UHARAMU WA NYIMBO NA MUZIKI. SHEIKH KISHK.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 09. 2024
  • Khutba ya Ijumaa iliyotolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Tarehe 1/2/2008. Mada hii inaelezea namna jamii ilivyopotoka kutokana na wimbi kubwa la waimbaji kuongezeka, Kutokana na ongezeko hilo ndipo Sheikh alipoamua kuelezea uharamu wa nyimbo na muziki, ni uharamu upi itazame hadi mwisho upate kuelimiaka, tunaomba usambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah.

Komentáře • 85