MZEE MANGULA: NILIJUA MAPEMA/ SIKUMUOGOPA/NILIRUDI SHAMBA KULIMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 11. 2022
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

Komentáře • 56

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 Před rokem +1

    Mzee mangula nakupenda sana zaid ya sanaaa.

  • @shabanramadhan4863
    @shabanramadhan4863 Před rokem +8

    Mzee Mangula Ubarikiwe Ulifanya Kazi Kwa Uadilifu Katika Kukijenga Chama Ubarikiwe Sana Mzee Wa Mafaili

  • @furahasimbeyesimbeyethebio8388

    Nampenda sana huyu Mzee.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Před rokem +2

    Mangulaa kuaa ccm nizambi kwa mungu na mungu kakuokoaa nizambi ya kuaa li ccm emeni

  • @Alex-hf6sw
    @Alex-hf6sw Před rokem +4

    Hongera sana mzee napenda ningekuwa kwenye mfumo nami niwe kama wewe ila haiwezekani màana chama kina wenyewe

  • @mzadomwongozo3671
    @mzadomwongozo3671 Před rokem +2

    Content makini sana, naanza kuifuatilia hii chanel

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 Před rokem +1

    Aiseee huyu mzee yupo vzur, mzee wangu wew ni kiongozi. ♥.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před rokem +6

    Mzee mangula ni mtu mzuri sana mungu ambariki sanaaaa huyo ndiyo anaejua siasa hao wengine waliochukua nafasi yake mmmmmmmmmm yetu macho tunachoomba amani tu Tanzania

    • @abdulrahmanmwadini5925
      @abdulrahmanmwadini5925 Před rokem

      Huyo unaemponda umesahau au hujui kama ndio aliezunguka Tz mzima kufufua chama?,

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 Před rokem

      Kwani chama kilikuwa kimekufa? Wakati kinakufa yeye alikuwa wapi? Si alikuwa ndani ya chama naalikuwa kiongozi mwandamizi? Chama hakijawahi kufa kabisa na hakitakuja kufa.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Před rokem +2

    Moja ya Wazee ninao waelewa ni Mzee Mangula..huwa ni Muelewa na Msikivu

  • @danielngondya5335
    @danielngondya5335 Před rokem +1

    Mwandishi alipaswa kufanya homework yake vizuri kabla ya kumhoji Mzee Mangula. Anaeleza kuwa mwaka 2006 aliamua kwa hiari kupumzika. Lakin akiwa kijijin kwake, aligombea uenyekiti wa CCM Mkoa, nadhan ilikuwa 2007, akashindwa vibaya sana. Alipaswa kumuuliza kwann aligombea uongozi wa mkoa, wakat alikuwa Katibu Mkuu CCM?
    Kulikuwa na tetesi zilizopelekea akarudi kijijin. Alipaswa kuuliza maswali ktk maeneo hayo ya tetesi.

  • @yusuphmpenja3288
    @yusuphmpenja3288 Před rokem

    Shukrani kutambua kuna umri wa mapunziko wengine hawalijui huo ni moyo mzuri

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 Před rokem +2

    mtangazaji umempa sana Mzee Mangula mianya CCM haishindi tena uchaguzi Tanzania bali ni kutumia nguvu za dola kubakia madarakani kasema hayo Katibu Mkuu wao Dr.Bashiru

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 Před rokem

      Rudia kusikiliza alichosema DkBashiru juu ya kutumia kukaa madarakani,usibebe upotofu uliotolewa na Wahuni....Alisema Dola kwa maana ya vyombo Mahakama,Polisi n.k...kuvisimamia vifanye kazi zao kwa kuwasaidia wananchi nao wataona kuwa wanasaidiwa kupata haki zao na huduma hivyo Watakipa ridhaa ya kubaki madarakani...Wahuni walikamata maneno ya mwanzo na kuacha habari nzima ya DrBashiru...itafute taarifa nzima ipo humu CZcams.

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 Před rokem +1

    Ndg mtangazaji kuna tetesi nimewahi kuzisikia kwamba mzee Mangula aliwahi kuwa mshauri wa chama cha A.N.C pale a/kusini kati ya mwaka 2006 hadi 2012, nilitegemea swali hili litaulizwa na kujibiwa hapa..

  • @neemaevance80
    @neemaevance80 Před rokem

    Mungu akutunze mtani wangu

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 Před rokem

    Mhh sawa

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Před rokem

    Alikimbia genge la wauwaji.Baada ya kulishwa sumu akaponea chupuchupu.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Před rokem +2

    Rais wa mchogo na Genge lake wanatumaliza watanzania bara,Rip JPM

  • @issasaidi5781
    @issasaidi5781 Před rokem

    Hua nakukur broo uko makin sana

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Před rokem

    Demokrasia ya chadema ni feki. . Tangu Kimeanzaza hakuna uchaguzi wa kiongozi wa chama. Ni wale wale. Na wanaimba demokrasia

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 Před rokem +2

    Huyu mzee mangula alikuwa ameendana na magufuli Safi Sana, anamsimamo Sana kwa kile anachokiamini .

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Před rokem

    Duuuh nchi hii ni hatari sana

  • @nimlambangu2771
    @nimlambangu2771 Před rokem +1

    Mbona mnajadili hoja nyepesi sana, Siku zote vyama vunavyojijenga vinahitaji sana watu wanao wanajitoa kwa dhati ya moyo wao katika kusimamia jambo lao, Mbowe kuwa M/kiti au kuendelea kuwa m/kiti Wala sioni tatizo, rejeeni vyama vyote vilivyo kuwa vinapigana kuongoza serikali havikuwa na shaka yeyote inapoonekana Kuna shoka linaweza kufanya kazi Barbara.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Před rokem +4

    Ila nchi ngumu sana hii kuja siku tutaamka asubuhi tusiikute nyie

  • @jovinjulius9852
    @jovinjulius9852 Před rokem +3

    CCCMM ni chama cha wahuni

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 Před rokem +2

    Mzee hajasoma ilani. Vyama vingine

  • @hezronmangulamangula9718

    Mzee mangula

  • @adamfundikira3554
    @adamfundikira3554 Před rokem +1

    Ccm yenyewe wamejaa wahuni tu

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Před rokem

      Adamu fundikira wewe ndiyo muhuni kabisa anzisha chama chako cha kushindana na ccm uchukue dola nyau wee

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Před rokem

    Naswa

  • @shaheqodfreykristiansolea720

    Magufuli hakuwa anakijua chama?

  • @elisantenyange8751
    @elisantenyange8751 Před rokem

    Mzee Mangula uliwahi kugombea uenyekiti was ccm mkoa, ukakosa, na ulilalamika sana.

    • @jonathanmwakabuku4714
      @jonathanmwakabuku4714 Před rokem

      So what? Kwani kuna mtu kwenye chama wa juu ambaye hajawahi kugombea na kukosa?

  • @martintv9696
    @martintv9696 Před rokem

    Miss you banduka

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Před rokem

    VIONGOZI wa maana ndani ya CCM hakuna tena. Tumebakia na wahuni, waliobakia ni wahuni na wanao fikilia Tanzania ni Mali yako binafsi.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před rokem +1

    Mzee mangula umesema kweli chama gani mwenyekiti huyo huyo kila siku wamemchoka kabisa wanachama wenzie huko mitaani mbowe njoo usikie ya mitaani

  • @magaigwa4204
    @magaigwa4204 Před rokem

    Badala ya kuilizia mafanikio ya utendaji kipindi cha utumishi wake, wewe unataka kusikia kuhusu minong'ono ?

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Před rokem +5

    mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe !! Chadema ni tishio .. vyama vingine mf. tadea Demokrasia makini , tlp, dp nk. vina wenyeviti pia ila haviinyimi ccm usingizi kama ilivyo kwa Chadema.

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 Před rokem +1

      Huo mrazamo wakoni mihemko tu, bado sojaona chama tishio tTanzania unataliwa ujiulize imeluwaje wabunge 19 kwa wakati mmoja kutofaitiana na chama? Jinu ni rahusi sana ni dictatorship

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Před rokem

      😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Před rokem

    Hivi vyama vinamisukosuko sana na polisi, CCM, Na dola kwa ujumla. Nyerere alikaa muda gani jamani. Vyama vyenyewe havijalalamika mbona hamoni maovu ya CCM ?

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 Před rokem

    Kama mtu ana ng'ang'ania nafasi ya wenyekiti! Miaka yoote yeye tu, ukimpa uraisi hawezi kuachia nafasi Kwa wengine, na atauwa wengi Kwa kutetea nafasi yake, ccm ndo chama pekee chenye sera kabambe, mipango ya kupokezana madaraka bila ugomvi, hivo kinafaa kuongoza Dora, hivyo vyama vingine ni mapanya road hao.

    • @fahamnitwahir9249
      @fahamnitwahir9249 Před rokem

      Kupokezana madaraka? Mbona hawakubali Kupokezana madaraka pindi wakishindwa kwenye uchaguzi?

    • @laumlimbila4337
      @laumlimbila4337 Před rokem

      Kupokezana kivipi cjakuelewa tatizo cio uenyekiti tatizo ni wanatengezwa kwenda kuvuruga

  • @hezronmangulamangula9718

    Mzee mangula

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 Před rokem +1

    Mzee hajasoma ilani. Vyama vingine

    • @peterkilasara4828
      @peterkilasara4828 Před rokem

      Nakuelewa…. Siasa ni kama dini …. Wengine wasubiri. Umri siyo hoja…imani ni mtu.

    • @peterkilasara4828
      @peterkilasara4828 Před rokem

      Sina chama namkubali anayesiasa vizuri. Kwa neno lake juu ya vyama vingine amenikwaza. Ila namheshimu sana. Akibarikiwa umri asizungumze zaidi katika siasa…. Awaachie vijana.