The Story Book : Vita Kuu Ya 3 Ya Dunia / Maangamizi Ya Nyuklia / World War III (Swahili)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 04. 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #TheStoryBook #WasafiTv
  • Zábava

Komentáře • 955

  • @henrygeofrey6320
    @henrygeofrey6320 Před 3 lety +108

    Jamal anajua mpaka anaboa uongo jamaniii kama unaikubali wasafi ,the storry book shusha likes za kushatoo

  • @martineathar1869
    @martineathar1869 Před 3 lety +102

    Jaman sijawah pata like humu naomben like zenu

  • @nibohemed2646
    @nibohemed2646 Před 2 lety +8

    Yaani mm nimekuja kusikiliza tena the storybook maana urusi mh mungu hatusimamie Tanzania 🇹🇿 yetu

  • @BBCswahili_Uingereza
    @BBCswahili_Uingereza Před 3 lety +96

    Safi Sana Prof. Gonga like Kama umemuelewa Prof.💪💪

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 Před 2 lety +8

    Ee Mungu, tuepeshe na dunia hii yenye mauaji na ukatiri usio na hofu yako, amin

  • @edwardgistave9488
    @edwardgistave9488 Před 3 lety +93

    Kama ulijua move twende kazi maana huyu jmaa fundiii sanaaaa

  • @truppdizz7330
    @truppdizz7330 Před 3 lety +9

    tafadhali tusije kuskia uyu jamali amegombana na wasafi kila akita kitu mumpatie tafadhali my brother c.e.o #diamond uyu mtu ni wa kuangaliwa sana na kupewa vitu vizuri ili akili yake iyendlee kufikiria vitu vikubwa na kutuletea ili tuelimike tafadhali sana naomba uongozi wa wasafi 🙏

  • @nawwarsultwaan6404
    @nawwarsultwaan6404 Před 3 lety +19

    Jani story book ni noma mno sijapata kuona naomba like wadau

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz Před 3 lety +76

    Upeo alionao jamali sio level za kitanzania.
    Siidharau Tanzania ila Bado unahitaji kwenda mbele zaidi...
    Angalau kuwa international zaidi ulichonacho Ni zaidi ya hapa...
    Lakini nimekuwa impressed Sana maana kinachowekwa hapa Ni next level, wasafi mmeenda mbele Sana hongereni Sana Sana

    • @johnboscomohamed2775
      @johnboscomohamed2775 Před 2 lety +6

      Ni kweli unachosema. Ila anachokiongelea kipo mitandaoni siku nyingi lakini sisi wabongo ni wavivu wa kusoma vitu vya muhimu ndio maana mtu akileta uzi kama huu wengine wanaona kama ni unabii. Ni kwamba jamaa nae anasoma sana vitabu na documentary nyingi ndio maana anajua vitu vingi.

  • @maclinahaonga1548
    @maclinahaonga1548 Před 3 lety +58

    Mungu Ni waajabu Sana yey ndo anajua atatuepusha vip kikubwa tuzidishe maombi🙏

    • @matukiolive1451
      @matukiolive1451 Před 3 lety +3

      Hii vita ya 3 ya Dunia, watu tunafkiria mbali saanaa, pengine sio sahihi.. Mimi nionavyo, hii vita inahusisha na mwisho wa Dunia, unaposikia habari ya mpinga kristo (masihi dajar), watu wanafikir atashuka shetani live toka kuzimu, kumbe sio.... Hii itahusisha mashetani ktk uniform za kibinadamu. Yaani binadamu anapagawa mapepo ya kishetani na kufanya mambo ya kishetani.. Sasa mambo ya kishetani ni yapi!?. Ni pamoja na tamaa za nchi, ama mtu ,ama kikundi kutaka kuitawala dunia, au kutaka kuua watu wote duniani na kubaki wenyewe tuu ktk hii dunia.. Na kuitawala dunia, na kuanzisha tamaduni zao wenyewe... Sasa kwa sasa, nchi kubwa duniani zimeanza kuona hatari ya kuishiwa marighafi ndani mwao, na ndio zinapowaka tamaa za kutaka kutawala dunia ili zikidhani kuwa zitakuwa safe.. Apo ndio shida inapoanzia...

    • @NENO_UZIMA90
      @NENO_UZIMA90 Před 3 lety +1

      Biblia yenyewe inaeleza kuepo kwa Vita ya tatu

    • @janetmrisho3521
      @janetmrisho3521 Před 3 lety

      Amina

    • @halimahamis3907
      @halimahamis3907 Před 3 lety

      Mungu Nimwema siku zote pengine yakalipuka huko huko kwao kabla ya vita. hata sasa eeeee mungu wewe Ndio kiongozi wa aridhi Na mbingu tuhifadi ishaalllah 😢🤲🤲🤲🙏Amiin

    • @catherinejohn3510
      @catherinejohn3510 Před 2 lety

      Amen

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w Před 3 lety +11

    Daaah...!!! Huyu jamaa bhana ni Mbunifu sana nimemvulia Kofia yani picha laanza tu nikajua Mwanetu Jamal katekwa nin 😅😅😅 kumbe zile MBWEMBWE tu miksa madamu nene yaneeee....
    Salute kwako Mkuu🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @onlygame5110
    @onlygame5110 Před 3 lety +14

    Jamal karudi watu wanapata mhaho nipeni like za Tanzania nipo kenya

  • @officialflameboy2548
    @officialflameboy2548 Před 2 lety +15

    Wanaoufuatilia story hii Baada ya kuitazama kinachoendelea duniani gonga like hapa

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 Před 3 lety +81

    Jamal Jamal you are getting better day by day I'm impressed

  • @jonafena4639
    @jonafena4639 Před 3 lety +26

    True story teller watching from 254. Gonga like 👌 Jamal andaa sehemu ya pili umeniacha nime duwaa!!!

  • @dommymnaa1234
    @dommymnaa1234 Před 3 lety +37

    Huyu jamaa anajua mpaka anakera one love brother

  • @jgaelharaka7419
    @jgaelharaka7419 Před 3 lety +37

    Jamal mtu mhim Sana mjini You - Tube, Much respect ma Brother 💪💪

  • @faridithomas4859
    @faridithomas4859 Před 3 lety +43

    tusifurahie utamu wa story tu, tufikirie hatima yetu na vizazi vyetu..! wanadamu tungemjua adui yetu tungefanya mapinduzi asubuhi ya kesho

    • @yadidiahblack2731
      @yadidiahblack2731 Před 2 lety +1

      kabida broo

    • @bongorekodi3242
      @bongorekodi3242 Před 2 lety +1

      Aliye turoga wtz mungu.anamuona

    • @AlexDitto-qz1hn
      @AlexDitto-qz1hn Před 8 měsíci

      Amesahau Tanganyika na Zanzibar inaweza sababisha vita ya tatu ya dunia

    • @AlexDitto-qz1hn
      @AlexDitto-qz1hn Před 8 měsíci

      Hata mzozo wa Tanzania bara na Zanzibar inaweza sababisha vita ya tatu ya dunia

    • @Rey_D669
      @Rey_D669 Před 2 měsíci

      Nipo tayari kufanya mapinduzi kwenye nchi yetu mimi kama kijana jasusi

  • @hashiysaid6199
    @hashiysaid6199 Před 3 lety +38

    Naomba like. Hapaaaa mkuuu mapema Sana nimewaku kula daku na kuicheki hiii

  • @georgebaraka9883
    @georgebaraka9883 Před 3 lety +38

    Dah!! Jamal story zako huwa nazielewa sana na zinasisimua ama kuvutia kuzifuatilia ama hakika unafanya kazi nzuri ya utafiti na kuzisimulia kwa kina na kwa uzuri zaidi... Mungu akujaalie afya njema na akupe uelewa zaidi na zaidi juu ya elimu hii unayoitoa kwetu sisi... Ubarikiwe sana..

  • @emanuelmwaipaja2062
    @emanuelmwaipaja2062 Před 3 lety +11

    Huyu jamaa ningekuw simba ningemzawadia mjengo ni genious sana kila Siku anakuja kiutofauti an ila usiofu bro lazima zawadi yangu utapata tu

  • @harunimfaume8692
    @harunimfaume8692 Před 3 lety +10

    Naikubali stori yako kwasababu unapo leta stori unaweka na picha na matukio tofauti hilo ndio linanivutia kwenye maszor yako sio wale wanao leta stori halafu picha mgando uko vizuri sana mkuu

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 Před 2 měsíci +1

    Wasafi ni 1 tu

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Před 3 lety +7

    THE STORY BOOK. VITA YA TATU YA DUNIA... MAKOFI MENGI KWA PROFESSOR JAMAL.👋👋

  • @peterchance5466
    @peterchance5466 Před 3 lety +8

    Kusema kweli jamaa anajua sana Tena sana TU mpeni likes zake jaman nipo calfonia ila namuelewa san

  • @paulwilson-hc4ey
    @paulwilson-hc4ey Před 3 lety +30

    Mzeee makini sana
    heshima yako ❤️

    • @issasaid5798
      @issasaid5798 Před 3 lety

      Kama unachek hili dude talehe 01/05/2021 gonga like kama zote

    • @konstantinomakolo4898
      @konstantinomakolo4898 Před 3 lety

      Japan (Hiroshima and Nagasaki) haikupigwa Nuclear ilipigwa Atom nuclear imegundulika mwaka 1953

  • @org32168
    @org32168 Před 3 lety +6

    Uko vizuri brother like kwako👊👊

  • @ngotwikebusinessplatfom8306

    Amakweli kila binadamu ni wapekee sana hapa duniani, hakuna kama wewe kaka Jamaly nakukubali sana.

    • @truppdizz7330
      @truppdizz7330 Před 3 lety

      safi ndugu yangu nimekuona apa kw mala ya kwanza tukutane kwenye team #kubambanya 🤣🤣🤣

  • @adamnkwama4148
    @adamnkwama4148 Před 3 lety +56

    Hii dunia Mungu pekee ndiyo mkombozi wetu

  • @jumabahasha8831
    @jumabahasha8831 Před 3 lety +16

    Nijambo la kumshukuru mungu kwa kuwenza kwanza kukujaaliya kufanya utafti wakina '. Na tumuombe mungu aiwepushe duniya na vita ya tatu ta duniya

  • @swalehmwamazola7100
    @swalehmwamazola7100 Před 3 lety +8

    Wapi like za Africa kwa haya maovu yaliyotajwa atumo.
    Na hao mabepari wa duniya kesho kwa mungu c mbali.

  • @raydiesel424
    @raydiesel424 Před 2 lety +13

    Leo 04/03/2022
    Nimeamua kuangalia hii kutokana na kinachoendelea huko Ukraine, yule mzee mstaafu wa Marekani aliesema ana hofu vita kuu ya 3 ya dunia itatokea ndani ya miaka 10 ijayo naona hofu yake inatimia. Vita kuu ya 3 ya dunia iko karibu...ee mwenyezi Mungu utuangalie sie waja wako haya mataifa ya kibabe yataimaliza dunia hii 😥

  • @paschaljoseph3590
    @paschaljoseph3590 Před 3 lety +8

    Hatari sana mkuu, hongera sana PR Jamal unatisha hii kweli ndo wasafi

  • @abdulkhalimjuma6925
    @abdulkhalimjuma6925 Před 3 lety +10

    Nakubal kz jamal sijawah jutia mb zangu kwa ajil yk ww

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 Před 3 lety +11

    Nashukuru Sana mzee kwa taarifa halafu story ni nzurii Sana.

  • @filberthmsuya1764
    @filberthmsuya1764 Před 3 lety +56

    Kaka chagua kati ya dodoma au dar sanamu yako tujenge wapi

    • @bensonmgaya5693
      @bensonmgaya5693 Před 3 lety +1

      Sio kweli nakataa huyu jamaa aokoke tu awe muhubiri amtumikie Yesu wa Nazareti watu waokoke kupitia yeye

    • @ruralhunter255
      @ruralhunter255 Před 3 lety +1

      Hahaaaaaa

  • @benteke6258
    @benteke6258 Před 2 lety +17

    Iam now your fun Jamal you are more than my grandfather he was a story teller, more Love from Kenya 💚💚

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 Před 3 lety +28

    Another Level Professor Jamal 🙌🙌🙌 I appreciate Broh..!

  • @shabanihussein7163
    @shabanihussein7163 Před 2 lety +10

    Ulioyasema kaka
    Leo tunayo, Nani bado Anatazama the story book hadi hii leo

  • @tygatooraww6543
    @tygatooraww6543 Před 3 lety +5

    Professor Jamal Ni Zaidi Anaelezea Vitu Vingi Sana Huyu Jamaa Sio Mchezo Kabisa Gonga Hapa Like Kwake To Him He Tell The Truth

  • @jerrykayaga940
    @jerrykayaga940 Před 3 lety +7

    Professa ni mmoja tuu jamal nakukbaliii sanaaa kaka

  • @gabbymasota8693
    @gabbymasota8693 Před 2 lety +38

    Tulioiangalia the story book March 2022 dondosha like hapa maana Jamaa kaitabiri vizuri sana na ndio inavyoenda kutokea...🙌🙌

  • @rafaelgodfrey7305
    @rafaelgodfrey7305 Před 3 lety +1

    Naomba hio Vita isitokee kabisa tumuombe mungu isitokee hio vita

  • @marcoamos6330
    @marcoamos6330 Před 3 lety +48

    Kaka umesahau kuongelea kipengele muhimu sana "jinsi gani ww3 itaadhiri mataifa ya Africa" nadhani watu wengi walitaka kujua hilo na mimi nikiwemo

    • @leengeresa5011
      @leengeresa5011 Před 2 lety

      Mwenyezi Mungu atalinda watu wake

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 Před 2 lety

      Kwetu isifike jaman naikifika niwenimekufa Mimi jaman

    • @mwanaishamande8880
      @mwanaishamande8880 Před 2 lety

      @@nolimittvonline6822 vipi kuhusu kizazi chako haukihurumii

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 Před 2 lety

      @@mwanaishamande8880 bina dam Tena kutapa patapa kikubwa ni kuomba mungu atunusuru

    • @mwanaishamande8880
      @mwanaishamande8880 Před 2 lety +1

      @@nolimittvonline6822 kabisa ndugu yangu mungu atunusuru yote yabatokana natamaa yamali nadhulma ubabe ila inshaallah Allah karim 🤲

  • @hassanyussuph4407
    @hassanyussuph4407 Před 3 lety +5

    Jamal mtu hatar sanaa tumuombe mungu tu🙏🙏🙏

  • @FredoBoy
    @FredoBoy Před 3 lety +5

    WASAFI forever
    Gonga like kama tutazidi ku support WCB pamoja. Alfred RAY Silver based in SA

  • @user-hy5gz9qd1j
    @user-hy5gz9qd1j Před 3 měsíci

    Yesu ndio mungu mwenyewe...soma yohana mtakatifu sura 14:6-12

  • @user-fe5jl3jd3t
    @user-fe5jl3jd3t Před 2 měsíci

    Jamal mimi hukuangalia kutoka Kenya.lakini wewe ni mwalimu ambae sijui kama ulifunzwa na mwalimu kujua mambo yasiyo yakawaida, ama mambo ya Dunia. Aise uko juu

  • @chipagafashion
    @chipagafashion Před 2 lety +12

    Nimerud tena baada Mgogoro wa Russia & Ukraine

  • @allyndingo1812
    @allyndingo1812 Před 3 lety +19

    The story book iendeleee...!!!

  • @arnoldkasoma886
    @arnoldkasoma886 Před rokem +1

    Aseeh.... ni Hatariii

  • @jacobkisuma985
    @jacobkisuma985 Před 2 lety +1

    Kipaji hiki kimepitiliza uwezo wa mwanadamu wa kawaida kaka, Mungu asante kwa vipaji

  • @fasteelastee9976
    @fasteelastee9976 Před 3 lety +6

    Yaani this guy does the most great job.. #sababu ya yote haya ni mshahara wa vitendo vya uhasama vya mwana damu mwenyewe

  • @baswarimohamedi2766
    @baswarimohamedi2766 Před 3 lety +9

    Umeua kaka.

  • @kanjunjucomedy6408
    @kanjunjucomedy6408 Před 3 lety +9

    Uyu jamari ana jua baraa .Kama una Amini Kama mm please naomba like yako.

  • @learnenglishwithcharles4361

    You are my great story teller of all the time...Your aptitude is greater than what you narrate.

  • @youngweezy3846
    @youngweezy3846 Před 2 lety +3

    wangap tumerudi hapa kipind hiki cha mzozo wa urusi na ukraine 🙌🙌prof jamal

  • @bestgames6229
    @bestgames6229 Před 3 lety +34

    Professor jalibuni kuweka subtitles in english pia coz namarafiki zang abroad huwa wanapenda kusikiliza story zak but tatizo lugha hawajui kiswahil and richa ya hiyo pia itasaidia kupata more fans a world wide
    I'll be happy if u'll consider that idea 💕💕

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 Před 3 lety +8

    Professor Jamal fundiiiii 💯💯💯👏👏👏

  • @naftaliiddi4780
    @naftaliiddi4780 Před 3 lety +7

    Yaani unavyoelezaga story zako na kuzifafanua napendaga sana yaani unajuwa ww na pia muda wote huwa sichoki kuzisikiliza story zako maanake huwa haziniishi hamu, nikuombe uwendelee tu

  • @brokenigga2842
    @brokenigga2842 Před 3 lety +22

    Creativity level awesome 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @salomegomano1788
    @salomegomano1788 Před 2 lety +5

    Super proud ue Jamal we are enjoying much .....u know wat Tanzania we are blessed ..keep shining brooo may God blessings Shower upon ue

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 Před 3 lety +2

    Jamal unauwezo mkubwa snaa wakuweka story ikakaa Mahal pake,big up sana kaka.....

  • @abelijoshua385
    @abelijoshua385 Před 2 lety +2

    Dah nakuelewaga sana ndugu yangu.... mwenyezi mungu akutangulie ktk kazi zako

  • @chriswashington7745
    @chriswashington7745 Před 3 lety +10

    Ziko wapy likes za jamal from Kenya

  • @edwinsirchidunda5658
    @edwinsirchidunda5658 Před 3 lety +20

    Like zaako jamal April utazikuta hapa kama humpingi like please akija azikute

  • @josephbabirandeda7554
    @josephbabirandeda7554 Před 2 lety +1

    Ni Wewe Tu Mwenyezi Mungu Utuokoe 🙏🙏

  • @mussalugembemussalugembema3650

    duuu inatisha sana hapo inaitajika tu nusra ya mwenyezi mungu

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 Před 2 lety +3

    Hatimae tumerudi hapa bdala ya muda mrefu.

  • @maclinahaonga1548
    @maclinahaonga1548 Před 3 lety +19

    Ivi kwann binadamu wanafanya hivyo..nakuuliza Mungu angeamua kuwa katili kiasi hicho Leo hii tungekuwa wapi jamn😭😭😭, Eeee Mungu wangu tuteteee sisi waja wako

  • @wailosvijevania1049
    @wailosvijevania1049 Před 3 lety +2

    Kwa wapenzi wa story book karibuni pia kwa Davista Mata upate story nyingi na za kweli upate kujua zaidi kuhusu mambo yaliyopo na yanayoendelea duniani

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 Před rokem

    Kunamengi sana yakujifunza kwa The story book hakika jamaa Anasikitisha sana vile anavyo Simulia Tukio

  • @mdouharoon6316
    @mdouharoon6316 Před 3 lety +7

    Nasemaje #JAMALI APRIL NI MMOJA 1 TUU

  • @TonyMkongo
    @TonyMkongo Před 3 lety +60

    Professor Una balaa sana 🔥🔥🔥

  • @fadhilzabron2552
    @fadhilzabron2552 Před 3 lety +2

    My Bro your professional
    Like 👍

  • @happyshayo372
    @happyshayo372 Před 3 lety +31

    No war no tears any more. God is overall🙌

  • @nola9334
    @nola9334 Před 2 lety +4

    Mungu ndie mjua yote eeh mungu simama na inchi yangu Tanzania.

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 Před 3 lety +106

    Watu wanajifanya kukucopy hawakuwez mkuu lete chuma back to back🙏😂😂😂

  • @jericomgaya8282
    @jericomgaya8282 Před 2 lety

    Jamal April you're the best bro

  • @mkarawizemtasher4897
    @mkarawizemtasher4897 Před 2 lety +2

    Ulilosema linatokea hukuuuu, Jamaal April

  • @godfreymtazama4581
    @godfreymtazama4581 Před 3 lety +5

    Fundiiii proffersor jamaly mustapha 🙏🙏🙏

  • @kipusasalum372
    @kipusasalum372 Před 3 lety +5

    Bonge la aidia wcb ni🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AimealengebienkisepeAimealenge

    Safi sna prof.ww nibalaa

  • @hajiabeid8923
    @hajiabeid8923 Před 7 měsíci +1

    asante kwa taarifa za uhakika

  • @hassanabazar9411
    @hassanabazar9411 Před 3 lety +4

    Salute kwako PROFESSOR

  • @reginasawe3356
    @reginasawe3356 Před 3 lety +3

    Ungekua mwalimu wanafunzi wangeelewa sana

  • @victordavidmmbaga8491
    @victordavidmmbaga8491 Před 2 lety +2

    Kama vile yametokea kweli, Tumuombe Mungu atulinde tu

  • @hefsibajohakim3257
    @hefsibajohakim3257 Před 3 lety +1

    enyezi mungu atusamehe sisi tusio jua chochote na waki piga baci yatagoma nakuwauwa wao wenyewe amina

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 Před 3 lety +25

    Woyoo wangapi tumeamka nayooo weka likes yako tuendelee kuhabarika na story book

  • @saidymo8307
    @saidymo8307 Před 3 lety +7

    Jamal..🔥

  • @ndechaboy6238
    @ndechaboy6238 Před 9 měsíci +1

    safi sana

  • @nestorydaniel9346
    @nestorydaniel9346 Před 2 lety +1

    hii istoria mnaweza kuifungua

  • @beatricepeter301
    @beatricepeter301 Před 3 lety +22

    This one has made me cry 😭😭😭😭 .... it's so sad...to see how the world is going.

  • @loverybaron80
    @loverybaron80 Před 3 lety +4

    Jamal is Jamal ..work proceeding
    Like 🙏

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu7312 Před 7 měsíci

    Unatusaidia sana professor Jamal kujua yajayo yasiyofurahisha🤌🤗

  • @issayaissaya3266
    @issayaissaya3266 Před 3 lety +2

    Ndo kipind bora hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 pongezi broooo kw ubunifuuuuuu wako jamal

  • @wg4225
    @wg4225 Před 3 lety +114

    Nipe like ya askari wetu hapa🚨🚨🚨

  • @olekarai
    @olekarai Před 2 lety +28

    The level of your creativity is incredible sir, we researched, perfectly elaborated and well explained......

  • @elizagee2911
    @elizagee2911 Před 2 lety +2

    Hakutakua na mshidi dunia itaangamia yote mungu atukumbuke.

  • @musason1680
    @musason1680 Před 2 lety +1

    Daahh mwenyezi mungu aendelee kutusimamia 🙏