dny

    Tatizo la Mama anawapa uwaziri watu sio hawana Vision sio lazima mtu awe ccm huo ni ujinga tunataka mtu mwenye vision kama Masoud huo mduara wa kupata lesen ya biashara it’s too much unalipia nusu na robo ya msingi wako wa biashara kabla ya kupata lesen .Mama Samia Leta watu Dubai waje wasome vipi Serikali zao zimejipanga Katika masuala ya kodi Dubai siku moja tu au mbili unapata lesen hakuna longolongo Mama Samia una Mawaziri mizigo hebu changamka kdg unacherewa sana Dunia inakwenda kasi sana

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 Před měsícem +1

    CCM hawawez kitu wao wanasubil mikopo tu ya world bank hao hawawez wiz tatizo sasa kila kitu tabu sasa wanaweza nn

  • @jumasawa9159
    @jumasawa9159 Před měsícem +1

    Daaah ni wakati wa serikali kusuport hizi small industries ili waweze kuzalisha zaidi then walipe kodi sio unaanza tu mikodi mixer tozo kibao kwakweli inaumiza sana asee

  • @maribasimon6993
    @maribasimon6993 Před 21 dnem

    Yes Masoud

  • @prospervedasto4366
    @prospervedasto4366 Před 25 dny

    Big up KP

  • @MsumalAloyce
    @MsumalAloyce Před měsícem

    Masoud wow ,excerent

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Před 29 dny +1

    Masoud doesn't get support coz he's free, he's no puppet

  • @deohank5995
    @deohank5995 Před měsícem

    Kipanya Hongera sana

  • @muddymassah8998
    @muddymassah8998 Před 25 dny

    Sawa

  • @user-xg6fx4jm3h
    @user-xg6fx4jm3h Před měsícem

    Kiukweli kama kutakuwa na dirisha moja la ulipaji kodi wengi wataipa serikali kodi tena bila shaka maana mm ata kama nina kigari changu nikaambiwa kodi yangu ni 100000 mwaka mzima apo kila mtu kashajikatia chake kuna shida gani sisumbuliwi ila ao wanaopenda kuyafanya mambo yanakuwa magumu ili kujipatia rushwa wanakera

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Před měsícem

    Hii point ya kama hauna kitu cha kuuza nje lazima uwe mchuuzi na kuangalia kuibiana nyinyi kwa nyinyi

  • @DominickTemba
    @DominickTemba Před 26 dny

    Kweli kabisa masoud uchumi haukuzwi kwa kununua vitu nje bali kwa kuuza nje.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Před měsícem

    Na kwa kweli si policy peke yake. Pia inatakiwa budget maalum ya Serikali ku saidia start ups. Zisukumwe na Serikali. Ndio Nchi nyingine zinefanya hivyo

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Před měsícem +1

    Kwan haliyekuwepo kafanya nini mpaka ndo mje kumpa huyu hayo yote jaman

  • @KilonzoGodson
    @KilonzoGodson Před měsícem

    Tatizo ni mama muongeaji baadanya Masudi
    Amejikita kwa wanawake tu sijui hii dhana wa wanawake kijibagua kwa ila kitu inatoka wapi"
    Kila kitu mwanamke mwanamke
    Masud kaongea hajasema wanaume hata sentens moja lakini mama kaingia kutetea wanawake 'basi wangeandaa mkutano wa wanawake .
    Kweli hii haipendezi kabisa wote hapo ni wazalishashi hakuna jinsia 'kodi"tozo wala soko la wanawake pekee.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk Před měsícem

      Ameniboa sana yule Mama,wao kila sehemu wanaleta siasa za jinsia tu hadi kero. Kipanya anazungumzia nafuu kwa wote yeye anakazana wakina Mama hivi wakina Mama vile,hovyo kabisa.

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 Před 25 dny

    After 60 years bado tunajadili mambo madogo
    Najiuliza tu Hawa mawaziri waliopita walifanya Nini

  • @Kombs-cr2mj
    @Kombs-cr2mj Před měsícem

    Bright mind Bw KP

  • @Kombs-cr2mj
    @Kombs-cr2mj Před měsícem

    Mama entango see u back there😅

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Před měsícem +1

    Ndomana mwaijaku alimuomba radhi

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 Před 25 dny

    Mtafute I Mchina awekeze kutengeneza batteries

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward Před měsícem

    Ukweli upo kwenye ushindani sisi na majira Zetu. Tz angalia vitu kama chunvi, sabuni. Kenya kwa kiasi kikubwa kwa soko letu. Angalieni malighafi bei zake. Ni kikwazo chetu.

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 Před měsícem +1

    Aaahha Wacha tulime TU ,

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv Před měsícem

    Tulipa Kodi mpaka kwenye umeme Sasa hivi ukinunua Kwa mwezi unakatwa 4500

  • @prince.eric_msemwa9732
    @prince.eric_msemwa9732 Před měsícem

    Kwa nn zote hizo 13..na kwa nn wapate shid ya kulipa kiasi icho

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 Před měsícem

    Alafu chawa anakuja kuchafua brand maana chawa angepewa nafasi hapo angeanza umepoa sijui ghorofa bilioni moja ushuzi mtupu

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Před 28 dny

    Shati kama hiyo ya masoud napate?

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko Před měsícem

    Eti kuna wasomi Tz heee kweli yangu macho kuiba safiii

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 Před měsícem

    Ndo na sukari wanaagiza nje corona ikitokea sijui itakuaje

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 Před měsícem +1

    CCM hawawez kuendesha kitu hawa sio kila viwanda vilivyokua nchin wameviua wao wanasubili wapewe mikopo na kuendesha magar ya mikopo tu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Před měsícem

      Sasa towa mawazo yako nani anaye weza?

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 Před měsícem

      @@sonnyr1899 mifumo ibadilishwe na tujitegemeee tuwe na chetu wananchi ndo wanauongoz

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo Před měsícem

    Viongozi waweke hela zao hadharani tujuwe

  • @geofreychitamu366
    @geofreychitamu366 Před měsícem

    Tuone kama kuna jipya,,,

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Před 29 dny

    The problem with Tanzania is the system led by an old Constitution

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Před měsícem +1

    Mazingira ya tozo kuwa nyingi inakatisha tamaa kwa wafanya biashara. Kampuni zimegeuka kuwa milking cows. Wananchi hawawezi kutoboa

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Před měsícem +1

    Hakika Tz NZIMA ni MACHINGA WA NCHI ZINGINE HASA ZA UTURUKI ,NA CHINA MPAKA MABILIONEA NAO NI MACHINGA NCHI NZIMA AAAA HAKIKA TUNATAKA KWENDA KWENYE VIWANDAAAAA SIYO KUWA MACHINGA NCHI NZIMA AIBU

  • @Mckiatu
    @Mckiatu Před měsícem

    Wekeni kiwango kimoja.mfanyabiasha aambiwe ukitaka kufanya biashara fulani.utalipa sh kadhaa kwa mwaka. Sio kodi kila kona.
    Mbaya zaidi mnatoza kodi kwenye mauzo ya jumla badala ya faida.
    Yaani mtu hujaanza biashara unatakiwa ulipe kwanza kodi.

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 Před měsícem +1

    Wanachofahamu ni kodi tuu,

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 Před měsícem

      Hiyo ndo serikali yetu wanapeleka miswada bungeni na wabunge kwa maagizo ya ccm wanapitisha kisha mwananchi anaanza kulia!! Kesho hao hao wanarudi kuomba kura ili wawndeleze sera za kuminyana kutukamua ili kufadhiri maisha yao huko juu!