The Year has been great 🎉 Let's gather here kama huoni hasara ❤!! There's more God has put in place for Us 😊🙏! From Kenya 🎉😚If you believe like this comment tufanye count down 🎉🎉!!
Wow Amen your songs really inspiring 🎉🎉🎉love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kikubwa uhai asanty yesu wakati wangu waja acha n zidi ku subiri bora nko uhai eeeish blessed
Huu wimbo n🔥🔥nikiwasha redio ndo wakwanza mpk majirani wanasema mmh una Mungu yupi ww et ooh Mungu wako wakuchelewa huyo nasema sana sababu alali wala asinzii,,very nice song
Dadicated to those who were rescued from hazard of landslide and mudflow in Hanang'.. "Kikubwa uhai hakuna hasara" . R.I.P tho those who lost their life.. 😢 KUNA KUSIMAMA TENA
Endelea kubarikiwa na wimbo huu
Komando ❤❤❤❤ wapi likes yangu😂😂
Likes ni nyingi mtumishi zidi kuendelea mbele Mungu azidi kukuinua
Amenipa uhai sioni hasara
The Year has been great 🎉 Let's gather here kama huoni hasara ❤!! There's more God has put in place for Us 😊🙏! From Kenya 🎉😚If you believe like this comment tufanye count down 🎉🎉!!
Ubalikiw mutumishi wa mungu komando❤❤🎉🎉from 🇧🇮
Wow wimbo wangu . Nakupenda saana. Wimbo mzuli Mungu akubaliki zaidi
Nyimbo zako zina nibariki sana ubarikiwe from uk
MUNGU ni YULE YULE aliyewapa amanita na mim😢😢 kikubwa uhai sioni asara❤❤❤❤❤
Barikiwa sana
Iam a very fun of you komando sir
Hii Ndo Nyimbo Ya Mwaka 💥🎯🎯💯🎯💯❤️
Wow Wimbo bomba sana na unanifunza kitu
Wow Amen your songs really inspiring 🎉🎉🎉love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kikubwa uhai asanty yesu wakati wangu waja acha n zidi ku subiri bora nko uhai eeeish blessed
Amen
Kazi nzuri sana, ujumbe mzuri sana..... Mungu azidi kukutumia Mtumishi 🙏
Sioni hasaraa😢😢❤❤
Watanzania wenzangu nataka nione🇹🇿lik zenu apo chini❤
Nakupenda sana
Wimbo mzuri sana mtumishi❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
My Favorite Song 💖💖💖💯💯
From kenya alowapa atanipa na mimi kikubwa uhai sioni hasara Amen Amen
Sioni hasara,,, much love from kenya❤
Niko na Mungu sioni hasara kikumbwa ni uhai
Siini hasara ,,, hakika MUNGU akubariki sana kakaaa ❤
Amen mtumishi 🙏
Zao la commando music 💪❤️❤️
May the almighty God continue using you to bless more. I love the song❤
Mungu ni yule yule,aliyewapa atanipa na mimi,niko hai sioni hasara🙏🙏🙏,napenda nyimbo zako kakangu,,,,ubarikiwe ❤❤❤
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Neema imekubeba mtumishi.. Kenya 🇰🇪 tunakupenda
What a touching song 🎵 brother you are so talented 👏 🙌
Nice wimbo mzuri sana
UNAUPIGA MWINGI SANA AB KAY ak KOMANDO WA YESUongera sana 🎉🎉🎉🎉
Mungu akutangulie nyimbo zako zinanibariki kwakweli kaka angu
Finally, another blessing it is
Amenipa uhai sioni hasara
Amen.
Ujumbe wa mwaka , bora niko hai najua atanifanikisha barikiwa kwa ujumbe mzuri
Uhai ndio kila kitu❤❤
Huu wimbo n🔥🔥nikiwasha redio ndo wakwanza mpk majirani wanasema mmh una Mungu yupi ww et ooh Mungu wako wakuchelewa huyo nasema sana sababu alali wala asinzii,,very nice song
Amina barkiwa mtumishi kazi nzuri sana
Nice song God bless you 🙏🙏
Touching song indeed,yuko mungu anayetoa watu matopeni na kuwafanya jinsi apendavyo
👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏽🙏🏽🙏🏽 more blessings.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Niko Hai sioni hasara 🙏🙏🙏
Kikubwa ni uhai 😇🙏
Kweli Sioni Hasara❤maana yajayo yanafurahisha, amenipa uhai sioni hasara🙏🙏🙏🙏 Barikiwa kwa ujumbe mzuri#Komando wa Yesu❤❤
Ongera sana Mtumishi nyimbo nzuri sana ii video ya viwango
Amen mtumishi 🙏
Komando amesema
Pia Mimi sioni hasara. Grateful always to God
Amen
Kikubwa uhai sioni hasalaaa
Waooo bonge la wimbo nabarikiwa mno🇹🇿🇹🇿
I like all of your songs and I make sure that every sings came I have to know it first before someone knows it 👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen mungu apewe sifa; hata asipo nibariki sioni hasara kwa sababu amenipa uhai; na uhai ni important sana, glory be to God
I love all your songs.May the lord bless you with more.
Good work ,,,pajipokuwa na umaskini ila uwai unatosha kumbe sion asara🤩🤩❤
🤝ujiandae nitaimba nyimbo moja nawewe unaimba vizuri
aiseee n wimbo nzur sanaaaaaa ,,hongera sana Mtumishi kwa huduma mzr hii na inayo tubariki wengi
Ameen to this song, I promise to come back here for I trust in God, kesho yangu ni nzuri
Ubarikiwe sana mtu wa MUNGU kwa huduma njema
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 from Drc Abedi Ahadi
Ubarikiwe kaka
Ubarikiwe hii nyimbo ina uwepo wa Mungu ndani yake na inainua sana thanks ujumbe nimepokea ❤
Ameeen ubarikiwe kwa wimbo wakujenga kweli kikubwa ni uhai be blessed alot
Dadicated to those who were rescued from hazard of landslide and mudflow in Hanang'.. "Kikubwa uhai hakuna hasara" . R.I.P tho those who lost their life.. 😢
KUNA KUSIMAMA TENA
Amen
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana 🎉🎉🎉🎉🎉❤
wimbo wa baraka 🔥🔥😍
Amen ubarikiwe ❤❤❤❤❤
MUNGU Awabariki sana ndugu zetu wa kenya kwa kuendelea kutuonesha support zenu hakika najisikia furaha sana kuona munavyo tupenda sisi wa Tanzania
Barikiwa sana Komando nakukubali sana👍
Ubarikiwe endelea kumtumikia mungu wetu
Amen Amen niko uhai sioni hasara 😁, Asante kwa hii ujumbe mtumishi wa mungu na barikiwa🙏
Kazi nzuri mungu akubariki sana❤❤
Ubarikiwee sana kaka
Much love from 254
Kazi nzuri nyimbo nzuri sana
Hallelujah 🙏🙌 glory to God 🙏
Umeua boss congrats sana
Apa bro msg safi sana🔥🔥🔥
The first one. Likes zije sasa. ❤❤
Asante natiwa moyo 🙏🙏🙏
Waiting 💙🇰🇪
Kazi safi sana,barikiwa sana kaka 🙏🏼 🙏🏼
Siona hasara.. Kikubwa uhai.
Continue to be blessed my brother, more money and more blessings from the almighty
Kazi nzuri kaka
Nimeikubali huku 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 God help you and your work.😊
Waiting for song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo nzuri saaana
Amen mtumishi 🙏
God bless you more and more my brother🙏🙏
Wewe ni mcha mungu kwa kweli do not change bro❤
Kikubwa uhai sioni hasara
🎉uhai kitu cha dhamana
Uhai kwanza menginé badae
HIT SONG BARIKIWA SANA MTUMISHI
Amen mtumishi
Kazi safi sana 🙏
Ameen Mkuu, Barikiwa saana ❤❤
Amen mtumishi 🙏
Love this 💕💕💕
Much love love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you abundantly
Good job
woow this is awesome ,the song speaks to me direct,God bless you komando wa Yesu
Nasubiri ni kiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ahsante sana zimebaki sekunde tu 😃
Kikubwa uhai❤❤
Kazi Safi bro,be blessed
Hongera komando mungu azidi kukuinua zaidi
Amen mtumishi 🙏
Wimbo mzuri sana❤
Wow your songs are always touching God bless you