Highlights | Yanga 5-0 Zalan FC | CAFCL - 17/09/2022

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 09. 2022
  • Tazama mambo yalivyokuwa Yanga SC ikiichapa Zalan FC 5-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)
    Magoli matatu yamefungwa na Fiston Mayele na mengine yamefungwa na Farid Mussa na Stephane Aziz Ki
  • Sport

Komentáře • 254

  • @SpartsCkg6828
    @SpartsCkg6828 Před rokem +22

    Wanainchi tujuane basi apa 💚 like kwa Yanga 💚💚💚 much love from USA 🇺🇸♥

  • @octorviankalala5196
    @octorviankalala5196 Před rokem +14

    Huyu Aziz k Ndo Man Of The Match Kwa Upande Wangu he such a baller aiseee

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Před rokem +7

    Mungu Asante 💛💚💛💚 tusimamie Mungu Kila sehemu 💛💚💛💛💚💚

  • @karakatamuumba4310
    @karakatamuumba4310 Před rokem +7

    Azizi Key hilo turn sijawahi kuiona ligi ya Tanzania na Africa.Mamaaaaaaaa.Zidane level

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Před rokem +7

    Nyota kutoka wagadugu Stephanie Aziz ki💪

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Před rokem +7

    Aziz ki fundi kweliiii kweli🔥

  • @ahmednimairi2561
    @ahmednimairi2561 Před rokem +2

    من جمهورية السودان اقدم لكم تحياتي.. فريق الشباب فريق كبير ومحترم وله اسلوب جميل وممتع كنا نحن كسودانيين نتمنى ظهور فريق الشباب في دور المجموعات ولكنه اصطدم بالهلال نتمي لكم التوفيق انتم شعب جميل ورائع وجمهور راق

  • @nassorokhadija3652
    @nassorokhadija3652 Před rokem +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 l love you yanga mnanikosha hatar naskia rahasanaaaaaaaaaa

  • @zaitunishaaban5520
    @zaitunishaaban5520 Před rokem +4

    Alhamdulillah tumepat ushind💚💛 Bismillah Masha ALLAH 🥰

  • @ip_header
    @ip_header Před rokem +3

    Ahsante Azam TV kutuletea highlights kwa wakati 👏👏👏🤝

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 Před rokem +5

    Unaweza kusema Zalan Dhaifu ila ukikumbuka kipigo cha Mayele FA unabaki kimya...
    Yanga Bingwa 🏆🏆🏆🏆

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe Před rokem +6

    Congole kwa kipa wa zalan🙏🙏

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 Před rokem +6

    mayele ni hatare sana, yanga raha

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 Před rokem +7

    Jamn japo tumewafunga 9 ila huyu kipa ni nomaaaaa🙌🙌🙌🙌 ASANTE MUNGU YANGA OYEEEEEE💚💛💚💛💚💛

    • @fabianmwinuka1395
      @fabianmwinuka1395 Před rokem

      Nikweli hamida uyu golikipa ni shujaa wao wangelow ishirini leo

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 Před rokem

      Ni kweri kabisa Hamida, namuona kwa mbariii uyo kipa, muda simlefu atasajiliwa geita.
      Jamn hamida mbona ivo rakini, mwenzio naumia

    • @hamidayanga8224
      @hamidayanga8224 Před rokem +1

      @@enockabumba7513 Anajua sanaaa🔥🔥

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 Před rokem

      @@hamidayanga8224 kabisa mpnz

  • @maryjames849
    @maryjames849 Před rokem +4

    Yanga tamuu💚💚💚💚💛💛wa kwanzaa kucomment

    • @eneakayange7588
      @eneakayange7588 Před rokem

      Hamna lolote kitimu mlichokutana nacho kibovu Sana

    • @hope_jr
      @hope_jr Před rokem

      We acha tu mamy yani ni firee

    • @hope_jr
      @hope_jr Před rokem +1

      Maneno ya mkosaji ayo yan amuishiwagi maneno yakusema yanga ikishinda

    • @collinndabi1914
      @collinndabi1914 Před rokem

      @@eneakayange7588 mbona hata wewe tulikupakata

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 Před rokem

      @@eneakayange7588
      Nawew nimbovu wetu vilvil

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Před rokem +5

    Mayele and Halaand next kings football

  • @msasenathpotiphar1732
    @msasenathpotiphar1732 Před rokem +2

    Mayele sijutii kukupenda 🔥😍🤣👏, MUNGU akulinde na mabaya 👏

  • @chrisomondi3426
    @chrisomondi3426 Před rokem +5

    yanga is really playing nice football. This might be our year in the continent.😎

  • @pmall8867
    @pmall8867 Před rokem +5

    Makolo Karibuni kutazama Highlight Yetu 😂😂😂

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 Před rokem +6

    Mayele mayele mayelee aaaaa ndo uyo uyoo

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 Před rokem +12

    Wamefungwa Zalan wanaoumia Makolo, Bongo bhna! 😂😂

    • @hope_jr
      @hope_jr Před rokem +1

      Hahahahaha mara wanasema tumekutana na timu mbovu yani hawajawahi kuridhikaga na ushindi wa yanga. Wivu tu umewajaa.

    • @porousthedon650
      @porousthedon650 Před rokem +1

      Mayele na wenzake walijisahau wakajua wanacheza na makolo ndo kilichowakuta

    • @abdymmanga6338
      @abdymmanga6338 Před rokem

      @@hope_jr Umeon eeh 😂😂

    • @abdymmanga6338
      @abdymmanga6338 Před rokem

      @@porousthedon650 Aloo 😂😂

    • @officiallcoolest_khid3223
      @officiallcoolest_khid3223 Před rokem

      Msameheni jamani 😅😅😅

  • @mwanaidihussein6887
    @mwanaidihussein6887 Před rokem +1

    Navoipenda yanga yangu 💚💛💚💛💚💛🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @zubaidabakari4589
    @zubaidabakari4589 Před rokem +10

    Makolo wanatamani kusema tumepiga bomu mochwari lakn wakikumbuka tulivyowafanya wanabaki kusonya tu

  • @Sirkitwe
    @Sirkitwe Před rokem +4

    lomalisa nimemkubliii kwa cross na kuchopu mipira💚💛

  • @MvpupdateOnline
    @MvpupdateOnline Před rokem +9

    Sema ushindi wamepata yanga lakini bado yanga wanashida ya kutumia nafasi yani sio makatili wakiwa na goli utulivu hakuna nafasi alizopata mayele leo angeondoka na triple hatrick kabisa kuna umuhimu wa kuwa na kocha wa washambuliaji awapesomo washambuliaji ukikutana na timu Bora Africa chance unazipata chache sana na unatakiwa usifanye nakosea ni hayo tu asante

  • @estherrogers1870
    @estherrogers1870 Před rokem +2

    Kwel mmenifurahisha yanga sanaaaaaaaaaa

  • @nyzerjnl7960
    @nyzerjnl7960 Před rokem +5

    AKOT AKOT NAMUONA MBALII AKIJA HATA GEITA KUNA TEAM ZITATESEKA

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 Před rokem +3

    Huyu kipa🙌🙌🙌

  • @maryjames849
    @maryjames849 Před rokem +1

    Dah wa kwanzaa mimi🥰💚💚💚

  • @joejux1380
    @joejux1380 Před rokem +5

    Goli la farid mtangazaji anakuambia kiiingiii ngiiii mwamba huyu hapa😂 unajua juma khan katuaribia walimwengu kinomaa yaa eetie mwamba huyu hapa😂😂😂 ila yanga tamu jaman daaah

  • @tatuchande1615
    @tatuchande1615 Před rokem +37

    Inshallah mpaka turud na kombe la mabingwaa africaa 🤲🤲

  • @hidayamakuka7876
    @hidayamakuka7876 Před rokem +6

    Mtetemo ni swala la kitaifaa 💚💛💚💛😂😂😂😂

  • @ericklazaro285
    @ericklazaro285 Před rokem +3

    yanga respect for you

  • @moise6735
    @moise6735 Před rokem +1

    Kweli ni Mayele jina la magoli congrats Yanga Africans

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 Před rokem +1

    Hongera sana yanga kuishinda timu yenye kikomo kikubwa sana Afrika

  • @zubeidahkhanji8238
    @zubeidahkhanji8238 Před rokem +2

    Hatareeee💚💛💚💚💚💚💛💛💛💛

  • @uwesushabani2181
    @uwesushabani2181 Před rokem +5

    Yeyote atakaecheza na yanga msimu huu lazima aonekane kibonde

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Před rokem +2

    Mambo nimoto.Yangaaaaaa yanguuuuuuuu

  • @JohncenaSilverTV
    @JohncenaSilverTV Před rokem +4

    MAYELE Yule msee

  • @didierilombe5572
    @didierilombe5572 Před rokem +3

    Mashabiki wa Simba Mna Wivu wakupindukia . Kushinda kwa Yanga Team langu. Nyote Mna kwazika na Wakati ni Team La nyumba . Watanzania mna hupendo wa mdomoni tu ila ndani wanafki. Kwa Champions League akuna Team ndogo.

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA

    THE BEST TEAM

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 Před rokem +4

    Mechi hizi ndizo zilizotuzuia kumuuza MAYELE South Africa. Waliotulaum sasa wanaona tulichokitaka

  • @gm6526
    @gm6526 Před rokem +1

    Asante sana wachezaji kwa kutupa furaha

  • @vicentvedasto4296
    @vicentvedasto4296 Před rokem +1

    💚💛mechi tam Sana..💛💚

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Před rokem +8

    Hiyi yanga itasababisha naachika jamani mniombeye

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 Před rokem +3

    Yani hadi laha,sijutii kuwa shabiki wa yanga uwiiii.

  • @yangacongosupporter6051
    @yangacongosupporter6051 Před rokem +5

    Lakini yanga hii atari kabisa!!!!!!

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 Před rokem +5

    Kuna timu iliwai kupigwa goli tano Kama hizi mahala wakaenda sehemu nyingine wakapigwa tano Tena 👹🤣

  • @luqman4030
    @luqman4030 Před rokem +1

    Forever young 💚💛

  • @zakayomasenyena5735
    @zakayomasenyena5735 Před rokem +1

    Napenda yanga yanga tamu

  • @mkaparoad2666
    @mkaparoad2666 Před rokem +1

    Yanga safi sana hatareeeee

  • @samuelkakule8038
    @samuelkakule8038 Před rokem +12

    Naishabikiya yanga nikiwa DRC durba

  • @hallymed2220
    @hallymed2220 Před rokem +1

    Congratulations to yanga 💚💚💚💛💛💛

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 Před rokem +1

    Nataka jezi na mimi 😘😄😄

  • @gastonealinda7494
    @gastonealinda7494 Před rokem +3

    Siku ni chache Mayele anaondoka Yanga kwenda Ulaya

  • @mariamumaliki6980
    @mariamumaliki6980 Před rokem +2

    Yanga yam

  • @phiniasmwita2340
    @phiniasmwita2340 Před rokem +2

    Yanga Tamu

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 Před rokem +1

    MashaAllah

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 Před rokem +3

    Kipa kajitahidi sana

  • @kbdesgners
    @kbdesgners Před rokem +1

    Daaah IH team mbov San walitumia dakika 20 kuatemt golin kwa yang

  • @hidayamakuka7876
    @hidayamakuka7876 Před rokem +2

    💚💛💚💛💚💛👏👏

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 Před rokem +1

    Nice 🔥🔥🔥

  • @kbdesgners
    @kbdesgners Před rokem +4

    Team mbov San yan imepiga shut 1 mda wote wanacheza yang AF wat wanatok mbele kujitamba

    • @mathiasulaiti5665
      @mathiasulaiti5665 Před rokem +1

      utaelewa kama yanga mbovu au nzuri mechi round ya pili

    • @kbdesgners
      @kbdesgners Před rokem

      @@mathiasulaiti5665 nikwel mech yapil nikipimo sahh so IH mech niwaz wapinzan hawakuwa vizul kak iyo IPO waz m naeshim magol yamefugwa mazul lakin mpinzan hawez kabisa at kupunguza mashambuliz

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Před rokem +3

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama hautojali

  • @AnordiFidelisi-gh3xy
    @AnordiFidelisi-gh3xy Před 29 dny

    Bado tunakumbuka mechi hizi ya kipigo kizito kimataifa yanga bama

  • @almostcomic
    @almostcomic Před rokem +4

    Sijawai ona timu mbovu kama hii Zalam

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 Před rokem +2

    Imeisha iyo

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 Před rokem +1

    44 ona trending

  • @jayrwalihmussa8475
    @jayrwalihmussa8475 Před rokem

    I love yanga❤️❤️❤️

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 Před rokem +3

    YANGA OYEEEEEÈEEEEEE

    • @nassorokhadija3652
      @nassorokhadija3652 Před rokem +1

      Oyeeeeeeeeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @innocentmbugi1961
    @innocentmbugi1961 Před rokem +2

    Yanga hii haitofautian saaaana na PSG

  • @robartluambano3825
    @robartluambano3825 Před rokem +1

    Yanga ninoma

  • @robinabomola8030
    @robinabomola8030 Před rokem +8

    Yanga wakishinda goli nyingi makolo wanasema team waliyocheza nayo mbovu .ila wao wakishinda wanasema wao ni bora zaid kumanyoko zenu ..... sasa mtu anirudishie nakuroga ukufe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @israelkisserei524
    @israelkisserei524 Před rokem +1

    USIKU WA LEO NIMEOTA "UTTO UNITED" WAMELIWA TATU UGENINI, HALAFU BONGO WAMETOKA SARE SARE

  • @rogersiddy8975
    @rogersiddy8975 Před rokem +4

    TFF igeni hili wakati wa picha ya pamoja makeptain wawili na marefa hatujaona msimamizi wa mechi akiwa na suti yake apo inatuchefua sana tukiona mtu na suruali lake akipiga picha wachezaji badilikeni TFF

  • @harvestpeter9488
    @harvestpeter9488 Před rokem +5

    Kituo kinachofata ni alhilal kutetemeshwa

  • @Ngusa119
    @Ngusa119 Před rokem +1

    I love you yanga

  • @ramadhanmachaku7631
    @ramadhanmachaku7631 Před rokem +1

    Nice young africans

  • @liverpoolliverpool592
    @liverpoolliverpool592 Před rokem +2

    💕💕💕💕💕🥰🥰🥰🥰

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 Před rokem +2

    King ni mmoja tuu Mayele ...Makolo mnapata taabu,kama mnasema tumecheza na timu mbovu...mleteni tena mzungu...hahahaaaaa
    Yanga tamu bhuana

  • @davialkejo6787
    @davialkejo6787 Před rokem +4

    Basi bwana dunia ndo hii🗣️

  • @estherrogers1870
    @estherrogers1870 Před rokem +2

    Fimbo n fimbo tu hata ukiwa ndogo inachapa

  • @lightnessgoodluck8123

    akot akot Ni mchezaji mzuri basiii TU yaaani
    lifee

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 Před rokem +5

    NYIE MAKOLO ACHENI UNAFIKI ZALAN INGEKUWA TIMU MBOVU ISINGEFUZU KUCHEZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KWA HIYO HATA NI NYIE NIWABOVU TUSHAWAPIGA SANA KAMA NGOMA NA BADO HATUJAMALIZA KUWA PIGA

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Před rokem

      Kwasababu Yanga imeshinda

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 Před rokem

      @@mohdkhatib223 NYIE MAKOLO MNAYESEMA ZALAN TIMU MBOVU JE?IINGEKUWA BOVU INGEFUZU KUCHEZA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA HAYA NYIE TUSHAPIGA SANA KAMA NGOMA JE NANYIE NI WABOVU?

    • @sabrinakiobya6745
      @sabrinakiobya6745 Před rokem

      Pole Sana lkn hi ndo yangaaaa pole ww Simba nenda mbugani etiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😏😏😏😏😏😏

    • @winnieangelo4985
      @winnieangelo4985 Před rokem

      Nyooo mbn Magori yote mnafunga kipindi cha pili ao vijana wakiingia nyumbani mnawapa nn maana wametoka kama wamelewa acheni huuni

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 Před rokem

      @@winnieangelo4985 NYOO MWENYEWE KUFUNGA MABAO KIPINDI CHA PILI NI SYSTEM HATARI TULIYOJIWEKEA BAADAE TUNAANZA KUWA PIGA KAMA NGOMA YA MDUNDIKO

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 Před rokem +1

    Yanga Tam

  • @robertmboya7842
    @robertmboya7842 Před rokem +3

    Nina imani na yanga yangu

  • @danfordmahumi232
    @danfordmahumi232 Před rokem +2

    Yanga hii Acha tu

  • @fatimasoliman967
    @fatimasoliman967 Před rokem +2

    Alahil in the way no dance kalal cry

  • @salumhassan4309
    @salumhassan4309 Před rokem +2

    Subirini raundi ya pili mtaona kitakacho tokea ndio mtajua nzur au ilicheza na KiBONDE kwenye ligi tu hamjashinda zaidi ya NNE ikisha mnajisifu na timu nzur mpira mnacheza yanga tu hio timu kweli au ya mtaani

  • @benjagaspar5304
    @benjagaspar5304 Před rokem +2

    Kilicho waponza hio jez yao Kama ya simba yanga walijua wanachenza na smba🤣🤣🤣🤣🤣🤣mi yanga 💚💚💚💚

  • @peterolonyokie6713
    @peterolonyokie6713 Před rokem

    Yanga tamu

  • @mesekwerwa4592
    @mesekwerwa4592 Před rokem +2

    Lete kisinda

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Před rokem

    Sijafurahia ushindi hii timu mbovu Sana Klabu Bingwa huwezi kuitoa timu kwa mabao 10-0.

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 Před rokem

      Yanga bora.Kwani hata hao Simba mnaowaona niwazuri kwakuifunga nyasa Kama timu ngumu.Walifungwa na Yanga bao 2 1 Mimi nafurahi na kuwaombea wafanye kazi nzuri zaidi kwakadiri wanapokutana na timu yoyote yenye uwezo wowote.Alan sio dhaifu Bali imekutana na timu nzuri.

    • @zubedaramadhani1289
      @zubedaramadhani1289 Před rokem

      We ndo unajua boli

    • @eidallyeidally5093
      @eidallyeidally5093 Před rokem

      Inamaan hii team sudani inachez daraja la pili?

  • @rosierajabu2280
    @rosierajabu2280 Před rokem

    💚💛💚💛

  • @saidymwajeka8612
    @saidymwajeka8612 Před rokem +1

    Oyeeeee

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 Před rokem +2

    Oya huyu Aziz Ki hodari bhn na anajua hasa kulitumia lile guu

  • @ernestwilliam7764
    @ernestwilliam7764 Před rokem

    Mi watatu yanga moto

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 Před rokem +2

    Fiston kalala mayele soon to England akikipiga Arsenal

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před rokem

      England team ya taifa tu haitwi

    • @mohamedsheealom8745
      @mohamedsheealom8745 Před rokem

      @@salehkhamis3000 wivu huo 😂😂kuitwa national team sio kuitwa England watu wanaangaliwa kwa club sio taifa

  • @josephatsilvestertz4819
    @josephatsilvestertz4819 Před rokem +1

    Wakubwa hao wanapepea

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz Před rokem +4

    Nabi bonge la kocha

    • @paulngoti5171
      @paulngoti5171 Před rokem

      hata kombe la dunia kwani wao waweze sjye tushindwe wao wana mapembe? watu wazima uwanjani 11 × 11 so, nini cha ajabu? Hata mjerumani kapigwa.kimubwa malemgo na kutokudharau kama hao wanaosema zalan ni dhaifu ila wakikutana nao wanapigwa 🤣🤣🤣😅