Hii ndiyo Sura Mpya ya Jiji la DAR itakavyo kuwa baada ya Madaraja ya Treni ya Umeme kukamilika

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 03. 2018
  • Dar Es Salaam Tanzania
    Ziara ya Waziri wa Miundombinu Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dr Leonadr Chamulilo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Nchini TRC Ndg. Masanja Kadogosa , wakiwemo watendaji kutoka TRC wanafika eneo la Ilala Shauri Moyo ambako madaraja hayo makubwa yatajengwa kwaajili ya kufanya uzinduzi.

Komentáře • 89

  • @TRCRELITVTANZANIA
    @TRCRELITVTANZANIA  Před 5 lety +7

    Wangapi bado tunaangalia video hii hadi mwaka 2019

  • @seifmatimbwa4379
    @seifmatimbwa4379 Před 6 lety +14

    Naiona Tanzania mpya 2025,kama Rwanda,Burundi, Kenya,Uganda, South Sudan tutaziunganisha kimawasiliano Tanzania ya viwanda inawezekana... Wawekezaji watakuwa tayari kujenga viwanda Tanzania kwakuwa nchi jirani zinafikika kimawasiliano,hongera sana Rais Magufuli wewe ni mpambanaji mzalendo....tangu ulipokuwa waziri ulionesha uzalendo wako kwa vitendo,hadi uliposema nataka kuifanya Tanzania iwe zaidi ya ulaya haujateteleka kutimiza lengo lako,tafadhari sana kwenu wasomi mnaojifunza kwa vitendo ktk miradi mikubwa inayotekelezwa nchini,jifunzeni ili muje kuwa wataalam na washauri kwa uongozi ujao...endapo nikipata nafasi ya kuchukua kijiti cha Magufuli nitaanzia palepale alipoishia ili kukamilisha lengo la Tanzania ya viwanda. Watanzania wengi wanafikiri Tanzania ya viwanda ni majengo makubwa yanayozalisha bidhaa pekee yake,hapana Tanzania ya viwanda ni pamoja na miundombinu rafiki kwa afya ya viwanda tarajiwa. Kuna jambo moja ambalo nadhani ukilifanya tutapiga hatua kubwa pia Mh Rais, tumejisahau sana ktk vyombo vya baharini i.e meli,nchi yetu ina fursa nzuri ya kuzungukwa na bahari ya Hindi, hivyo kama tutanunua meli kubwa angalau sita za kuanzia na kuwapa uwezo Watanzania waweze kutengeneza na kuunda meli zetu nchini. Ebu pata picha tutakuwa na ndege zetu wenyewe pamoja na viwanja vya kisasa na wataalam wazawa, treni za kisasa na wataalam wake pamoja na meli kubwa za kisasa na wataalam wake....nani ataogopa kujenga viwanda nchini....hakika Magufuli wewe mwanaume wa shoka, ipo siku dunia itakuja Tanzania kujifunza

    • @apostolemugabemwangoka2653
      @apostolemugabemwangoka2653 Před 5 lety +1

      Ni kweli kabisa viongozi kama hawa ni wachache sana duniani na wanatokea kwa nyakati maarumu kwa kazi maarumu tunajifunza kizazi cha wapigania uhuru wakina Nkuruma,Nyerere,Neto ,Mandela ,Jomo kenyata,Samora Masheri Tuna kila sababu ya Kumshukuru Mungu kwa zawadi hii .Tuendele Kumuombea Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth imfunike na kunena mema Juu ya Rais wetu Asante Yesu kwa kutupatia Rais Mussa wa Tanzania hakina tunaelekea kanani Nchi yenye maziwa na Asari.

  • @mfinangaali1911
    @mfinangaali1911 Před 6 lety +9

    Dr. Makame mbarawa thumps up to you!, style of your commitment to work cannot be measured, you are a workaholic and inspiration to every body who is committed to ensure ring the nation makes great stride to speedy and sustainable development.

  • @hamzalausinicemovie8630
    @hamzalausinicemovie8630 Před 6 lety +8

    hongera sana TRC hongera sana rais jpm kwa Milango mizuli tz juu juu zaid

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa3045 Před 6 lety +22

    Bila kusukumana hatuwezi kusogea, kaza buti JPM.

  • @dibya20
    @dibya20 Před 6 lety +22

    yan mwaka huu tutashuhudia vitu vikubwa vitatu kukamilika....Terminal 3 ya uwanja wa ndege wa kimataifa JKN dec.. Ndege kubwa zipatazo 2 kuwasili mwez wa sita na saba.. kali kuliko zote TAZARA flyover kukamilika mwez wa saba had nane duuu JPM kiboko

  • @abubakarkada3083
    @abubakarkada3083 Před 6 lety +4

    Kazi nzuri sana mnayofanya viongozi wetu mungu Ibariki Tanzania

  • @daudimaguha9447
    @daudimaguha9447 Před 6 lety +8

    Nataka maendeleo Tanzania,, ambayo wazungu hawataki yatokee,,, JPM fanya kazi yako, pamoja nahuyo mpemba +kadogosa

    • @tanzania2559
      @tanzania2559 Před 6 lety +2

      Daudi Maguha wanawatumia watanzania wenzetu kuhamasisha vurugu, maandamano, kuchafua serikali, ilimradi tu kudhoofisha kasi ya maendeleo hapa nchini, watanzania tulio wengi tupo tayari kupambana na yeyote atakaye vuruga amani

  • @robertkagudu9937
    @robertkagudu9937 Před 6 lety +2

    hongeren sana tunataka maendeleo Tanzania Waziri chapa kazi Tanzania mpya inakuja pole pole mungu mbariki Rais wetu jpm

  • @mihinzostephano6321
    @mihinzostephano6321 Před 6 lety +2

    Good work hii ndo Tanzania tunayoihitji Mungu mbariki rais wetu JPM

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 Před 6 lety +1

    Safi sana hongera Mh. Rais na viongizi wanaomsaidia kwa msukumo wa maendeleo! Hata private sector mnazoona zinafanya vizuri watu wnafuatiliwa kwa karibu na kujituma. Spirit inapohamasishwa na viongozi it is a good thing!

  • @Kambamwene1
    @Kambamwene1 Před 6 lety +5

    This is very good kaza buti JPM ila punguza kuminya mawazo mbadala otherwise good work!

  • @dibya20
    @dibya20 Před 6 lety +6

    VINGINE vitakavyokamilika mwakan tunatarajia UBUNGO interchange itakua ni kiboko lakin pia standard gauge kukamilika mwakan kati ya dar had moro wakat huo moro.had dodoma ikiendelea kujengwa mbali ya yote tutashuhudia hizo treni zenyewe zitavyokuwa hapa.ndipo patakapokuwa na maneno meeengii

  • @ezekielnjau8818
    @ezekielnjau8818 Před 6 lety +2

    Kazi kazi. Asante sana my favourite president

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 Před 6 lety +2

    kila jambo linawezekana, hongera mh. Dr JPM kwa kuamua kuboresha miundo mbinu ya usafiri

  • @t1910j
    @t1910j Před 6 lety +1

    This is beautiful. Excellent work

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Před 6 lety +1

    Watanzania tuwe pamoja tuangalie na kuunga mkono yale mengi yaliyo na mwonekano chanya kama ujenzi wa SGR, flyovers, airports, ununuzi wa ndege nk. Yale machache yaliyo na mwonekano hasi turekebishane kwa upole, upendo na ustaarabu. Mungu ibariki Tanzania

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 Před 5 lety

    I love JPM Hongera Mh Rais

  • @TRCRELITVTANZANIA
    @TRCRELITVTANZANIA  Před 6 lety +20

    Tunawashukuru Nyoote ambao mnaendelea kufuatilia habari za Ujenzi wa Reli ya kisasa...
    KUMBUKA KU SUBSCRIBE ILI UWE WA KWANZA KUZIPATA TAARIFA ZETU.

  • @andreajeremia436
    @andreajeremia436 Před 6 lety

    safi sana,tuko pamoja mh.Makame nakukubari sana,maana unapiga kazi kweli,na wizara yako Kwa kweli unashughuli kweli.piga kazi baba watoto wa tz watakukumbuka hats vizazi vijavyo.

  • @godfreybigeyo9105
    @godfreybigeyo9105 Před 6 lety +6

    Ben mwanatala nakukubali sana mzarendo wa kweli

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  Před 6 lety

      Godfrey Bigeyo tunashukuru kwa kuzitambua juhudi za kijana wetu

  • @mboyajackson4574
    @mboyajackson4574 Před 6 lety +1

    Value for money...key phrase kwa hii project.

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 Před 6 lety +2

    dah kwa haLi hii asiyempenda anko magu atakua MWENDAWAZIMU

  • @wcbwanatishakiranikirudiab2349

    Ewe mwenyezi MUNGU enderea kuwarinda na kuwasimamia na kuwaongoza viyongozi wetu kwa mambo mazuri yanayo fanyika nchini kwetu TANZANIA ewe mwenyezi MUNGU raisi wetu uwe nae

  • @YamunguYb
    @YamunguYb Před 6 lety +2

    Mungu ibariki Tanzania

  • @HasirIX
    @HasirIX Před 6 lety

    Habari za kazi, mm ni kijana Mtanzania na nipo Arabuni kikazi, naweza pata ajira hapo? Maana tunafanya kazi kama hizo huku.... Asanteni sn

  • @yahyamajid9924
    @yahyamajid9924 Před 6 lety

    Magufuli Safiiiiii! Ahsante sana.

  • @abbyjustine7906
    @abbyjustine7906 Před 4 lety +1

    Train ifike na Dr Conco hata kama kwa ufadhiri wa Tanzania maana kunawafanyabiashara wengi sana.

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 Před 4 lety

    na yajayo ni mazuri zaidi hii ndio ilikuwa ndoto ya kila mtanzania...yes we can...

  • @kassimmapondela2066
    @kassimmapondela2066 Před 6 lety

    Nice tz big up

  • @HASASON
    @HASASON Před 6 lety +1

    We are moving forward

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 Před 6 lety +1

    Excellent

  • @adyaa8922
    @adyaa8922 Před 6 lety +3

    TANZANIA OYEEE MAGU OYEEE CCM OYEEE

  • @mathiasbuyobe3512
    @mathiasbuyobe3512 Před 6 lety

    Mungu wa Mbinguni azidi kukubariki mh.Rais.

  • @pantaleokulaya5308
    @pantaleokulaya5308 Před 6 lety +3

    hayo ndo mambo tunayoyahitaji na sio blaa blaa.

  • @hc3703
    @hc3703 Před 6 lety

    Beautiful Tanzania

  • @boazjumbe6875
    @boazjumbe6875 Před 6 lety

    Hongera sana kiongozi .

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Před 6 lety

    Good

  • @Frazztraveller
    @Frazztraveller Před 6 lety +1

    Go ahead

  • @williamnyimbi1048
    @williamnyimbi1048 Před 6 lety +3

    Mi nina ushauri wa kuwapa TRC. Nimefuatilia huu Ujenzi kwa Ukaribu sana lakini kwenye kutoa Taarifa kuna sehemu moja bado hamjagusa. Tengenezeni Animation Film fupi za Dk 5-15. Zikionesha Reli itakapopita Muundo wa Vituo vitakuaje Madaraja kama Wenzenu Kenya walivofanya. Kenya wanaitangaza sana Reli hasa hasa Vile Vituo vyao vya Reli. Basi na nyie hata kutuonesha hivyo proposed stations, majengo na mengineo . All in All kazeni buti

    • @TRCRELITVTANZANIA
      @TRCRELITVTANZANIA  Před 6 lety +2

      William Nyimbi Ahsante sana kwa ushauri, lakini fahamu vyote hivyo vipo kwenye ratiba..na tegemea kuona mengi mazuri kwani tunategemea kuanza kurusha matangazo ya moja kwa moja kutoka Site..sasa ondoa hofu mambo mazuri yanakuja..Tuendelee kushirikiana kwa dhati.
      MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    • @williamnyimbi1048
      @williamnyimbi1048 Před 6 lety +1

      Sawa Mkuu Vyetu vipendeze kuliko vyao . Wao pia wameanza 2nd Phase ya Nairobi - Malaba na washatoa Film fupi. Basi na sisi tutoe yetu ya Moro - Dodoma. Embu fanya kuibia kuangalia walivofanya sisi tunaweza zaidi yao. Tuko Pamoja mkuu Kazi nzuri

    • @justinecleophas6299
      @justinecleophas6299 Před 6 lety +1

      hawajanza Nairobi malaba ila ni Nairobi to naivasha

    • @justinecleophas6299
      @justinecleophas6299 Před 6 lety +1

      wakitok apo ndio watafwat naivasha to kisumu then kisumu malaba

    • @williamnyimbi1048
      @williamnyimbi1048 Před 6 lety

      Anha hapo sawa ahsante rafiki from Kenya I guess. I hope hizi project zifanikiwe

  • @amashakigelulye7632
    @amashakigelulye7632 Před 6 lety

    good

  • @robertkingboy4988
    @robertkingboy4988 Před 5 lety +1

    Mm siipendi ccm ila nmpenda lais joooooohn make anahakili mpka kwet kunaumeme nabalabal za lam ila kikwet sikuona chochot may be kwakuwa nilikuwa bado young

  • @mariamkhamisi5575
    @mariamkhamisi5575 Před 6 lety

    wallah magufuli anafanya kazi

  • @IbrahimMohamed-fk5cc
    @IbrahimMohamed-fk5cc Před 6 lety +6

    Sipati picha ujenzi utakapokwisha Maana makazi yatakuwa Moro wengi wetu

    • @lucytibe7790
      @lucytibe7790 Před 5 lety +1

      unatoka Morogoro sakumi na mbili sambili uko ofisini

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 Před 3 lety

      Itakuwa raha sana yaani ikikamilika unaweza ishi mwanza kazi ukafanya Dar huitaji kuhama

    • @IbrahimMohamed-fk5cc
      @IbrahimMohamed-fk5cc Před 3 lety

      julieth house of designs wa Mwanza kidogo itabidi muamke mapema sana but itategemea na shift kazini kwako day or night lakini inawezekana ni kujipanga na mda 2

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 Před 3 lety +1

      @@IbrahimMohamed-fk5cc haina shida ikiwepo train ya saa kumi unawahi kazini

    • @IbrahimMohamed-fk5cc
      @IbrahimMohamed-fk5cc Před 3 lety

      julieth house of designs wamesema kutoka mwanza to dar ni masaa 7 na Moro dar ni dakika 90 pia Dodoma dar ni masaa 4 hapo watu wa mwanza mda utawabana coz masaa 7 ni mengi labda kuwe na mabehewa ya kulala hapo itakuwa super pleased mnisamehee kama nimekosea

  • @j.temanyaesq.7716
    @j.temanyaesq.7716 Před 6 lety

    Naipenda nchi yanguuuuu

  • @eliassospeter
    @eliassospeter Před 2 lety

    kama na wewe umemuona pacha wake na Benard Chamriho gonga like hapa😇😇😀

  • @fanueliwiliam5932
    @fanueliwiliam5932 Před 6 lety +1

    Tanzania

  • @shukurumwangosi9011
    @shukurumwangosi9011 Před 6 lety

    kazi kazi piga kazi

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    Terminal ya ndege pekee ndio tumeenda na wakati..na sio vyengine ..hii ni bongo flaviour .

  • @francisdadon4078
    @francisdadon4078 Před 6 lety

    TAZARA Cape gauge railway imeishia wapi?

  • @anatorytilukeizile5207

    Watanzania wana tabia ya kuwaibia vifaa wachina ktk constructions kama hizi, jitahidi kuweka ulinzi wa kutosha ndo itaonekana value for money

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    Ndege mpya utumia jet engine na ni 1 tu ...izi za pangaboy zishapitwa na wakati ni kama fiat mbaula..watanzinia tatzo kubwa hatujali mda wala hela za kodi..na hii yote ndio mana hamjali elimu..MTU aliye na elumu haskii yakuambiwa Bali kuona..serikali wengi mnajuwa akili xa wananchi bora jambo jipya inatosha..na sio faida ya nchi ..ndio mana maendeleo yaliyopitwa na karne

  • @willingtonejohn1929
    @willingtonejohn1929 Před 6 lety

    tz mpya inakuja

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    KWA MTU ambaye ajasafili nje mnaonekana mpo sahihi ..ila KWA tuliosafili nje ukweli huku nikupoteza hela zawatanzania KWA kukosa mamuzi sahihi na wakati..viongozi mlipaswa kuweka maendeleo up to date na sio miundo mbinu ilitopitwa na na wakati....kweli tutazdi kuwa nyuma Africa kwajli ya maendeleo bora mampya Tanzania na sio kwenda na wakati...dart inasababisha foleni na mpo kimya..bora ingekuwa express na sio kituo hadi kituo ni ujinga kiukweli

  • @ramadhansembuche3457
    @ramadhansembuche3457 Před 6 lety

    JPM piga kaz baba uchaguz 2020 raizima tukupe tena nchi iri uyaendereze mazur usibabaike na maneno ya ao wanaotaka kutufanya kira miaka tuwe nyuma kimaendereo so piga kaz baba JPM

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    Salum muhija .tunaenda na wakati.kama nchi zilizotunguka na maskini wameweza na zamani ..akili zetu zpo ndogo..angalia fly over Kenya.wameweka juu mafuliko..miaka said ya 50 ni 000 kama hujuwi..tanzania tajli kuliko China na rais anajuwa..ivi chuo gani ama nchi gani ushafka

  • @abroadschools4235
    @abroadschools4235 Před 6 lety

    magufuli wetu

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    Nimeanza kutumia internet mwaka 95 enz za Osman tower. Na kumiliki simu mobitel Mimi n mteja wa 2..kwetu video imekuja mwaka 82 na mama yangu ana drive dar nzima mwanamke pekeyake...nshatalii Sana'a...lengo LA tren dar Dodoma n kuungansha na kupanua miji na sio kama usafiri wakawaida..tren hiz masaa 2 upon Dodoma ama lisaa..Tanzania tumechelewa kimaendeleo sababu viongozi wabovu na elimu..hii miradi yote tulipaswa tutengeneze wenyewe hata rais anajuwa..thus why rais anauchungu sana..na ndio mana nimefuta uchaguz wa 2020 ili msimsumbue hadi 2025..mwachen afanye plan zilizoshindikana KWA ufisadi na cyo hela..nchi hii tajli Africa ni 2 .ya 1 Kongo.ya 3 Sudan.ila KWA sasa sisi 1 kwajli tuna Aman na Uhuru..niishie hapo.

  • @othumansuleiman6372
    @othumansuleiman6372 Před 6 lety +1

    Sf xn, magu

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    Ukweli mngebun kama china.sio mradi wakizamani umeme juu badala ya chini..jifunzeni kama japani na China..tatzo ushamba na kuchelewa maendeleo..mngeenda kwenye new system .ilipaswa dar ipite chini na cyo daraja juu..dart shida tupu.sasa treni.hivi mnapoteza hela KWA old system??????

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 Před 6 lety

      Geophray Mwaigoga roho mbaya hiyo. Unajilinganisha na china , China levo nyingine wewe lakini mdogomdogo tutafika tu acha kejeli.

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 Před 6 lety

      Ardhi yetu imejaa madini usifikirie Wabongo wajinga kihivyo.Sasa hivi mnachanganya ushauri na upinzani taratibu mnaanza kuelekea tutakako.

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 Před 6 lety

    Nina elimu ya juu kuliko wasomi wote..nina PhD.master 2 na degree 3

  • @willydeezle88
    @willydeezle88 Před 6 lety

    tunawapongeza kwa hatua kubwa mnayofanya ya ujenzi wa reli ya kisasa shida kubwa ni upatikananji wa ajira zenu ni km kumtafuta chatu mwenye lulu mkiani pangoni maana ni kazi ngumu kupata nafasi tulegezeeni vyuma wengine vyeti vyetu vya uinjinia tutafungia maandazi sasa

    • @adammakuke112
      @adammakuke112 Před 6 lety

      nmepend xna uongoz wa uncle magh xx cjui wanaotaka kuandaman wanamaleng gan

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Před 6 lety

    ILA KWA WENGINE TUNASIKITIKA KILA KITU; DAR NI DAR TU....HAKUNA TANGA,ARUSHA,MPANDA WALA IRINGA....KODI ZETU ZINAENDA DAR TU....

    • @fadhilhussein9059
      @fadhilhussein9059 Před 6 lety

      Kester Kanyala njoo na ww dar kwan hiyo reli inashia dar ua kigoma had mwanza acha kulalamika sanaa

    • @tanzania2559
      @tanzania2559 Před 6 lety +1

      Kote zitajengwa, Dar inajengwa sababu asilimia kubwa ya pato la taifa na shughuli kubwa za kibiashara chanzo chake ni hapa Dar ila Tanga kuna bandari ambayo inatarajiwa kujengwa

    • @corrolesscps
      @corrolesscps Před 6 lety

      Tz 255 Dar Inavyanzo vingi vya mapato ndio kioo cha Tanzania lazima jiji liwekwe vizuri kuendana na kimataifa majiji makuu, Bandari kuu ipo Dar. International airport vyote hivyo vyanzo vya mapato, International Telecomunication , Logistic ( uchukuzi) vyote Dar. Kwa hiyo jiji la Dar es salaam ndio majiji tajili kwa Tanzania

    • @justinecleophas6299
      @justinecleophas6299 Před 6 lety

      usijal reli y tanga to arusha inafufuliw mwakan zinakuj train mpya z abiria ..pia mwanza phisibility study ishafanyik kwa jili y kujengwa meli mpya bro pia vinja vya ndenge karb tz nzim vinaboreshwa ....maji so just stay tune

  • @patrickbeny4208
    @patrickbeny4208 Před 6 lety

    mungu ibariki Tanzania