MHE.JERRY SILAA AMCHARUKIA MWALIMU || WEWE SURVEYOR WA MKOA || MWALIMU ATOA MACHOZI ( Part 2 )

Sdílet
Vložit

Komentáře • 186

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 Před měsícem +11

    Katika waziri mwenye kazi ngumu ni huyu kuliko wote, mungu amsaidie avuke salama, amjaze hekima na busara zaidi, ampe nguvu za kuwashinda maadui wanaomzunguka na wanaomsogelea Amin.

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 Před 27 dny +3

    Daa Mungu akusadie sana asee inaitaji ujasiri mwingi sana na moyo mkuu

  • @user-vi4wx7oi7o
    @user-vi4wx7oi7o Před měsícem +5

    Mwalimu sheria imechukuwa mkondo wake Acha kujiliza liza. Silaha kuu yenu wanawake ni kujiliza lakini haki leo imebainika. Waziristan Salaam aisee nakupenda bure tu kwa haki unavyoipeleka. Mungu azidi kukubariki

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Před 25 dny +3

    Usinipeleke ivyo me ndo nimewaita hapa nimeipenda iyo

  • @merinacosmassakaya4168
    @merinacosmassakaya4168 Před měsícem +11

    Katika waziri mkweli na mvumilivu ni huyu! Huyu tabu hata aibu haoni anataka kuchukua eneo letu bila aibu! Mungu akulinde mr waziri nimeamua viongozi wa kweli wapo

    • @MullarCmk
      @MullarCmk Před měsícem +1

      As family we are happy ...Ila tabu anapata tabu kweli

    • @bakarially253
      @bakarially253 Před měsícem

      Kila mtu anahaki Ya kutetea mali yake

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před měsícem +1

      Mwalimu Tabu yake yupo sahihi. Mama yake alizaliwa hapo walikuwa na Mifugo , Sasa iweje leo Mmasi awe na hati tena 15 , sasa je ni sawa. Mwalimu awe na Moja ? Mama yake hakuwa na uwezo , umasikini ni shida. Mtu ananyimwa haki yake. Mh Waziri jitahidi Rudi Tena kwa utulivu. Kamishna amedanganyanywa . Na bahati mbaya mama alikufa . Je tutafika ?

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Před měsícem +3

    Chapa kazi waziri, unatenda haki kabisa. Mwenyezi MUNGU akusimamie mh. Kulia kwake hakusaidii, sheria imefuata mkondo wake.

  • @user-yc1tm4hp4n
    @user-yc1tm4hp4n Před 23 dny +2

    Waziri umedanganywa waziri commissioner kakudanganya. Rudi upate ukweli.

  • @shariffsagaf2305
    @shariffsagaf2305 Před měsícem +16

    Napenda sana waziri anavyofafanua na anavyo ongea naamini mheshimiwa ni msomii wa hali ya juu sana.naomba mungu ampe kila la kheri

  • @kibwanasimba6431
    @kibwanasimba6431 Před měsícem +5

    Mm muishimiwa na kukubali sana ila hao watendaji wako kwamaelezo ya mama amesha wafuta mara 4 Leo wewe ulitakiwa uumalize huo mzozo tofauti na hapo huyo mama anadhulumiwa na kupenda sana waziri wangu lakini hapo nahisi haipo sawa

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 Před měsícem +2

    Nakukubali sana waziliwangu huna haraka huna hasira

  • @karamamomo5434
    @karamamomo5434 Před měsícem +8

    Waziri upo sw kwa mujibu wa sheriya lkn makamishina wako hamna kitu hawakufanya haki kwa huyu mama na family yk wamezaliwa hapo tangu miaka/mwaka 1960 leo wanakuja kuambiwa hawana haki ktk eneo lao na kushinda kesi wtt walio zaliwa wakiwaona na kuwafundisha mwenyewe darasan kweli inaingia akilin umewapa ushindi usiyo wa haki ……⚖️

    • @modestmmass7702
      @modestmmass7702 Před měsícem

      hujui kinacho endelea wewe

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před 28 dny

      Mungu atatenda kwa mwalimu, Dhuluma kubwa Sana imefanyika kwa Mwalimu.

    • @evancykashaga6576
      @evancykashaga6576 Před 27 dny

      Kweli namimi sijui sheriya ila hapa kiukweli naona kama haki ipo kwa uyo mama

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 Před 27 dny +2

    Kwakweli apa waziri naona maji yamezidi unga kabisa ila bado unaweza kufanya vyema zaidi kaza

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Před měsícem +6

    Hapa Kuna kujifunza Mengi SANA....
    -Watendaji wa Kata,hawahusiki

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 Před 17 dny +1

    Sasa viwanja vikipimwa wamiliki wa asili kwa nn wasipewe kipaumbele?

  • @bagalucha
    @bagalucha Před měsícem

    Nimemfuatilia waziri Slaa,kwa kweli anastahili kupongezwa,amefit kabisa,na yupo juu ya haki,pongezi Dr Slaa

  • @user-yc1tm4hp4n
    @user-yc1tm4hp4n Před 6 dny

    Mh. Umedanganywa hapo. Hati/offer ulizoonyeshw zimetengenezwa.

  • @adelatusiadolph8911
    @adelatusiadolph8911 Před měsícem +8

    Sema wazir mvumilivu sana

  • @NzingulaSonda-lo1qc
    @NzingulaSonda-lo1qc Před měsícem +3

    Hii tanzania masikini hana chake

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 Před měsícem +1

    Kaka yangu nikinunua kiwanja this day nakutumia in box maana haya ni magumu na mapito pole sana

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Před měsícem +2

    Kuna masheria yamewekwa bila kuzingatia utu tena ni mengi. SasaHuyu mama kama ana haki na mungu anajua, hayo machozi yake siku inakuja na mungu atajibu. Mungu ana macho na masikio

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be Před 15 dny

    Kuna vy kujifunza vingi sana katika utaratibu wa kununua viwanja na kuweka rekodi sahihi za documents, ni bora kufuata na kukamilisha aratibu ambazo ni salama kwako kwa njia iliyonyooka

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 Před měsícem +2

    Huyo mama anaongozwa na kweli ya roho yake

  • @user-wp7lz4cc7g
    @user-wp7lz4cc7g Před měsícem +3

    Fukuza makamishina unawatetea wanini

  • @satyalarm2214
    @satyalarm2214 Před 26 dny +1

    JAMANI mimi mbona naanza kulia mapema, maana nimenunua nimepewa mkataba wa kiwanja sio ati ya kiwanja

  • @FlorenceOttaru-jv4fi
    @FlorenceOttaru-jv4fi Před měsícem +1

    Mwaka 1992 hata hao makamishna wa ardhi hawakuwa kazini

  • @emmanueltamilamakene8495
    @emmanueltamilamakene8495 Před měsícem +3

    Mungu akubariki Waziri wa Ardhi Mhe Jerry Silaa

  • @silvanusremmy9575
    @silvanusremmy9575 Před 23 dny

    Silaa ya maangamizi ni KULIA na kusema MIMI NIMASIKINI,, uonewe huruma.

  • @LovenessFedrick-cy9fh
    @LovenessFedrick-cy9fh Před měsícem +1

    Hizi ardhi jamani ni kilio 😢

  • @aishakimaro2795
    @aishakimaro2795 Před 15 dny

    Mmh kwakweli hapa nahisi huyu mama pia anahaki

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 Před měsícem +1

    Nilitaman sn wazir aombe documents zinazoonyesha kuhamisha eneo kutoka kwa mama yake mwalimu kwenda kwa jiji

  • @MullarCmk
    @MullarCmk Před měsícem +2

    I can see my father and my brother .....DISMAS COSMAS IS TYPING........😂😂😂

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt Před měsícem +7

    yan mpaka naogopa kununua kiwanja hekaheka

    • @tztanzania2262
      @tztanzania2262 Před měsícem

      We ni Mimi kabisa yaan naogopa mnooo

    • @tariqmaduga8051
      @tariqmaduga8051 Před měsícem +1

      Mimi nimeshapigwa nimetulia tu apa na mapumbu yangu.

    • @gts5007
      @gts5007 Před měsícem

      Usiogope, kaanzie Ardhi

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 Před měsícem +2

    Watu wa ardhi hao ndio wsabaya wamewapa ardhi wa tu ambao hawastahiki na mwenye haki anadhulumiwa na waziri hana makosa

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Před měsícem

    Mimi naona maafisa wa ardhi wliochini ya waziri ndiyo wenye shida ya kutengeneza migogoro yatakiwa mahakama iwachukulie hatua za kisheria kugonganisha watu na serikali yao

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Před měsícem +2

    Tuliouziwa na wenye viti wa mitaa maeneo uwiiii😢

  • @ernestmununge348
    @ernestmununge348 Před měsícem

    Inaumiza sana kutojua Sheria tunaomba wizara ya aridhi waelimishe watanzania juu ya umiliki wa aridhi Hadi machozi yamenitoka kwa mama huyo kutotambua Sheria ya umiliki wa aridhi. " Haki haipotei inacheleweshwa"

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 Před měsícem +1

    Wazir kama mgeni na mambo ya nchi hii, kuhusu kujisifia na kutishana ni mambo ya kawaida sana, wala usishangae hilo

  • @user-fe4sr1bn6b
    @user-fe4sr1bn6b Před měsícem +1

    Hapana hii ni dhuma munabadilishijaje umiliki bila kumpa huyo mama tarifa

  • @user-qz5to1vn1z
    @user-qz5to1vn1z Před 28 dny

    Natamani kulia nipo Oman na nime nunua kwa mwenye kiti na Nisha jenga Sasa sintazimia mie miaka saba natumika na mwarabu Leo unikute sio kwangu😭😭😭😭.

  • @rashidnassor5608
    @rashidnassor5608 Před měsícem +2

    Pole mama yangu

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Před měsícem +2

    Watu wa Tanga mjini ni wajuwaji bila maarifa kichwani

  • @JosephatJohn-vb6zc
    @JosephatJohn-vb6zc Před 24 dny +1

    Tunao nunuwa viwanja kutumia mweyekiti wa mtaa tujuwane😂😂😂😂

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 Před měsícem +1

    wizara hii mama nafanya vizuri sana au aliwahi dhurumiwa kiwanja eti?mbona wizara nyingine kero ziko nyingi hamna haya

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Před měsícem +1

    Waziri toeni elimu kwa wananchi kuhusu sheria,,,,,tatizo mnaficha kutoa elimu

  • @alfabesh
    @alfabesh Před měsícem

    ninampongeza huyu waziri anazungumza kwa kwa adabu za hali yajuu sana wala aenuwi sauti ya juu kabisa

  • @jazeerajuma5014
    @jazeerajuma5014 Před měsícem

    Tena wenyeviti wanapiga hela sanaa jamani

  • @user-vn9om8wg2h
    @user-vn9om8wg2h Před měsícem +1

    Kwa elimu ninayo pata kwa waziri slaa nitaheshimu taratibu za ardhi

  • @kakurukakuru3317
    @kakurukakuru3317 Před měsícem

    Tatizo hapo kwa huyo mama ni jina lake😂😂😂😂

  • @kaimukhamis7898
    @kaimukhamis7898 Před měsícem

    Sema mama mbishi kikao kizima kasikilizwa yeye to

  • @MullarCmk
    @MullarCmk Před měsícem +1

    Tabu anapata tabu kweli...kumbe kaka yake kadhulumu kingine....majirani wengine miyayusho

  • @rosemarykipesha3898
    @rosemarykipesha3898 Před měsícem +1

    Me kama vwanja havijapimwa nani anahusika kama Sheria haimtambui mwenyekiti wamtaa?

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Před měsícem +6

    Maswala haya ya ardhi nadhani kuna siku nitakujaga kulala nje,nimejenga kwenye kiwanja cha baba na wala sijui kama huwa ana hati na hata sijui hati inafananaje aise😂😂😢

    • @Fhfhfhfhf78
      @Fhfhfhfhf78 Před měsícem +1

      🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Před měsícem +1

      @@Fhfhfhfhf78 kweli, yani nije nimuulizie mzee wangu anipe kabisa

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 Před měsícem

      😂😂😂umeacha nimecheka

    • @IsraelKisaila-vm6vj
      @IsraelKisaila-vm6vj Před měsícem

      @@fettyrashid9042 Yani hata Leo skijitokeza MTU na makaratasi yake akasema,hapa NI pangu,wala sina kipingamizi chochote MAANA mimi SINA karatasi yeyote inayohusiana na ardhi kiukweli.

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 Před měsícem

      @@IsraelKisaila-vm6vj Jitahidi uanze kufuatilia my friend lasivyo litakupata lakukupata,tunatakiwa tujifunze tuache kuishi kimazoea hata mjomba akikupa ardhi tujitahidi kwenda ofisi za ardhi

  • @modestmmass7702
    @modestmmass7702 Před měsícem +1

    pole jamaniii😂😂😂😂

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Před měsícem

    Mungu akutie nguvuu waziri wetu afya njema na kila la heri kaka❤

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 Před 13 dny

    Bila shaka hilo eneo lilikuwa zururaji.
    Sasa hivi zama za mawe zimepita hazipo tena mwl.
    Muda mrefu upo umeshindwa kulichukulia sheria eneo la mama yako.
    Sasa anzia hapo.
    Bila shaka hapo umejifunza kitu cha kisheria kitakusaidia kwa yajayo.

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 Před měsícem

    Tatizo wenyeviti wa mitaa darasa la saba felia, na ndio wanao shirikiana na madalali kuuza viwanja hawana wanacho poteza hapo wao, ila serikali iwasaidie hawa maskini wanao chukuliwa mashamba yao na kuuzwa

  • @Bashitetako
    @Bashitetako Před měsícem +1

    Duh tunalilia ardhi inayo tumeza kila siku

  • @user-ny6xw4ps4r
    @user-ny6xw4ps4r Před měsícem +2

    Huyu mama yuko sahihi sema sasa Nchi hii ina uhuni mwingi sana

    • @bakarially253
      @bakarially253 Před měsícem

      Shida ya hapa ni Elimu juu ya umiriki Ya Ardhi Pia hizo dimecation ndio shida. Watu wnapaswa kuelimishwa Kuwa kuna tofauti Ya kumiliki na kupangishwa ardhi kutokana na sheria Ya Tanzania kila mtu yupo kwenye Ardhi kama mpangaji. Mfano serikali leo ikiamua kuvunja mkoa mzima wa Dar watu wote watahamishwa kwa kupewa gharama ya ujenzi tu na sio wa ardhi. Sasa hii elimu serikali inapaswa kuitoa kwa wanainchi kupita wakuu wa wilaya

    • @eshymushi3495
      @eshymushi3495 Před měsícem +1

      Kabisa kuna kamchemzo ambako waziri haujui

  • @muaminiadamu2361
    @muaminiadamu2361 Před měsícem

    Wazinguaji ni watumish wa Ardh. Bila kujua chanzo hicho hizo ni siasa tu

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn Před 17 dny

    Waziri huyu anakaz ngum sana

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o Před měsícem +3

    Mboniii kamaaa mama tabuuu ikooo kiwanjaa chakeee wazirii katerezaaa

    • @onesmokway
      @onesmokway Před měsícem

      Kama umemsikiliza Waziri vizuri kuwa Shamba lilichukuliwa na Halimashauri 1992 na likapimwa likagawanywa sasa mama tabu kakabidhiwa kwa kamishna wa Aridhi aende ofisin wakaangalie utaratibu uliotumika kuchukuliwa kwa shamba hilo kama kuna haki anapaswa kupata atapata kutoka Alimashauri Waziri kamaliza mgodoro kati ya Mama tabu na Huyoo mzee Mmasi na Mama tabu sasa yeye anapaswa kwenda kwenye ofisi ya aridhi kuangalia halimashauri ilitumia utaratibu kuchu

  • @daudpius130
    @daudpius130 Před měsícem +3

    Huyo mama inavyo onaonekana anahaki kabisa

    • @hildagabriel1003
      @hildagabriel1003 Před měsícem

      Pengine Hana haki lkn upatikanaji wa pesa ni mgumu ndugu inauma umejinyima umepambana umepata million zako 2 hata miaka mitano umejibana tena baada ya hapo hata miaka 10 umejenga Leo unaambiwa huna haki ukiangalia una watoto ukiangalia hujui uanzie wap

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Před měsícem +1

    uyu waziri ata felii sana eneo la mtu na ni mali ya mzazi wa mtu sio fair

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 Před měsícem

    Nikifuatilia mamboyako kwangu nidarasa tooosha kabisa wazili wangu

  • @monalisaally4387
    @monalisaally4387 Před měsícem +2

    Huyo mama hana adabu maan kinacho mfanya asimame kitu gani

    • @harounramadhan9771
      @harounramadhan9771 Před měsícem +1

      Ina wezekana were ndo Huna adabu ungejua anapitia magumu kwakuona ana.nyimwa hakiyake
      Sikulikikukuta ndo utajua

    • @MullarCmk
      @MullarCmk Před měsícem

      Mama tapeli

    • @monalisaally4387
      @monalisaally4387 Před měsícem

      @@harounramadhan9771 wewe ndo huna adabu sijui ni mama yako yule .Mbona waziri ni mtoa haki sana kwanini yeye hakose haki?

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před 22 dny

      Wewe ndio huna adabu, na siku mama yako akidhulumiwa ndio utakapojua. Kwahili nikuambie ukweli Waziri amedanganywa na makamisha , na iko siku haki itapatikana.

  • @Zenny89
    @Zenny89 Před měsícem +4

    Mama Tabu ni tabu Kweli 🤣🤣 Huyu mama ni Mwalimu asiye elimika.

  • @satyalarm2214
    @satyalarm2214 Před 26 dny +1

    😢

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz Před měsícem +1

    Sawa bwana waziri

  • @Bashitetako
    @Bashitetako Před měsícem +3

    Tabu hakudhulumiwa sema anataka ahodhi eneo lote

    • @PapaMobimba-xr4gs
      @PapaMobimba-xr4gs Před měsícem +2

      Upo sahihi

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před měsícem

      Mwalimu na familia yake wamedhulumiwa. Hii issue irudiwe , ichunguzwe, ili haki itendeke . Mungu anawaona . Iko siku.

  • @user-yc1tm4hp4n
    @user-yc1tm4hp4n Před 6 dny

    Haha tendewa haki

  • @manfredkibona3126
    @manfredkibona3126 Před měsícem

    Unalilia haki ya umiliki ardhi wa asili , yaani unawahi kusema hapa pangu 😅

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Před měsícem +1

    Mmemzulumu huyo Mama, Jerry silaha MUNGU anakuona

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před měsícem

      Tena wamemzulumu waziwazi , Hapo wamekuzunguka na wanakuhoji tena kwa ukali. Wanakupa amri zisizo sahihi. Mwenye Eneo anapewaje kiwanja kimoja, mchaga anapewa 15, anawauzia watu wengine ,je hii ni sawa?

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 Před měsícem +1

      @@tabuomary1016 huyo Jerry silaha kampachaga 15 kwasababu wote wa kabila Moja , Jerry mpare na huyo aliyepewa 15 ni mchaga,

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Před měsícem +1

    Mama anashindwa kuelewana na waziri kinachogombewa hapo ni umiliki wa zamani na wasasa ,,Sasa aende kupambania nyuma 92, huenda wakalipwa

  • @rahema907
    @rahema907 Před měsícem +1

    Masikini hana haki siku zote

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju Před měsícem +1

    Waziri anatenda haki hayupo kumuonea mtu

  • @user-fe4sr1bn6b
    @user-fe4sr1bn6b Před měsícem

    Inamana muda wote wenyeviti wanauza viwanja hamufamu? Mulitoa elimu gani kwa wananchi

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před měsícem

    Hiyo miaka walifidiwa kila.walipopima Mwl. Uchuro kulilia ardhi. Kanunue sehemu.nyingime

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před 29 dny

      Toa ushahidi .Tusikurupuke tu. Yakikukuta utajua.

  • @djumakadege659
    @djumakadege659 Před měsícem +2

    usilie kuhusu hicho kiwanja

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Před měsícem

    Watanzania wengi hawapendi kusikia ukweli sijui kwanini?

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Před měsícem +1

    Maskini miaka yote hana haki

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 Před měsícem

    Sasa huyo HONEST COSMAS MMASSI anaongea Kama Nani ! Mmasi haongei kwanini ? Mmasi achunguzwe. Waziri amepigwa changa la macho. Kuna umuhimu wa kipekee turudi kwakaheza. Pia maamuzi ya mahakama hayafuatwi . Nikiiangalia hii Clip napata picha na elimu ya kutosha. Mwalimu ameonewa. Yaani inauma Sana.Mmassi achunguzwe. Haki itendeke.

  • @senixdanethox
    @senixdanethox Před měsícem

    Ingekuwa mawazir wote wanafanya kazi hivi tungekuwa km yeroshima

  • @user-vn9om8wg2h
    @user-vn9om8wg2h Před měsícem

    Mpaka apo nishapigwa ekar 40 Mungu anamwona hyo alienitapeli😂😂

  • @kaimukhamis7898
    @kaimukhamis7898 Před měsícem

    Wazili wangu samahani kidogo Apo kwenye kuona ofsa naomba unia una weza maliza miaka yako yote ya kuishi duniani nausimuone arafu wote tungekua tuna nunua viwanja mpaka juje huko hii Tanzania ss tusinge miliki nyumba maana ss waviwanja vya raki 8 singe skilizwa

  • @user-uo8xw9kr4b
    @user-uo8xw9kr4b Před měsícem +1

    Mi mwenyew niliuziwa km huy mam namwekit na mwenye eneo niliporud ten nikakuta kimemegwa kauziwa mwengne nilichofanya nilimwambia huyo mwenzangu nipe pesa nikuachie palipoba niondoke sitak kelele bas nikajiondokea zangu.

    • @issakisalu9237
      @issakisalu9237 Před měsícem

      Huyu mama hajauziwa na mwenyekiti, huyu hili ni eneo la mama yao la asili kwa miaka yote na wao (yeye na dada zake) wamezaliwa hapo inakuwaje serikali inakuja kupima inawapa watu wengine na sio wao waliokuwa hapo je serikal ililichukua hilo eneo kutoka kwa nani?
      Hapo ni uonevu wa waziwazi angekuwa mh makonda kwa stahil yake ya uulizaji jibu lingepatikana, haiwezekani eneo kutoka umiliki wa asili lipo kwao alafu linavyopimwa linakuwa kapewa mwingine,
      HAPO MAMA ATAIPATA KWA MUNGU HAKI YAKE.

    • @japhetgeofrey2063
      @japhetgeofrey2063 Před měsícem

      Daaah roho imeniuma

    • @khamisali9907
      @khamisali9907 Před měsícem

      Inasikitisha sana

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n Před měsícem

    Leteni nyaraka hapo hapo..

  • @2003hintay
    @2003hintay Před měsícem +3

    Mwalimu haelewi hata ufanye Nini Ana ubishi wa kitanga ujuaji, sijui anafun dishaje wanafunzi

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 Před měsícem

    Hapa inaonekana mama tabu na wizara kabla ya 1992 walicheza mchongo wakuzulumu saiv slaa anafata sheria mmpya wakati nyuma watu wamezulumiwa

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před měsícem

      Hapana huyo mama alizaliwa hapo. Wewe unakubali shamba la baba yako liuzwe ili mpewe kiwanja kimoja ? Dhambi Sana.

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Před měsícem +4

    Yani walimu kila mahali wananyanyasika tu😢

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Před měsícem

    Wizara yako inamagumashi huyu kapewa zamani huyu kapewa sasa yani mtihani

  • @abuahmed5734
    @abuahmed5734 Před měsícem +1

    Mama ana haki hapo

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 Před měsícem

    Kwahiyo kwa kusema hivi mauzo ya watu waliouziwa na watu kwa usimamizi wa mwekiti hayatambuliki na mtu kafukuzwa kwa maana hii unamaanisha waliouza kwa usimamizi wa mwenyekiti,hata wakiuza mara mbili kwa kufuata utaratibu unaopaswani sawa tu? na aliyeuza akawa na haki tu! Hauoni kuwa hii Inachochea migogoro? Maana waliouziwa kwa usimamizi wa hawa wenyeviti ni wengi sana?

    • @harunachungu2742
      @harunachungu2742 Před měsícem

      Ni hivi viwanja vilivyo pimwa tuu unauziwa na mwenyekiti then unaenda ardh kuomba ofa .ukikuta kinaofa ujue umepigwa ukikuta hakina ofa bas unaweza kupewa

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Před měsícem +1

    HUYU MWALIMU HANA ADABU ANASIMAMA MBELE YA WAZIRI?

  • @alphoncembasa592
    @alphoncembasa592 Před měsícem +2

    Swali la mama kuwa kabla hawajapanga eneo hilo lilikuwa la nani na kama walichukua je kwa utaratibu gani

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 Před měsícem +1

      Ww kichwa chako km huyo mwalim hebu skiliza vizur

    • @user-sv4er3xe7n
      @user-sv4er3xe7n Před měsícem +9

      Kaka wapo wengi sana wanaweza kusikiliza lkn wasielewe kwaufupi waziri amikiri eneo lilikuwa la mama yake almashauri wakalichukuwa nakupima viwanja vyamakzi kuzia mwaka 1992.kuzia mwaka uo kuja na elfumbili halitambuliki kama shamba tena nimakzi yawatu wakapewa viwanja pamoja nawao wanafamilia Sheria ya nchi pia ujue Aridhi yote nimali ya serekari wakitaji Aridhi sehemu yoyote kwajili ya matumizi ya uma wabachukuwa na kulipa fidia kwahyo alichoambiwa mama afutilie kipindi shambalao linachukuliwa 1992 walilipwa fidia km awajalipwa atalipwa sio kudai kiwanja au eneo lile lile Liwe lao

    • @kitomondo
      @kitomondo Před měsícem +1

      @@user-sv4er3xe7n Kama walilipa fidia, lazima rekodi zionyeshe. Kuna utaratibu wa kutwaa maeneo na hilo eneo limetwaliwa kinyume Cha utaratibu, hivyo hati zote hapo zipo kinyume Cha utaratibu.

    • @joyce55727
      @joyce55727 Před měsícem +2

      ​@@user-sv4er3xe7nasante kwa ufafanuz pia mm sikua nimeelewa hivyo ndio inatakiwa sio km wengine ni kutukana tu

    • @vifarangakuku9098
      @vifarangakuku9098 Před měsícem

      Asante kwa kutuelekeza kwa ufasaha nisingelewa chochote barikiwa

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 Před měsícem +1

    Anachokifanya waziri Kiko sawa, kulikuwa na upotoshwaji mkubwa kwenye ardhi. Sasa wahusika kukubali matokeo ni shida. Ila maelezo ya waziri yamekamilika,

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc Před měsícem +1

    Duh huyu mama ni mwalimu wa upe maana ni mgumu wa kuelewa sana

  • @verodmrealuty790
    @verodmrealuty790 Před měsícem

    Waziri tunatamani uje njombe,

  • @gerardkonyani3099
    @gerardkonyani3099 Před měsícem

    Hapa mashaka yaliyopo kuwa huyo ambae anaonekana kuwa mwenye haki inawezekana amekula na wataalamu wa ardhi mkoa hivyo hapo mh kwa kusoma karatasi hizo lazima aone kuwa huyo mama hana haki

    • @tabuomary1016
      @tabuomary1016 Před 22 dny

      MMASSI amezoea , iko siku mungu atamuumbua.

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 Před měsícem

    Karoge tu tabu😂😂😂😂😂

  • @MohamedSarahani-gk6jx
    @MohamedSarahani-gk6jx Před měsícem +2

    Mwalimu mgumuu kuwelewaa kamaa hajasomaa