RC MAKONDA AAHIDI SIKU 100 ZA KUTEKELEZA AHADI ZAKE MKOANI ARUSHA NA ULINZI KUIMARIKA ARUSHA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 05. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►CZcams: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Komentáře • 20

  • @wilfredmaimu1958
    @wilfredmaimu1958 Před 12 dny

    Hongera sana mkuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Před 13 dny

    ❤❤❤❤❤❤❤Makonda Mungu awatangulie katika kazi zako

  • @lameckrange-ol6uz
    @lameckrange-ol6uz Před 12 dny

    Mm naona uongoze kila Mkoa Tz Siku 100 itafaa Sana
    Kwan unafanya KAZI nzr sana

  • @tituskaponda9343
    @tituskaponda9343 Před 14 dny

    Huyo ndo Paul❤

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 Před 13 dny +1

    Wakuu wa mikoa wangekua kama Makonda basi nchi hii ingekuwa nzuri Sana na rais asingekuwa na usumbufu Sana katika utawala wake

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 Před 14 dny +3

    Daaah! Amsha amsha kama hizi zingekuwa mikoa kama Morogoro,,Lindi,,Katavi na Kigoma kwenye maswala ya utalii mbona wananchi wa hayo maeneo wangefaidi,,Hebu angalia mkoa kama Moro una Mikumi, Udzungwa na Selous,,Lindi napo kuna Selous na yale maghofu ya Kivinje,masoko na Kishwani yanaporomoka tu daah😭😭😭

    • @elifasiscawa5698
      @elifasiscawa5698 Před 13 dny

      Asante jembe letu

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Před 13 dny

      Hivi ni nani mkuu wa mkoa wa Morogoro? Kuanzia leo tunamtaka afanye kazi kama MAKONDA sio ombi bali ni LAZIMA kama hawezi atupishe haraka sana 😢😢😢

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 Před 13 dny

      @@shinipapaya846 mkuu wa mkoa wa Morogoro ni Adam Malima.

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella Před 14 dny +1

    Mama samia tulindie mh poul makunda kwa nguvu zote,,,,ili cku moja tushuhudie akiapishwa kuwa mkuu wa nchi next after u 2030+,,,,,,,,,,huyu n baraka kwa nchi yetu

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Před 14 dny

    🙏🙏🙏🙏🎉🎉

  • @alluminiumexperttz.12mview13

    Ifike mahali na wakuu wengine wafanye mambo yao kwa uwazi kama makonda ili wananchi tujue tuko wapi na tunaelekea wapi. Mgufuli alitumia akili sana kila kitu kinachoendelea alikuwa anakiweka wazi kila mtu anaona.

  • @mtakatifubony5525
    @mtakatifubony5525 Před 13 dny

    Huyu ndie rais wa Arusha

  • @grandgrand4376
    @grandgrand4376 Před 11 dny

    Makonda HURAAAAAA

  • @mtakatifubony5525
    @mtakatifubony5525 Před 13 dny

    Huyo ndio Makonda Mtoto wa magufuli hana kazi mbovu

  • @MageleFidelis
    @MageleFidelis Před 14 dny

    Kwakweli stairi yako ya uongozi inawapa Imani wanyonge popote utakapo teuliwa na rais

  • @SylvesterMayunga
    @SylvesterMayunga Před 13 dny

    Mbona afande mwita anapiga miayo

  • @MageleFidelis
    @MageleFidelis Před 14 dny

    Wewe ni mkuu wa mkoa .unayejichanganya na watu wa lika mbalimbali na wakakuelewa. Endelea kupambania ndoto zako

  • @marybalya2371
    @marybalya2371 Před 14 dny

    Hizo Keri zinaletwa na Nani wakati watawala Ni ccm?. Au mnatengeneza tatizo halafu mjidai mnatatua.