Yanga SC 5-1 ASAS FC | Highlights | CAF CL | 26/08/2023

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2023
  • YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano.
    Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor
    Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza…..
    Tazama highlights....
  • Sport

Komentáře • 124

  • @azizambise
    @azizambise Před 9 měsíci +3

    Waoooh hawakukosea kusema max day, yanga tamu 💚💛💚💛💚

  • @JoyceShangwe-zz1no
    @JoyceShangwe-zz1no Před 7 měsíci +2

    Yanga naipenda sana

  • @MamuDar-eo6ys
    @MamuDar-eo6ys Před 9 měsíci +2

    Asante chama langu yanga oyeee mambo kama hayo nawaombea wachezaji myafanye mwezi wa kumi na Moja,

  • @nkosiyabomasuku1795
    @nkosiyabomasuku1795 Před 9 měsíci +2

    Dakika ya 7, jezi namba 7 na mpira mboga 7 🔥
    Daima mbele, nyuma mwiko 💛💚

  • @Johnmasanja27
    @Johnmasanja27 Před 9 měsíci +4

    Dakika ya 7 namba 7 max huyoo😊😊❤❤❤

  • @dauditobiko
    @dauditobiko Před 9 měsíci +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤yangaaaas

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 Před 9 měsíci +2

    Kibabage mtu sana 🙌💪

  • @OmarOmar-gq5tk
    @OmarOmar-gq5tk Před 9 měsíci +2

    Kuna siku atakula mtu 10 c kwa kasi hii ya yanga❤

  • @kizitondeka2273
    @kizitondeka2273 Před 9 měsíci +2

    Max Mpia, Jezi No. 7 anafunga goli dakika ya 7 na sekunde 17 what a coincidence😊😊😊

  • @kingleonard3484
    @kingleonard3484 Před 9 měsíci +3

    Yani Azam kwenye Highlights bado hamko serious. Kweli mechi hii ya kutuletea dakika 7?

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Před 9 měsíci +2

    Iyoo. Ndo .yanga. Bwanaa. Injinia. Herrss. Ni. Bora. Kuliko. Like. Boya. La. Ugari. Sukari

  • @user-kj1bv7im6j
    @user-kj1bv7im6j Před 9 měsíci +2

    Hv mmegundua kitu leo MAXDAY goli la kwanza limefungwa dkk ya 7 na mwenye jersey no.7

  • @user-br8fz9vk8g
    @user-br8fz9vk8g Před 9 měsíci +3

    Yani hapo bado hujasema mpaka useme😅😅😅😅😅

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Před 9 měsíci +2

    💛💛💚💚💛

  • @user-te4or9kp1g
    @user-te4or9kp1g Před 9 měsíci +1

    Kazi kazi

  • @mudimoz9329
    @mudimoz9329 Před 9 měsíci +4

    Azam tv Mbona Sikuhizi Munazingua

    • @AllyASalum
      @AllyASalum Před 9 měsíci

      Sanaa...!! sasa dkk mbili na nusu ndio nini?

    • @zuhurahkambi5931
      @zuhurahkambi5931 Před 9 měsíci

      Yani hawa jamaa wa Azam wamekuwa wa hovyo sana Kuna haha gani ya kuweka highlight ya dk 7 no Bora msiwe mnaweka.

  • @ladiusmk.anthony4989
    @ladiusmk.anthony4989 Před 9 měsíci +3

    Nzengeli

  • @zuhurahkambi5931
    @zuhurahkambi5931 Před 9 měsíci +3

    Yani hawa jamaa wa Azam tv wamekuwa wa hovyo sana Kuna haja gani ya kuweka highlight ya dk 7 yani ni Bora msiwe mnaweka.

  • @mathiamgaya281
    @mathiamgaya281 Před 9 měsíci +2

    ongezeni dakika mnatunyima raha

  • @user-iy7tu6vn1j
    @user-iy7tu6vn1j Před 9 měsíci +3

    Azam highlight za msimu huu mnatubania sana sana sisi ambao tunategemea highlight kuangalia mechi hamtutendei haki kabisa na sisi ni wateja jamann mtujali.

  • @user-ru7np8ji9p
    @user-ru7np8ji9p Před 9 měsíci +1

    Azm wivu uwo dakk 7 mamaee zenu ❤❤

  • @Chakaboy-dw9wy
    @Chakaboy-dw9wy Před 9 měsíci +1

    Daima mbele nyuma mwiko❤

  • @fabrisakasongo3277
    @fabrisakasongo3277 Před 9 měsíci +1

    Sasa dakika saba ndo nini si bora mngeacha tu

  • @isacmathew9048
    @isacmathew9048 Před 9 měsíci +2

    Yanga inatisha mazee

  • @abuuharuna6769
    @abuuharuna6769 Před 9 měsíci +2

    Jamani jamani jamani
    Bao la kufutia machoz kwa zalan

  • @Amanzi27
    @Amanzi27 Před 6 měsíci

    Yaan had rahaaa

  • @OBEDINDOYA
    @OBEDINDOYA Před 9 měsíci +1

    Hii imeenda

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael Před 9 měsíci +60

    Nilichokigundua nikwamba Hadi sisi Mashabiki wa Yanga tumeanza kuiogopa Yanga 😅😅Sasa sjui hio club zenu vp??

    • @latifabrayt7509
      @latifabrayt7509 Před 9 měsíci +6

      😅😅😅😅😅😂😂😂 umenifurahisha

    • @maryjames7438
      @maryjames7438 Před 9 měsíci +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamn jamn

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Před 9 měsíci +1

      DADA AOLEWA NA NDONDOCHA BAADA YA MAMA YAKE KUMLAZIMISHA KUOLEWA KWENYE FAMILIA YA MATAJIRI MOSHI
      czcams.com/video/jdmLWp5HWFg/video.html

    • @ladslausgomel2089
      @ladslausgomel2089 Před 9 měsíci

      Sema ww ndugu yangu nkisema mimi ntaonekana mbaya

    • @maase2023
      @maase2023 Před 9 měsíci +1

      Yanga ipi ww? Mnajisifu kwa kibonde huyo jbouti? Subiri mkutane na wanaume ww

  • @MamuDar-eo6ys
    @MamuDar-eo6ys Před 9 měsíci +3

    Jamani MAX ZENGELI Ndio habari yanga anatisha Santee ,tunawaombea uzime,siku ya Simba na yanga kwenye uzima nitakuwepo taifa naomba iwe Raha kama hii nawapenda kaka zangu nawaombea ushindi Kila mara

  • @TumainielKitundu
    @TumainielKitundu Před 9 měsíci +1

    Azam tv kwakweli mnazingua sasa hii ni highlight au mmeonyesha magoli tu? Au ndo mnabania bundle 😢😢

  • @mikitrevo684
    @mikitrevo684 Před 9 měsíci +1

    Ongezeni dakika maana Kuna matukio mengine muhim yanakosekana kutokana na uchache wa dakika, highlight iwe na angalau dadika 18 adi 20

  • @scopy0428
    @scopy0428 Před 9 měsíci +2

    Nasemaje Fa'Mchezo ni Fa'Masihara Kama kutolewa tutolewe hukuhuku kwenye hatua za awal na yakwanza tukiingia tu Group stage wametukosa watatushikia Sem Final au Final yenyewe

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 Před 9 měsíci +1

    Hv Hawa Asas na Zalan wanatoka nchi moja au?

  • @user-ee5fu9wr4n
    @user-ee5fu9wr4n Před 9 měsíci +2

    Yani mpaka waseme

  • @ip_header
    @ip_header Před 9 měsíci +1

    🙌

  • @user-xs5mt1jx5x
    @user-xs5mt1jx5x Před 9 měsíci +2

    Yan Yanga asaiv inakomoa so kwa magoli ayo

  • @JumaShabani-vp4bs
    @JumaShabani-vp4bs Před 3 měsíci

    Mashine

  • @user-ru7np8ji9p
    @user-ru7np8ji9p Před 9 měsíci +1

    Azzk kawa mtam 😮😮

  • @user-qr4zo5wr5f
    @user-qr4zo5wr5f Před 8 měsíci +1

    Yaani hapo mpaka useme mbn badoo hujasema

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Před 9 měsíci +1

    Me ni yanga😂😂🎉

  • @SAM.NYUNDO
    @SAM.NYUNDO Před 9 měsíci +1

    Yaaaaaanga

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 Před 9 měsíci +1

    😮😮😮😮 hii imeeendaaaa

  • @user-tw3jc4zz3m
    @user-tw3jc4zz3m Před 9 měsíci +1

    Mpenja inaogea sana kuchambua Mpira hiwezi😂😂😂

  • @jerrykroos8863
    @jerrykroos8863 Před 9 měsíci +1

    Yangaaaaaaaaaa kiboko tunawataka wavaa vijuba

  • @jacksonmenas6026
    @jacksonmenas6026 Před 9 měsíci +1

    Yaani mpenja mpaka umesahau jina la timu eti zalani hao sio zalani ni asasi mabingwa wa kutengeneza maziwa😅😅😅

  • @kelvinminde9652
    @kelvinminde9652 Před 9 měsíci +1

    Nitafuten tuongee vzr

  • @user-pi5rz5hp2t
    @user-pi5rz5hp2t Před 9 měsíci +1

    😂😂😂😂yanga pambeeeeee

  • @Abdul87150
    @Abdul87150 Před 9 měsíci +1

    Tuleteeni ata DKK 40

  • @mishaelmethusela7809
    @mishaelmethusela7809 Před 9 měsíci

    Mtuongezee muda kwenye highlight matukio mengne mnayaacha

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Sijuwi Tuendeleze Au VIP?..

  • @maase2023
    @maase2023 Před 9 měsíci

    Yanga wakifuna vibonde dah hasira zote zinaishia kwa vibonde

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Před 9 měsíci +2

    Hapo hakuna magoli ya maana

    • @deboramartin8111
      @deboramartin8111 Před 9 měsíci +2

      Hata mama yako akilalwa wakimkojolea tuuu anaona sio wa maana

    • @aryanchuumu362
      @aryanchuumu362 Před 9 měsíci +2

      Ya maan unataka wafunge kwa mikono?

    • @mudimoz9329
      @mudimoz9329 Před 9 měsíci +2

      Nabado Utasema tu Hii Ndio Yanga

  • @user-bi1bq3od4q
    @user-bi1bq3od4q Před 9 měsíci

    Ila mnatupunja udabwi,udabwi hatuoni kama misim mingine tunaona matukio mengi

  • @maase2023
    @maase2023 Před 9 měsíci

    Kwa yanga hii wakikutana na simba tena naona kama wanapiwa 4 au 5

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 Před 9 měsíci +1

    Kwampira mzur unaochezwa nayang hamtakuja kuamin highlit zitatushwa had za dakika mbili wivu tu

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 Před 9 měsíci

    Mpenja bhana et wandewa wameanza kazi yao😂😂😂

  • @Ishickahroggohitttler
    @Ishickahroggohitttler Před 9 měsíci

    Mh !!!!!!

  • @ananiasjustice6840
    @ananiasjustice6840 Před 9 měsíci

    Pacome

  • @gwamakawilliam5895
    @gwamakawilliam5895 Před 9 měsíci

    Goli la kufutia machozi kwa zalan😁😁😁😁

  • @JacksonLaizer-ul6ek
    @JacksonLaizer-ul6ek Před 9 měsíci +2

    Where is king mayele

  • @zamratallly4191
    @zamratallly4191 Před 9 měsíci

    Et yuleee na blich yake😂😂😂

  • @user-mq1zq7kb7n
    @user-mq1zq7kb7n Před 9 měsíci

    Pacome😂

  • @dotodizo5354
    @dotodizo5354 Před 9 měsíci +1

    Max😂

  • @nazariuspeter7394
    @nazariuspeter7394 Před 9 měsíci +1

    Hii highlight ni very poor quality

    • @brandsmedia4861
      @brandsmedia4861 Před 9 měsíci

      simu yako kimeo tu, nawatch kwenye pc hapa HD safi

    • @carlosn_tz
      @carlosn_tz Před 9 měsíci +1

      Kweli kabisa.Huwezi kuweka highlights harafu unaruhusu muvu ya goli isionekani unatuonyesha marudio ya goli.

  • @djamanitvonline3623
    @djamanitvonline3623 Před 9 měsíci +1

    Basi apo Nzige wanajikuta arsenal 😩🐸🐸 Fyuuu

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Před 9 měsíci

    Yanga bhana yani wanapiga bomu mochwari afu wanajisifu wameua😄😄

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 Před 9 měsíci

    Tim kibonde wanasimba walishapiga mtu 8 sembuse tano

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 Před 9 měsíci +2

    TUNA BAHATI YA KUCHEZA NA VIBONDE KUDADADEKI

  • @kulthummohamed101
    @kulthummohamed101 Před 9 měsíci +1

    Yanga ni watu na nuxu

  • @damianimarusu721
    @damianimarusu721 Před 9 měsíci +1

    Ppp

  • @maase2023
    @maase2023 Před 9 měsíci

    Yanga maneno mengi sana lkn mpira bado uko chini mno

  • @athumanimnyasa5696
    @athumanimnyasa5696 Před 9 měsíci

    Mnakata migomba tu,, timu haina kwao,, CHEVU,,

    • @mudimoz9329
      @mudimoz9329 Před 9 měsíci

      Nabado Mutasema tu

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Před 9 měsíci

      Bado hamjasema tukiwachoma kidole MATAKONI ndo mtasema vizuri😃

  • @jamessakaya1890
    @jamessakaya1890 Před 9 měsíci

    Nilichogundua yang wamecheza na timu ndogo sanaaaa

  • @selemanijuma6238
    @selemanijuma6238 Před 9 měsíci

    kwel yanga ni wajinga, mnapiga kilema ara mnajisifu mnanguv, timu ambayo hain hata kwao, barak mpenja ndoomaan amewaita ``ZALAAN

    • @mudimoz9329
      @mudimoz9329 Před 9 měsíci

      Wajinga Wazazi Wako Walio Kuzaa Yani Babayako Na Mamayako Mzazi Wote Wajinga

    • @sijalisimon5090
      @sijalisimon5090 Před 9 měsíci +1

      Tunataka Kizalan kingine

    • @felisterjoseph4312
      @felisterjoseph4312 Před 9 měsíci

      Tuleteee huyo unaye muona wewe ni mzima tumnyosheee😊😊😊

    • @bahatirashid6964
      @bahatirashid6964 Před 9 měsíci

      Wakati tumemfunga 5G Kmc mlisema hanakitu mbona asas mmeshidwa kumfuga goli 5 mmemfunga 2 tu, sasa tumewajibu nao wemepigwa 5G naunaumiiiiia😂😂😂😂😂 yamani acheni wivu ,husda ni mbaya sana ivi Asas wenge cheza na Azam,Singinda na timu nyingi mngeyasema hayo kweli? Kubari tu kunaligusa boli, wewe na wenzio nuna nuneni sana ndio kwanza tumeanza.😛😛😛

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Před 9 měsíci

      Hamjasema vizuri tutafanya hivi hivi mpaka mseme