The Story Book:MALCOLM X Shujaa Aliyemiminiwa Risasi Kikatili Ili Wazungu Wazidi Kuwatesa Watu Weus

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 10. 2020
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 618

  • @josephraphael7543
    @josephraphael7543 Před 3 lety +50

    Asante sana kaka kwa history tamu nimepata notes za kuwalisha vijana wangu wa form 6
    Hongera sana kaka jamil

  • @mpangwehassan6264
    @mpangwehassan6264 Před 3 lety +14

    Allah AKULIPE kwa kusimulia haya ambayo ni nadra kuzungumzwa

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 Před 3 lety +15

    Subhanallah allah akbar najivunia kua muislam allah nijalie mwishomwema mmi pamoja na familiya yangu nawaislam wote kwa ujumla

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 Před 3 lety +19

    Masha Allah kwelitupu umenifraisha profesa gongeni laik tuwe pamoja

  • @sadasaid7212
    @sadasaid7212 Před 3 lety +33

    Naam umenikumbusha kwenye kitabu Cha they are either extremely smart or extremely ignorance.. proud to be a Muslim alhamdulillah..

    • @svt3
      @svt3 Před 2 lety

      Unaongelea waarabu

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 Před 6 měsíci +7

    I'm proud to be a Muslim. Al'hamdulillah shukran sana mola wangu kwa kunijaalia kuwa muislam

  • @johtv8528
    @johtv8528 Před 3 lety +46

    Likes nyingi kwa professor

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 Před 2 lety +23

    ALLAHU AKBAR , Malcolm X may Allah grant you Rahma until Qiyama to be in As-habul Jannat , inshaALLAH

  • @thaniakassim6575
    @thaniakassim6575 Před 3 lety +32

    Umenkumbusha nmejion Kam nip darasani....Allah akulinde Jamal April✌️✌️

  • @ibrahimuyusufu5203
    @ibrahimuyusufu5203 Před 3 lety +15

    Jamani kila siku zifuatazo story book inazidi kupamba Moto na kua. Nzur zaid shukuran san jamar kwa kazi yako nzur na twaipenda xn

  • @dadyshunaydah9421
    @dadyshunaydah9421 Před 3 lety +99

    Like za Professor Jamal April!!!!!!..,👇
    Dondosha Like Kwa Le Professor!!!✍

  • @JayHaxan
    @JayHaxan Před 3 lety +7

    Nashkuru Kwa Hiii Kaka
    #MuslimLivesMatter
    #Alhamdoulilah🇧🇮🇧🇮

  • @collinmhina2274
    @collinmhina2274 Před 3 lety +15

    jamal...mzee unajua mpaka kero aisee.....kaka respect sana....gonga like kama unamkubali huyu mzee

  • @indivirabonnymatenje7290
    @indivirabonnymatenje7290 Před 3 lety +6

    Black life matter if you believe nipe like, all the way from 254

  • @lukmanally4871
    @lukmanally4871 Před 2 lety +9

    Tuletee historia ya mtume muhammad (s.a.w)

  • @augustinodaniel5574
    @augustinodaniel5574 Před 3 lety +22

    Daaah hii history nilikuwa naitafuta Sana.. Leo nimesikiliza vizur Sana big up professor

  • @mozain9892
    @mozain9892 Před 3 lety +82

    Namshukuru allah kwa neema ya uisilamu story hii inaonyesha ukweli wa uisilamu yan moyo unanienda mbio kwa furahaa shukran ya allah shukran 😥😥🙏🙏

    • @ziccobully6276
      @ziccobully6276 Před 3 lety +2

      Ndugu

    • @gwangtaek1564
      @gwangtaek1564 Před 3 lety +3

      Udn tena

    • @joleenmasha
      @joleenmasha Před 3 lety +3

      Sindiyo nashangaa jamani

    • @ayshaothman3995
      @ayshaothman3995 Před 3 lety +1

      @@gwangtaek1564 siyo udini bali nistory inayoonyesha uislam nidini yamapenzi na nidini yahaq

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 Před 3 lety +5

      Utasikia muislam ndugu yake no muislam mmmmh kweliii mbona sijawahi ona mbongo kamuoa muhindi au mwarabu wale wanaokimbilia italy nani asiyejua kuwa walikuwa wakifika Egypty ,Tunisia na morocco walikuwa wanateswa bila kujali kuwa ni wakristo au waislam walikuwa wanateswa tuuu hizi dini
      Tumeaminishwa afu tunabaguana kisa udini ndio maana wanatuona hatuna akili .

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 Před 3 lety +15

    Like kwa wasafi pamoja na professor Jamal

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 Před 3 lety +64

    May Allah forgive him and grant him the highest place in JANNAT with prophets righteous men and shuhadaa, amiin

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 Před 3 lety +37

    Islamic forever hadi kufa, thanks Allah 🙏

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 Před 3 lety +54

    Allah mkubwa, Malcom X alikufa shahidi may Allah forgive his mistakes

  • @salimomary6279
    @salimomary6279 Před 3 lety +6

    Tunakukubali kaka...2025 naomba uxhukue form kabisa ya ubunge tutakupa kura zetu.....uko very smart

  • @MathewPetro
    @MathewPetro Před 3 lety +40

    Bila shaka hilo jengo linaloonekana kwenye background, katika intro ni Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam. Naomba like kama nimepatia...from Uganda.

  • @reneejollie5117
    @reneejollie5117 Před 3 lety +54

    I still remember him because I named my son after him may his soul rest in eternal peace forever

  • @veeJesus
    @veeJesus Před 3 lety +19

    Watu wa history piteni na like tukisonga

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 Před 3 lety +11

    Kumbe uislam ndoumechagia sana tupate uhuru ss watu weus

    • @makeleledegreat5510
      @makeleledegreat5510 Před 3 lety +3

      😂😂hii ni biashara bana hebu tafuta historia ya Waafrika waliopelekwa uarabuni kama watumwa ujue walicho pitia hadi wanaume kufinywa uume ili wasizalishe wanawake waarabu, panuka akili si tuu kurukia vitu mwaafrika ametengwa kila mahali hata waafrika wenyewe wametengana

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 Před 3 lety +3

      Acha ujinga sima historia ujue yote sio kuconclude kwa hiki kiclip

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 Před 2 měsíci

      Awap Nan kasema tena huko uislam ulikotokea ndo Kuna watu wakatili mno jiulize kwann uarabuni hakuna kizazi Cha watu weusi wakati wengine kipindi Cha utumwa walipelekwa kama watumwa uarabun,Afadhali hata marekani ambako sahizi watu weusi wamekuwa wamarekan huko uarabun ogopa wale siyo watu

  • @kimaniwanyoike3965
    @kimaniwanyoike3965 Před 2 lety +4

    Jamal April you really do great job, well reseached,,,,,,kindly tuletee ya dedan kimathi and others great heros from kenya .........THANKS IN ADVANCE

  • @azizkarim7643
    @azizkarim7643 Před 3 lety +6

    Story nzuri japo Kuna some picha mmetumia za Denzel Washington

  • @shamissayd887
    @shamissayd887 Před 3 lety +8

    Mara hii "likes" na "viewers" wamekuwa kdgo kwasababu ya Mamlaka waliojipatia hawo wakuu, ety Uchaguz...damn Uchaguz, ila yote na yote Nakukubali mnoooo Professor 💯

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 Před 3 lety +26

    Namshukuru Allah kwa neema ya uislam,,, hakika uislam ndio dini ya haki na inayojua utu wa mtu na isiyopenda ukandamizaji,, mashaallah malcolm x alikufa shahidi ktk uislam akipigania uhuru wa mtu mweusi

    • @janeongala6684
      @janeongala6684 Před rokem +2

      We mjinganii unajajije dini ya wezio kwendaa ndini ya uislam ndio nn unafikiri dini au imani kwendaaa dini ya kwel ya wakristo waganga wote waislam sasa Ina haki gani

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 Před rokem

      Hao Waislam wanaolipuka na na mabomu katikati ya masoko? Wapuuzi tu kule watu wakibeba mimba bila ndoa ni kupigwa mawe mpaka kifo mtu akiiba nikukatwa mkono wapuuzi

    • @omarysaidy5524
      @omarysaidy5524 Před rokem

      Alhamdulillah alikufa jihad maashaallah

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 Před rokem

      @@anastaziamathias8861 Naomba nikufundishe kitu Usiangalie Wanaojilipua uliza Uislamu umefundishaa? Coz kuna watu wanadai wao ni Waislamu lakini wanakunywa pombe,sigara,bangi na vingi vilivyokatazwa hivyo unapaswa kujua hayo..Yaani kiukweli Uislamu umefundishaa Mafunzo mema sana🙏🙏🙏🙏

    • @bryson0772
      @bryson0772 Před rokem +1

      @@binhussain3445 kwa hyo ukristu unafundisha maovu ama? Weka udini pembeni imani ya mtu na wema wake sio dini kuna mashujaa kibao wakristu na wamekufa wakipambania haki ya watu weusi kama STEVEN BIKO, PATRICE LUMUMBA inshort mashujaa kibao tena waliuwawa kikatili vbaya sana mbona sisi hatukuongelea dini kupitia wao? Waislamu bana🤣🙌

  • @aishamukandanga272
    @aishamukandanga272 Před 3 lety +17

    Subhannallah uislam nidini ya haki

  • @sclumumba8453
    @sclumumba8453 Před rokem +9

    Long live my hero, brother Malcolm X.

  • @babubro3230
    @babubro3230 Před 3 lety +145

    KAMA WEYE UKO UNAANGALIYA
    THE STOR BOOK UKU UKISOMA
    COMANT NIPE LAIK

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 Před 3 lety +22

    Professa la profeseri super talented forever Jamal unajua xna..

  • @hassanbululiga8745
    @hassanbululiga8745 Před 3 lety +4

    hii ni nondo tosha kwa wanaochukua history in advance level💪

  • @fatmamussafatmamussa4104
    @fatmamussafatmamussa4104 Před 3 lety +4

    Kuna watu hawaujui uislam wanaongea kwa ubaya juu ya Deen tukufu ya uislam...lakn n dini moja yenye kher na binadam upendo...na aman...

  • @abuunyalioto1752
    @abuunyalioto1752 Před 3 lety +36

    Mpaka mwanangu nikampa jina LA Malcolm gonga like hapa

  • @patrickjames862
    @patrickjames862 Před 3 lety +5

    Vizuri sana kaka endelea kutufunza

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Před 3 lety +20

    kusema kwel kuna muda nimekuja gundua unaweza saidiwa na muislamu kuliko wakristo wenzangu wakrosto mda mwingine tunakuwa na unafki

    • @boazmvellah6286
      @boazmvellah6286 Před 3 lety +3

      Kuna meng yamefichwa kwenye bible ukitaka kujuwa subir ya martn Luther siku akija nayo🏃🏃

    • @makeleledegreat5510
      @makeleledegreat5510 Před 3 lety

      Amen enda Iran ama Iraq wakusaidie

    • @theleo3899
      @theleo3899 Před 3 lety +1

      Basi hamia kwenye uislam kama kuna unafk

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 Před 3 lety

      Waislam waliowaua wenzao wanaijeria waliokuwa wanakwenda Italy vipi kuhusu hao
      Waangalie wamorocco Libya na watunisia walivyo wabaguzi kingine je nani mweusi kamuoa muhindi mwislam au mwarabu kuna siri kubwa hapa ..

    • @makeleledegreat5510
      @makeleledegreat5510 Před 3 lety

      @@simontamba1285 kwanza waambie uko uaarabuni ndo kuna ubaguzi mkubwa kuliko ata marekani je nani ashawai mwaafrika akiaandamana iraq au iran kutafuta haki?

  • @Juma_Travel
    @Juma_Travel Před 3 lety +3

    Nakupata kutoka michigan marekani

  • @wardaalhajj6553
    @wardaalhajj6553 Před 3 lety +11

    SubhanAllah❤️❤️❤️

  • @yasinibakari114
    @yasinibakari114 Před 3 lety +13

    Nipeni like zangu wa kwanza leo. The story book

  • @vedastusrobert7744
    @vedastusrobert7744 Před 3 lety +5

    Jaman na mm leo Wana story book naomb like ata 100%

  • @zstfanchanel3288
    @zstfanchanel3288 Před 3 lety +9

    Safi sana big up jamal LKN nashauri ungeandaa simulizi kuhusu marehemu steven charles kanumba maana ni mmoja wa ma legend TZ

  • @meekman654
    @meekman654 Před 3 lety +17

    Hadi leo Wazungu hawatupendi watu weusi lakini sisi tunajipendekeza sana kwao.

  • @ramadhanimkomeni9515
    @ramadhanimkomeni9515 Před 3 lety +6

    The living legend malcom x nliishia kumsom kwenye history tu (back ppl in the new world) Leo nmemuelewaa vzr mno RIP KING

  • @josephdossantos7316
    @josephdossantos7316 Před 3 lety +14

    Wow wow I love this game.... We are waiting for Martin Luther King Jr

    • @thaniakassim6575
      @thaniakassim6575 Před 3 lety +1

      Yes we wait 🤗🤗🤗

    • @ebbycronal7011
      @ebbycronal7011 Před 3 lety +1

      Tungepata ya marcus garvey kwnza ingependeza zaid mana ndo bana yao wote hawa

  • @njiyobirirahimupardon5157

    Allah ndio Muumba mbingu na ardhi kwaiyo tumtumikie na tupendane kama ndugu wamoja sio kubaguwana kbx Allah tupe kauli sabit siku hio Yakiama 🤗🤗🤗🤗

  • @tajweedqurantv1126
    @tajweedqurantv1126 Před 2 lety +1

    Allah amrehemu ampe jannat firdaus karibu na mtume

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 Před rokem +1

    Kwa kusema kweli Naburudika Sana Mwenyezi Mungu Akuzidishie

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 Před 3 lety +11

    Wiki hii story umetuwekea j,mos tunaotumia VPN tujuane hapa kwa like na comment

  • @aruatanpacheco
    @aruatanpacheco Před 3 lety +6

    Hii story ya Malcom X nimeisubiria kwa muda mrefu sana.

  • @saadikibinjazaa1511
    @saadikibinjazaa1511 Před 3 lety +4

    MashaAllah, uko vizuri kwa historia, Mwenyezi Mungu aidumishe chanel yako, tuzidi kupata faida

  • @eastcuisines124
    @eastcuisines124 Před 3 lety +2

    Asante jamal tunaomba utuletee story ya pharaoh wa egypt zaidi sana kuhusu nerfetiti

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Před 6 měsíci +2

    asante sana my brother from another mother

  • @baggittojr10.42
    @baggittojr10.42 Před 3 lety +11

    Takbiirrr❤❤❤🥺🥺

  • @joshuakomba1456
    @joshuakomba1456 Před 3 lety +6

    Tulikua tunaisubiri kwa hamu xanh💪💪💪

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 Před 3 lety +13

    Iyo seem aliyosimama mwanzo wa story #Jamal inafanana na kwa mwamposa kawe anapofanyiaga ibada kwa mliowah kufika nadhani mtakuwa mmenielewa

  • @willardsamson7650
    @willardsamson7650 Před 3 lety +7

    Gonga like kwa story book ya leo......👍

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 Před 2 lety +2

    Yani hizo story ni really ss brow tupe Back to back god blessed you!!!!!

  • @bismarckakama4879
    @bismarckakama4879 Před 26 dny +1

    Jamani wadau nataka the storybook kuhusu Gaddafi

  • @rajabumariki4914
    @rajabumariki4914 Před 3 lety +3

    Unajua Sana kuhadithia Sana kaka

  • @jawadujuma4177
    @jawadujuma4177 Před rokem +1

    Aĺlah mlaze mahali pema peponi malcom x amiin..

  • @abdimalikosman713
    @abdimalikosman713 Před 3 lety +15

    The best professor in E.Africa

  • @marcotarimo1353
    @marcotarimo1353 Před 3 lety +12

    TUNAOMBA UTELETEE KWA MFUMO WA PODCAST TUWEZE SKILZA ZAID NA ZAID .. ILA KEEP IT UP UNAKOSHA SANA✌🏽

  • @erastoolvanus2593
    @erastoolvanus2593 Před 2 lety +3

    Nakuelewa sana professor unajua kusimulia mungu akujalie uishi miaka mingi sana brother

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Před 3 lety +5

    Malcom black super hero love you for ever

  • @buchujr2260
    @buchujr2260 Před 3 lety +6

    Jamal you are great brah, I appreciate.

  • @mwandishisaidkaita7.
    @mwandishisaidkaita7. Před 3 lety +2

    Ninajifunza mengi sana kutokana na kipindi hiki. Ahsante na hongera

  • @abdallahmamido6471
    @abdallahmamido6471 Před 3 lety +6

    شكرا يا جمال سمعت منذ البداية الي النهاية واستفدت

  • @nickosimumba4541
    @nickosimumba4541 Před 3 lety +6

    nimechelewa jamani angalau like ata 100 ndashukulu

  • @stevelouis2502
    @stevelouis2502 Před 3 lety +3

    Mungu mxhukue Amorapa Mludixhe Malcom x

  • @yassirlukanga6267
    @yassirlukanga6267 Před 3 lety +1

    Daaah bonge la darasa sheikh hongera kwako

  • @ibrahimsoud456
    @ibrahimsoud456 Před 3 lety +7

    Hii story inasisimua zaidi. Tunaomba story ya Martin Luther King

  • @fatumaally3503
    @fatumaally3503 Před 3 lety +7

    Japo nilikua busy lakn leo nimemaliza story Asante professor Jamal_April

  • @letsenjoy631
    @letsenjoy631 Před 3 lety +8

    A man who stands for nothing will fall for anything***

  • @mbwambondimangwamichael6761

    Ungeanza na Marcus Garvey professor maana hawa wote pamoja na Martin Luther King wamesoma na kujifunza philosophy za Marcus Garvey na William du Bois

  • @kennedyoswady3369
    @kennedyoswady3369 Před 3 lety +13

    Anyone who is watching while reading comments😊😊

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 Před měsícem

    Nyie stori book mlivyowasenge wa kidini kwanini hamjaleta stori ya martin Luther king jr ambae to me he very intelligent and educated activist alietumia njia bora zaidi kwenye harakati za ukombozi wa mtu mweusi

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 Před 3 lety +10

    Hii history inafanana sana na Maisha ya Tundu Lisu.

  • @maryamfaraji2364
    @maryamfaraji2364 Před 3 lety +7

    Thank you Proffessor Jamal😍♥️

  • @fatmaabdulla9518
    @fatmaabdulla9518 Před 3 lety +2

    Sema yy Mungu kamuweka bado

  • @akiliandmeswahili8988
    @akiliandmeswahili8988 Před 2 lety +1

    Asante sana jamal april big up sana kwako👍👍

  • @romesjunior4008
    @romesjunior4008 Před 3 lety +5

    Wasafi tv na nyie mnapost kwa hissan ya VPN au
    Naombeni like zang jaman

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 Před 3 lety +2

    Kuna nililojifunza ktk hili,
    1.Marekani mpaka leo hii kipo Chama kinachojiita"Nation of Islam"jamaa hawa Kazi yao ni Kuhubiri Chuki dhidi ya Mtu mweupe na kumuita "Shetani"
    2."Nation of Islam"si Waislam bali ni Chama chenye Mafundisho yaliyotokana na Muasisi wao Eleijah Muhammad ambaye was wanamuamini ni Mtume wao na Wanamuabudu pia.
    2.Cha kushangaza zaidi ktk Imani yao,Mwanachama haruhusiwi kula Karanga,hizi za Kawaida tunazoziona Mtaani zikiuzwa.

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 Před 3 lety +8

    namuona lissu ktk lile tukio alililopigwa risasi

  • @kherykapongo6059
    @kherykapongo6059 Před 3 lety +7

    Anafanana na Denzel Washington

    • @KasimuOShaky
      @KasimuOShaky Před 3 lety

      Hizo picha ni za Denzel ndio, zipo katika movie inaitwa Malcolm X ya 1992

  • @abuunassir7312
    @abuunassir7312 Před 3 lety +9

    Professor sauti yako iko chini kuliko music kwenye kuelezea fanya mambo mazuri next story 🙂

  • @migeltz9489
    @migeltz9489 Před 3 lety +9

    Martin luthaking Jr tunaisubir prof

  • @loyydmil13
    @loyydmil13 Před 3 lety +5

    Boss napenda kufatilia kila story yako najifunza mengi Sana

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Před 6 měsíci +1

    Malcolm X
    Legend❤

  • @mashakahussein1145
    @mashakahussein1145 Před 3 lety +1

    Nakukubali saana mzee baba

  • @sonofgod1623
    @sonofgod1623 Před 3 lety +2

    Yan Beat Lina support story vbya mno, Support Saana ....@Jamal,

  • @faridhasan4398
    @faridhasan4398 Před 3 lety +2

    Allah amrehemu Amini

  • @loyydmil13
    @loyydmil13 Před 3 lety +4

    Ila mm ni mgonjwa wa mpira nlikua naomba siku moja utupe history ya Champions league kama hautoa jari ila so pekeangu ni wengi tutaenjoy kuiskia hio story Asante 👊❤️

  • @khayraa7374
    @khayraa7374 Před 3 lety +12

    I was waiting for this one so bad 🙌🏽.. great job

  • @blackking8248
    @blackking8248 Před 3 lety +3

    I m fine because I learnt good story from you kaka . god bless you

  • @vivekgithaiga3748
    @vivekgithaiga3748 Před 3 lety +5

    Niko nikiwa kenya i love the story book.

  • @nukhunyagali3311
    @nukhunyagali3311 Před 3 lety +6

    Interested story in a appropriate time big up bro jamal

  • @rahimwilliam5862
    @rahimwilliam5862 Před 3 lety +1

    Mtihani sana