Mambo yanayofichwa kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar- Lissu ahoji wako wapi Hanga na wenziwe?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 01. 2022
  • Tundu Lissu pamoja na Mohamed Said na wachangaji wengine wakijadili Mapinduzi ya Zanzibar na jinsi mambo yanavyofichwa. Bado watu wengi hai=waifahamu historia ya mapinduzi, wengi wanaamani aliyepinduliwa ni mwarabu kumbe kuna mengi nyuma yake.

Komentáře • 187

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 Před 2 lety +17

    Ahsante mh Tundu Lissu. Umeendelea kutowa elimu kubwa. I wish Watanganyika akina pole pole na baadhi ya wana chadema WATAJUWA nini maana ya muungano, mapinduzi na maslahi ya Zanzibar na kwanini wazanzibari wanadai mamlaka kamili. I m dare to say Watanganyika they dont like to understand our cry. Thus why many Zanzibar hate Tanganyikans government na Muungano

    • @ahmuhally4430
      @ahmuhally4430 Před 2 lety

      Watanganyika wote wanaujua ukweli ila wanauficha kwasababu ya Maslahi yao ya dhulma

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 Před 2 lety +1

      Brother mnatukosea sana watanganyika. Hakuna mchadema anataka muungano na CHADEMA walishaga singiziwa na Lipumba eti hawataki muungano kwavile hawawapendi waislam Zanzibar.
      Kikundi kinacholilia Muungano ni CCM tu.
      CHADEMA hatutaki muungano huu tunataka Zenj huru alafu tukubaliane namna ya kuishi kama ndugu.

    • @raymondjohn3798
      @raymondjohn3798 Před 6 měsíci

      Kuchukia watanganyika Kwa sababu hiyo,sio wao Ila wahusika wapo,lakini sio watanganyika wote.

    • @LusajoMwaipopo-bx1vp
      @LusajoMwaipopo-bx1vp Před měsícem

      ​@@rockcitynative9985😅

  • @ahmedmwinyi6935
    @ahmedmwinyi6935 Před 5 měsíci +2

    Nafatilia sana siasa za Zanzibari kwani kwetu. Fuko lamgu mimi ni Mpemba, Jambo la kusikitisha ni walio jitolea kujenga nchi anakuwa adui mkubwa kwa njia hio utulivu hautapatikana.
    M.A . Shungi

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 Před 2 lety +4

    Tundu lisu ahsante sana nimekusikiliza kwa makini nimejuwa nini maana ya Mapinduzi

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 Před 5 měsíci +2

    Laana ya Mungu izide kumuangamiza nyerere na wauwaji wote walio dhulumu wananchi wa zanzibar

  • @ibrahimallymohd3645
    @ibrahimallymohd3645 Před 2 lety +5

    Lisu asante kwa kusema ukweli na tunakuombea mungu akuweke uje ubainishe baina ya Zanzibar na Tanganyika na sasa Zanzibar tunafahamu sote lakini tuna ogopa kwa sababu mapinduzi yanaendelea kufanyika kila uchaguzi

  • @MohamedAbdallahSaid
    @MohamedAbdallahSaid Před měsícem +2

    Kweli Watanganyika ndio waliokwenda kupindua Serikali ya Zanzibar na Nyerere ndio aliyekuwa Kiongozi wao.Hiyo hutataja kuogopa kukosa kura.
    Leo Mzanzibar ndio Kiongozi wa Tanzania. Ndio malipo hayo.

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 Před 2 lety +6

    safi sana LISSU

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Před měsícem +3

    Huyu anafaa kuiongoza nchi

  • @user-cj2iq1qv6n
    @user-cj2iq1qv6n Před měsícem +2

    Tupe Helimu Tundu Lissu Wewe Ndio Tegemeo Letu CCM HAWANA Ubavu Wakutumbia Ukwer Funguka Baba Lissu

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Před měsícem +2

    Watu wenye akili wote zanzibar wanampenda lisu kwa sababu anajuwa historia kuliko wazanzibari wenyewe.. na nimkweli kupita kiwango cha ukweli. Anaye mchukia lissu ujuwe ni shetani poleni wanzanzibari. Andikeni historia.

  • @masterr2389
    @masterr2389 Před rokem +5

    Mapinduzi yalikuwa machafu na yamefanya ubaguzi ila hayo yamekwisha tunashkur allah

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Před 2 lety +4

    SIRI NI NYINGI SANA HUMU...NA NDO MAANA CCM HAITOKAA IKUBALI KUTOKA

  • @user-cj2iq1qv6n
    @user-cj2iq1qv6n Před měsícem +2

    MM CCM IKIANGUKA NAENDA MAHAKANI KUWASHITAKI CCM KWA KUNIFUNDISHA ISTORY YA UONGO WALITUFUNDISHA KARUME ALIWAFUKUZA WARABU KWA MAWE KUMBE WAONGO. NDIO MAANA HADI LEO CCM WAONGO SANA NDIO MAANA WANAOGOPA KATIBA NA TUME HURU WANAJUA WATAISHIA JELA KWA UONGO WAO WA MDAMLEFU

  • @salyali7807
    @salyali7807 Před 2 lety +10

    Lissu is my favorite 👍

  • @luganopondo6196
    @luganopondo6196 Před 2 lety +7

    Huyu jamaa ni kichwa

  • @rajabhussein7794
    @rajabhussein7794 Před 2 lety +4

    Lisu tuletee na historia ya uhuru wa Tanganyika maana tunadanganywa sana

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 Před 2 lety +4

    Allah ametulipia kwa mazalimu hawa na wao.wote walizulumiana.roho zao

  • @user-em3ye6el6z
    @user-em3ye6el6z Před měsícem +3

    Sio kutoka bara , sema kutoka Tanganyika kwanini hamsemi Tanganyika ??? Sema Tanganyika bwana.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Před měsícem

      Bars na Tanganyika ndio hiyo hiyo. Simple really!

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 Před měsícem +2

    Watu wameuawa kabisa

  • @parma786
    @parma786 Před rokem +1

    Sheikh mohd bin said ahsante kwa historia ulosema Allah akulinde kila uendapo na usemalo na akupe afya nzuri na maisha marefu inshallah slm alkm.

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp Před 3 měsíci +2

    Na tunaendelea kuandika kuhusu ukweli waache wapumbazike akili zao zimeshikiliwa, ila kizazi kinachokuja kitajuwa nini wafanye

  • @bururemnanka73
    @bururemnanka73 Před 8 měsíci +2

    Ni kweli kiongozi wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 uliye baki

  • @user-gx3jp6uk2f
    @user-gx3jp6uk2f Před měsícem +2

    Lissu gombea Urais kura zote tutakupa

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Před 3 měsíci +1

    Ni kweli kabisa maneno yake huo jamaa anajua mkasa NA wengine wanajifanya hawaelewi NA huko kiama itawenekana tu

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Před 2 měsíci +1

    Lissu ana ufahamu mkubwa sana wa Historia ya Nchi hii

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 Před 2 lety +3

    Hawa kila siku wanajisifu mapinduzi wee tumepindua weee kumbe ndio ukweli wenyewe huo mapinduzi yenyewe yalifanywa kwa ajili yao (yalifadhiliwa) ndio mana wakawa wanalipa fadhila mpaka hivi leo kupitia muungano.

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 Před 2 lety +6

    Mtatuelewa tu ndugu zetu wa Tanganyika kwanini sisi wazanzibar hatuutaki muungano.

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 Před 2 lety +6

    Hakuna mapinduzi ni mauwaji wa wazee wetu tu kwa chuki zisizo na msingi.

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 Před 2 lety +2

    ZANZIBAR ingekuwa tajiri la AFRIKA. NA INGEKUWA KITUWO KIKUBWA KWA BARA LA AFRIKA. KUENEZA UISLAM. .NA TUKIWA HURU. TUTWAMBIYA WAZUNGU WOTE WALOKUJA KUISOMA HISTORIYA YA ZANZIBAR. KUWA MLIKUWA MNADANGANYWA. TUTASEMA UKWELI.

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529

    Sisi Wazanzibari tunajua yote haya vichwa vyetu vimebobea siasa tokea kwenye matumbo ya mama zetu dhulma zote zilopita Zanzibar tunaelezwa isipokua wewe mheshimiwa Tundu Lisu utatusaidia kuwaelimisha baadhi ya watanganyika wasijua ukweli kuhusu Zanzibar

  • @ibrahimallymohd3645
    @ibrahimallymohd3645 Před 2 lety +1

    Salaam ulingoni,sahihi uko sawa lisu Zanzibar mapinduz yanalindwa na watanganyika sio sisi wazanibara na ndio maana hatutaki CCM na tunaa amini ni Tanganyika

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 Před 2 lety +6

    Wote walofanya MAPINDUZI filnarijahanam.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před rokem +1

      Amin ya rab

    • @yahyadenny4368
      @yahyadenny4368 Před měsícem +1

      Allaah awalaani wote waliohusika na mapinduzi zanzibar na makaburi yao yawake moto na mchana wa qiyama waingizwe jahannam,lisu tueleze chama gani kilishinda 1963 dec.vikiwepo asp zppp na hizbu ikawa ndo sababu ya mapinduzi zanzibar.

  • @ahmedmwinyi6935
    @ahmedmwinyi6935 Před 5 měsíci +1

    Ndugu Lissu,
    Ulio yasema ukweli wazi, Malengo ya mapinduzi sio ilivyoni sasa bali ni ubinafsi wa watu waingie mamlakani tu.

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 Před 2 lety +3

    Sijawahi Kuchoka Kukusikiliza

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Před rokem +2

    Mapinduzi matakatifu ni kama vile wameua wayahudi
    Eti matakatifu

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf Před 3 měsíci +1

    Ndomana znzibar tunaliya shida kwahii kabari tulo tiwa 😮

  • @abubakarahmed3010
    @abubakarahmed3010 Před rokem +2

    Mimi nasema hayakuwa nimapinduzi
    Bali ilikuwa niuvamizi
    Kutoka tanganyika

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz Před 2 měsíci +3

    Inauma sana

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 Před 20 dny

      wazanzibar sikilizeni karume alikuwa mshenzi kwanza kawauwa wazanzibari alokuwa akishirikiana nao baada ya kupata maelekezo kutoka kwa nyerere

  • @1978O3
    @1978O3 Před 2 lety +1

    John Okello naye amesahauliwa kabisa

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 Před 2 lety +3

    Naomba muniulize kuhusu mapinduzi ya znz maana nimeyaina live toka risasi ya mwanzo kufyetuliwa na pia ku esacpa mauji hapo yalipo anzia bomani polise station

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 Před 2 lety +3

    Ndio maana Professor Babu alikimbilia Uingereza.Bintiye Abdalla Hanga anayejulikana kama Yelena Khanga ni raia wa Urusi(alikuwa T V anchor)😘😘😘😘😘😘😘😘Unadhani hawa wahanga watayaita Mapinduzi matukufu?

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Před 2 lety

      Huyo babu bora nayeye yangemkuta mana alikua mtu mmoja nae sswa mtu mwenye umahiri na ushawishi lkn alikua mnafiki tu mkubwa.

  • @user-rz4vx4op3b
    @user-rz4vx4op3b Před 5 měsíci +1

    Mh wape somo hao viongozi wachumia tumbo wanaosherehekea mauwaji ya ndugu zetu waliouwawa kikatili

  • @dillonfoya
    @dillonfoya Před měsícem

    Pamoja na kufundisha sana kuna siri juu ya jina la chama inajulikana walifanya Mapinduzi ni zanzibar na haijawahi kutokea Tanganyika kwanini chama chetu kiitwe chama cha mapinduzi wakati huku hatujawahi kufanya Mapindizi

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Před rokem +1

    Huo ni ukweli zanzibari ilivamiwa wala sio mapinduzi NA kutekwa nchi ya watu milele

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 Před 2 lety +6

    Suali langu kwa Mh. LISSU. Ni lini Jeshi la Tanganyika litaacha kuwavamia Wazanzibari na kuwaua.?
    Lini Wazanzibari watakuwa huru kuchagua viongozi wanao wataka bila ya kuvamiwa na Jeshi na Polisi kutoka Bara?

    • @kassim1262
      @kassim1262 Před 2 měsíci +1

      Ss hilo suali c uwaulize ccm wanaosema mapinduzi daima na ccm haijawahi kushindwa lini uliskia tundu lissu anamiliki jeshi napolisi lini uliskia tundu lissu anaongoza serikali

    • @cyprianboniphace-oz5lw
      @cyprianboniphace-oz5lw Před měsícem

      Jibu la hapo sio lazima ajibu Lisu,ni pale mtakapoungana wazanzibar wote kudai Zanzibar yenu.

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 Před měsícem +3

    Lisu funguka vizuri kuhusu mwl nyerere kumleta john okelo toka uganda kuua watu zanzibar majumbani na misikitini ,leo watu wanashangilia mauaji ya raia wasio na hatia.

  • @MohamedAhmed-ix3mf
    @MohamedAhmed-ix3mf Před 2 lety +3

    Moja katika zulma kubwa iliyofanywa znz ni force marriege ni haram katika uislam

    • @moxasaidi3398
      @moxasaidi3398 Před 5 měsíci

      Mauwaji jee

    • @yahyadenny4368
      @yahyadenny4368 Před měsícem +1

      Baada ya kifo cha bwana mkubwa mmoja huko zanzibar liliwaka moto miezi 2 mfululizo

  • @gojvon116
    @gojvon116 Před 2 lety +6

    Ya laiti ingelikuwa Lisu ni muislamu basi bilashaka huyu angali kwenda peponi tu ya lait Allah akamuhidi na akamuosha haki na akaukubali uislam kwani huyu ni mtu anaekwenda katika njia ya haki na ukweli

    • @SalumKanju-ik1bk
      @SalumKanju-ik1bk Před 11 měsíci +1

      Allah mjaalie lisu awe mwislam ili twende nae peponi.....Amen

  • @MajiiIfande
    @MajiiIfande Před měsícem

    Mimi nashauri Tundu Lissu angeandika kitabu kuzungumzia mambo haya kwa wazi ili vizazi vingi vinufaike.

  • @badruabdalla5301
    @badruabdalla5301 Před rokem +1

    Tome is starting telling now

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Před 2 lety +3

    Kazi inahitajika kuelimisha watu ukweli

    • @imsimk.khamis574
      @imsimk.khamis574 Před 2 lety

      Watu wakuel7m7shwa ni hao Watanganyika na jeshi lao la polisi

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n Před měsícem

    Baba toboa watanzania wanakutegemea sana

  • @princemgambwa9143
    @princemgambwa9143 Před 2 lety +2

    Lisu wape elimu

  • @user-ne4zg3vo8i
    @user-ne4zg3vo8i Před 10 měsíci +1

    Jamaniia hamoni hii inarudisha yale machungu ya yaliyo pita

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 Před měsícem +1

    Kama wazanzibari wanafikiri Mapinduzi hayana maana basi wajaribu ubaguzi. Watakuwa kama Libya. Wawe waangalifu
    Lisu anataka madaraka kwa gharama yoyote. Zanzibaris should careful!!!

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 Před měsícem +1

      Kwa nini watanganyika ndio mna wasiqasi sana na ubaguzi utakaotokea Zanzibar muungano ukivunjika? Una maana nyie mnaipenda Zanzibar zaidi ya wenye nchi yao wenyewe?

  • @thanisaid5096
    @thanisaid5096 Před 2 lety +1

    UJASIRI MKUBWA!!!!!

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Před 2 lety +1

    Wewe lisu kwann hurudi nyumban na ela usalipwa kkk

  • @hebronmalatila6186
    @hebronmalatila6186 Před 2 lety +3

    Una akili Tundu! Mapinduzi hayo ni Wazanzibara (Citizens), chini ya ASP vz Wazanzibari ( Natives) chini ya HZIB.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před rokem

      Zanzibari lmemezwa kutoka zamani zanzibari ni dola peke yake ina kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua NA bendera sasa imetekwa NA mjeshi ya tanganika

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před 2 lety

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Před 2 lety +1

    Dahaaaa lissu bhana unajua mambo aisee

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Před 2 lety

      Huyu jamaa mpaka akataka kuuwawa ujue hichi kichwa sio mchezo

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz Před 2 měsíci

    Captain harusi

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 Před rokem +1

    NA OKELLO JE

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 Před měsícem +1

    Sasa kwa nini viongozi wanadanganya eti mapinduzi yalikuwa dhidi ya waarabu? Propaganda gani hizi za kishenzi na za udanganyifu kwa watanzania, ni aibu kubwa sana kuendelea kuwadanganya raia wa nchi hii.

  • @rajabhussein7794
    @rajabhussein7794 Před 2 lety +6

    Hapo nimeelewa kwamba kumbe hata karume mwenyewe hakuwa mzanzibari halisi Alikuwa mtanganyika

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 Před 2 lety +2

      Tatizo ni Utanganyika au Uislam ? Uislam si lazima uwe Mwarabu au Mzanzibari, kwanini Mtanganyika akiwa Muislam Wazanzibari wa Kiarabu hawataki ?

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 Před 2 lety +1

      Kwani Uislam ni mali ya Waarabu au Wazanzibati tu, mbn hata Quran tukufu haijasema hivyo, Muislam can be anybody provided he believes in Allah and Muhammad as His Prophet.

    • @isaacelijah6516
      @isaacelijah6516 Před 2 lety +2

      They said. He was from Malawi original.

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 Před 2 lety +1

      @@isaacelijah6516 At least he is originally from Malawi and is an African, what about those originally from Oman and are not Africans ??!!

    • @jacksongabriel4693
      @jacksongabriel4693 Před rokem +1

      Alikua mmalawi

  • @kmarashy9042
    @kmarashy9042 Před 2 lety +4

    Kinachosikitisha Sana kwamba waliouwawa sio jeshi, polisi au mwanasiasa. asilimia 99% waliouwawa ni raia wa kawaida tuu wakiwemo wanawake, watoto, pamoja na wazee. Hayo mapinduzi tukufu ya kuwaua raia? Inasemekana waliouwawa inafikia takriba 15,000.

  • @salyali7807
    @salyali7807 Před 2 lety +4

    Huyu Tundu mboga kiswahili chake ka cha kizanzibar... umeishi zanzibar? I really admire you Lissu

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 Před 2 lety +1

      Vipi kijana ukweli UNAUMA.. sasa subiri mara hii. Unafikiri mara hii. Samiya atamruhusu JASUSI SIRO. LIJE ZANZIBAR. MWISHO WENU UMEFIKA

    • @hassanomar7195
      @hassanomar7195 Před 2 lety +2

      Muhimu sasa ni kujua Wazanzibari wangapi waliuwawa wakati wa mapinduzi ambayo yaliongozwa na mtu aliejuulikana kama Field Marshall John Okello ambae cku hizi hatajwi kabisa.Mimi amepotea kaka yangu tangu 12/01/64 jina lake ni Omar Ali Issa,ilivyo ameuawa lakini maiti yake hatukuiona hadi Leo, si hasha pengine aliliwa nyama yake na jamii ya Wamakonde ambao walikuwa mstari wa mbele katika mapinduzi hayo, mwengine nimjuaye ni mwanafunzi mwenzangu Salim Ali Amour, na yeye aliuawa siku hiyo hiyo na maiti yake haikuonekana hadi Leo. Sasa nadhani tuanze kuorodhesha majina ya wahanga ambao inasemekana walipindukia watu 10,000.

    • @fatmakhalef3450
      @fatmakhalef3450 Před 2 lety

      @@hassanomar7195 subhanallah

    • @BobNgagi2023
      @BobNgagi2023 Před 2 lety

      Tundu kweli mboga, analiwa Ubelgiji

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 Před 6 měsíci +3

    Mimi before nilidhani mapinduzi hayakufanyika Kwa kumwaga damu!!!! Kumbe damu nyingi ilimwagika😢!!!!!!,Basi nihatari Sana.

    • @WeyaniTvonline
      @WeyaniTvonline  Před 6 měsíci +1

      Wengi bado hawajui hilo. Asante kwa kuwa nasi

    • @yahyadenny4368
      @yahyadenny4368 Před měsícem +1

      Kuna siri kubwa kati ya kanisa katoliki na mwl nyerere kwa upande mmoja na viongozi wa asp zanzibar wakati huo na ndiyo chanzo cha mapinduzi.

  • @bartholomewshirima712
    @bartholomewshirima712 Před 2 lety +4

    Said Abdalah ukiingiza udini hapa itakua shida kubwa.tuangalie tu pilitical history and the outcomes.

    • @georgesikazwe5914
      @georgesikazwe5914 Před 2 lety

      Mwambie hyo mjinga elimu yake ndogo sana kichwani

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před 2 lety

      Hapo sijaona udini uliotumika ila huyo Said kasema kuwa "waliofanya mapinduzi wataingia motoni"
      Kwani motoni watakaoingia ni wa dini fulani au wale wote ambao waliofanya dhulma,maasi na mambo mabaya yanayomchukiza Muumba wa ardhi na Mbingu.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před 3 měsíci

      🎉Uslaam haina ubaguzi mtume mohamed alikuwa anawatembelea wayahudi nyumbani kwao NA kuwapa msaada ya kula uslaam dini ya uadilifu huruhusiwi kuwa hata akiwa sio muslaam

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 Před 2 lety +7

    NYERERE katumiwa. Kapewa pesa awatumiye watu. Kapewa pesa na makatolik. Kuwauwa waislam.

    • @georgesikazwe5914
      @georgesikazwe5914 Před 2 lety

      Mjinga sana ww huna elimu ...katoliki wanakuhusu nini..c uende ukajiunge na wenzio somalia mana mmezoea ugaidi

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 Před 2 lety +2

      @@georgesikazwe5914
      NYERERE babaako ndio kapewa pesa na makotolik. Aje kuwauwa waislam ZANZIBAR pamoja na akina LUKUVI. Si mnaona mlivokuwa majambazi .mtakoma mara hiii. Tushakujuweni NYINYI wachawi

    • @josephmatiko8760
      @josephmatiko8760 Před 2 lety

      Akiliyako,said,ipo mkunduni,wallah,T,N

    • @mzeesaleh3136
      @mzeesaleh3136 Před 2 lety

      @@josephmatiko8760 nendaaa ukoo mkatolikii mkubwa sisi waislam nyinyi wabara makafiri mumerubuni watu na ufrica kubwe lengo lenu kuondoa mila na desturi za znz ili tufanane na nyinyi sisi znz hatufanani na nyinyi cos znz watu wamechanganyaa na makabila mengi sasa mnatuonea chukii nyinyi wabaraa hamutuwez makafiri nyiee

    • @josephmatiko8760
      @josephmatiko8760 Před 2 lety

      @@mzeesaleh3136 tutawaletea nguruweee,Kama,ndio hivyoooo,ili tufanane mrisyaaaaaa

  • @FlodanBetore
    @FlodanBetore Před měsícem

    Huyu bwana anaogopa kusema ukweli,mwambie ampa mwingine,hakuckia Lissu?

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu Před 4 dny

    Lissu hujakosea

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Před rokem

    So what.????

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 Před 2 lety

    Rajab hussein karume si mtanganyika ni wazee wake ni watu wa malawi

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Před 8 měsíci

    @rajabhussein7794.Abeid Karume alizaliwa Nyasaland (Malawi) alikozaliwa baba yake na mama yake Abeid Karume alizaliwa Rwanda.

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 Před měsícem

      Mbona unachanganya mambo! Mara Karume kazaliwa Malawi mara kazaliwa Rwanda.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Před měsícem

      @@deven.oauditx7547 HAPANA MCHANGANYIKO. NIMESEMA KARUME ALIZALIWA NYASALAND (MALAWI) SAWA NA BABA YAKE, LAKINI MAMA YAKE ALIZALIWA RWANDA. SOMA VIZURI.
      The Biography of President Abeid Karume (1964-1972) is as controversial as his birth of origins or nationality. The name KARUME is derived from his Chichewa language in Nyasaland (Now Malawi), the prefix KA- has a connotation as in KA-BURU (Boar) or U-KA-BURU (Apartheid), which was practiced in South Africa under the Dutch Reformed Church. From the APARTHEID in South AFRICA there is Z-APARTHEID in Zanzibar after the Union with Tanganyika.
      In Chichewa language, the word RU-ME is the amplification for DU-ME (Male) in the Zanzibar Swahili. According to THE ECONOMICS (May 12,1964), his two sons Amani and Ali studied in Nyasaland and stayed with Hastings Kamuzu Banda (1898-1997), later the Malawian President. The two brothers went to Zanzibar with Issak Abraham Sepetu and joined the Catholic Missionary School called St. Joseph Convent School (Now Tumekuja Secondary School), used to keep Slaves in the Dungeon. May be it was called St. Joseph in memory of Joseph who was dumped into a pit (Dungeon) as a Slave as reported in the Bible. (Genesis 37:20).
      Abeid Karume claimed that he was born at Pongwe in Zanzibar but his cronies and pundits stated that he was born in Zanzibar at Mwera. According to the State-Controlled Newspaper propaganda KWEUPE (August 8, 1967), Chipukizi (Young Pioneers) walked twenty miles to support the Arusha Declaration until they reached Mwera, the birth place of Karume. Others believed that Karume was born in Congo (Now the Democratic Republic of Congo) but the majority in Zanzibar contend that Karume was born in Nyasaland as reported in THE ECONOMICS (May 2, 1964).

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 Před měsícem

    Weusi wote walitambuliwa kama watumwa kabla ya mapinduzi. Leo unasimama na kusema mapinduzi hayafai hali weye ni mweusi. Kumbe kheri utumwa kuliko uhuru? Poleni sana. Fuateni ya Lisu ili mjute mkiwa mmechelewa.

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 Před 2 lety

    Mohamed said maelezo yake siku zote ni ya kusikia au kuambiwa na siku zote huwezi kupata source ya maelezo yake

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Před 2 lety

      Kasome kwanza wewe huna credentials ya kuhoji umahiri wa kazi za mohamed said toa nakala umpinge kwa hoja basi tuone. Sema tu ukweli kuwa hupendi maandiko yanayoandikwa na mohamed said.

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 Před 4 měsíci

    Nani kapanshishwa mahakamani kwa mauwaji ya hao kina Hanga na wenziwe? Weka pembeni hao Waarabu!

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u Před 26 dny

    Kwahiyo wewe hapo ulitaka waarabuwangeendereakutawala nduguzetu hadilini au kwakuwa nyie munatakakuitenganisha nchihii kwamatakwa yenu maananyiezanzibar hamukubariki n ndiyo maana munakazanakuvunjamuungano .

  • @jackson2120
    @jackson2120 Před 2 lety +1

    zanziba ikijitenga na kilimanjaro tunaomba nchi yetu kila mtu alale kivya ke

  • @jumannejuma7432
    @jumannejuma7432 Před rokem +1

    Unaongea usichokijua

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před rokem

      Ni mkweli

    • @kassim1262
      @kassim1262 Před 2 měsíci

      Ndio nyinyi mnaoona kawida sana kumwagika damu zawatu ili chama kibaki madarakani lkn ndio kashasema ukweli mbona ww hutwambii huo ukweli

  • @hassanamour7894
    @hassanamour7894 Před 6 měsíci

    Apambane na HALI yake yeye yanamuhusu Nini.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Před 2 měsíci +1

      Yeye ni Mtanzania ndio maana yanamhusu. Lakini ni msomi, kazi ya wasomi ni kuchambua mambo. Na kwasababu usomi upo ndani Yao, lazima waongee yatoke. Kama wewe si msomi, huna ujualo, hakika hutakuwa na la kusema, kwasababu huna uwezo wa kusema. Ulichobaki nacho ni mambo mawili: Moja, kutoelewa kinacho ongelewa, pili kuwasema wasomi wa Dunia wanaoyasema kuwa hayawahusu!

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp Před 3 měsíci

    Watu wanasherehekea siku ya uhuru, eti zanzibar wanasherhekea mapinduzi, ujinga mtupu, hayakuwa mapinduzi yalikuwa mauwaji tu,ila hivi sasa tunajuwa kila kitu

  • @AmisseSulemane-sb4re
    @AmisseSulemane-sb4re Před 8 měsíci

    Tundu lisu kweli unayajua mapinduzi hakupinduliwa muarabu ndio maana wazanzibar hawapewi haki wametawaliwa

    • @kandorohussein6890
      @kandorohussein6890 Před měsícem +1

      At least Lissu umejitahidi kuelezea Historia yenye ukweli maana kuna upotoshaji mkubwa wa Historia nyingi Duniani kwa manufaa ya walio na mamlaka kwa wakati huo

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 Před 2 lety

    Said unajuwaje walofanya mapinduzi filnar jahanam wewe ndo Mungu usijaji kitu usicho kijuwa

    • @mzeesaleh3136
      @mzeesaleh3136 Před 2 lety +1

      Acha ujinga Abdul watu wameuwa watu wamedhulumu wamenajis watu halafu wakapate pepo nyaaaaau saana pepo kwani ya mkweo @Abdul Ab acha ujingaaaaaaa uooo karume kwaooo 🇲🇼malawi

  • @talibsaid8845
    @talibsaid8845 Před 2 lety +1

    Wacha uhanisi wako uwo kwani miaka yote iyo ulikuwa wapi mpaka utowe hii story leo

    • @hassanally4960
      @hassanally4960 Před 2 lety

      Acha ujinga uo ndo nyny vibaraka

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 Před rokem

      Kwaiyo wewe ndio kwanza ujuwe history hii mupo wengi hamutaki kumiza akili kujua mmbo mengi yalotokea hamujiulizi kwann yametokea mapinduzi kila kitu kipo wazi now ku such t Lisu ametoa history hi mara nyingi

    • @hajikhatibhaji9434
      @hajikhatibhaji9434 Před rokem

      upo kigazani Kila mwaka hili lazima lizungumzwe

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 Před rokem +1

      @@hajikhatibhaji9434 huyo n wezake ndio mazezeta wa Ccm kufanya utafiti hawataki kujua ukweli bdo wapo n propaganda z Ccm wanazosoma school mana alichosema lisu yote yapo kwenye mitandao

  • @user-ut2yi4sm4v
    @user-ut2yi4sm4v Před 7 měsíci

    Lisu muongo hajui mapinduxi ya zanzibar

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 Před 5 měsíci

    Wamewauwa waislamu wa zanzibar zaidi ya alfu 13 laki 9 ikisha wanasema mapinduzi matukufu?

  • @BobNgagi2023
    @BobNgagi2023 Před 2 lety

    Acheni hayo mambo ya unafiki, Waarabu ndiyo wanaoongoza katika kuuwana Waislam wenyewe kwa wenyewe, Syria, Yemen etc, Waisrail wanawauwa Wapalestina kila kukicha huku Waislam wenzao Saudi Arabia, Misri , UAE wanashangilia, halafu mnajifanya eti mnasikitika kuwa wakati wa Mapinduzi Watanganyika walisababisha Waislam kuuwana wenyewe kwa wenyewe, acheni ubazazi huo bhana, Zanzibar hamrudi tena.

    • @mzeesaleh3136
      @mzeesaleh3136 Před 2 lety

      Huna unalojuwaa lolotee nyerer ndo master plan yote mkatolik haupend uislam na znz waislam kuwana akili ww

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 Před 2 lety +1

      Waarabu wanaongoza kuuana lkn jiulize??? Kabla ya vita walopelekewa na makafiri/ uvurugaji wa nchi zao walikua wakipigana???

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před rokem

      Sasa wazanzibari hawataki mungano huo achana NA kuuliwa wa zanzibari wa zanzi bar wa nataka uhuru wao sijui unaitaja saudi arabia NA Yemen falastin inawahusu nini zanzibari

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před rokem

      Mussa,Watanganyika hawakusababisha bali walishiriki katika mauwaji na mpaka leo wanashiriki.Subiri uchaguzi mkuu uje ,utaona watakavo uwa kama walivouwa huko nyuma katika vipindi vya chaguzi kuu.

  • @hassanimkuya3789
    @hassanimkuya3789 Před 2 lety +1

    Kutokana na usiri uliotawala kwa wakati ule laajabu mzee karume hakushirikishwa katika mauaji Yale kajakujua wengi wao tayari wamesha uwawa
    Mauaji hayo yamefanwa vijana wa comred ambao ni washirika wkuu ASP
    Sasa ndio wenye majibi kamili
    Maana hata mwenye Mzee karume ameingia katika mkumbo wa huo huo wa mauaji yake baada wao kuaminiwa
    Kwani dhambi ya kuuwa imewareje wenye

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před rokem

      Hassan,Makomred waliuwa lakini mauwaji kwa kiasi kikubwa yalifanywa na wabara.Kwa namna watu walivokuwa wakiishi Zanzibar wakati ule,juu ya kuwa na ikhtilafu ya vyama vya siasa,wasingeuliwa watu kama ilivyotokea,imani ilikuwepo kwa kiasi kikubwa.

  • @jackson2120
    @jackson2120 Před 2 lety

    uyu mjinga anazani zanzibar ikijitenga atabaki na tanganyika ,,atabaki singida tu ,,, killimanjaro tunataka nchi yetu ... kwani tanganyika sinikule kusini magharibi

    • @hassanally4960
      @hassanally4960 Před 2 lety +1

      Ww ndo mjinga mtu anaelexa ukwel ww shida nnkwko

  • @tituskalokola-xr7kp
    @tituskalokola-xr7kp Před rokem

    Ni vyema pia John Okello akapewa heshima anayostahili kwa kuongoza mapinduzi

  • @juliussilvestar8988
    @juliussilvestar8988 Před 2 lety

    Ndio maana Magufuli alipenda bora watu mfanye kazi kuliko kuongea huu ujinga.Lissu ana matatzo

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Před 2 lety +3

      Kwa sababu uwongo unaanza unajulikana hivi sasa mumetueka gizani kwa muda mrefu sana na bado mengi yatakuja juu kukufedhesheni kwa uovu wenu washenzi wa roho za viumbe wenzenu.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před rokem +1

      Julias,labda ni ujinga kwako wewe lakini kwa wale wasiojua yaliyotokea nyuma(history) ni taaluma kubwa kwao

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Před rokem

    wewe hujui KISWAHILI unapoambiwa YAZUNGUMZWE YASIYOJULIKANA sio nyie wazungumzaji si watu wote wanaofahamu historia KICHWA CHA HABARI KINAZUNGUMZIA KUWAJUZA WANANCHI wewe hujui kiswahili Umeelewa vengine

  • @mkoyitz2448
    @mkoyitz2448 Před 2 lety +1

    Acheni ufuku fuku mnataka madaraka na kuwafarakanisha watu komeni na uchumbi wenu, mmezoea vya bure vya kupewa na wazungu njooni huku mkione cha mtema kuni wananchi wanawasubiri kwa hamu

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před 2 lety +1

      Mkoyi,wanaotafuta madaraka wanajulikana na ndio maana kila chaguzi hufanyika mbinu za kuhalalisha kile kisichokuwa halali.
      Hapa Lisu anaongea Historia na sio hoja ya kisiasa.
      Mwache aeleze anachokijua na kama kuna kasoro basi toka hadharani na umpinge anayosema

    • @hassanally4960
      @hassanally4960 Před 2 lety

      Acha upumbavu uo

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 Před 2 lety

    Huyo msaliti ameishiwa kila point. Anahangaika kusemasema yaliyofanywa ambayo mengi ni uongo mtupu. Kibaraka wahedi.

  • @hgi6648
    @hgi6648 Před 2 lety

    During Magafuli, I liked Tindu Liso.
    But now that we have Samia Suluhu, tell him to disappear

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před rokem

      Issue hapa sio magufuli wala samia bali mauwaji katika kipindi cha mapinduzi Zanzibar

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 Před měsícem

      Wewe utakuwa ni bendera fuata upepo.

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 Před měsícem +1

    Huy jamaa kapotea dira kisiasa,mapinduz ya Zanzibar wwe yanakuhusu nni?anza na huk bara Julius alivyowafanya wasomi waliotishia utawala wake

  • @mwanaashamussa81
    @mwanaashamussa81 Před 2 lety +2

    Uongo mtupu

    • @sulimanmasoud9337
      @sulimanmasoud9337 Před 2 lety

      Wawe bwege. Ukisoma hujui. unakisoma ukiambiwa husiki ultizama huoni

    • @kmarashy9042
      @kmarashy9042 Před 2 lety

      Kusema uwongo haitoshi bila na wewe uipinge hoja yake tuu kama unazo

    • @nassormohammed9742
      @nassormohammed9742 Před 2 lety +1

      Uongo ni huo unaoambiwa na ccm na ukaukubali, kama kawaida yenu

    • @user-fl7jl7vk3n
      @user-fl7jl7vk3n Před měsícem

      We bwege hujui kusoma wa kuandika kakojoe huko

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m Před měsícem

    Huyu anafaa kuiongoza nchi