"Tulitumiliwa" anasema Katibu Mkuu wa Kwanza wa BLM juu ya Zanzibar kuingia kwenye Muungano

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 05. 2022
  • Sheikh Salim Said Rashid ndiye Katibu Mkuu wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na anakiri hapa kwamba yeye na wenzake walijikuta wakitumiliwa tu na Mwalimu Julius Nyerere katika suala zima la kuiingiza Zanzibar kwenye Muungano.

Komentáře • 54

  • @rastafare878
    @rastafare878 Před 2 lety +14

    Tutatetea Zanzibar yetu mpaka dakika za mwisho Kwa uwezo wa Allah , In'shaa'Allah

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Před 2 lety +7

    huyu mzee mashallah Ana mengi. umhetafuta mda ukamfata haswa kwa mahojiano zaidi, nasi tukaelewa

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Před 2 lety +12

    LAANATULLAH nyerere huko aliko kwa roho za wazanzibari alizozizulumu na hatutowacha kusema hatutaki muungano kabisa

    • @111dudi
      @111dudi Před 2 lety +1

      Kulaani haisaidii

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 Před 2 lety +3

    Jamanii jamanii watanganyika .tuwatoe ktk.nchii yetu mpaka leo wanatuua sn nakutumaliza .

  • @111dudi
    @111dudi Před 2 lety +5

    Nimefaham kuwa Znz haikuwa na jeshi,na kama nchi italindwa na jeshi la nchi nyingine,inakuwa haina uhuru. Waznz walikiklmbilia kutawala badala ya kujenga jeshi. Ujumbe wa muungano aliuleta Kawawa toka kwa Nyerere mwaka 1959. Kazi nzuri Muhammed

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Před 2 lety

      @Abusagar.Lengo la Watanganyika kuitawala Zanzibar liliandikwa RASMI na Mtoro Rehani Kingo kabla ya Nyerere kuunda Afro-Shirazi Party (1957) kama alivyoambiwa wa Makaburu wa Kiingereza. Baada ya Mapinduzi Matukufu (Holy Crusade) Mtoro Rehani, Mtanganyika akawa Meya wa Mji wa Zanzibar.

    • @111dudi
      @111dudi Před 2 lety

      @@khatibal-zinjibari6956 Tatizo kubwa lililoyafanya mapinduzi kuwa myepesi ni serikali kuwa haina jeshi, mapinduzi hayakupata pingamizi la kijeshi kabisa. Waliopindua ni watu kidogo sana, kama serikali ingekuwa na jeshi hata ka watu 100, lingerie mapinduzi. Huu ni uzembe wa serikali iliyochukua uhuru. Waliharakia kujipa vyeo.Na hali kadhalika muungano. Karume alipewa amri tuu, na akaitii, kwa sbb hakuwa na jeshi lake. maneno haya anayasema Salum Rashid

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Před 2 lety +1

      @@111dudi Moja kati ya matatizo ni kuwa Kutawaliwa ni sawa na Utumwa. Mtawaliwa na Mtumwa hawana Haki au Sauti mpaka wapate Uhuru. Baada ya Uhuru, walikimbilia kutawala badala ya kujenga jeshi kwa sababu huwezi kujenga nchi bila ya kujitawala.
      Tatizo jengine ni kuwa Tanganyika, Kenya, Uganda na Zanzibar zilipata Uhuru kwa Muingereza lakini, Zanzibar ilidhulumiwa zaidi kabla na baada ya Uhuru. Waingereza hawakuwaruhusu Wazanzibari kujiunga na polisi seuse jeshi kwa kisingizio ya kuwa ni wafupi, wembamba na hawatishi. Walioajiriwa ni kutoka Tanganyika, Kenya na Nyasaland, zote zilikuwa Koloni za Uingereza. Wengi walijiunga na Afro-Shirazi Party kwa sababu asili yake ni African Immigrant Workers Association (AIWA), Raisi alikuwa Herbart Barnabas, Mkatoliki wa Moshi.
      Kabla ya Mapinduzi Matukufu (Holy Crusade) Muingereza Thorn, Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Polisi Cha Ziwani alimuajiri rafiki yake Edington Kisasi, Makatoliki wa Moshi kuwa Inspecta wa Polisi na Mshikaji wa Funguo za Kituo Cha Polisi Cha Ziwani. Hii ilisaidia kutopata pingamizi wakati wa Mapinduzi. Na baada ya Mapinduzi Edington Kisasi akawa Kamishna wa Polisi. Rais Hussein Ali alimteuwa Awadhi Juma kutoka Tanganyika Kamishna wa Polisi wa Zanzibar.
      Zama hizo, Wakuu wa Polisi ambao ni Wazanzibari ni Sulayman Said Kharusi na Muhammad Sketty. Siku ya Mapinduzi, Kamishna Mgereza wa Polisi J. M. Sullivan aliwapeleka Sulayman Said Kharusi Uroa na Muhammed Skety Makunduchi ili kuondosha pingamizi za Mapinduzi. Siku hiyo hiyo ya Mapinduzi kila askari wa Kituo Cha Polisi alipewa risasi tano lakini usiku yake Mgereza Superintendent wa Polisi Durham alizitoa risasi kwenye bunduki kuondoa pingamizi wakati wa Mapinduzi. Kuna nyimbo: "BUNDUKI ISO RISASI ITAUWA NAMNA GANI?"

    • @111dudi
      @111dudi Před 2 lety

      @@khatibal-zinjibari6956 shukran

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Před 2 lety

      @@111dudi AFUWAN

  • @muhammadabdulla23
    @muhammadabdulla23 Před 2 lety +5

    kaka Ghassani tusisahau kuwakumbusha hawa wazee wetu wamtake msamaha Allah(S.W) kwa walioyafanya, wakamkute mola wao salama na amani. mzee ana miaka 80 huyo, hapana umri tena hapo, ya dunia yashamuishia huyo, tumtengezee ya akhera yake.

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Před 2 lety

      Toba inasukuma ya kabla yake mzee anajuta lakini hakuingea kwa shirk arudi kwa mola wake mungu atampokea

  • @sleyumalgheithy3268
    @sleyumalgheithy3268 Před 2 lety +4

    Ishakua wameua na kuthulumu kwa watu wasousika matokeo nchi imezama na wamewaondoa wasomi halafu wao wanasema serikali ya wakwezi na wakulima ndo hayo matokeo take Zanzibar hakuwahi kutawaliwa vibaya kama inavyotawaliwaa na Tanganyika

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Před 2 lety +4

    Tamaa za kidunia zimewapoza kwa dhulma waliofanya kwa Mauwaji adi leo Zanzibar ipo kwa Tanganyika wao wamekosa kumiliki zanzibar n wameuliwa n nyerere malipo hapa hapa duniani

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Před 2 lety +2

    Watanganyika tafuteni kiti chenu UN
    Tuachieeni kiti chetu sawa
    Hatutaki muungano

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 Před 2 lety +6

    Itabaki kua story tu Sasa Hakuna liwalo tumeingia ngamani kama kibua kilichooza.

    • @kassim1262
      @kassim1262 Před 18 dny

      Aaah we mungu mkubwa yni mungu hajawahi kumuacha mja wke anaedhulumiwa ykitaka kuamini hilo em tujiulize wtnganyika wnapanga mengi kwznzb wnaishia kufariki mmoja mmoja znzb wnaiyacha iviivi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Před 2 lety +3

    Sisi wananchi wa zanzibar
    Muungano zanzibar hatuutakii

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 Před 2 lety +1

    Asalam alykum
    Hatar sana Allah sw airudishe Zanzibar kwenye himaya yake
    Anakuja Nyerere kuwalazimisha muungano hii ilikuwa sifahamu kwanini mukubali Hilo ndio swali langu

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 Před 2 lety +3

    Kumekucha 🤔

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 Před 2 lety +3

    Kumekucha

  • @salyali7807
    @salyali7807 Před 2 lety +2

    Huyu anaeulizwa maskini hata hajiwezi tena

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Před 2 lety +2

    Huku mwisho kama akili zimetoka kidogo

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 Před 2 lety +2

    Huu ndio ni ukweli

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 Před 2 lety +2

    Mchonga meno, bingwa wa kubomowa Afrika

  • @kamanyolabilajasho3833
    @kamanyolabilajasho3833 Před 2 lety +1

    Ingependeza kama kipindi live ana kwa ana..

  • @masudbasra566
    @masudbasra566 Před 3 měsíci

    Tatizo ni dini hapo

  • @gojvon116
    @gojvon116 Před 2 lety +3

    huyu Mzee ndio katika wale waliokuwa wakisema hawawataki warabu na wao walijisahau kwamba wao ni warabu sasa naona anababaika tu hata hafaham anasema nini , wamekosa mtoto na maji ya moto

    • @salimmasoud1253
      @salimmasoud1253 Před 2 lety

      uyu mzee inaonesha alikua akiupiga ndo mana akatamka maneno hayo na saiv anajuta.

    • @salimmasoud1253
      @salimmasoud1253 Před 2 lety +1

      uyu mzee inaonesha alikua akiupiga ndo mana akatamka maneno hayo na saiv anajuta.

    • @mohammedjabir6128
      @mohammedjabir6128 Před 2 lety

      Hakuna tija ya mwenye kudhulumu isipokuwa ni hasara! Anamumunya tu huyu mzee!

    • @asilclub
      @asilclub Před 2 lety

      NYOTE MLIKUA MNATAFUTA KUPATA MADARAKA NA CHEO TU HUWEZI KUTOROKA SASA NA KUJIFICHA NA KUSEMA TULIKUA TUNAKHUDUMIKA TU NA HATUNAUWEZO WOWOTE HAMNA KITU USEME MLILAZIMISHEA NA MCHENZI NYERERE NA KARUME NYIE MLISHIRIKIANA NA MAJAMBAZI NYERERE NA KARUME INAKUHUSU NINI KUPIGANA NA UKOMBOZI WA AFRICA NA ZANZIBAR EMETEKWA KATIBU MKUU WA TAIFA NI MKIRISTO HAMTAPATA UHURU KABISA ILA KWA SHARTI MOJA KUPATANA NA WARAABU WA ZANZIBAR NA KURUDISHA MALI NA MASHAMBA NA DHULMA YOTE SIKU HIYO MTAPATA UHURU WENU NA MTAMFUKUZA MTANZANIA NA WACHENZI WINGINE WALYO INGIA NA KUIBA WAZANZIBARI

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 Před rokem

    Jamani habari ya Muungano. huu ni Muungano wa kitendawili . Basi. Hawa. Watu. Waliwafanyia. Ujanjauja tu.

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529

    Zimebaki stori tu wakati umeshapita Zanzibar sasa ni yawatalii ni ufuska kwenda mbele tu

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 Před 2 lety +1

    Mahojiano mazuri na muhimu lkn mawasuliano mabivu dah!

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 Před 2 lety +4

    Mambo mazuri kajibu uzuri mependa

  • @mwamba2004
    @mwamba2004 Před 2 lety

    He was not a decision maker ktk hayo masuala. Atasema je kalazimishwa? Tafuteni mijadala ya umuhimu wa muungano pia sio kila siku mnaleta mijadala hasi tu.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Před 2 lety +2

    Brother Ghassan tuwekeo mazungumzo yote

  • @asilclub
    @asilclub Před 2 lety

    🤩🤩
    بسم الله الرحمن الرحيم
    اترككم مع نبذة بسيطة من الويكيبيديا عن الامامين الجليلين ناصر بن مرشد اليعربي وسلطان بن سيف اليعربي قيد الارض
    وقع الإختيار على شخص اسمه :
    ناصر بن مرشد اليعربي
    وهو أول إمام من أئمة دولة اليعاربة .. وجد الإمام ناصر نفسه أمام تحديات كبيرة داخلية منها و خارجية و عليه فلا بد من توحيد البلاد أولا و إخضاعها لحكمه قبل أن يتفرغ لمحاربة المحتل البرتغالي و الذي بدا تواجده في البلاد منذ العام 1508 مسيطرا على أجزاء هامة في كبرى المدن الساحلية و فارضا الرسوم على أهل عمان أثناء سفرهم بحرا ناهيك عن التواجد الفارسي في أجزاء أخرى من عمان و هو إحتلال آخر منذ منتصف القرن الثالث عشر الميلادي .
    قام الامام ناصر بحملات داخلية لاخضاع القبائل الداخلية لحكمه و دخل في حروب داخلية متعددة من أهمها محاصرة قلعة الرستاق التي كان يحكمها ابن عمه مالك بن أبي العرب فاحتلها ثم تقدم نحو مدينة نخل و التي كان يحكمها ابن عمه الآخر سلطان بن أبي العرب فاحتلها ثم تقدم إلى مدينة سمائل ثم مدينة نزوى ثم مدينة منح ثم أرسل جيشا إلى مدينة سمد الشأن و هكذا حقق الإمام ناصر بن مرشد الانتصارات الداخلية بتعاون أهل تلك المدن معه و بفضل تأييد العلماء العمانيين له من مدرستي ( الرستاق و نزوى ) حتى دانت أغلب المدن له في عام 1634 بإستثناء مدينة صحار و مسقط حيث كانتا تحت الاحتلال البرتغالي .
    و في عام 1644 دخلت قوات الإمام ناصر في حرب مع البرتغاليين بشكل متقطع لم تستطع القوات العمانية من إجتياز السور العالي الذي بناه البرتغاليين حول مسقط و بنوا في داخلها قلعتي الجلالي و الميراني ثم في عام 1648 قامت القوات العمانية بفرض حصار على مسقط من أجل تحريرها و في سبتمبر من هذا العام و بعد حصار استمر منذ أغسطس وقع الامام ناصر إتفاقية مع البرتغاليين من خمسة بنود أهمها إلغاء القانون المتعلق بالضريبة على العمانيين .
    كان هذا الإتفاق هو أول إتفاق تفرضه قوة وطنية على المستعمرين و هنا لجأ البرتغالييون إلى قادتهم في الهند من أجل التسريع في طلب المعونة للقضاء على الإمام ناصر بن مرشد حيث أستشعروا بخطورة هذه القوة الصاعدة التي من الممكن أن تطردهم ليس من عمان فقط بل من الخليج العربي الذي كان يحتلون جزءا كبيرا منه .
    و في العام 1649 توفي الإمام ناصر بن مرشد بعد أن قام بتوحيد البلاد تحت رايه واحدة و حاول طرد البرتغاليين و نجح في العديد من المدن بإستثناء مسقط و صحار .
    الإمام سلطان بن سيف اليعربي
    بطل من أبطال الأمة العربية، إن لم يكن من أبرز قادتها العسكريين، فهو الذي حرر مسقط من حكم البرتغاليين، وأوقع شر هزيمة بهم، وطردهم من مطرح، وقاتلهم في البر والبحر، فحرر منهم أرض عُمان وإمارة ساحل عمان، بل أراضي الخليج العربية إلى مدينة البصرة في العراق. كما أنه حارب البرتغاليين بنجاح في شرق أفريقيا، فقد استطاع الإمام سلطان أن ينقذ مسقط من أيدي البرتغاليين حيث استولى قائده سعيد بن خليفة على قلعة الميراني المشهورة في مسقط. وعلى عهده قويت الدولة العمانية كثيراً حتى إنها شنت هجوماً على منطقة ديو قرب خليج بومباي بالهند، وقام ببناء قلعة نزوى الشهيرة التي موَّل بناءها من الغنائم التي حملتها القوات العمانية من معركة ديو، وقد دام بناؤها حوالي 12 سنة. وهي تعدّ من أروع وأضخم المآثر الحضارية والتاريخية في عمان التي قام ببنائها الإمام سلطان بن سيف بن مالك اليعربي (1059هـ - 1649م) واستغرق بناؤها اثني عشر سنه ، وانفق الإمام على بنائها ما غنمه من إحدى غزواته التاريخية المعروفة بــ(ديو) وتعدّ ديو أحد أكبر المراكز البرتغالية البحرية في الشرق . وتتميز قلعة نزوى بعلوها وحصانتها وموقعها الفريد حيث تتوسط مدينة نزوى وملاصقه لمركزها القديم. واستطاع أن يسترد سواحل عمان من الغاصبين ما بين جلفار (رأس الخيمة )وظفار. ففي عام( 1060هـ / 1650م) قام العمانيون بمهاجمة البرتغاليين في قاعدة ارتكازهم مسقط وبعد معركة بطولية بقيادة الإمام سلطان بن سيف اليعربي (1649-1679) وفر من نجا منهم إلي سفنهم بعد أن أسر 700 بحار برتغالي، ومما لاشك فيه أن هذا النصر الحاسم قد ألهب حماسة العمانيين وأدي إلي خلق حالة من الاندفاع والثقة في النفس لم تتمثل في التصدي للبرتغاليين بحرا فحس كان من نتيجتها ترنح البرتغاليين ( سادة البحار الشرقية طوال أكثر من قرن من الزمن) وانهيارهم وفقدانهم لقواعدهم الواحدة تلو الأخرى، وبروز عمان كدولة بحرية قوية غرب المحيط الهندي، وساعد العمانيون في ذلك تسلحهم بنوع جديد من السفن الحربية الحديثة، وزيادة عدد وقوة المدافع فيها، وتخلوا إلي حد كبير عن سفنهم التقليدية واستخدموا سفنا كبيرة الحجم من الطراز الأوروبي، بني معظمها في الهند. وزودت بالمدفعية الحديثة.
    ومن اراد المزيد ادعوكم لمشاهدة مقاطع الفيديوا
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي وأثار التواجد العماني في تنزانيا وزنجبار
    czcams.com/video/rw365HjN1XY/video.html
    czcams.com/video/yvd38abi1bM/video.html
    czcams.com/video/dm6c6Oz9yNI/video.html
    czcams.com/video/UC7C5JZT-Eo/video.html
    czcams.com/video/Z041HSEuqL8/video.html
    czcams.com/video/TO3MtcgIHdc/video.html
    czcams.com/video/t1T04rXIBgo/video.html
    czcams.com/video/y9-a7tHKJKQ/video.html
    czcams.com/video/S7ez6qaCmCE/video.html
    czcams.com/video/fUp90L_MzvY/video.html
    czcams.com/video/fOHGQ7sQ0v0/video.html
    czcams.com/video/t1T04rXIBgo/video.html
    czcams.com/video/VG0fFw--wEY/video.html
    czcams.com/video/Nd6-fQN-n-w/video.html
    czcams.com/video/OUImP-Tze7k/video.html
    czcams.com/video/2qoeh8zDMaE/video.html
    czcams.com/video/ZqgL9-X-acQ/video.html czcams.com/video/a6OWaGE6kGg/video.html czcams.com/video/UfIUy8P38kg/video.html czcams.com/video/aOyhJceCUuQ/video.html czcams.com/video/LlJ8TyOZovc/video.html czcams.com/video/Xb5KmiCiPjs/video.html czcams.com/video/d8c4wmVUpHE/video.html czcams.com/video/a6OWaGE6kGg/video.html czcams.com/video/ZPJhrfAMavM/video.html
    czcams.com/video/Rfd4OhwRNLU/video.html

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 Před 2 lety +1

    Kuanzia jemshud Abdallah, Mohammed shamte na wenzake walikuwa wazembe sana,unapewa nchi ndani mwezi unashindwa kufanya jitihada za makusudi za kuilinda nchi,pamoja na karume wote wameuza nchi na utu wetu kwa pamoja,mtu hawezi kutoka bara akaja Zanzibar Bali muliuza nchi

    • @salyali7807
      @salyali7807 Před 2 lety +1

      Usisahau dola kubwa ndio zilizotaka iondoke kwahivyo wasingeweza kupigana na ulimwengu... bora tuyaache tu 😥

    • @w4058
      @w4058 Před 2 lety

      @@salyali7807 Kwani hajafahamu huyo Ila nao naona hasira zimemshinda kuthibiti maandishi yake

    • @w4058
      @w4058 Před 2 lety

      Maana kila siku hayo yanasemwa kuwa Waingereza na wamerekani wamewatumilia Watanganyika kufanya hayo yaliofanyika vipi awataje watu wenye heshima zao hata Bwana imemshind na yeye angezidiwa nguvu angefanya nini tusipende tu kulaumu kila kitu Walifanya bidii ya kutaka majeshi pia haikuwezekana yeye anafika kuvuka mipaka haifa sikiliza kwa makini

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Před 2 lety +1

    Huyu mzee ni hazina maalumu iliyopo zanzibar
    Inapaswa itunzwe kwani ana mambo mengi sana uyu
    Na nachelea mimi kuja kuwekwa huyu mzee katika kizuizi

  • @asilclub
    @asilclub Před 2 lety

    KATIBU MKUU WA TAIFA NI MKIRISTO HAMTAPATA UHURU KABISA ILA KWA SHARTI MOJA KUPATANA NA WARAABU WA ZANZIBAR NA KURUDISHA MALI NA MASHAMBA NA DHULMA YOTE SIKU HIYO MTAPATA UHURU WENU NA MTAMFUKUZA MTANZANIA NA WACHENZI WINGINE WALYO INGIA NA KUIBA WAZANZIBARI