MBWADUKE: STILL STRONG! SIMBA YAKOMAA TOP 7 KLABU BORA AFRIKA/KUWEKA HISTORIA MPYA IKIFUZU CAF CL?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 04. 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Komentáře • 49

  • @SilmanOfficial-ss6oq
    @SilmanOfficial-ss6oq Před měsícem +2

    Nimekuelewa sana Mzee Mbwaduke, Simba Ina Possibility ndogo sana Msimu ujao kushiriki Club Bigwa Africa.

  • @MarianaKaduma
    @MarianaKaduma Před 21 dnem +2

    Mungu ipenguvu Simba ishiriki ya mabingwa

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 Před 11 dny

      Ndoto hizo, tena za mchana, jkt wanawatoa jasho, Azam kesha funga goli 1-0, simba bado 0-0

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Před 23 dny +2

    TUNAKUPENDA SANA KWA UCHAMBUZI WAKO UPO VZR SANA

  • @user-zi4wy9fy2u
    @user-zi4wy9fy2u Před měsícem +1

    Rama nakukubali sana mwalimu WA datar

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba Před 17 dny

    Haya sasa kolo fc kuweni makini na hili darasa mpaka mwisho mtajua hamjui.

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr Před měsícem +1

    asante bingwa wa uchambuzi tanzania ماشاالله

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem

    Tunakushukuru kwa kutuelimisha kaka na simba yetu.👍👍👍❤

  • @user-sm6gk3mf1p
    @user-sm6gk3mf1p Před 20 dny +3

    Wanaumia sana kuskia simba anapasuwa anga hapo bado ngoja msimu ujao

  • @MsaghaaDuba-oj1re
    @MsaghaaDuba-oj1re Před měsícem +1

    Asante mwalimu kwa kutuelimisha😅

  • @gidionkagaruki4329
    @gidionkagaruki4329 Před 29 dny

    Nimekuelewa sana simba nguvu moja

  • @MusaClement-tw6om
    @MusaClement-tw6om Před 29 dny

    Upo vizuri

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw Před 11 dny

    Waelimishe utopolo maana hawajui mpira

  • @ErickKyara
    @ErickKyara Před 16 dny

    Oyoòoo

  • @MaggieSichone-fj5kc
    @MaggieSichone-fj5kc Před měsícem

    Asante saana mzee wa data

  • @Ba63828
    @Ba63828 Před měsícem +1

    Superb

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Před měsícem +1

    Utopolo hawajui hilo

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 Před měsícem

    Utopolo wana shirika lao wanalotoa vilabu bora africa

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Před měsícem +2

    Simba imepambana Sana kufika hapo ilipo haikuwa rahisi... Mungu amuone mangungu na try again kwa jicho la huruma wanachama watambua juhudi zao wapunguze hasira makosa yarekebishwe safari iendelee 😁

    • @brunomchalla4439
      @brunomchalla4439 Před měsícem

      Mangungu na mwenziwe wamejitahidi sana kuvuruga sifa ya Simba. Wahurumiweje kwa hilo?

  • @SylvesterMpeka-nm4ff
    @SylvesterMpeka-nm4ff Před 22 dny

    Uto wanalia kwa kusikia hayo.

  • @user-px1gd4de7k
    @user-px1gd4de7k Před měsícem

    Utopolo watachangia kweli hii maada

  • @user-oq8sx6zt9e
    @user-oq8sx6zt9e Před 14 dny

    Nnachokusifu hauchambuagi kishabiki

  • @ImanuelMkongwa-qr7ch
    @ImanuelMkongwa-qr7ch Před 19 dny

    Simba atakua pot gani kwanafasi atakayokua kwamaana ya klabu bingwa au shilikisho barani Africa akifuzu hatua ya makundi

  • @user-pp3st4gc1q
    @user-pp3st4gc1q Před 17 dny

    Uto wanateseka

  • @mwanawagurti4959
    @mwanawagurti4959 Před měsícem

    big up Mzee wa data

  • @rosinamtauka9933
    @rosinamtauka9933 Před měsícem +1

    hii ni habari mbaya sana kwa mrengo wa kulia🤣

  • @clintonnyaluke1567
    @clintonnyaluke1567 Před měsícem

    pamoja sana

  • @bamdogokiki1486
    @bamdogokiki1486 Před měsícem

    SI kuna AFL msimu ujao, hatuna tena Confederation.

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Před měsícem +1

    Tuna kuelewa kiongoz

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před 28 dny

    Tunasubiri wazee wa jangwani wachangie mada hii.

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw Před 11 dny

    Vp kuhusu nyuma mwiko?

  • @user-zl1iy5uo9c
    @user-zl1iy5uo9c Před 28 dny

    Hatakama hawapendi uto imekula kwao

  • @user-if7pt1pr6l
    @user-if7pt1pr6l Před 29 dny

    Mr.data

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 Před měsícem

    Na ktk hilo shirika lao utopolo wanashika nafasi ya kwanza afrika

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Před měsícem

    Ukubwa

  • @jeremiamtawa3481
    @jeremiamtawa3481 Před 28 dny

    Simba lazima iwe nafasi ya pili ifuzu

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 Před 11 dny

      Subutuuu,, njoo uchukue ml 5 kwangu. Nakuahidi ki ukweli

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 Před měsícem +7

    Uto hawapendi kusikia uchambuzi huu,

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Před měsícem +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 Před měsícem

    Sasa mbina mnaficha na nembo

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 Před měsícem +1

    Kuna watu huwa hawapendi kusikia hiyo kitu 😂😂😂😂

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 Před měsícem

      Wanatumia Sanaa ila huo ndiyo ukweli wenyewe 😅😅.. African league tunacheza tena 😂😂

    • @barakanyunza6308
      @barakanyunza6308 Před měsícem

      Na ligi ya mabingwa hampo

  • @firdawsrammy9992
    @firdawsrammy9992 Před měsícem

    Kwa hiyo Azam akipambana tunaenda naye League ya mabingwa, Simba wanaenda Shirikisho kama bado CAF hawajalifuta😅

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 Před měsícem

    Utopolo itawachukua miaka 10 kufika huko.

    • @radhiamussa1629
      @radhiamussa1629 Před měsícem

      Kweli ni mbumbumbu huelewi kitu ndani ya miaka miwili yanga imetoka nafasi ya 75 na point 0.5 na Leo hipo nafasi ya 13 ikiwa na point 31 jiulize ikiendelea na huo muendelezo kufika namba 3 itachukua nafasi ya ngapi😂

    • @josepahatmargwe6504
      @josepahatmargwe6504 Před měsícem

      @@radhiamussa1629 pimbi nyie

    • @josepahatmargwe6504
      @josepahatmargwe6504 Před měsícem

      @@radhiamussa1629 Hapo ni majini yaliwasaidia