CHAKULA CHA ASUBUHI MIKATE YA BHATURA/BATURA NA DENGU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 05. 2023
  • Mahita ji
    Mkate wa Bhatura
    Unga wa ngano kikombe 1 ( gram 125)
    Unga wa semolina/suji/farina/rava ( kitu kimoja majina tofauti) 1/4 kikombe ( vijiko 4 vya kulia)
    Mtindi mzito kiasi vijiko 3-4 au maziwa ya buttermilk 1/4 kikombe
    Mafuta ya kupikia vijk 2 vya kulia
    Sukari kjk 1 cha chai
    Chumvi1/2 kjk cha chai
    Baking soda 1/4 kjk cha chai
    Mchuzi wa Channa ( dengu)
    Channa kiasi gram 800 mpaka kilo 1 ( roweka kiasi masaa 6 halafu chemsha au tumia za vikopo, nimetumia kopo 2)
    Mafuta ya kukangia kiasi vjk 5 vya kulia
    Bizari nzima nzima zifuatazo
    Mdalasini vjt 2 vya kiasi
    Majani ya bay leaf kiasi 2
    Pilipili kavu 1 au 2
    Hiliki za kijani 4
    Hiliki nyeusi 1 ( kama unayo)
    Kitunguu maji 1 cha kiasi
    Kitunguu thom na tangawizi mbichi ilosangwa kjk 1 cha kulia ( imepotea kwenye video)
    Pilipili ya unga kjk 1 cha chai ( punguza au zidisha kiasi chako)
    Bizari ya uzile ya unga kjk 1 cha chai
    Bizari ya giligilani ya unga kjk 1 cha chai
    Maziwa mazito ya mtindi vjk 2 vya kulia ( kama utapenda)
    ENGLISH VERSION • DELICIOUS CHANNA BHATU...
    Aroma of Zanzibar social media
    / fathiya.ismail
    / aromaofzanzibar
    Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas czcams.com/users/results?searc...
    Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
    faroukambok...
    Music courtesy / contemplative-middle-e...
    This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Komentáře • 30