Hello wadau na mashabiki wa Komando wa Yesu Duniani kote. Huu hapa wimbo mpya unaoitwa VITAENDA. naamini mtabarikiwa sana sana. Niombee tukutane hapa siku ya kesho na Mungu wetu atawabariki sana. Ahsanteni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Du! Aiseee umetowa kitu cha moto hakishikiki hakika kwa Yesu kuna raha yake yani wimbo nilivyousikiliza nimejikuta maaduwi zangu nawaomba msamaha ghafla wameokoka nashangaa sana
Hongera sana komando wa yesu katika kitu uko makini sana kutoa ujumbe alafu unajua sana kutunga mistari sijawahi ona wimbo wako na ukawa simple unatoa kazi kazi kweri MUNGU akubariki sana😂😂😂❤
Sijui ni nini lakini naimani MUNGU ni mwaminifu sana vitapita tu havitadum napitia wakati mgum lakini nimeingia tu nimeona huu wimbo nikasema wacha nisikilize nakutana na huu ujumbe barikiwa mnoo kaka komando watu wanaotaka tusivuke ni wakaribu yetu lakini Yesu wetu ni mwema hakika vitapita vinaenda hatutadum humo inuliwa sana hakika huu wimbo ni wa wakati sahihi kwangu
Yaani when I I’m going through life challenges nikisikia nyimbo zako tu nakuwa na matumaini tena that God will answer me , niwe nasubira.Ubarikiwe sana kaka
Wow blessed song it's true Jesus is a live and nothing permanent while the grace of our almighty is sufficient 🙏🙏🙏🙏feel loved and blessed from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪I love your music so much the messages in delivered well

Amina
Amen
Nmeingoja sana
Ahsante sana 🙏 🙏 🙏 @@sharonakinyi2036
Amina Mungu akubariki sana
Umeimba ujembe mzuri sana kama unapenda kazi ya comando like yako hapo
Kama unaamini vinapita na vitaenda weka like hapa
Wimbo mzuri sans👆🙏
Amen
Kwani vinadumu basi🇱🇷🇱🇷🇱🇷
vinapita vitaenda
Nikweli
nikwel 😢
Naiongoja kwa hamu nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu 🇹🇿
Unahaki yakupewa kweli❤
🎉❤❤❤
Du! Aiseee umetowa kitu cha moto hakishikiki hakika kwa Yesu kuna raha yake yani wimbo nilivyousikiliza nimejikuta maaduwi zangu nawaomba msamaha ghafla wameokoka nashangaa sana
Nimebarikiwa sana
Kijana Wa Yesu ambaye hakuna kijana anampinga
😃😃😃🙏🙏
Kazi nzur hiii
Ahsante ndugu yangu wa faida 😆🙏
I want to see my colleagues from Kenya🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏
Kweli vinapita vitaenda ..kazi safi ndugu❤
Vinapita vitaenda
Amen
Amina, Kila siku unapaa Mtumishi. Ishara kwamba Neema imekubeba.
Amen 🙏🙏
Ndio hii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Congo🇨🇩 tunakusikiliza sana❤
Ahsante sana 🙏🙏
Amina Amina Ujumbe mzuri sana huu Mtumishi
Amen
More grace❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am your strangest fan kenya 🎉🎉
Nitaka niwe wa kwanza wameniwahi bwana Yesu ni Bwana, ubarikiwe sana kamanda wangu napokea kwa jina la Yesu kristo, hii imeenda
Wimbo mzuri sana❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ahsante 🙏
Yaan huu Wimbo mzuri sana 💃💃💃💃komando wa yesu barikiwa sana 😊
Kaka Sam times Mungu anatupa ujumbe wa maisha ya mtu yaani ❤❤❤
Barikiwa sana kaka kazi zako hazijawahi kuwa za kawaida, tunajivunia kuwa ukoo mmoja na wewe 😂😂😂
Baba Mungu akubariki sana baba ❤❤❤❤
Haleluyaaaaa Haleluyaaaaa . Unanibariki sanaaaa komando wa Yesu ni kama umeimba maisha yangu
Mimi mkenya nko oman mie mwislam bt napenda songs zako bro jikaze utajaaliwa❤❤❤❤❤❤❤
🇰🇪❤️ watching from Asia call me Manas empire
Koma ndoo nakukubal sana kakaangu mungu akuinue zaid🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen,barikiwa sana mtumishi wa Mungu!Hakika vinapita vitaenda!
Wimbo mzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahsante 🙏
Kazi nzuri Sana Sana
Amen dadaake
Napenda utunzi wako kaka,kwanza wa hawanielewi,huo wimbo naurudia tangia asubuhi Hadi jioni bila kuchoka,barikiwa sana
Jina la Bwana Mungu wa Baba yetu Ibrahim liimidiwe kwa kazi zake
Amena kwakazi nzuri sana Mungu akubariki nakukutiya nguvu
God bless you man of God love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Unyenyekevu utakufikisha mbali.komando nimeona
Kazi zako nzuri zimejaa ujumbe Mungu azidi kukuinua juu
Amen
Uko vizuri san kak kipaj Chak nichakipekehe san
Hongera sana komando wa yesu katika kitu uko makini sana kutoa ujumbe alafu unajua sana kutunga mistari sijawahi ona wimbo wako na ukawa simple unatoa kazi kazi kweri MUNGU akubariki sana😂😂😂❤
😆😆🙏🙏
Ubarikiwe Sana mtumishi hakika wimbo wako umenibariki🥰🥰
Asante sana dungu wimbo zako zime sahi diya wengi Mungu haku bariki sana 🇰🇪🇰🇪
Amen
Sijui ni nini lakini naimani MUNGU ni mwaminifu sana vitapita tu havitadum napitia wakati mgum lakini nimeingia tu nimeona huu wimbo nikasema wacha nisikilize nakutana na huu ujumbe barikiwa mnoo kaka komando watu wanaotaka tusivuke ni wakaribu yetu lakini Yesu wetu ni mwema hakika vitapita vinaenda hatutadum humo inuliwa sana hakika huu wimbo ni wa wakati sahihi kwangu
Pole sana jamaaa angu Mungu hajawai kumuacha mwenye haki hakika huyu Mungu nampenda sana amenitowa sehem ambayo kwa akili ya ubinadam nisingevuka
Mungu akiwa upande wetu, hakuna vya kudumu katikati yetu. Vitaenda .
Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu,vinaenda.Huduma ya baraka🎉🎉🎉
Amen
Yangu hiyo kutoka Kenya ,vocals nazikubali
Yaani when I I’m going through life challenges nikisikia nyimbo zako tu nakuwa na matumaini tena that God will answer me , niwe nasubira.Ubarikiwe sana kaka
Wimbo mzur mno, F panja umeupiga mwingi 🙏
😃😃🙌🙏🙏
Vitaenda👌💯😊
Amen
Kweli kabisa Mungu akubariki sana mtumishi
Amen 🙏
Amen komando wa yesu ubarikiwe sana nimebarikiwa na wimbo mungu azidi kuwapandisha viwango vingine Kwa jina la yesu kristo 🙏 Amen 🙏 Amen ❤
Amen
Amen! Amen... Wimbo huu umenituliza, was about to take my own life😢😢😢 God!
Amen
Huku nikuinuliwa TU. Wimbo mzuri.
Wewe komando wa Yesu unajuwa kabisa. Nimebarikiwa sana na wimbo huu❤
Amen 🙏
I really like the message of our songs. Acha Mungu azidi kkuinua
Amen
Nice one 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good video🎉🎉🎉🎉❤❤
Ujumbe mzuri ndugu Mungu akuinue zaidi
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Good Music 🎵🎵🎵🎶
Komando music to the world. I feel like he is speaking to me
Wimbo safi sana... barikiwa kwa yote uyatendayo!
Amen, amen kazi nzuri sana
Blessings from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My inspired artist
Stay blessed man of God, umefanyika baraka sana
Wow blessed song it's true Jesus is a live and nothing permanent while the grace of our almighty is sufficient 🙏🙏🙏🙏feel loved and blessed from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪I love your music so much the messages in delivered well
Big up bro mungu akutie nguvu kwenye safari Eunice kutoka taveta twn holili
mungu aku bariki kwa wimbo mzuri mtumishi 🙏
Amen
Hawatajua kabisa
My song lyrics wen i remember all I go through,,,,, but ni yamda TU vitaenda
Amen 🙏
Ninakukubali sana ndugu yangu unaweza sana
Ahsante 🙏
Vinapita vitaenda nice song
Amen 🙏🙏🙏
Big up brother Mungu Yu nawe!! Ila angalia pia usije kukubali kuwekewa mikono na MANABII wa uongo!!
Amen
From Kenya am ohangala gospel rhumba kazi safi piga likes tukifuatana
Amen
Amen, hakika huu wimbo umenibariki na kunigusa kwa kweli MUNGU akubariki sana komando wa YESU👏🙏🔥
Amen
Hongera sana mdogoangu
Amen dadaake 🙏
From Kenya we love it music 🎼🇰🇪🇰🇪
Amen
You just sung the truth actually im touched by the song be blessed .
Wooow this song 😢😢 ❤🎉🎉🎉 is speaking my situation right now
Umeweza bro
🙏🙏🙏
ubarikiwe kaka
God bless you 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🙏🙏🙏
@@komandowayesu3642 keep good work 🙏🙏
Amen sana vina pita vinaenda
Umeimba ukwelikomando
Itatubeba neema
😆😆🙏🙏🙏
Good song
Yaaa ni ukweli
Can't get enough of this song ❤+254
Komandooooo🔥🔥🔥
❤❤amina
Cool❤
Kweli. Bat. Ykomugu
barkiwa
Hongera sana
Amina hongera sana.
Nice one my brother
Amen ndugu yangu 🙏
Mungu akubariki sana kaka
Unatisha
Naingoja Kwa Boom play
Mungu akubariki sana