“Nipingwe kama nasema uongo/wanapiga simu tufungwe”-Mbunge Msigwa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 09. 2018
  • Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa wakati akichangia mapendekezo yake katika muswada wa marekenisho ya sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, sura 103 ambapo miongoni mwa ushauri wake Serikali ni kuheshimu mikataba inayokubaliana na wawekezaji ili kuweza kuboresha mahusiano bora.

Komentáře • 105

  • @generalmwegama3384
    @generalmwegama3384 Před 5 lety +36

    Wenye akili timamu ndo tunamuelewa msigwa, perfect as always

  • @consolatamaarufu58
    @consolatamaarufu58 Před 5 lety +16

    mcgwa mungu akubariki sana umeipiga vuta vizuri sema baba sema sema tena

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 Před 5 lety +6

    Msigwa you are very bright!!strong and genetic politician

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Před 5 lety +4

    Mbunge wangu anatokea ni CCM. lakini kazi yake kuoiga makofi na kupongeza. Yaani 2020 siipigii tena kura CCM

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 Před 5 lety +18

    shkamoo msingwa

  • @consolatamaarufu58
    @consolatamaarufu58 Před 5 lety +32

    kupata mbunge kana huyu ni neema kutoka Kwa mungu

  • @bobrochiemgaywa3099
    @bobrochiemgaywa3099 Před 5 lety +13

    Ahsant msigwa

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 Před 4 lety

    Hapa mbowe kapata mashine endelea kuitunza hii ni hazina kwako msigwa pls usije kuuza utu wako ukanunuliwa na ccm Kama waitara we love you

  • @fikiriuliza1027
    @fikiriuliza1027 Před 5 lety +2

    Nakubar hoja zako
    Mheshi miwa

  • @amanijosiah5205
    @amanijosiah5205 Před 5 lety +12

    Wabunge kama huyu kuwapata adimu sana hii ni mashine ya nguvu sana

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 Před 5 lety +27

    Naipenda ccm ila wapinzani wanahoja zilizokwenda shule cjui tutumie njia ipi kuwadhibiti hawa jamaa

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 Před 5 lety +8

    The past is where we have learn the lesson, the future is how we apply the lesson

  • @kaizarkichenge3275
    @kaizarkichenge3275 Před 5 lety +4

    MSIGWA
    Is the people by the people & 4 people, true boy

  • @rashidkassim7523
    @rashidkassim7523 Před 5 lety +24

    tuwacheni unazi hawajamaa wanapoit ni nani mbunge ccm anaeongea point kama hizo?

  • @jacobmgumiro156
    @jacobmgumiro156 Před 5 lety +1

    Asante wapeleke shule haoo

  • @yaredamos7664
    @yaredamos7664 Před 5 lety +1

    Mimi Binafsi nimepick points thanks Mr. Msigwa.

  • @fredylukwaro112
    @fredylukwaro112 Před 5 lety +7

    Msigwa ukoviziri ila hayo makondoo ya ccm sijuikama yanaelewa

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 Před 5 lety +10

    ni kweli

  • @emmanuelsaiko5716
    @emmanuelsaiko5716 Před 5 lety +1

    MSIGWA mungu akubariki sana

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 Před 5 lety

    Str8 to the point...bravo

  • @mlewaisavile9793
    @mlewaisavile9793 Před 5 lety +5

    uyu jamaa anajua.anaongea ukweli kwa asiye tafakar ataona kelele tyu.kumbe anaongea point.

  • @belathomgaya4803
    @belathomgaya4803 Před 5 lety +4

    Bigap msigwa

  • @mathiascharles5769
    @mathiascharles5769 Před 4 lety

    Msigwa nimekuelewa sana.mfano hai raisi katoa vitambulisho kwa wajasilia mali wadogo.wakamaliza kuvigawa.halimashauri ya mji ikaanza kuoita kwa wajasilia mali hao hao nakuwafungia biashara kwa madai hawana reseni.

  • @jaffarimguwa6869
    @jaffarimguwa6869 Před 5 lety +7

    That is your view

  • @prosperutwa2260
    @prosperutwa2260 Před 4 lety +1

    Da huyu bg ni shida kuLa yangu kachukua

  • @daudhenry8909
    @daudhenry8909 Před 5 lety

    RC Mtaka ni super

  • @amanijosiah5205
    @amanijosiah5205 Před 5 lety +1

    Nakukubali sana msigwa

  • @mangotokuziwa4110
    @mangotokuziwa4110 Před 5 lety +2

    kwa ushauri huu tungekuwa mbali

  • @samwelsangoda3385
    @samwelsangoda3385 Před 5 lety +1

    Msigwa.nakukubali.sana.ndio.majemba.ya.upizani.kama.unamkubali.gondaleki

  • @ramadhanikakoree3728
    @ramadhanikakoree3728 Před 5 lety +5

    Msingwa waeleze ha0 wana0 kurupuka wataelewa tu kwn tatiz hili la uzalend wamanen0 utafikia mwish0 tu

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 Před 5 lety +2

    Tukubali idadi kubwa ya investors ktk nchi hizi siyo ishara ya mazingira bora. Baadhi ya investors wako ktk nchi kwa sababu ya udhaifu wa mifumo ya nchi hizo. Isiwe sababu sisi kutoboresha mifumo yetu. PPP zetu ni kutafuta kubeba pesa ya serikali badala ya kusaidiana na serikali.

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718

    Msiwatetegemee 2020 hawa jamaa wenye uwezo wote wa kujenga hoja No.kuingia bungeni labda wana nchi muamke.

  • @graceleonidas7362
    @graceleonidas7362 Před 3 lety

    🙏🙏🙏

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 Před 5 lety +1

    msigwa unaongea point san ila ushabiki umeizidi lau wangesikiliza ushauri hata wana nch wasingelia halingumu

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 Před 5 lety +1

    Huwa sikoseagi kuchagua upinzani

  • @muhidinmsabaha494
    @muhidinmsabaha494 Před 5 lety +1

    yuko sahihi msigwa

  • @edinamwanilwa8094
    @edinamwanilwa8094 Před 4 lety

    Tusipo kurudisha bungeni 2020 tumekwisha aise haijawahikutokea kupata kichwa hatari kama hiki

  • @fabiolapanga3130
    @fabiolapanga3130 Před 5 lety +1

    Hujawahi niangusha msigwa

  • @kenedykemikimba6546
    @kenedykemikimba6546 Před 5 lety +1

    Akili ya watu wa ccm nikama mbwa mwenyekichaa

  • @blastusmitawo2014
    @blastusmitawo2014 Před 5 lety

    Huyu jamaa sisiemu tumununue aseee,,namkubali mbaya

  • @kisuguruchesco5155
    @kisuguruchesco5155 Před 5 lety +1

    Wenye akili timamu pekee ndiyo wanakuelewa

  • @babaopra8044
    @babaopra8044 Před 5 lety

    bunge la Leo bab kubwa

  • @niaathuman1483
    @niaathuman1483 Před 5 lety +1

    Saf sn

  • @sadaramustafa8401
    @sadaramustafa8401 Před 5 lety +1

    Watanzania tulikubali akili ndogo kutawala akili nyingi mikataba mibovu ccm ni ugonjwa tanzania

  • @binomugabicolling9549
    @binomugabicolling9549 Před 4 lety

    Nimekuerewa baba point ya msingi hiyoo tujue uchumi wetu ss kama.watanzania

  • @duniamapitosotewamungu3467

    Watu wenye Akili wanaweka akili zao mfukoni kwa ushabiki wa kivyama

  • @omaryisingo5697
    @omaryisingo5697 Před 5 lety +1

    Wabunge wa ccm sio kwamba hawajui Bali wanamtumikia kafiri ccm

  • @raphaelpaschal7892
    @raphaelpaschal7892 Před 5 lety +1

    kiwanda cha moproko cha morogoro hadi leo ni hadisi hivi mwijage anauhalali wakuendelea kua waziri?mh msigwa naomba majibu kabla hujaenda IRINGA nipe jibu halaka

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 Před 5 lety +2

    Hivi hadi leo kuna wanaodhani China na Russia ni nchi za kijamaa na kikomunisti!? Seriously!!?? Watanzania huo ujamaa mnaodhani mnauiga kutoka China ni upi?? China ni nchi ya Kibepari kama tu ilivyo Russia na Marekani. Ila kuna ubepari wa China tunadhani ni ujamaa halafu sisi tunaiga na kuwa wajima original.

  • @magigejoseph255
    @magigejoseph255 Před 5 lety

    Mtuambie mbinguni au moton

  • @wenslausmadinga8819
    @wenslausmadinga8819 Před 4 lety

    wabunge mmekuwa wakweli ila siyo wazalendo sijawahi kusikia mbunge amekataa mshahala ukasaidie watanzania wasio jiweza.

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 Před 5 lety

    Wanasheria Wa kampuni ya ACACIA Bwana utawajuwa tu kaburu ni kaburu tu hata watanzania makaburu wapo

  • @mariamstephano5892
    @mariamstephano5892 Před 3 lety

    Msigwa gombea urais maana ww nikichwa

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 Před 5 lety

    marekebisho yafanyike tu mh ametoa point tuache ubinafsi wawekezaji ndio matabibu wa karibu kwa raia wa chini na wakibughudhiwa cc maskini tunaumia haraka sn, naskitika kiongozi wa mjadala huwa ajiongezi kuziona point bila uchama.

  • @kfastak
    @kfastak Před 5 lety +1

    Ahsate Msigwa. Hata wajinga wanakuelewa Ila hawawez kubali kutokana na ujinga wao

  • @rweyemamueustace1706
    @rweyemamueustace1706 Před 5 lety

    Nilikuwa sikusikii,sasa nakusikia,ulikuwa wapi mheshimiwa

  • @easy-muchwa8175
    @easy-muchwa8175 Před 5 lety

    Wew mbunge ni wazi una fikra za ulibelari. Sasa ukae pembeni utazame picha hizi zama za KAZI,UJAMAA na KUJITEGEMEA,tunataka SIASA ZENYE UZALENDO.Wawekezaji si suluhisho sana kwani mlango muhimu kutumbukia pango la NEO COLONIALISM.we need no PUPPETS we go SPIRITUALITY..Once a pastor then a politician,nyinyi ni wafanyabiashara tu rudini mfanye kazi mlime mashamba ama mfuge mifugo mjenge viwanda mtengeneze chakula muishi salama kwa AMANI na UPENDO kati yenu.BLACK SOCIETY against white supremacy ideas🌍

  • @omanoman1576
    @omanoman1576 Před 5 lety

    aiseeh msigwa hatareeeeeeeee wa bunge wa ccm wote nimabubu hawana midomo wenyew nikuwapng wabunge wa upinzani ila upinzani kaz yao nikuhoji selikali co kuhoji wabunge

  • @danielmalamba5730
    @danielmalamba5730 Před 5 lety

    PPP????😯😯😯

    • @philipinakagaruki828
      @philipinakagaruki828 Před 5 lety

      Ni public and private partnership

    • @allydisi3656
      @allydisi3656 Před 5 lety

      Tuko vizuri kuliko siasa taka za kupiqa sm watu wafunqwe msiqwa qoood sna

    • @kengerumganga4551
      @kengerumganga4551 Před 5 lety

      Tatizo LA watu WA ccm ukweli hawautaki ,unasema wapinzani wanatetea ufisadi,kwani mikataba wanasaini mawazili WA chama gsni? Acheni kuwa wstumwa WA kuwateteta ,hao wsliowatuma kwa masilayi ya chama tawala,ccm imechoka ,kodi zetu wananunuwa wabunge

  • @msemoswedy4125
    @msemoswedy4125 Před 5 lety

    Wawekezaji waliokimbia walikuwa wezi wakwepa kodi, nimarafiki zenu,

    • @elimeleckurassa5995
      @elimeleckurassa5995 Před 5 lety

      Msemo Swedy ushabiki huondoa busara mambo ya mpirani yapeleke vijiweni

  • @mohameddamka922
    @mohameddamka922 Před 5 lety +1

    Hivi we baba huwa unahakili sawa sawa?

  • @blasiusmwnje359
    @blasiusmwnje359 Před 5 lety

    Wewe ni yuleyule huna jipya

  • @jaffarimguwa6869
    @jaffarimguwa6869 Před 5 lety +2

    Huyu JAMAA anachotetea ni MABEBERU WAENDELEE kutonyanya almuhimu WATANZANIA wanapata ajira....mpumbavu kweli wee msigwa

    • @emmanuelsaiko5716
      @emmanuelsaiko5716 Před 5 lety

      Jaffari Mguwa usimtukane Msigwa

    • @kfastak
      @kfastak Před 5 lety

      Wew ni ziro kabsa

    • @yaredamos7664
      @yaredamos7664 Před 5 lety

      Hamna haja ya kumtusi Labda ukosoe kwa hoja.

    • @blastusmitawo2014
      @blastusmitawo2014 Před 5 lety

      Huwez kumuelewa ww unahitaji akili kubwa cyo akili maandazi aseee,mm mwenyewe SSM ila nimeelewa nn anamaanisha

    • @florahango190
      @florahango190 Před 5 lety

      Hivi upumbavu wa msigwa na wa kwako unaweza kuulinganisha kweli? Wawe ndo pumbavu la mwisho kabisa.

  • @jerryalfredngailo6106
    @jerryalfredngailo6106 Před 5 lety +1

    Nakukubali bwana mdogo

  • @deuscharles1499
    @deuscharles1499 Před 5 lety +1

    msigwa kama vile alie
    lakin wenye vichwa bomu hawaelewi