KAULI YA SHEKHANI, SHOMARY KIBWANA BAADA YA KUWACHAPA 3-0 TABORA UTD | CRDB CUP

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 04. 2024
  • Sport

Komentáře • 41

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Před měsícem +9

    MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenye nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @leonidangimbwa1526
    @leonidangimbwa1526 Před měsícem +1

    Hongera kijana kwa unyenyekevu huo wakukubari kuelekezwa na kaka zako nakuhakikishia kwa jina la Yesu utafika mbali wewe ni nyota

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl Před měsícem +3

    Asante. Sana. Kocha. Gamond. Na. Meneja. Wetu. Walter. Harrison. Tuombe. Tu. Huyo. Dogo. Shekhan. Hamis. Anatisha. Moeni. Mech. Nyingi. Ili. Azoeane. Na. Hao. Wakubwa. Wake. Asante

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Před měsícem +2

    Kibwana nakuombea duaa uzidi kupambana usikate taamaa mbo kwenye shirikisho ulikuwa vizuri kazaa butiy

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 Před měsícem

    Alhamndulilah Allah tujaalie zaidi Inshaallah

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Před měsícem +5

    #points3goli3

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Před měsícem

    🎉🎉🎉💛💛🇹🇿💚

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud Před měsícem

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f Před měsícem +2

    Nic San jmn

  • @user-sb9vc7lc9y
    @user-sb9vc7lc9y Před měsícem +3

    Safi

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před měsícem

    Mwacheni ajifunze, atakuwa bonge la mchezaji. Ongeza tu kutulia na kuwa mbunifu. Kila siku weka bidii kujifunza kitu kipya tofauti na jana.

  • @godlistenobed9299
    @godlistenobed9299 Před měsícem +1

    Wanajangwani

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před měsícem +2

    Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @user-uo6nw1gb8b
    @user-uo6nw1gb8b Před měsícem +5

    Nawezaje kpata kadi ya uanachama? Niko Tanga , kauli ya Ally kamwe iliniingia moyoni siwezi kutaka furaha huku sichangii chochote niko tayari viongozi wetu wa Yanga, nasubiri maelekezo kutoka kwenu

    • @user-jr2cj1it8f
      @user-jr2cj1it8f Před měsícem

      ingia page ya ali kamwe instagram mtumie meseji

    • @trice_yanga
      @trice_yanga Před měsícem

      nenda kwenye page ya alikamwe Kwa ile posti aliyosema tulipie kuna namba pale

    • @millitarybattalion7515
      @millitarybattalion7515 Před měsícem

      Nenda benki ya CRDB au NBC kajisajili utapata kadi Yako, uwe na TSH 34000 hakikisha unapojisajili ujue Tawi lako la Yanga KATIKA maeneo yako

  • @alialhabsi9952
    @alialhabsi9952 Před měsícem +4

    We komaaa mshezi

    • @KimSaidi
      @KimSaidi Před měsícem

      Wewe kolo au dunduka spotclub 🙈🙈🙈

    • @trice_yanga
      @trice_yanga Před měsícem

      ​@@KimSaidiyuguyugu fc huyo😂😂

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk Před měsícem +1

    Iyobato yanzengeli aucho qui azizi bwana mdogo shehani yeye namax moja Sita mw ngin 8

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p Před měsícem +4

    makolo mtapata tabu sana

    • @KimSaidi
      @KimSaidi Před měsícem

      ata mikia spotclub wanapata tabu sanaaa😂

  • @ayoubballe8494
    @ayoubballe8494 Před měsícem +2

    Uhakika

  • @samuelzachariah3984
    @samuelzachariah3984 Před měsícem +1

    Kibwana Hana furaha maana ameshajua anasepa!

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham Před měsícem

    Pambana Sana dogo

  • @StaphanoMwananzumi
    @StaphanoMwananzumi Před měsícem

    Nitapataje kadi ya uanachama wakati mi niko sumbawanga?naomba msaada wenu viongozi wangu wa yanga.

  • @amanizavala
    @amanizavala Před měsícem +2

    Utopolo

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t Před měsícem

      Unawashwa ukiwa wapi nipe location nije

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi Před měsícem +1

      Haa kumbe Nguruwe

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc Před měsícem +1

      Timu mateso, maumivu, kolozidadi, a.k.a nguruwe FC, unateseka ukiwa wapi?

    • @TalentMapenzi-ie1dr
      @TalentMapenzi-ie1dr Před měsícem

      Tuliza tako ilo kolo sindano ikuingie vzr shubamit zak

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 Před měsícem +1

    Huyu dogo wambieni ukweli ili ajifunze. Ndicho kinachowagharimu vijana wengi wa timu za chini, sijui wakufunzi wao wanawafundisha nini maana wakiwa uwanjani hawafuati maelekezo. Ndio maana Mzize hata akose magoli elf3 bado ni mchezaji anayefundishika. Akicheza kama attaking midfielder alikuwa anapiga back pasi tu, akicheza kama Central midfilder bado square pasi nyingi. Sasa atajifunzaje kama hajaribu? Carry the ball forward hata kama utapotea ila ujenge mentality ya kwenda mbele siyo ma back pass tu af mnasifia. kuna tofauti ya Kupongeza vs Kusifia. Mpongezeni then mwambieni arekebishe makosa yake. Mbona Kibwana kaanza kubadilika now hajui tu kupiga krosi ila ni Yao Kwasi mtupu...

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Před měsícem +1

      Ushauri mzuri wa kujenga. Akiwa msikivu akazingatia maoni haya atakuwa mchezaji mkubwa!

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 Před měsícem

      @@sylvestercameo6263 Dogo
      wamshauri, kama amezungukwa na ma legend timu nzima anakwama wapi?

  • @FlavianaKatunzi
    @FlavianaKatunzi Před měsícem

    Gemu inayofata anakandwa nani vile yanga raha jama nawapenda wachezaji

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 Před měsícem +1

    Huyo Shekhan miyeyusho

    • @FTUBEMEDIA_TV
      @FTUBEMEDIA_TV Před měsícem

      Huyoo ni future bro anajifunza vitu

    • @callicevallice7383
      @callicevallice7383 Před měsícem

      @@FTUBEMEDIA_TV anajifunza nini bhn,mechi nzima hakuna kitu anachocheza

    • @remidusmwanandenje-yy5gs
      @remidusmwanandenje-yy5gs Před měsícem

      ​@@callicevallice7383ujui mpila bloo gwede alikujaje xaizi yupo wapi unataka adi afunge au acha uxhamba😂