Highlights | Zalan FC 0-4 Yanga SC | CAFCL - 10/09/2022

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2022
  • Tazama mambo yalivyokuwa wakati Yanga SC, ikiiadhibu Zalan FC 0-4 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF).
    Fiston Mayele amefunga hat trick na kuondoka na mpira huku goli moja likifungwa na Feisal Salum
  • Sport

Komentáře • 282

  • @latifamohammed61
    @latifamohammed61 Před rokem +14

    Nimependa kibwana livyo muomba msamaha mayele daaah yanga noma 💛💚

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 Před rokem +8

    Safiii saanaaa nilikua naisubiri kwa hamu yanga oyeeeeee💪💪🔥🔥

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 Před rokem

      alhamdulilahi tumeshinda ira bado ujanijibu Bi kisula Hamida

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Před rokem +5

    Washabiki wa YANGA sisi ni wavivu sana kwenda uwanjani...MECHI ijayo tuamshe, inabidi tuendelee kuwa MASHABIKI BORA ....WACHEZAJI tunao na TIMU tunayo ...!... CHAMA LA WANANCHI , CHAMA LA WANA...!....Big Up..!

  • @abdallahzakariashehe6115
    @abdallahzakariashehe6115 Před rokem +13

    Ahsante Azam maana nimeisubiri kwa sana leo wa kwanza like kama zote wananchi

    • @aminajoseph2154
      @aminajoseph2154 Před rokem

      Hawaamin macho yao wanataman kusema mayele kabahatisha lkn wakikumbuka tarehe 13 wanaishia kusonya ni mwendo was kupeleka Moto tuuuuuuuuuuuuuu

    • @abdallahzakariashehe6115
      @abdallahzakariashehe6115 Před rokem

      @@aminajoseph2154 hahaha piga spana

    • @mariajohn123john5
      @mariajohn123john5 Před rokem

      Asante mungu tunamshukuru kwa yanga yetu kutupa rahaa

    • @aminielmwandigha7811
      @aminielmwandigha7811 Před rokem

      Semeni mnvyotaka,Yanga imenza vizuriiii!!!!!!!

    • @rucho7663
      @rucho7663 Před rokem

      @@aminajoseph2154 na kutetema pia

  • @guccij6236
    @guccij6236 Před rokem +10

    Wanatamani kusema Mayele kabahatisha ila wakikumbuka alicho wafanya tar 13 wanaishia kusonya tuu

  • @valerianedward6026
    @valerianedward6026 Před rokem +11

    Nyau sc wanatamani kusema kwamba Zalan fc ni dhaifu lakini wakikumbuka nawao washaingiliwa na Mayele basi wanafunga midomo 😂😂

  • @hidayamakuka7876
    @hidayamakuka7876 Před rokem +3

    My lovely team .Congratulations to Yangaa 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 Před rokem +6

    Ila uyu kipa wao NOMA SANA ,TUMPONGEZE

  • @stephanokalenga1421
    @stephanokalenga1421 Před rokem +4

    Moloko, what a player.....very good player

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 Před rokem +7

    Mayele mayele mayeleee aaaaa ndo uyo uyooo

  • @Marioo_official
    @Marioo_official Před rokem +8

    LIKE KAMA ZOTE WANANCHI💛💚

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Před rokem +3

    Naipenda yanga saaana

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 Před rokem +2

    Jesus moroco what a paformance wao just wao

  • @halimakawambwa6106
    @halimakawambwa6106 Před rokem +6

    Alafu yanga atuazimi kocha ikumbukwe😼😼 mtu anakuuliza unafanya kazi gan unafikili kushabikia yanga kazi ndogo 😻😻💛

    • @ismailsalim1073
      @ismailsalim1073 Před rokem

      Daaah 😂😂😂

    • @badrumbarouk3377
      @badrumbarouk3377 Před rokem

      Mashabik wa vyura bana au mmerogwa iyo kwel nitim ya kujisif tim haina haz ata ya tim ya daraja la kwanza tanzania kama yanga huu ndio mpira wao hawafik popote kimataifa

    • @halimakawambwa6106
      @halimakawambwa6106 Před rokem

      @@badrumbarouk3377 🤪🤪🤪🤪🤪acha makasiriko hivi mayele si aliwafumua akampiga tobo yule inonga na aziz kii akapiga bonge la tobo akawalaza na viatu makolo awamsahau hiyo nayo aipo kwenye ligi kuu ukirepry tu natuma clip ya mayele 🤪🤪🤪🤪

  • @hindisaid2413
    @hindisaid2413 Před rokem +5

    Hii timu ina kipa mzuri.yanga walikua na papara Kwanza ya kufunga walikua wanamlenga straight

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 Před rokem +3

    Nimejaribuu kufatilia kati ya mechi za simba namech zayanga zinazo kaaga trending nimechi zayanga hii nidhahiri kuwa yanga ndo inamashabik weng wanaoifatilia#ILOVE U YANGAAAA MYELEEE HATRICK 💪💪💪

  • @haroubhamoud8701
    @haroubhamoud8701 Před rokem +7

    Yanga naona wamecheza kwa pressure sana kipindi cha kwanza.. strikers walikosa utulivu
    Wasiwasi wangu next round watakuwa na kazi kubwa kushinda

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Před rokem +7

    Jifunze hukmu za quran tukufu gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama hautojali

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 Před rokem +4

    Aziz Ki ni Burkina Faso's maestro 🤔😱🤯

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Před rokem +22

    Mungu Asante haikuwa rahis kwa kweli💛💚💛💚

  • @alijuju8697
    @alijuju8697 Před rokem +4

    Kwa kweli marefa wengi wa Africa hawana jambo kuanzia hapa kwetu uwoza wa marefa umekithiri hata hao marefa nchi nyengine za kiafrika na wao ni wabovu hikadhalika. Offside za Mayele zimekuwa nyingi kunyimwa magoli.Hapa Tanzania refa mmoja amediriki kinyima kuwa mfjngaji bora wa ligi ya NBC. HAYO NI MAMBO YA AFRIKA.

  • @samwelypeter9496
    @samwelypeter9496 Před rokem +6

    Kipa mzuri sana

  • @faithtv8868
    @faithtv8868 Před rokem +5

    Hongera Fiston Mayele Hat trick ya kwanza ya mashindano

  • @Marioo_official
    @Marioo_official Před rokem +5

    YANGA HAISHIKIKI

  • @teddymboya1437
    @teddymboya1437 Před rokem +5

    Mimi ni simba lakini nimejikuta natetema dah mayele hongera sana

  • @shijathedon5453
    @shijathedon5453 Před rokem +5

    Wanaumeee

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 Před rokem +7

    Yaani awa ilikua saba zinawausu sema kipa baba wanae

  • @ashatupa6076
    @ashatupa6076 Před rokem +2

    Asante mungu Asante wachezaji wetu wa yanga

  • @nivogee9830
    @nivogee9830 Před rokem +6

    Uyu goli kipa sio poa kaokoa sana michomo anafaa kwenye ligi yetu kawazidi makipa wengi

  • @newworldtv271
    @newworldtv271 Před rokem +2

    Keeper noma sana ✅

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 Před rokem +3

    Mayele mayele mayele oh ndyo huyo huyo

  • @shamimujamaly8197
    @shamimujamaly8197 Před rokem +3

    Leo kweli HD

  • @nayftyjumanayftyjuma7561

    Hongerni Sana tena sana

  • @officialrockrhymes1858
    @officialrockrhymes1858 Před rokem +2

    Kipa ni nyaniii💥💥💥👏👏👏

  • @arabiapembe24
    @arabiapembe24 Před rokem +3

    good job My team 💚💛

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Před rokem +5

    Jifunze hukmu za quran tukufu gusa maandishi ya bluu hapa chini
    czcams.com/channels/iIyK3R72QZNvRlzWezWIKw.html

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 Před rokem +6

    Kama si Kipa wao Hawa jamaa bac ingekua 8 au zaidi.

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 Před rokem +1

    21 ona trending💛🖤💚💪

  • @leonardgodliver9043
    @leonardgodliver9043 Před rokem +2

    Yanga for Life

  • @aunesspendaeli476
    @aunesspendaeli476 Před rokem +3

    Ilove you thaana Yangaa

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 Před rokem +1

    Hongera sana Yanga kwa kuishinda timu ambayo ni kati ya timu shupavu za Africa

  • @user-sy3qc9fc2h
    @user-sy3qc9fc2h Před rokem +1

    Let the youth rejoice greatly in this role, in front of you is the Crescent

  • @restutaeliezery1719
    @restutaeliezery1719 Před rokem +4

    Wuheeeh

  • @lilianruhikula1731
    @lilianruhikula1731 Před rokem +4

    Golikipa wao ni hatari aiseh

  • @jamessimpungwe6140
    @jamessimpungwe6140 Před rokem +4

    Kipa wa zalan hatari 👍

  • @fadhilhaji3553
    @fadhilhaji3553 Před rokem +1

    Nashukuru mungu kw neema ya ushindi leo yanga ni bingwa

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Hatutaki maneno kazi iendelee.

  • @radhiawarahul8432
    @radhiawarahul8432 Před rokem +1

    Ni mwanzo mzur kwa yanga 💚💚💚💛💛💛💚💚💚

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 Před rokem +1

    Ongera sana team yangu yangaaa💛💚💛💚💛💛💛💛💛💛mbarikiwe,mayereee🥰na fei toto😘Mungu azidi kuwainua sana azizi,na wote luv all ma team🥰🥰🥰🥰

  • @estherrogers1870
    @estherrogers1870 Před rokem +2

    Asanten mwenzenu natetema huku

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 Před rokem +4

    Lkn huyu goalkper mkali walai

  • @ronnyronny7503
    @ronnyronny7503 Před rokem +4

    Ilitakiwa 2wapige 8-0 washambuliaj wamekosa umakini, wakiendelea na huu ujinga 2tatolewa mapemaaa.... Yaan kipindi cha kwanza mna ON TARGET 8 NO GOAL, seriously...?

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Před rokem +1

      Tatizo we Nae unalalamika Sana Kwamba haukuona na Kama kipa alikuwa anazidaka Mzee acheni Lawama tuwapongeze wachezaji Wetu kwa hiki walichokifanya Sio haba

  • @saidabeid2750
    @saidabeid2750 Před rokem +4

    Azam tv boresheni picture tafadhali

  • @ignaszyinzile5094
    @ignaszyinzile5094 Před rokem +6

    Sjaridhika na idadi ya magoli tuliyo yafunga kwanini sisi hatuwi wakatili kama Bayern Munich ya ujerumani naomba vyombo vya habali mtuhimizie hizi Tim zetu KUHAKIKISHA wanafunga magoli mengi bila msamaha kwa hizi Tim na kuandika historian nzuli Leo tulikua na nafasi ya kufunga goli hata kumi na tano

    • @edgaredward3490
      @edgaredward3490 Před rokem

      We jamaa

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Před rokem +3

      Hapana Ndugu Goli kipa Wao ndio kawasaidia Sana Hawa Jamaa bila Hivyo Hizo Goli 15 zilikiwa Chache Hata 20 tungefunga

    • @ignaszyinzile5094
      @ignaszyinzile5094 Před rokem +2

      @@NellyWaKidato nimelielewa Hilo nashkulu ila tujitahidi kuviomba vyombo vyet vya habl kutufikishia ujumbe kwa hizi Tim zetu mana ni ngum kuzifikia direct uchungu tulio nao ni vile ngum kutambua mapenzi hayazuiliki jamani Leo daaa

    • @uwesushabani2181
      @uwesushabani2181 Před rokem

      Zilikuwa sita mbili refa amezikataa tu

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato Před rokem +1

      @@ignaszyinzile5094 Kweli Aisee

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 Před rokem +2

    Bravo🔥🔥🔥

  • @evaristkiiza1938
    @evaristkiiza1938 Před rokem +2

    Mayele kanyimwa goal la Kwanza

  • @officiallcoolest_khid3223

    Daaah wanatia huruma angalia possession 🙆🏻‍♀️😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Před rokem

    Denis hongera jmn,dogo upo vizuriii

  • @ezeedi871
    @ezeedi871 Před rokem +6

    Mm Simba damu Ila Yanga wamekataliwa goli mbili za wazi kabisa asa sijui shida nn kwa hawa waamuz jmn

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 Před rokem +2

    Shkran yarabi kutuwezesh ushindi siku ya jana

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Před rokem +2

    Kesho matokeo yatakuwa hivyohivyo

  • @suzancharles1639
    @suzancharles1639 Před rokem +3

    Huyu kipa wa zalan yupo vizuri sana ila zalan wañatia huruma jmn

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 Před rokem +2

    Zalan fc goalkper yuko poa sana ak

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 Před rokem +2

    Asanteeee yanga

  • @maxmilianvitusmlomo3810
    @maxmilianvitusmlomo3810 Před rokem +1

    Hongera yanga

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 Před rokem +1

    Congratulations 💚💛💚

  • @hope_jr
    @hope_jr Před rokem

    Kazi nzuri ila viongo na washambuliaji wanapaswa makini katika nafasi zao sio kupiga piga tu mpira ungekuta leo tumeibuka na ushindi wa goli 8 kwa 0. Ila hongereni sana, wananchi tupo pamoja.

  • @anethmsaki4600
    @anethmsaki4600 Před rokem +4

    Huyo kipa wa sudan wanamlipa shingi ngapi

  • @vicentvedasto4296
    @vicentvedasto4296 Před rokem +2

    Mayere hapoi Walahaboi..💛💚🙏

  • @simbadume1694
    @simbadume1694 Před rokem

    Yanga tuko vizuri ,sio Kwa mashambulizi haya ya mipango na uwezo binafsi WA wachezaji.

  • @janethjohn9099
    @janethjohn9099 Před rokem +2

    Kazi nzur Sana yanga

  • @mohamedshaban495
    @mohamedshaban495 Před rokem +3

    Kuna siku watu watakuja kupigwa mibao mingi humu🤣🤣🤣

  • @yangacongosupporter6051
    @yangacongosupporter6051 Před rokem +2

    Lakina MAYELE anakuwa na mecho miguuni

  • @mlokozegidius2169
    @mlokozegidius2169 Před rokem +1

    Mungu uwe nas kwenye mchezo wetu

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 Před rokem +2

    Mungu Asante sana

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 Před rokem +3

    Axant Bigirimana...n fund jamaa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Před rokem +3

    Jifunze hukmu za quran gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama.hautojali

  • @roi2554
    @roi2554 Před rokem

    Yanga Kama yanga nani Kama yanga weweee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kiptoogideon2020
    @kiptoogideon2020 Před rokem +1

    Gor y kina Khalid aucho,sakava,olunga waja twe,,pongezi yanga

  • @dicksonlaurean1614
    @dicksonlaurean1614 Před rokem

    I love Yangaaaaaa

  • @hassanhd6480
    @hassanhd6480 Před rokem +3

    Wameingia mtumbwi wa vibwengo leo

  • @victorrocky5339
    @victorrocky5339 Před rokem +1

    💥💥

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 Před rokem +2

    Timu wachezaji wana sura za vibaka macho mekundu hatarii

  • @faustinemabula82
    @faustinemabula82 Před rokem

    Yanga mnaonesha kutoelewana kwenye technic ya kufunga mawasliano duni sana,pia mnacheza kwa papala sana,tulieni muwe mnacheza kama mnavyochezaga na Simba utulivu na mbinu kali, LA mkicheza na tim janja mtaloa sana.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Před rokem +2

    Jifinze hukmu za quran gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama hautojali

  • @esterkomba4072
    @esterkomba4072 Před rokem +1

    Mimi najua yanga wamecheza na ihefu ya mbeya

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 Před rokem +1

    💚💛

  • @petersubeth9727
    @petersubeth9727 Před rokem +2

    Jàmàn wanayanga wezangu tuwewakeli kwamakosa waliofanya zalan naumilik tuliofanya tungekua Makin tungepga20 tuwazie je tungekutana natim ngumu haifanyi makosa kiulabis kipndi chakwanza nafas7 no gol tulijiamin kupitiliza siovizursan tunijpange na Al hilal

  • @saidimwishehekienda933
    @saidimwishehekienda933 Před rokem +3

    ZALAN WAMEBARIKIWA KIPA HUWEZI PATA VYOTE DUNIANI....

  • @fatmalyego7918
    @fatmalyego7918 Před rokem +2

    Maneno mengi ila sisi tunaangalia ushindi tu

  • @charlesmasele6327
    @charlesmasele6327 Před rokem

    🔥🔥🔥🔥

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 Před rokem +2

    pamoja sana wanachi

  • @shamimusalimu3837
    @shamimusalimu3837 Před rokem

    Young

  • @rehemamathew5790
    @rehemamathew5790 Před rokem +1

    Uyo goalkeeper angekua ayuko fit wangefungwa ata kumi 😂😂

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 Před rokem +1

    Yani mpila urikuwa mtamu kama asali,uwii.

  • @omarykiaku6322
    @omarykiaku6322 Před rokem +2

    Mayele kama lewandowski

  • @alfredjr5200
    @alfredjr5200 Před rokem +3

    Ukiwa na wachezaji bora unachukua matokeo mda wote unao utaka wewe daaah!!! Huyu mayele hatari anaitwa mayele ma hut trick huko afrika yote

  • @emmywilson9658
    @emmywilson9658 Před rokem +1

    Jaman highlight zenu haziko ndani ya ubora muongeze ubora

  • @paskalchembe9497
    @paskalchembe9497 Před rokem

    Yanga daima

  • @luhendeluhaga8673
    @luhendeluhaga8673 Před rokem +1

    Yanga bwana tufurahisheni sasa