'Nitaitafutia Simba umaarufu nje ya Tanzania na Pesa' Barbara Gonzalez

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 09. 2020
  • “Nimekuwa nikitekeleza majukumu ya Afisa mkuu mtendaji wa klabu Simba kwa niaba ya Mohamed Dewji @moodewji kwa miaka 4 sasa.”
    Mtendaji mkuu wa Simba @simbasctanzania ya Tanzania Bi Barbara Gonzalez.
    #Simbasc
    #BarbaraGonzalez
    #Maono

Komentáře • 60

  • @jimmycroud1027
    @jimmycroud1027 Před 3 lety +7

    Good Gonzalez👍
    Cc wanasimba tunakutakia aman na upendo kwenye kaz yko pia mungu akuongoze vyema kabsa🙏

  • @meetmyteacher6617
    @meetmyteacher6617 Před 3 lety +1

    Ahsante sana dada yangu Barbara..nahisi ni Mimi peke yangu ninayekuelewa..

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 Před 3 lety

    Walikuzarau kwa kuwa ni mwanamke. You are superwoman, you are real showing it not only in Tanzania but worldwide. I love you Barbara.

  • @eliasibrahimu1639
    @eliasibrahimu1639 Před 3 lety +2

    Hongera Sana my C . E .O I love your Speech Simba will the best Club in Africa kupitia usimamizi mzuri naamini katika utendaji wa huyu Dada wanawake katk nafasi hizi huwa wako vizuri kuliko wanaume siyo wafisadi pia kusimamia kampuni isipate hasara

  • @hadijamgamba580
    @hadijamgamba580 Před 3 lety +1

    Ahsanteeeeeeee😍😍😍Nakupenda bulee

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 Před 19 dny +1

    Jifunze kuziba masikio uende mbele

  • @user-yq7dm4gw6j
    @user-yq7dm4gw6j Před 9 dny

    Njoo uinue Simba yetu babla akina mangungu watuachie team yetu wapigaji wale

  • @ramadhanathuman940
    @ramadhanathuman940 Před 3 lety +5

    True beautiful

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 Před 3 lety +6

    Mm ndo nimekuelewa hatari unanipa raha kwa hy mipango mkakati wa kuiona simba nje ya Tz wengine hawapendi. Tunakuombea utimize malengo yako nasi tuendelee kufurahi.

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 Před 3 lety +1

    Uko vizuri

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 Před 3 lety +2

    Hongera piga kazi.

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 Před 3 lety +3

    Yupo smart i like her

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 Před 3 lety

    Thanks so.much my sister good jobs message from USA today

  • @justineclever8194
    @justineclever8194 Před 3 lety +3

    Kweli bongo tunashids ya uelewaaaa

  • @PaulMkwama
    @PaulMkwama Před 3 měsíci

    Uyu dada anaupiga mwingi sana

  • @kyambarungwematv6828
    @kyambarungwematv6828 Před 3 lety

    Simba daima

  • @saifsaid6886
    @saifsaid6886 Před 3 lety +4

    nimekuelewa CEO

  • @leonardkayolo7314
    @leonardkayolo7314 Před 3 lety +1

    I trust you

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 Před 3 lety +1

    Asante

  • @mengiiblahim4215
    @mengiiblahim4215 Před 19 dny

    Dadayetu rudi hatuna raha utoporo wanakera mpka basi😂😂😂😂

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 Před 3 lety +1

    Nice Madame.

  • @lilyamidah3412
    @lilyamidah3412 Před 3 lety

    Good luck

  • @samwelnyamtera6343
    @samwelnyamtera6343 Před 3 lety +1

    Dakika chache umeongea lakn point tupu

  • @nassorojuma3582
    @nassorojuma3582 Před 3 lety +3

    Piga kz dd cc wanna Simba tunakuamini

  • @emanuelnicodemus9883
    @emanuelnicodemus9883 Před 3 lety

    Truly

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Před 3 lety

    😍😍😍😍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 4 dny

    Rudi dada simba inasumbua sana tena. Akina magungu wakapumzike tu

  • @meshackmpalanga9130
    @meshackmpalanga9130 Před 3 lety +2

    UNAJUA mtu NI yule unae msikia akijieleza, daah tunawatu makini Sana inchi hiii. Kigwa unatukosea sana

  • @emmanuellucas1605
    @emmanuellucas1605 Před 3 lety +1

    Upovizuli

  • @eclaskilawa8972
    @eclaskilawa8972 Před 3 lety +4

    Yani Mimi kama mwanasimba nakusapoti asilimia 100

    • @mathiasjoely7183
      @mathiasjoely7183 Před 3 lety

      Huyu ana uwezo mkubwa kuzidi hata senzo na ana mtazamo wa mbali zaidi kuliko senzo

  • @bananatz4216
    @bananatz4216 Před 3 lety +4

    Piga kazi umfunge mdomo #hamiskigwangwala

  • @suleimanmohdabdallah2205
    @suleimanmohdabdallah2205 Před 3 lety +1

    Tuunge mkono juhudi za viongozi sio tuanze mizozo isiyo na maana, huyu atawajibika vyema na kuleta mafanikio. Au ndio bora aliyejiunga na yanga ?

  • @abdallahhassani6377
    @abdallahhassani6377 Před 3 lety +3

    Ww dada ni msomi sn achana nao piga kazi.kingwangwala anachuki tu kwanin hakupewa mkopo na mo.kwaiyo kaona bifu ahamishie kwako.dada chapa kazi kunawakati utajaribiwa ili kukatishwa tamaa ila we ni mwanamke namin unaweza sn.

  • @nathankihiyo2791
    @nathankihiyo2791 Před 3 lety +1

    KIGWA kaa kushoto tushamuelewa biidada

  • @godwinbenedict4146
    @godwinbenedict4146 Před 3 lety +1

    Dear Barbara, we as Simba fans we love you, PIGA KAZI watakuelewa tu

  • @sultantz7635
    @sultantz7635 Před 3 lety

    Kuna viongozi wa timu fulani inavaaga jezi zinafanana na mapapai kwenye interview zao utafikiri genge la wahuni linabishana

  • @user-wl4yo4zp9t
    @user-wl4yo4zp9t Před 25 dny

    Gonzale binti wa watu huna makuu piga kazi babla

  • @jamesmbezi5068
    @jamesmbezi5068 Před 3 lety

    kumbe anajua kiswahili vzur hiv,,,,

    • @mathiasjoely7183
      @mathiasjoely7183 Před 3 lety

      Baba yake mcolombia na mama ni mtanzania

    • @boscomaboga1021
      @boscomaboga1021 Před 3 lety

      Mi mwenyewe huwa nawaza Amejifunzia wapi kiswahili laini namna hio?

  • @ephraimkalanje7105
    @ephraimkalanje7105 Před 3 lety +1

    Unajiamini! Una akili! Unaelewa majukumu yako! Wasemayo watu kuhusu "gender" au ushabiki tu wa vyama usikuvunje moyo! Chapa kazi "cute lady" mpaka watu waone aibu! Simba loves you!

  • @salummbaki221
    @salummbaki221 Před 3 lety

    Kuifanya simba iwe maarufu sio kufanya tours simba yenyewe kujibebea vikombe kama mo alishaenda mpka nje juve porto mpka arsenal kula england tena african billionaire lkn ipo kawaida bado sembuse wewe barbra. Nunueni wachezaji mushindane na kina pyramid na mazembe mubebe champions league ndo itakuwa maarufu. Kama followers kwenye mitandao hata juma lokole ana followers.

    • @lubavaclassic7048
      @lubavaclassic7048 Před 3 lety

      Akili zako fupi kama maisha ya funza...Mbona #Recista City ni timu maarufu na aina ubingwa wa Uefa champion..?Sevila iliwai kuwa bingwa hata wa laliga toka mwaka 2000..?Mbona hapa Tanzania inajulikana si kwasababu walikuja kutarii na mechi ya kirafiki ikawaongezea idadi ya watu wa kuifatilia...Aston Vila malayamwisho kuchukua Ubingwa wa ligi mwakagani? Mbona saizi hata watu ambao walikuwa hawafatilii timu za England waliijua si kwaajili ya Samata kusajiliwa pale....Sasa izo connections za kibiashara ndio utengeneza wigo mkubwa wa Brand ya timu...ndio izo mbio zakutafuta ubingwa wa Africa uanze...Usiwe unapenda kukanusha kila unachokiwaza wewe ukajua ndio sahihi...Fikiri kabla haujalopoka...!

  • @ibrahimally7361
    @ibrahimally7361 Před 3 lety +1

    Hyu atakua demu wa carlinhos

  • @angelsonshiteri5416
    @angelsonshiteri5416 Před 3 lety

    Unaweza itafutia timu umaarufu nje ya nchi wakati ndani ya nchi inatoa droo na timu mbovu, Simba damu NGUVU MOJA

    • @saidijafari2812
      @saidijafari2812 Před 3 lety

      Kweli wewe mfu ulie hai , hivi kweli we unajua mpira au unachangia tu ? Huko ulaya sio ndroo timu ya juu inayochukua kombe inafungwa na ya mwisho kama haitoshi Barcelona alipigwa 3 bila majibu na alaves ktk ligi wakati ni kibonde wakupibdukia

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 Před 3 lety +1

      CEO Kaweka vizuri
      Mapato -mnataka kupitisha bakuli
      Matumizi- Wazee wa simba wamebanwa bawapati kitu
      Brand ya Simba.. Mnyama afahamike A.kusini, Misri, Tunisia, Ivory Coast, Congo
      Simba itapaa

    • @boscomaboga1021
      @boscomaboga1021 Před 3 lety

      Kwahio timu nzuri haitoi droo? Kwel we bado kiazi

    • @edenbaraka7533
      @edenbaraka7533 Před 3 lety

      Angelson yaan ww ni mshamba kweli mbona timu zinafungwa 8 hyo drow INA shida gan

    • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
      @allygoodboytzsdoneintanzan3970 Před 3 lety

      Good sana my dear sister by to day Am say God protect & blessing you somuch beautiful of Africa tupeleke kwenye mpira wakisasa dada yangu mpendwa mm sina tatizo naww wanasimba wote in Tanzania out Tanzania wote wana kuunga mkono wabaraka mti wenye matunda dada ww sisi wanasimba wote tunaitaji matunda ya Amani kulatena kwenye chanvuli tunataka tukiwa tunakwenda kwamkapa tunakunywa juice huku tukiangalia following football

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Před 3 lety

    Msijidai mtafungwa mpaka mtachanganyikiwa hamna timu nyie mnawarembo wacheza shoo mtaona ngoja yaanze mashindano

    • @amoneliakunda6978
      @amoneliakunda6978 Před 3 lety

      Naona uñateseka mzee na povu Kama Lote!! Zama zimebadilika lazima tuwakere

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 4 dny

    Rudi dada simba inasumbua sana tena. Akina magungu wakapumzike tu