🔴

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 04. 2024
  • 🔴#Live:MAZITO MAKONDA KUHOJIWA LEO, WALITAKA KUMUUA, MUNGY KUHUSU FARAGHA, SGR RASMI.I FRONT PAGE
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750 910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 17

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 Před měsícem

    Hiki kichwa mmekileta kina Madini kipo Vizuri blessings!

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před měsícem +2

    Makonda kateuliwa na Rais kuwa mkuu wa mkoa kama muwakilishi msaidizi wa Rais na Mwkt.wa ccm taifa ili ahakikishe sera za chama tawala zinatekelezwa na watendaji wote wa serikali. Kamati kuu ya maadili ikimkuta ana makosa,bado watasubiri baraka za mwkt wa chama na kiongozi mkuu wa nchi! Kamati haina ubavu wa kumuwajibisha Makonda,wala Rais ni propaganda tu kwasababu amewagusa!

  • @user-yw7ud9th2l
    @user-yw7ud9th2l Před měsícem +1

    Sheria IPO Kwa watuwachini siyo kwaviongozi urishawahi kuona wazirikuperekwa mahamani?

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 Před měsícem +2

    Yaani nyie watangazaji mkiwa mmeshiba viazi mbona mnataka kusema kila jambao kabla ya wakati? kunamabo hayawezi kushugulikiwa kwa njia nyepesi kama mnavyo fikiri.

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf Před měsícem

    Laa hawa ndio wanahabari wetu na hizo ndio habari

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 Před měsícem +1

    Wahandishi tafuta ya kuongea achana na viongozi wenu bado I vijana Sana. Tafuta kazi zingine

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 Před měsícem +2

    Mambo yote haya muarobaini wake ni KATIBA mpya

    • @MakameAbdallah-wn3hc
      @MakameAbdallah-wn3hc Před měsícem

      Kuna katiba kuliko ya Mwenyezi Mungu nayo tunaivunja.
      Hiyo ya kuandikwa na vijusi upenu iwe ndio muarubaini usijidanganye ndugu yangu kama ni kweli tufuate katiba aliyotuteremshia Mungu
      Tusiuwe
      Tusiibe
      Tusizini
      Tusiseme uongo
      Hayo tukiyaweza
      Hakuna hata haja ya Katiba yoyote
      Katiba mpya ni kilio cha wasaka tonge tu itatungwa na itavunjwa tusidanganyane

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před měsícem

    Wacha wamchezee makonda ananguvu za wananchi akija akienda Chadema Ccm watajuta

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc Před měsícem +1

    Bila shaka kitaelezwa tu.
    Mimi binafsi ninamuona Mhe. Makonda kuwa ni kijana mchapa kazi hodari na mbunifu.
    Muwazi na mkweli.
    Kasoro ya Mhe. Makonda ni kukosa hekima na busara.
    Anapaswa kujua nini cha kuzungumza, wakati gani na mahali gani.
    Ajue tu kuwa si kila ukweli husemwa hadharani.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 Před měsícem

      Ipo hivi ukiwa mkweli na muwazi bila kuficha unaonekana huna busara, na ukiwa kwenye ngazi za juu huitwa diktekta kama ilivyomkuta Magufuli, leo hii mama Samia hutumia hekima na busara huitwa raisi kivuli.

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 Před měsícem +1

    Ndugu Rais alisema Makonda amekichemsha chama mpaka hata waliokuwa hawaendi kutatua kero sasa wana kwenda, maana yake ni kweli hawamsaidii Rais

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh Před měsícem

      Makonda amesimamia ukweli na haki lazma awe na maadui wengi

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 Před měsícem +1

    Chama ndo kinacho ongoza nchi kila kiongozi yoyote waselikari anasimamiwa na chama kwahio Makonda kuitwa na chama ni sahihi

  • @josephusimbanilo9500
    @josephusimbanilo9500 Před měsícem +2

    Msicho elewa ni kwamba, Chama chaweza kumuita mtu yoyote awe serikalini au kwenye Chama, kwasababu Chama ndio kinaongoza serikali.