CHECHE ZA MBUNGE MSIGWA BUNGENI LEO "MIFUMO YA NCHI HII IMEFELI"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 02. 2020

Komentáře • 217

  • @shafiimpilika8264
    @shafiimpilika8264 Před 4 lety +31

    Kama umeona watoa taarifa wamechezea ukuni weke like hapa

  • @joshuakassoga825
    @joshuakassoga825 Před 4 lety +17

    Umeongea vizur sana aiseeh, Good speech

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 Před 4 lety +38

    Daaa inauma sn uchaguzi ujao 2020 tutavipoteza hv vichwa makini kwa hila za wazi wazi za mzee Meko.

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz Před 4 lety +5

    Bunge likiwa hivi kila siku amani itakuwepo ! Tunasikilizana na kupeana muda !! Nimependa sana leo Mh Speaker

  • @rogerkivuyo81
    @rogerkivuyo81 Před 4 lety +21

    Mwamba kaongeaaaa point ase kama unakubali gonga like yanguvu apo

  • @silasbenjamin3532
    @silasbenjamin3532 Před 4 lety +5

    Big up bro nice work you have spoken a good speech to the nation

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 Před 4 lety +1

    Nakukubali sana msigwa wasitupotezee muda tusonge mbele

  • @frankatilio4377
    @frankatilio4377 Před 4 lety +2

    God Bless Pst Msigwa

  • @abnelstudent2431
    @abnelstudent2431 Před 4 lety +11

    HV wabunge wa ccm mbona kila upande wa pili wakichangia wao wp na taarifa hivi no kwann

  • @Bigboy-nx3nc
    @Bigboy-nx3nc Před 4 lety +8

    WATOA TAARIFA🤣🤣🤣🤣👍👍😂😂... Msigwa Ndo dawa Yao.

  • @peter.b.michael3841
    @peter.b.michael3841 Před 4 lety +9

    Wabunge wetu ni shida,, kiswahili hawajui kiingeza ndo majanga kabisa,,

  • @robertjagad5826
    @robertjagad5826 Před 4 lety +14

    I think he is making a point umaarufu wa kina steve nyerere ni mdogo sana

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 Před 4 lety +7

    Wabunge wa upinzani ukweli wako vizuri haya majuha yaliyonunuliwa ovyo yamebadilika kuwa makapi

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 Před 4 lety +1

    Nakuombea sana 2021 urudi

  • @henrymlandali9187
    @henrymlandali9187 Před 4 lety +9

    Duuuuuuuu Mungu mpe nafasi nyingine mbunge wangu

    • @njiroimanuel8063
      @njiroimanuel8063 Před 4 lety

      Henry Mlandali ilindobungela mwisho hutamuonatena bungeni

  • @abubakaryomary3985
    @abubakaryomary3985 Před 4 lety +1

    Nakuwaminia msigwa Big up

  • @davoo2555
    @davoo2555 Před 4 lety +4

    Mihemko.... Wana mihemkooo sana Mh Msigwa

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 Před 4 lety +22

    Wanaotoa taarifa wanapewa za uso mh.msigwa 😂😂

    • @kipokendirangu2572
      @kipokendirangu2572 Před 4 lety

      Ali mussa huyo msigwa hajui uchumi wa dunia.tunachopata ni sawa wazungu wamekaba biashara hiyo ya utalii kama biashara ya mafuta ndiyo maana rais magufuli aliamua kuanza na moundo mbinu kufufua usafiri wa anga reli meli ili tuweze kupata kipato cha utalii kwa bahati mzuri utalii wa Tanzania unatangazwa huku london

    • @jastinchinga1989
      @jastinchinga1989 Před 4 lety

      Jiwe la Moto kwenye hikikichwa kimoja vimo vichwa100 vy kijani kma unakubalina na mm gongo twende2020

    • @elishajuma2615
      @elishajuma2615 Před rokem

      @@kipokendirangu2572 we fala huna akili kabisa

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 Před 4 lety +6

    Ila kweli kuna wabunge huwa hawahurumii kodi zetu!!!! Ivi wanaotoa wanaelewa kweli wanachomaanisha!!!
    Wapiga kura tujitathmini

  • @eustacevenant4567
    @eustacevenant4567 Před 4 lety +10

    Musigwa musigwa umejiita waziri kivuri still Wewe ni mbunge
    SASA unasema waache ubunge!
    Wewe ni mchungaji wawapi?
    Kazi mnataka kuonekana munaongea basi!

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 Před 4 lety +1

      Eustace Venant huwa akili hamna yaani wewe huoni logic anayoongea hapo,nyie ndo mnaturudisha nyuma

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 Před 4 lety +14

    Shikamoo Mchungaji,,,,,,,,, ila nisiongee jambo

  • @davoo2555
    @davoo2555 Před 4 lety +5

    Wabunge wa CCM mnaaibisha sana, bunge halina heshima tena utafkiri mkutano wa wanywa kahawa

  • @hamisikabwe3980
    @hamisikabwe3980 Před 4 lety +9

    Badala ya kuchangia hoja kwa mantic,nie mmekalia taarifa, taarifa,acheni ujuha nie baadhi ya wabunge wa ccm.

  • @fadhilgaspa6520
    @fadhilgaspa6520 Před 4 lety +6

    kanuni ya 28 sina data nimeishiwa hiyo kwa tundu lisu inatoka kichwani CIO mpaka asome

  • @fredmabeya
    @fredmabeya Před 4 lety +2

    This guy has a smart thinking

  • @dicksonaroka6961
    @dicksonaroka6961 Před 4 lety +1

    Safi sana mchungaj umeongea vizur sana na maneno yako tumeyaunga mkono kabisaaa yanajenga na s kubomoa saf sana

  • @esthernsami7732
    @esthernsami7732 Před 4 lety

    Mbunge mheshimiwa Rais wetu anaona mbele. Utalii wa wachina una sura nyingine. Wachina hawaji kwa ajili ya utalii. Usidanganyike. wanatumwa na serikali yao wapi waweke makao kupata mali ghafi bure.
    HESHI MA KWA RAIS WETU, WAZIRI WA MAMBO NJE PAMOJA NA VIONGOZI WOTE.
    ulimwengu wote wanajua Tzania inaongoza kwa utalii na wanatangaza sana kuhusu nchin yetu

  • @ezrawaya8377
    @ezrawaya8377 Před 4 lety +14

    Mh. Msigwa🤣🤣 ✌️✌️🔥

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 Před 4 lety +1

    wabunge strong wapo upinzani ndio maana ccm wanapenda kutoa taarifa ili na wao wapate kiki na waonekane,,,,!!?

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 Před 4 lety +1

    Wabunge wa chadema n kwamba wote wanaupeo kiasi hiki au ksa n wapinzani maana bnafc wote nawaelewa sn

  • @clevermaphotos
    @clevermaphotos Před 4 lety

    Nakupenda na nalizika Sana na utendaji wako wa kazi mungu akulinde

  • @lucusmvuna8574
    @lucusmvuna8574 Před 4 lety +1

    Wewe jamaa Akili nyingi sema tu tutawapoteza kwa mbinu zao tu jaman tutawamis sana

  • @tumaininerei5948
    @tumaininerei5948 Před 4 lety +6

    Dah ndio kusiwe na upinzani? japo mimi ni CCM naninampenda mh rais, lkn natamani one day bunge liwe 50% 50% nisiwe mchoyo wa makofi kwa spika kwa hili.

  • @luvisa2472
    @luvisa2472 Před 4 lety +3

    Huyu msigwa ameongea vizuri na inatakiwa mtu mwenye akili ya hali ya juu kumuelewa.
    Steve analalamika bure. Steve amewajumuisha wasanii wote ili apate support, msigwa usiombe radhi what you said is what is needed in Tanzania.
    Alicho ongea msigwa ndicho kinacho takiwa tanzania.
    Wizara husika chukueni point za msigwa. Well done msigwa

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 Před 4 lety +4

    Huyu msigwa hajui utalii hiyo biashara ngumu sana kwa sisi wafrika inatuia vigumu sana sawa sawa na biashara ya mafuta duniani

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 Před 4 lety

    Bishop upo vizur mwalimu nyerere aliwahi kukemea kwa mtumishi wa selikari kuwa na kofia zaidi ya moja.

  • @amhamediserengeti4808
    @amhamediserengeti4808 Před 4 lety +1

    Msigwa yuko sahihi kabisa utalii unatakiwa utangazwe kwa njia ya watu maarufu duniani

  • @rosemarymsulwa203
    @rosemarymsulwa203 Před 4 lety +3

    Ujumbe unaweza kuwa mzuri. Lakini jinsi unavyowasilishwa. Ni kutafuta sifa. Kelele hazijengi.

  • @mussachuo3910
    @mussachuo3910 Před 4 lety +1

    Hawa wabunge wa CCM wanaboa kila wakat taarifa tu mpinzani akongea wao Taarifa hii Taarifa iondolewe mbunge akiongea hayo mambo Taarifa mtu akaongee na mkewe

  • @eddymkwambe574
    @eddymkwambe574 Před 4 lety +3

    Tatizo ni kutokuheshimu umuhimu wa weledi na umahiri unaoendana na wakati bali uchama isiyo na tija

  • @mariamariam9239
    @mariamariam9239 Před 4 lety

    Nakupenda sna

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 Před 4 lety +1

    Upinzani akili nyingi sana,,Mungu awabariki

  • @clevermaphotos
    @clevermaphotos Před 4 lety

    Uko Vizuri Sana Mbunge Msigwa we unastairi kuwa Raisi kabisa

  • @donaldsinkamba4867
    @donaldsinkamba4867 Před 4 lety +4

    Big up Mh msigwa safi sana

  • @jacksnow2921
    @jacksnow2921 Před 4 lety

    Ahsante m'bunge wa kweli;kweli wafukua ujinga

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 Před 4 lety +3

    Tunawatarajia bunge lijao

  • @magdalenaandrew5457
    @magdalenaandrew5457 Před 4 lety +2

    Wabunge wa ccm fanyeni kilichowapeleka bungeni cyo Kila wakisimama wabunge wa cdm mnasema taarifa mnakwama wapi ??et hapo ndo urudi jimbon kwako kuomba ubunge mmmh

  • @danymsinga7048
    @danymsinga7048 Před 4 lety +5

    Kanun y 28🤣🤣🤣🤣

  • @mussaphysicscommissioner8458

    Kanuni ya 28 hahaha 😂 😂 😂

  • @ismailkidoga5109
    @ismailkidoga5109 Před 4 lety +4

    kanuni ya 28 hahahahahaha aibuu hiii

  • @lucusmvuna8574
    @lucusmvuna8574 Před 4 lety +2

    Dawa kwa watoa taarifa ni msigwa tu

  • @adamsoud4862
    @adamsoud4862 Před 4 lety +2

    Hakuna watu wajinga na madubu duniani kama wabunge wa CCM spika wao wote wapumbavu tu

  • @sangaryafundimasero2373
    @sangaryafundimasero2373 Před 4 lety +6

    Mchungaji umesema vyema sana 🙏🙏🙏

  • @silenceofficial8532
    @silenceofficial8532 Před 4 lety +1

    Mimi sijaona baya aloliongea naona point

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 Před 4 lety +1

    Mbunge wa ccm anakaa wiki mbili ajaongea anasubir mbunge wa chadema aongee aombe taarifa

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Před 4 lety +1

    Big up you

  • @tamimissa7525
    @tamimissa7525 Před 4 lety +1

    Unafaa sana

  • @veronicamutagulwa6192
    @veronicamutagulwa6192 Před 4 lety

    Ths is well spoken kiukweli

  • @martinekija4188
    @martinekija4188 Před 4 lety +6

    Hongera sana Leo umeongea Leo vzr

    • @tousihhhh6765
      @tousihhhh6765 Před 4 lety

      kabisa katisha san 🔥🔥

    • @the_white_43.
      @the_white_43. Před 4 lety

      sio leo tu....hiyo ndio kazi inafanywa na wapinzani kila siku..

  • @omarysebastian3208
    @omarysebastian3208 Před 4 lety +1

    Truth be told.I salute you ,Msigwa

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 Před 4 lety

    Hahaaa Steven nyerere mtalii hahaaa

  • @mdee261
    @mdee261 Před 4 lety +1

    Waziri anarogwa 😂😂😂😂

  • @amosikabalata6381
    @amosikabalata6381 Před 4 lety

    Ila kweli Stive Nyerere hata hajulikani malawi Afu eti ndo aitangaze nchi

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 Před 4 lety +2

    Kuna wabunge ni villazajaman duu sijui wamepewaje ubunge

  • @johnisrael1968
    @johnisrael1968 Před 4 lety +1

    We are not serious. Mbunge anaongea mambo ya msingi tunaingiza itikadi za vyama haha haaaaa ni kichekesho

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Před 4 lety +3

    Hahahaaaaa,akina Rambo,masanja,joti,kingwendu

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 Před 4 lety +1

    Kweli kabisa wewe Ni mchungaji halisi
    Wewe Ni kichwa Sana

  • @marrytanzania9035
    @marrytanzania9035 Před 4 lety +1

    Ccm wanatia aibu jaman

  • @gervaskihwele1556
    @gervaskihwele1556 Před 4 lety

    Good point

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 Před 4 lety +1

    Awa wanaosema taharifa wasenge sana huyu msigwa anaongea pointi alafu wanatibua kurekodi maneno kichwani

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 Před 4 lety +1

    For me he's right

  • @jumameneja1245
    @jumameneja1245 Před 4 lety

    Well said

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 Před 4 lety

    Acheni ujinga hana jipya hii ya siku nyingi kipindi hiki mmejitoa ufahamu rudi karantin

  • @juliusboy9057
    @juliusboy9057 Před 4 lety +3

    kanuni ya 28😄😄😄

  • @JohnJohn-zz4rn
    @JohnJohn-zz4rn Před 4 lety +2

    😄😄😄🤗

  • @alexrichard6931
    @alexrichard6931 Před 4 lety +1

    Good

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 Před 4 lety

    Euro hujui kitu bado

  • @julietbujiku453
    @julietbujiku453 Před 4 lety

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 Před 4 lety +1

    HIZI TAARIFA TAARIFA ZITOLEWE HAMTUACHI TUPATE POINTS, ACHENI USHABIKI WA AJABU IWENI WATU WAZIMA SASA BUNGE HILI KAMA LA VIDUDU VILE MBONA HAMKUI????

  • @hazibonplatformafrica9617

    Kanuni ya ngapi 🤣🤣🤣🤣ya 28 mheshimiwa,...heb isomee...mhe. spika kwa sababu ya kuokoa miss naomba nisisome.🤣🤣🤣🤣Aibuuu

  • @dollyandthedoliganeloi3025

    Jamani apo mchungaji umechemsha Roger Federer au LeBron utawalipa shilling ngapi si nchi itafilisika nchi nyingi tena tajiri zinatangaza ata kwenye treni au mabasi uku ulaya

  • @innocentselestne5871
    @innocentselestne5871 Před 4 lety

    Msigwa we nomaaaaa

  • @pierreadams3114
    @pierreadams3114 Před 4 lety +1

    Duh

  • @jumamarecho3393
    @jumamarecho3393 Před 4 lety

    💪🏼

  • @muhidinsaleh6832
    @muhidinsaleh6832 Před 4 lety +1

    👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @tamimissa7525
    @tamimissa7525 Před 4 lety

    Mkifika kumi na tano mambo yanaenda

  • @ismaililuhunga7254
    @ismaililuhunga7254 Před 4 lety

    They deal with things and not issues

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 Před 4 lety

    Msigwa anza kuaga ubunge maana hurudi tumeshakuchoka

  • @hemediswaibu5199
    @hemediswaibu5199 Před 4 lety +1

    Ni kwer kabsa

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Před 4 lety

    msigwa hapo kwa mawazir achana nao maana kaz zinafanywa watatengeneza sera paka lin faida ya sera nn acha maneno ya sio navitendo mgigwa hapo unafeli iv unajua faida ya wazir kusuluhisha kitu je unajua wananchi wamesha choka na mambo ya mahakan maana dunia hakuna mahaka yenye mwisho utasikia rufaa na kuhamish cort .

  • @marittejames4626
    @marittejames4626 Před 4 lety

    Hzi taarifa zinakera...

  • @franceally2774
    @franceally2774 Před 4 lety

    😂😂😂 28 kama namba ya Manula

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 Před 4 lety

    Kanuni ya 28 dah! Umetuzalilisha wanaichi wako mbunge,hata huijui hiyo kanuni

  • @boscophrolence3874
    @boscophrolence3874 Před 4 lety +1

    Taalifa taalifa za uso kule 2sipoteze muda

  • @michaeltbobias9620
    @michaeltbobias9620 Před 4 lety +1

    JE.! UNAFAHAMU DALILI TANO ZINAZO WEZA KUKUSABABISHIA UGONJWA WA BAWASILI NA UPUNGUFU WA HAMU YA MAPENZI.?
    👇🏼
    1➡-kukaa sehemu moja kwa muda mrefu bila kushughurisha(KUUSHURUTISHA) mwili.
    2➡-kuto kupata choo kwa wakati ama kukosekana kabisa.
    3➡-kuto kufanya mazoezi ya KUNYOOSHA viungo vya mwili.
    4➡-Utumiaji mkubwa wa vyakula vya viwandani.
    5➡-mwenendo mbovu wa maisha kazini kwako.(kuto kula kwa wakati.
    Kama umeguswa na ujumbe huu, na unahitaji kupata suluhisho, karibu Upatiwe Ushauri ni BURE. Tuma meseji What'sApp Au Piga simu 📞☎popote ulipo+255715284390 //!! /!!

  • @mrperfect8852
    @mrperfect8852 Před 4 lety +1

    😂😂😂😂mcgwa hatak masihar kila wa taarifa ni panga2

  • @chibunews5642
    @chibunews5642 Před 4 lety +2

    Ones

  • @simonmisri6968
    @simonmisri6968 Před 4 lety

    Hahaaaaaaahaaahhaaa Kama umeona kuhusu utaratibu ulivyochanganywa Like

  • @woltabenad8311
    @woltabenad8311 Před 4 lety

    Msingwa noma

  • @yahayakazinyingi2534
    @yahayakazinyingi2534 Před 4 lety

    🖐️🖐️