Rais wa DRC, Tshisekedi awakataa Marekani na UFARANSA, adai ni WAjanja Wajanja, bora CHINA na RUSSIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 05. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Zábava

Komentáře • 114

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Před 22 dny +32

    Waafrika sisi ni ndugu tuamke Kwa pamoja ❤❤❤

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl Před 22 dny +21

    Hongera chisekedi Kwa kutambua Hilo

  • @Qbaby814
    @Qbaby814 Před 22 dny +13

    kama kweli anamadhumuni ya dhati kwenye izo nchi mbili kati ya Urusi na China basi tutaona mabadiliko nchini DR Congo.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Před 22 dny +7

    Aise sns mmchangamka sana kwa sasa mnakuja na habari za kimkakati maana vijana tusibweteke tu anasa uku bara letu likipotea. Ongereni sana sns na Dr Smart + Dr Alli Masubi + Sky

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue Před 22 dny +12

    Nimefulah sana Bado Tanzania mazwazwa hatuna maamuzi mpaka mangaribi ituongoze

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ Před 22 dny

      Tanzania majuzi walipelekwa Viongozi wetu wa Kijeshi wakapate mafunzo

  • @19ddr
    @19ddr Před 22 dny +8

    Good one, lkn chunga mabepari wasikuuwe

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 Před 22 dny +11

    Hongera snaa kwa kuwa na muamko, amka big blaza na viongozi wa afrika amken

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon Před 22 dny +8

    Namkubali mr kisekedi kasbutu japo sio kazi rahis ila naamini alilo lianzisha nijema na Mungu amlinde anatamani kukomboa inchi yake naamini one day atafanikiwa

  • @EmanuelMkongwi
    @EmanuelMkongwi Před 22 dny +7

    True bro hat mm nimeon kweny Africa news🤜💥🤛

  • @Mpapyrizy
    @Mpapyrizy Před 22 dny +11

    Congo 🇨🇩 Stand up Na Inatakiwa Wananch Wamuonge Mkono Raisi Yupo Na Akili Pana

    • @mwajumabinwa604
      @mwajumabinwa604 Před 22 dny

      Yeah

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 Před 22 dny

      Waatauwa wangapi msiogope kufa nyie viongozi waafrika pambaneni kwa ajili ya watu wenu ache kwafsidisha wa magharibi

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 Před 22 dny +11

    Sasa Ameanza kujitambua. Marekani wajanja sana wanajifanya kukemea lakini ndo wanasapoti hao waasi.
    Hongera kwake Felix

  • @AliyJumaIbrahim
    @AliyJumaIbrahim Před 20 dny +1

    AHSANTE SAANA KWA KUSIKIA NDUGU YETU TCHESEKEDI KUSEMA UKWELI KUMBE AFRIKA BADO TUNA HAZINA YA MASHUJAA , KABRA YAKE NI MUAMAR GHADAF IN, SHA ALLAH KWELI KUMEKUCHA TULE MATUNDA YETU 🍉🍊🍍🍏🍐🍓🍎🍌🍑🥭🥝🍇🍊🍍🍈🍒🫐🍋🍉✔️✔️✔️✔️✔️

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses Před 22 dny +3

    Safi kabisa amewashtukia. Walinda amani wote wa UN kaz yao ni kuchochea vita ili waibe madini

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr Před 22 dny +5

    hawa FIRSTPOST ni watu makini sana na nauona sky na hii simulizi na sauti mkielekea huko.. mnapiga kazi nzuri sana

    • @izack9191
      @izack9191 Před 22 dny +2

      Firstpost huwa wanaegemeaga upande moja sometimes

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Před 22 dny

      Wion na Firstspot hamna, kwanza ni ma anti China,Pakistan, NK, pro India!! Pia inasemekana mdhamini wao mkubwa ni VOA yani Voice of America, wanapo ongelea sana migogoro ya Ukraine na Gaza huwa wanaripoti ki western style....

  • @henryking6070
    @henryking6070 Před 22 dny +3

    Wanangu wabongo tujuwe Wacongo ndo ndugu zetu waukweli siyo hawa wanyarwanda hawa, KAGAME kibaraka tu anatumiwa na wamagharibi kuitesa DRC ila kwa rais huyu Thisekedi kumekuwa na mabadiliko mengi sana inchini humo, mimi nimupe tu THISEKEDI ongera yake anawapenda watu wake

  • @user-qf9uj2oc1b
    @user-qf9uj2oc1b Před 22 dny +1

    Hongera sn Rais wangu Nakupenda sn From U S A kinachobaki atuletee Wagner ili waje wazime mistale yote ya majambazi wa Monusco ❤🇨🇩❤

  • @isihakamshare3396
    @isihakamshare3396 Před 22 dny +4

    Hata hawo wachina asiwaamini saana. Kila mtu anatifuta faida.

    • @Fadhilimwamlima
      @Fadhilimwamlima Před 22 dny +2

      Kikubwa nikuangaliya atakaye ipa unafuu wa Madigan kwenye inchi yake

  • @tresorkabongo8758
    @tresorkabongo8758 Před 22 dny +4

    Atuna raisi sisi ameshindwa na rwanda na ndo wanauwa wa Congo kila siku

    • @songamberetv2219
      @songamberetv2219 Před 22 dny +2

      Ubaya wenu ndo uwo president Felix amefanya makubwa kapokeya nchi ilikuwa haina jeshi kabisa lakini leo afadhari lakini bado kwa ujinga wenu hamuyaoni ayo

    • @tresorkabongo8758
      @tresorkabongo8758 Před 22 dny

      @@songamberetv2219 bro amefanya nini Kama siyo kuiba millions $ y wa Congo kipeleka ulaya

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Před 22 dny

      Kwa hiyo na sisi wataka tuwe wauwaji?

    • @tresorkabongo8758
      @tresorkabongo8758 Před 22 dny

      @@mwawekomiuda9779 wewe hujuwi siyo mkongo so kazana na story za TV tu

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 Před 22 dny

    Mwamba ka thubutu 👏👏👏 👏👏👏

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 Před 22 dny +3

    Safi sana Kongo

  • @GeorgeMagadula
    @GeorgeMagadula Před 22 dny +3

    Dah ishi miaka mingi mchambuzi

  • @user-km4kb3xj3y
    @user-km4kb3xj3y Před 22 dny +3

    Kafanya ukweri zingatia maisha yaraia wako

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před 22 dny +3

    Kasha washtukia kwani mbinu wanazotumia wazungu wote wanashilikiana ktk mikataba ya nchi za Africa na ni wamoja mnoo kila wakipanga taarifa zao ni moja ila cha ajabu Africa kila nchi inajifanyie yake ndio maana wanatudanganya ktk mikataba kwani wao ndio wanapanga iweje lakini china yupo poa tu hata utaalamu hafichi hao weasten wanafanya siri ni matapeli wazuri sio wa kushilikiana labda wabadili mitazamo yao ya kihuni

  • @BlandineMatata
    @BlandineMatata Před 4 dny

    Congo bwana niatar kila wakati ni kwetu 😂😂❤

  • @user-gu3ez2if8k
    @user-gu3ez2if8k Před 22 dny +1

    Iyo ndo ilitakiwa cku nyingiii awatimue na Belgium

  • @Ankobiotics
    @Ankobiotics Před 22 dny +4

    Kapiga dili la matrilioni na China. Ndio maana anadunda kama anaolewa Jumamosi.

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa Před 22 dny +2

    WA Kongo mkiungana na wachina na urus vita itaisha kabisa

  • @KibongeJoseph
    @KibongeJoseph Před 22 dny

    Napenda raisi wangu Felix,Mungu amulinde

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 Před 22 dny +4

    Mama Samia wetu jibakie kimya 🤪, huu ni wakati mgumu usiingilie ya watu 🫣

    • @hamisramadhan-eb3ie
      @hamisramadhan-eb3ie Před 22 dny

      Uchaguzi wamwakani ccm njooni nahoja zakutosha. hatutaki mambo yawamagalibi badilikeni tumechoka kutukima😢

  • @HansChuma
    @HansChuma Před 22 dny

    Nikweli enough is Enough wallah ningefurah kama ningeona congo majiran zetu wanaaman❤❤❤

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 Před 22 dny

    Hongera sana kwa hilo ,kongo ikikombole africa imekombolewa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Před 22 dny +1

    Taratibu anabadilika maana bazungu bhaaana ni wanafiki sana

  • @Mduduofficial
    @Mduduofficial Před 22 dny +2

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 Před 22 dny +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jimmymasebo6642
    @jimmymasebo6642 Před 22 dny

    Naomba viongozi wa Africa msiogope ongea ukweli hakuna atakae wazulu kwakuwa walio wazulu wakwaza wameumbuliwajamani

  • @user-tx3dh3de5o
    @user-tx3dh3de5o Před 19 dny

    Yeye mwenyewe Ana ishi ulaya, na ame wapa inchi yote. Huyo Tshisekedi ana ongeyaka hovyo hovyo ila matendo yake ni balaa sanna. Ame wauzia inchi.

  • @user-ce7eb1vz8l
    @user-ce7eb1vz8l Před 22 dny

    Safi sana kabisa rais bora kabisa

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Před 22 dny

    magahribi siku zote hawatangaz kitu kisichokua na maslahi na wao chenye kuwaudhi ndio maana nasema hata tecnolojia yao iko chini sema wanazitisha tu na kuzipora nchi maskin lakin wakikaza unaona anarudi nyuma na ushindi wao mkubwa marekani ni kutengeneza vibaraka na magaidi ndio wanaowasaidia kwenye kushinda vita vyao kama nchi itaweza kuziba mianya hiyo miwili marekani hana uwezo wa kuingia hiyo na kuichezea

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 Před 22 dny

    Siku Congo wakiwaKalibisha warusi wailinde Congo. Hiyo ndo itakuwa mwisho wa Mfaransa na marekani kuihujumu Congo.

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 Před 22 dny

    Asante sn Beton

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Před 22 dny

    huyu kweli ni mwanaume yaan maneno hayo kayasemea ndani ya ufaransa kwenyewe

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln Před 22 dny

    Naione marekani inapoteza ushawishi wake duniani

  • @GhislainNyakasane-sb9tl

    Kbs yuko sahihi 🇨🇩🇨🇩❤️

  • @shujahproboyofficiel34

    Kweli kabisa

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 Před 22 dny

    Nakubaliana nae
    10000%

  • @user-zm8nq6xv8o
    @user-zm8nq6xv8o Před 22 dny

    Uchambuzi umekuwa mfupi sana hizi siku 😢

  • @Pascal1122
    @Pascal1122 Před 18 dny

    Nasisi tunaipenda sisi kama wa Congo

  • @mlelwamagnus2743
    @mlelwamagnus2743 Před 22 dny

    aka kawimbo si watoe audio mbona kizur 😅

  • @simonmartin5358
    @simonmartin5358 Před 22 dny +2

    Rais mpuuzi haijawahi kutokea, kaxi kuwachekeachekea tu mabeberu haswa us na ulaya huyu ni kibaraka mtiifu wa NATO kiujumla

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw Před 12 dny

    Amebadilisha bwana..

  • @billskeez92
    @billskeez92 Před 22 dny

    Bro Sky tunaandalieni makala tosha yenye kushiba kuhusu DRC kina Sma&Masubi waende CHIMBO watwambie....

  • @user-tk2sj1mj1f
    @user-tk2sj1mj1f Před 22 dny

    🎉🎉

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e Před 22 dny

    Amesha wagundua hao wajanjajNja

  • @jonasizack6712
    @jonasizack6712 Před 22 dny

    MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI DRC CONGO

  • @Mazembenakushe
    @Mazembenakushe Před 22 dny

    Ni hao ✈️comment sava
    Russia ndo dawa

  • @user-ob9nu5dp1s
    @user-ob9nu5dp1s Před 22 dny

    Nice

  • @mbfarajay3846
    @mbfarajay3846 Před 18 dny

    Nashukuru sana kwasababu watu wanaanza kujuwa ukweli kuusu vita ndani ya congo;wamarekani na wa faranca ni wa janja sana ila mimi na waoana wajinga sana,ni wao walio mu uwa avyarimana na ndagyamira ila wanasema awajuwi nani alifanya ivyo

  • @user-vh3hj8mt6l
    @user-vh3hj8mt6l Před 22 dny +3

    Utawala wa mashoga nlazima uanguke imefika tamati

  • @mialanomanqobo6639
    @mialanomanqobo6639 Před 22 dny

    Ana jichanganya sana kwa speech zake
    Mbele ya raïs Macron wa ufarance amekubali kusaini contrats nyingi na inchi hiyo juzi tu 😂😂😂

  • @MasiliyaMukudi
    @MasiliyaMukudi Před 18 dny

    Ata kisekedi akatae wamarekani sio wamarekani ndio wanasumbua Congo ,kisekedi mwenyewe ndie aana akili yakuongoza inchi

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 Před 21 dnem

    Ndio marekani n'a ufaranca niwezi 😂😂😂😂 afazali china urusi inchi zenye upendo Kabisa acha wapoteze

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v Před 22 dny

    vipi yale maharage ya virutubisho yamerudishwa amerika au yameliwa

  • @Malkey4real.Alleytha_d330

    Daaaah

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 Před 22 dny

    Kumeanza kuchangamka ndugu msomaji

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před 20 dny

    Waafrika tukiungana na tuondoe issue ya passport. Tuwe tunabadilishana biashara na movement zitaongezeka na tuweke dollar yetu. United States of Africa. Unajua sisi waafrika lazima tushtuke. Huyu mmarekani dollar yake ipo juu kwa sababu yamuungano wa states . Sisi kuungana hatutaki. Hatuwezi kutoboa. Sisi tukiungana tukawa na pesa yetu. Dollar ya mmarekani itashuka. Na hicho kitu mmarekani hakitaki kifanyike africa.

  • @user-tb4ol6yp6c
    @user-tb4ol6yp6c Před 22 dny

    Ndani ya nchi kawachana

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Před 22 dny +2

    Chukua hatua wafukuzwe wote

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 Před 20 dny +1

    Kagame kibaraka wa merekani

  • @LumengeYondo
    @LumengeYondo Před 22 dny

    Mimi nimeona kifo mapema sana , RIP 😢

  • @amaniamisibm2652
    @amaniamisibm2652 Před 22 dny

    That’s my president ❤❤

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 Před 19 dny

    Ulikua nasubiri nini kwenda kwa Puttin...!

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v Před 22 dny

    tutambue hilo amerika na ulaya yote ni matapeli wa uchumi

  • @billskeez92
    @billskeez92 Před 22 dny

    Bro sky tunaandalieni makala kuhusu vita vya DRC kina Sma&Masubi waangie CHIMBO watuletee hiyo makala kuhusu jirani zetu

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie Před 22 dny

    Safisana raisi wacongo ❤❤❤

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n Před 22 dny

    Anachokfanya marekan mimi skishangai anapambania watotowake bolapunda afe mzgo ufike

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 Před 22 dny

    Congo DRC 🇨🇩 My Country 🇨🇩😭😭😭😭

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n Před 22 dny

    Aschokiju uyoniktukmoja mahisha ya skuizi tofaut nazaman skuizi iliufikie marengoyako yoyote yalelazma uwemjanja mjanja akunahakiskuiz hakihataikuta mbngun mahishnivta kilamtu anataman kuwaju tatizo nikianzio akunamtu aliyezaliwa kumfulaisha mtu barinikupambania ndotozake

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 Před 21 dnem

    Felix wamarekani wata muagamiza siku simbalu Felix aliigiha kwenye mikatamba .yao .tena Felix die muchuganji mukubwa wa vita kwetu congo .M23 boss Felix

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd1320 Před 22 dny

    UMEAMKA KUMBE... SAFI SAANAA

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca Před 22 dny

    This is big news to ALL CONGOLESE

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Před 22 dny

    MTU YOYOTE MWEUPE SIO MTU UKITAKA KUENDELEA PAMBANA NA RASMALI ZAKO NA WATU WAKO BASI .

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n Před 22 dny

    Kwadunia yaleo hakuna anayefika jukwahak nahakuna hatakaye fikaju bilazulma aukuoneawengne askudangenye mtu sstunashnwa hatunakianzio uwoni atasisi wenye maskin kwamaskn tunaoneana kilasku kwamambo mamadogo yasyo nasababu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Před 22 dny +2

    Watamuua bure kama magu

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 Před 22 dny

    AENDE RUSSIA AONGEE NA PUTIN VIZURI

  • @user-nm2pr1xz6u
    @user-nm2pr1xz6u Před 22 dny +3

    Huyu ni Muongo sana kabla ya kusema ivo asha saini mika taba wazungu warudi Congo kutafuta maeneo Mpia ya madini, huyu ni Kibaraka tu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Před 22 dny

    Huo ndio ukwel na ukitak aman ktk nchi ya ongea na putin jesh la Russia liingie hap...Ndan ya wik tu makund yote yameisha ni kher ugawan madin na Urus iman ipatikan kulik vita kuendelea na madin kuibiwa na kutoroshwa

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n Před 22 dny

      Kwann asimalize makund Syria

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n Před 22 dny

      Uyoputi alichokifanya silia unakjua .Syria mbakaleo amaniakuna yembona yupopale

    • @jumashedafa
      @jumashedafa Před 22 dny

      @@user-tq4lx9si1n rejea ukanda wa sahel i mean bukinafaso, niger nk...huko syria cjawh kuckia kama jeshi la rusia lipo

  • @boaz9248
    @boaz9248 Před 22 dny +2

    Msi mwamini uyu raisi wa Congo , ni muongo sana, huyo huyo katoka ku saini mikataba na France 🇫🇷
    Eti ufaransa ndo wa anze kulinda madini au mali za Congo 🇨🇩

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony Před 17 dny

    China Russian nomaa sanaa 🙏🏼

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 Před 22 dny

    Na huo ndio ukweli mtupu,waafrika hebu tubadilike sasa,vinginevyo damu za waafrika zitaendelea kumwagika.