The Story Book : Haile Selassie - Shujaa na Mfalme wa Mwisho wa Ethiopia

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 11. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 285

  • @shadrackdamiani1418
    @shadrackdamiani1418 Před 2 lety +34

    Kabla sija ifatilia hii store Mimi naomba hata like 2

  • @Ngudure
    @Ngudure Před 2 lety +98

    Kuweka tu story Ya Sellassie tunapiga like kwanza. Halafu tunaanza sikiza, ngoja tuone umetuekea nini juu yake..

  • @dadyshunaydah9421
    @dadyshunaydah9421 Před 2 lety +153

    Tunaomkubali PROFESSOR JAMAL APRIL Tujuane Hapa Kwa LIKES Kwa Historia Ya Mwamba Huyu HAILLE SELASSIE👍🏿

  • @andreaa.nyundo8333
    @andreaa.nyundo8333 Před 2 lety +21

    Ahimidiwe Jah,Rasta ni imani,
    Asili na mfumo wa maisha ndio vinaunda ,kuna mengi ya kujifunza kwa imani ya Rasta pamoja na maisha ya Haile Selassie, nitawafahamisha

  • @denisrotich2303
    @denisrotich2303 Před měsícem

    I really like jammal April he is my god everyday I have to check kama Ako na story mpya May you live long the legend

  • @mwanjekeyz8671
    @mwanjekeyz8671 Před 2 lety +9

    First one to view likes to me guys

  • @grgthedon9926
    @grgthedon9926 Před 2 lety +78

    Sometimes I feel like this programme should run daily...kila siku lazima nirudie video moja kabla nilale. I never gets bored with Jamal's voice💯

    • @chriswashington7745
      @chriswashington7745 Před 2 lety +6

      Me too

    • @benickoalfonce3953
      @benickoalfonce3953 Před rokem +1

      Sauti yako tu Jamal inatufanya tuangalie video zako daily

    • @12322879
      @12322879 Před 2 měsíci

      Kwasababu hatuna utamaduni wa kusoma historia kama hizi ktk vitabu au mtandaoni.Kila mtu anakimbilia kwa Mange Kimambi

  • @stevennchambi3212
    @stevennchambi3212 Před 2 lety +50

    The king of story tellers in a country. A one professor.

    • @mohamedsake5093
      @mohamedsake5093 Před rokem +2

      Ofcause let me correct you. He is from Africa.
      Iam from kenya

  • @zabronbaltazary5048
    @zabronbaltazary5048 Před 2 lety +13

    Mwamba unajua. huna maneno na watu. Keep it up

  • @shadrackmwampote4615
    @shadrackmwampote4615 Před 2 lety +34

    We like the story book of this kind not of making tours, big up brother we keep on persuing your story,and we like the way you deliver your stories, your the best story teller for real.

  • @barackawithokiswaga2686
    @barackawithokiswaga2686 Před 2 lety +17

    Mungu akupe Maarifa na hekima zaidi, ili kuendelea kuandaa mambo mazuri yanayo tusaidia kujua, siri mbalimbali ambazo bila wewe, sidhani kama tungezijua"!! I love brother Jamal

    • @elimahmaroba982
      @elimahmaroba982 Před 10 měsíci

      Nikweli haha mimi nimejua mambo mengi kupitia yeye

  • @daudimmary3965
    @daudimmary3965 Před 2 lety +12

    Unaweza sana professor, unastahili tuzo inshallah..

  • @ZebenaSelassieI
    @ZebenaSelassieI Před 2 lety +6

    Shukran kibao Kaka kwa kujitolea kupasha Dunia kuhusu Mfalme wa Wafalme kwa kiSwahili! Ili kuelewa vikamilifu maisha ya Mfalme na maana yake katika historia ya Wanadamu na Dunia, yahitaji mwongozo wa Roho Mtakatifu.
    Kama maadui wa uhakika - wale maFascists - walishindwa kumuua Mfalme, basi hakuna yeyote anawezadai kumuua. Yasemekana hata Mengistu, baada ya miaka mingi, alikiri hangeweza kumuua Mfalme.
    RasTafari atukuzwe zaidi!

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 Před 2 lety +5

    Hiii story inasikitisha
    Hii inaonyesha jinc gani Waafrica tulivyo hata tukifanyiwa mazuri akina YUDA ISKARIOTI hawakosekani wakipewa na madaraka lazima waaribu tu trusty me guys 🙏 R.I.P HAILLE SELASSIE &MAGUFURI true regards in Africa

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 Před 2 lety +7

    Hii ni nyingine kubwa sana Professor👊👊👊

  • @simba_de_leo5042
    @simba_de_leo5042 Před 2 lety +24

    Professor always is on top🙌🙌🙌

  • @alhadjmugisha5216
    @alhadjmugisha5216 Před 2 lety +10

    MashaAllah uy kaka anavipaj ving ,Allah amuhifadhi

  • @passionflavour5159
    @passionflavour5159 Před 2 lety +7

    Oyoooo

  • @nenetz4547
    @nenetz4547 Před 2 lety +22

    Very good professor Jamal I appreciate you💯%

  • @yudasrsakitwe7515
    @yudasrsakitwe7515 Před 2 lety +7

    Jamal wewe siku ukifa pengo lako hamna mwenye kuliziba, talent yako n ya kipekee
    Hufananishwi na yeyte
    Ww n zaid ya professor
    Unauwezo mkubwa wa kuchimba story na uwezo mkubwa wa kuelelezea story systematically.
    Keep it up professor

  • @mariamutowi7084
    @mariamutowi7084 Před 2 lety +30

    Am speechless Jamal but naona kitu ndani yako inshallah ALLAH akupe wepesi kwenye ugumu we love you, your fans ❤️❤️❤️

  • @user-eg1mz6vo1d
    @user-eg1mz6vo1d Před 10 dny

    Naipendaaaaaa sanaaaa nchi hiii ya Ethiopia

  • @joycekarume7897
    @joycekarume7897 Před 2 lety +8

    I & I forever loving JAH

  • @jackrenesanga8728
    @jackrenesanga8728 Před 2 lety +12

    The story book Inafanya akili inakuaactive ♥️♥️♥️

  • @sylvesterken6084
    @sylvesterken6084 Před 2 lety +4

    blessed be to tha most high his emperial majesty emperor haile selassie the first

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 Před 2 lety +9

    Jamaaaaal 🙌🏻🙏🏻

  • @erickmlawa712
    @erickmlawa712 Před 2 lety +4

    Uko vzuri nilijua nafasi yakuondka kw mtija abdalah bas story book itakwsha tulipata shida kukuzoea ila saiv upo vizuri sanaaa endelea kutufungua na kutufunza Mungu akulinde bro jamal april

  • @shabanhajimmbaga9040
    @shabanhajimmbaga9040 Před 2 lety +12

    3 in Tower
    Sheby Works Technologies 💪

  • @user-bz2nh8uj7b
    @user-bz2nh8uj7b Před 3 měsíci +1

    I like HISTORY kweli ningependa sana kuwa kama wew mwanastoria hodari sana

  • @allyfredy7118
    @allyfredy7118 Před 2 lety +1

    No one like you professor hata kama watajaribu kukuiga utabakia kuwa juu respect sana

  • @bennybejoh8169
    @bennybejoh8169 Před 2 lety +5

    JAH RASTAFARRY, much respect to you Jamal April proff

  • @Sn_global_data
    @Sn_global_data Před 2 lety +10

    💪💪Big up professor jamal

  • @ibrahdimpoz5820
    @ibrahdimpoz5820 Před 2 lety +5

    Good professor 👏🏾nimetamani sana uongeleye kiundani alivyo tetea wa Africa hadi raia wa Jamaica kumuabudu

  • @peninahnjambi4708
    @peninahnjambi4708 Před 2 lety +7

    Watching from Dubai I never miss

  • @juliuschege6898
    @juliuschege6898 Před 2 lety +6

    Much love from kenya

  • @rashidisadala9460
    @rashidisadala9460 Před 2 lety +8

    History professoral

  • @saidiomari6139
    @saidiomari6139 Před 2 lety +5

    Uko vzur broo

  • @evanceking2809
    @evanceking2809 Před rokem +1

    Jamal napenda sana kukuskiza... Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @lewimontaz1373
    @lewimontaz1373 Před 2 lety +6

    Jamal is the best story teller i wish more life bro

    • @nchamochaque7198
      @nchamochaque7198 Před 2 lety

      Asante sana fundi Jamal mimi kila siku lazima nisikilize simulizi zako

  • @stivenyoungson2288
    @stivenyoungson2288 Před 2 lety +2

    Like mingi kw a jamal

  • @nancymwihaki8901
    @nancymwihaki8901 Před 2 lety +5

    Very good professor ❤❤

  • @danstanwanyonyiwasobokha719

    Hii ni #Kazi ya #Kifalme #WasafiTv #Hongera #Simba #Africa #Media #IAmTheSonOfAfrica #HaileSelassie #Ethiopia #History #King #Kingship #AU #Youth #Power #PeoplePower #Peace #Love #Unity

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 Před 2 lety +7

    Deus ti abencoe Mr jamal April prk o seu talento é de mais

  • @aminahadi1966
    @aminahadi1966 Před 2 lety +3

    Professor Jamal unajua unajua mpka unajua tena

  • @allykibabendingo8496
    @allykibabendingo8496 Před 2 lety +3

    The story book ibaki milele...!!!

  • @amosmunezero9958
    @amosmunezero9958 Před 2 lety +15

    The battle of Adawa is really a huge lesson for us Africans, that if we are united and organised not matter how much advanced militarily or economically our enemy is we could overcome and win!!

  • @dengemasterdengemaster2754

    🇪🇹🌍🇪🇹"MBALI NA UFALME WA BWANA HAKUNA TAIFA MOJA LITAKALO SIMAMA JUU YA TAIFA JINGINE"🇪🇹🌍🇪🇹,,,HUU MSTARI UTAISHI MPAKA 🌍DUNIA ITAKAVYOPASUKA🌍(U.N HIYO HAILLE SE LAISSE ALISEMA),,, "ALIKUWA HAISHI KIWASI WASI ALIKUWA ANAISHI KI PEACE SANA HAILLE SE LAISSE",,, 👑KING OF KING LORD OF LORDS QUOQARING 🦁LION🦁 TRIBAL OF JUDAH👑🌍🇪🇹🌍,,,BADO YUPO NA TUPO NAYE SISI 🌍WA AFRICA🌍 NDIO MAANA WATALETA 😤CORONA,,,UKIMWI,,,EBOLA,,,BONDE LA UFA,,,VISASI KUTUGAWA KATIKA DOLA NA VYAMA NA CHUKI MBALI MBALI NA ILA😤 ZOOOOTE ILA HAILLE SE LAISSE BADO ANATUOMBEA HUKO 🌬️🌫️🌪️SAYUNI"🌍🇪🇹🌍🌬️🌫️🌪️,,,...

  • @saidibrahim2375
    @saidibrahim2375 Před 2 lety +2

    Professor namba moja 1

  • @abdykonka541
    @abdykonka541 Před 2 lety +5

    Salute broo 🙌

  • @denismoses2370
    @denismoses2370 Před rokem +2

    Nice story I feel so happy💪💪💪

  • @davidgakunyi7027
    @davidgakunyi7027 Před 2 lety +1

    Raha iliyoje tunapokusikisha..u are power Jamal keep the 🔥 burning

  • @Osca16
    @Osca16 Před 7 měsíci

    I like ur documentaries

  • @mkarawizemtasher4897
    @mkarawizemtasher4897 Před 2 lety +33

    Jamaal nakuomba pleas na Kama hautojali, Ni hivi naomba utuandalie history fupi inayomuhusu rapa wa miaka ya 90s anaitwa Ol' dirty bastard au (ODB) pia nae anamikasa yake aliyopitia kwahiyo tunaomba utuandalie nakala hiyo, na nimekuchaguwa wewe kwasababu unajua kutangazia vizuri na kunishawishi mtu akusikilize, nitashukuru sana bro🙏🏾

  • @Deeja_Knife
    @Deeja_Knife Před rokem

    Haile Selassie,si Mungu
    Tukifata bible Mungu andio ambaye Jah....linapatikana kwa kitabu cha psalm's.
    Psalms 68:4 Sing unto God, sing praises to his name: extol him that rideth upon the heavens by his name JAH, and rejoice before him.

  • @RhumbaMusic_English_Sub_Titles

    Most Talented! When I am addicted not only to your stories but also your VOICE. TAPS UP

  • @akrashaaloisy5722
    @akrashaaloisy5722 Před 2 lety +8

    In Zanzibar we have haile salassie secondary school

    • @gt.mkushimakoba531
      @gt.mkushimakoba531 Před 2 lety +3

      ndiye aliyeunganisha visiwa na nyika (bara) na kuzaa muungano wa tanzania..
      aliwakutanisha Mwl.j.k.Nyerere na shekh abeid amani karume....

    • @user-eg1mz6vo1d
      @user-eg1mz6vo1d Před 10 dny

      🎉

  • @jamesjacob405
    @jamesjacob405 Před 2 lety +2

    Nakubal sana Jamal omg👏👣

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Před 2 lety +3

    Jah bless Rastafari 🔥🔥🔥

  • @sirdjtexx8154
    @sirdjtexx8154 Před 2 lety +2

    Msimulizi mmoja ngwiji mno. Napenda sana the story book.

  • @kennedydeya-tl7ti
    @kennedydeya-tl7ti Před rokem

    Kennedy Deya From Kenya Prof. Jamal Sky Is The Limit Long Life Jamal

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Před 10 měsíci +1

    Jah Rastafari🇯🇲💛🇰🇪🔥

  • @renamwacha6264
    @renamwacha6264 Před 2 lety +1

    Very good jamal is a favourable story

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 Před 2 lety +3

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abuu_town_tz7341
    @abuu_town_tz7341 Před 2 lety +4

    big up jamal✌️💥💥

  • @KithureCharles
    @KithureCharles Před 3 měsíci

    From Kenya april Jamal you are light to many

  • @kelvinloeku-yh5wh
    @kelvinloeku-yh5wh Před rokem

    noma 👍👍
    nobody like that man in Africa in this current generation

  • @user-dv8ne5um4g
    @user-dv8ne5um4g Před 11 měsíci

    Thanks prof

  • @nurddinmahmud5052
    @nurddinmahmud5052 Před 2 lety +2

    Only one Professor

  • @agreymwansasu8588
    @agreymwansasu8588 Před rokem

    Bro nakukubali sana uko vizuri Sana mungu atakupa uwezo mkubwa wa kuendelea kutufunza vile ambavyo atuvijui nakuamini

  • @najalinanyambo3971
    @najalinanyambo3971 Před 2 lety +5

    Love you

  • @hamadishemtandulo7273
    @hamadishemtandulo7273 Před 2 lety +1

    hakika kama kuna tuzo za BEST WORD STORY PROFESSOR ANGEPEWA

  • @andreaa.nyundo8333
    @andreaa.nyundo8333 Před 2 lety +2

    Kazi nzuri pia kama utaweza naomba utafute kisha cha Luambo Rwanzo Frankoo pamoja na Tabuley tofauti yao ilikiwa nini hadi tabuley kuimbiwa wimbo wa Mario na kisha kukimbia nchini Zaire.

  • @shaulykhamisi7697
    @shaulykhamisi7697 Před 2 lety +4

    Very good

  • @ashirafali1117
    @ashirafali1117 Před 2 lety +1

    Haileselassie secondary school Zanzibar niliposoma mimi

  • @najalinanyambo3971
    @najalinanyambo3971 Před 2 lety +4

    Ukivaa suti unapendeza professor

  • @elijahhandsometheone1217
    @elijahhandsometheone1217 Před 2 lety +3

    The flow is lit... keep the good work

  • @lodomoeisaiahissa1508
    @lodomoeisaiahissa1508 Před 2 lety +1

    What I see in you is only wisdom. May God open your road to top level in live

  • @seiphmohamed4612
    @seiphmohamed4612 Před 9 měsíci +1

    Umetisha sana Jamal ila ongeza ubunifu zaidi.

  • @godfreyshasania3362
    @godfreyshasania3362 Před 2 lety +3

    Heshima kaka

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 Před 2 lety +3

    Kweli kaka yangu ni kaka shule kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️❤️❤️ mungu akubariki

  • @kinaramreggae
    @kinaramreggae Před 2 lety +19

    Thanks Sana But am ras tafari i and i ...Am from kenya I and i ras Tafari i ..Please i and i Ras Tafari i We don't Call Haile Selassie JAH please We don't worship Haile Selassie But tunamjua kama Mtume wa Mungu ..Please don't say That we worship Haile Selassie No ...Pia yy Alisema Yeye Si Mungu ila kuna Mungu mwenye dunia na mbali na ufalme wa duniani Kuna Ufalme Wa Binguni...Yeye kasema ..

  • @gasparmpangaa8329
    @gasparmpangaa8329 Před 2 lety +3

    Mungu atusaidie wa Africa tunashinda Sana

  • @jawadujuma4177
    @jawadujuma4177 Před rokem

    Mungu ampe maisha mema na mwisho uliokuw mwema

  • @anthonymagafu8570
    @anthonymagafu8570 Před 7 měsíci

    Daaaah

  • @michelinebosibori4027

    The king of story teller, the number one 👍100%

  • @mosetv9505
    @mosetv9505 Před 2 lety +3

    Want a collaboration with Abel mutua two of the best narrator's

    • @abdinassir622
      @abdinassir622 Před 9 měsíci

      How can you compaire wheelbarrow na professor Jamal?

  • @user-sz4uu7su4i
    @user-sz4uu7su4i Před 4 měsíci

    Jah bless

  • @sylvesterken6084
    @sylvesterken6084 Před rokem

    blessed be to the most high,his emperial majesty,king of kings lord of lords ,conquoring lion of the tribe of judah ,the root of david

  • @jennifersarah3846
    @jennifersarah3846 Před 2 lety +9

    Pls make a channel for this storys

  • @ephraimmwanginjeri9076
    @ephraimmwanginjeri9076 Před 2 lety +1

    Wah hadi next Saturday!! Si ifike haraka!!!

  • @josephmwangi5689
    @josephmwangi5689 Před rokem

    watching from Nanyuki, Kenya🇰🇪

  • @josephogola8207
    @josephogola8207 Před 2 lety +1

    The king of JAH Simba wa Yuda

  • @isaacblessings2701
    @isaacblessings2701 Před 2 lety +1

    I like what this guy is doing

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 Před 2 lety +1

    Nyumbani Zanzibar ipo shule ya haile Salss

  • @antonyjayjay3505
    @antonyjayjay3505 Před rokem

    Professor jamal I'm your fan

  • @njorocomedian8551
    @njorocomedian8551 Před 2 lety +8

    Great story teller ,great journalism 👏

  • @hathumanimahale1746
    @hathumanimahale1746 Před 2 lety +2

    Jamali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @WeldMwangonda
    @WeldMwangonda Před 2 měsíci

    Asante

  • @Fundikichwa
    @Fundikichwa Před 2 lety

    Hivi jamal kwa hizi stor tu vile unazichokonoa ,unae rafiki mzungu kweli?? Mana dah 😇😇😇😇

  • @aleckzacharia1367
    @aleckzacharia1367 Před 2 lety +1

    Nakukubal mwanangu