AMURI YAKUTUMBA AFUNGUKA KUHUSU HALI YA USALAMA | “RAÏS ALINIALIKA KINSHASA” |

Sdílet
Vložit

Komentáře • 48

  • @henryking6070
    @henryking6070 Před 8 dny +6

    Huyu ni mzee aliye shindikani Mfalme wa Wazalendo 💪🏿🇨🇩

  • @user-hw1er2dx4h
    @user-hw1er2dx4h Před 7 dny +1

    bonjour mon général yakutumba ❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PierreAlimbuko
    @PierreAlimbuko Před dnem

    Hatujambo ndugu zetu,kwa ushauri wangu si vema mambo yetu ya ndani kujieleza Ku mitandao,hii ni Siri zetu,asante

  • @peterkwesele1091
    @peterkwesele1091 Před 6 dny +1

    Nime mpenda saana general yakutumba .siku moja ninataka kuwasiliana naye kwenye whatsapp. Un vrai patriote .

  • @user-hw1er2dx4h
    @user-hw1er2dx4h Před 7 dny

    bonjour mon général yakutumba wilyam 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍✊✊✊💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥tukonyumayako mbaka maadui wa congotuwamalize

  • @GimmyAmosi
    @GimmyAmosi Před 2 dny

    mungu akusahidie mzee wetu

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel Před 7 dny +1

    Hongera sana mzee William

  • @mbombokiala-uk8bh
    @mbombokiala-uk8bh Před 2 dny

    Wazalendo n1

  • @mg-lion.2782
    @mg-lion.2782 Před 6 dny +1

    MON GENERAL AMURI YAKOTUMBA WANA NDE KOMBO NAYO KENDA KOTUMBA BANGUNA NYOSO KAKA .

  • @user-jo3cs3yu3o
    @user-jo3cs3yu3o Před 8 dny +3

    Huyu ni jeshi sio mchezo!!!!!

  • @David80046
    @David80046 Před 11 hodinami

    Ahhhhhhhhhh aseme Makanika courage kbx kama hauyaona ungali utaona

  • @Dieumercikulimushi-d1p
    @Dieumercikulimushi-d1p Před 6 dny +1

    Siyo ya kutumba uyo nina mu juwa vizuri sana

  • @mg-lion.2782
    @mg-lion.2782 Před 7 dny +2

    BA PESA YO OPERATION YA BITUMBA WANA.

  • @ClaverSelemani
    @ClaverSelemani Před 8 dny

    Pambana mzee wetu mungu yuko pamoja nawe 🙏🙏🙏🙏

  • @ferdinandodanielo1
    @ferdinandodanielo1 Před 7 dny +2

    Mwizi mjinga.Aende Kanyabayonga M23 mtandikwe mpee masomo ya vita.

    • @HassanLwendo
      @HassanLwendo Před 7 dny +1

      Auezi anachunga fizi mutaka aende njo mupate njia fizi ampat kitu APO ata wamaloza

  • @user-we5zc7xk8x
    @user-we5zc7xk8x Před 8 dny +2

    Nyie watangazaji wapelelezi kwanini amuendagi minembwe kuwaoji wanyarwanda?ili tujuwe kuwa mko kwaajili ya kujuwa yalitomo kutoka pande zote?

  • @shabaninic7409
    @shabaninic7409 Před 4 dny

    Wow mze tuko nyuma yenu

  • @MezzoLepantherenoir
    @MezzoLepantherenoir Před 3 dny

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ c'est ça toutes tribut

  • @user-ui5zo9re8b
    @user-ui5zo9re8b Před 4 dny

    Kweli baba muaduwi niaduwi

  • @mg-lion.2782
    @mg-lion.2782 Před 7 dny

    TETELEHENI INCHI MON GENERAL AMURI YAKOTUMBA .

  • @michaelbakunde7334
    @michaelbakunde7334 Před 8 dny +1

    Wakongomani wanakupende saana muzee wetu

  • @user-we5zc7xk8x
    @user-we5zc7xk8x Před 8 dny +1

    Aiza mumetumwa na wanyarwanda kuja kuonioji tu wabembe na wakongomani wengine?mimi angekuwa mimi wala msinge yasikiya maneno ya kutoka kwangu maana nyie watangazaji ni kama waya za kutega nyama porini

  • @KayambaPrince-vy5qz
    @KayambaPrince-vy5qz Před 2 dny

    Aende nord kivu

  • @bimenyimanabarthasard3305

    🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

    • @mbombokiala-uk8bh
      @mbombokiala-uk8bh Před 2 dny

      Ndi into kandi maneko ya kagame icyo nabamesha nuko mugihe gito kagame mutazongera kumubona kubera libeicanyi yakoze burenze kamere icyemezo cyarafashhwe kandi kizashyirwa mubikorwa

  • @user-pt4ft7ow1s
    @user-pt4ft7ow1s Před 8 dny

    ❤❤

  • @sengomajack1680
    @sengomajack1680 Před 7 dny +1

    HUYU YAKOTUMBA ANASTAHILI KUPELEKWA MAHAKAMANI ALIFANYA MAUWAJI NA UPORAJI

    • @HassanLwendo
      @HassanLwendo Před 7 dny

      Wew mnyamulenge Rudi kwenu

    • @sengomajack1680
      @sengomajack1680 Před 7 dny

      @@HassanLwendo Kwetu ni Fizi ni rudi wapi tena 😄 🤣 😂 😆

  • @kumutimabraintv8124
    @kumutimabraintv8124 Před 3 dny

    Makanika humuwezi hio ni mikango yambuzi kumuhogo bado mutapigwa hadhi

  • @calvinm.mulamba8257
    @calvinm.mulamba8257 Před 5 dny

    Europa ndio inchi gani? 😂😂

  • @David80046
    @David80046 Před 11 hodinami

    Mbona haseme kama hataki watusi huko?

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba Před 4 dny

    M23 inakisubiri sikumoya utapata zawadi ya m23😊

  • @mg-lion.2782
    @mg-lion.2782 Před 7 dny

    GENERAL AMURI YAKOTUMBA .

  • @sungesonji4412
    @sungesonji4412 Před 7 dny

    Tupo pamoja Jemadari hakuna atakayekutikisa hapo lakini Bishambuke watoke Fizi warudi kutia camps zao Uvira sio hapa kwetu.

  • @claudemolo1088
    @claudemolo1088 Před 2 dny

    congo yote tuko nyuma yawazalendo

  • @user-vj2ic5vc4t
    @user-vj2ic5vc4t Před 4 dny

    KASUNZU

  • @kalingishi3039
    @kalingishi3039 Před 6 dny

    Ona jeshi lake kweli. Hana hata na nguwo

  • @TanganyikaTV
    @TanganyikaTV  Před 8 dny +2

    KOMANDO AMURI YAKUTUMBA

  • @fideleruhumuriza1440
    @fideleruhumuriza1440 Před 7 dny +1

    Makanika atakubasura kichwa kinajaa buchafu

    • @AkidaModeste
      @AkidaModeste Před 7 dny +1

      Unasema hivyo Kwa sababu Jina lako ni Fidele Ruhumuriza

    • @HassanLwendo
      @HassanLwendo Před 7 dny +1

      Makanika Aja tairiwa sio mwanaume so Ni mtoto Kwa uyu mzee

  • @emmanueldonoscar4213
    @emmanueldonoscar4213 Před 2 dny

    Nenda goma ndo tutajua kama wewe ni General

  • @user-pl6ii9te1r
    @user-pl6ii9te1r Před 6 dny

    Mzee nimwongo Sana kabisa.hakunaiyomambo yote anajitapakasana Siku Gani ulishakasikiya Mzee akonapigana na banyarwanda.yeyejo aduwi anatumika na Néhémie mwilanya najobalileta barwande na Kabila.tunajuwa

  • @kimetemugunga5019
    @kimetemugunga5019 Před 3 dny

    Unazehekeya mupori ukomujinga kbs mayimayi urijidanganya hakuna chenye unarinda unaonyesha ujinga kuuwisha vijakuriko wasome kazinikuiba ngombezimeisha mutakuranini