BUNGE ZIMA LACHEKA🤣 MBUNGE MUSUKUMA AKICHANGIA kwa KINGEREZA - "YOU NEED TO BE VERY IGNORANT"...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 05. 2023
  • BUNGE ZIMA LACHEKA🤣 MBUNGE MUSUKUMA AKICHANGIA kwa KINGEREZA - "YOU NEED TO BE VERY IGNORANT"...
    Ni mkutano wa 11 kikao cha kumi na saba cha Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 31

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před rokem +1

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @bongodramatv6269
    @bongodramatv6269 Před rokem +2

    Big up sana Msukuma, wewe ni mtetezi wa wanyonge tangu zamani.
    Mungu akubariki sana

  • @japhetlaizer3919
    @japhetlaizer3919 Před rokem +1

    Nyie wabunge wengine' igeni kutoka kwa msukuma,,,,,,,good points brother

  • @masungajp1
    @masungajp1 Před rokem +1

    Safi Sana nkoi Msukuma. Ogitula gezungu ja nguzu getegete.

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Před rokem +1

    Big up Msukuma umeongea kwa kuwatetea vizuri wafugaji,na Bunge litumie Hansard hizo kurekebisha yaliyo kinyume kwa sababu ndiyo maana ya kuwa na Bunge

  • @augustinomhagama9527
    @augustinomhagama9527 Před rokem

    Hama Kwa hakika nakukubali sana mbunge Joseph Musukuma una hoja za msingi sana Kwa serikali hongera sana

  • @Hancymtembo
    @Hancymtembo Před rokem

    Wasukuma wa jimbo lako, wamepata mbunge, safi sana msukuma, unaonesha uzalendo.

  • @pauloammy-sc1vz
    @pauloammy-sc1vz Před 22 dny +1

    Huo ndo ukweli baba🎉

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 Před rokem

    Hongera Dk. Msukuma Kataza Hereni ni Upuzii tuu

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 Před rokem +1

    Safi sana mh. Msukuma

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Před rokem +1

    SAFI SANA MBUNGE MSUKUMA.

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Před rokem

    Kweli kabisa mbunge msukuma umeongea point sana hongera sana,na hiyo ishu ya bagili ni dili la baadhi ya viongozi wakubwa

  • @officielyamndile3634
    @officielyamndile3634 Před rokem +1

    Nice speaking 👍👍

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 Před rokem

    Huyu jamaaa ni kichwa snaa siku hiz anaongea point sana wanataka kututapel

  • @user-un1lh2rk5x
    @user-un1lh2rk5x Před 6 měsíci

    Umeogea Sasa musukuma hivyo sasa 5:51

  • @JohnMalambo-hk5hk
    @JohnMalambo-hk5hk Před rokem +1

    Kweli ndio madhara ya elimu za makalatasi

  • @josephleiyani7668
    @josephleiyani7668 Před rokem

    Upo Sahihi sana

  • @makambamohamed3632
    @makambamohamed3632 Před rokem +1

    Kwakweli watu kama msukuma ndani ya ccm wamebaki wachache

  • @abeidathuman9218
    @abeidathuman9218 Před rokem +1

    Huyu jamaa anaongea ukweli mtupu lkn kwa njia ya kuchekesha

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 Před dnem

    Mau yako msukuma🎉🎉🎉🎉

  • @felixmkagila6048
    @felixmkagila6048 Před rokem

    Buku buku za kwenye umeme mbona wabunge wamezkalia kmya wananch wanaumia na pesa hazielewek znafanya kaz gan

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Před 3 měsíci

    Huyu angesoma!!!!!hatari

  • @innocentsaka934
    @innocentsaka934 Před rokem +1

    Tunahitaji wabunge kama huyu bila kujali ugumu wa ilani ya chama chake

  • @paulinanzunda
    @paulinanzunda Před měsícem

    Jamn sisi lupa mbungeame lala hatu jali

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Před 8 měsíci

    Sio kizungu sema kingereza

  • @ElivasLukumya-om9fl
    @ElivasLukumya-om9fl Před 7 měsíci

    Hawatupei anjira hawawatu 😮😮

  • @julianamasato5655
    @julianamasato5655 Před rokem

    Msukuma nikupe zawadi gani jamani.unakuta mfugaji anahangaika kutafuta marisho na maji anapigwa najua anapauka ndani ya miaka 6 ndio ng'ombe awe amekomaa kuuzwa huyo waziri hana huruma na mfugaji.afanye majaribio kuchunga ng'ombe mwezi mmoja kwanza aone hiyo sela yake watakuwa amewatendea haki wafugaji?

  • @maumangunda1111
    @maumangunda1111 Před rokem

    ♥💝😄👏

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Před 8 měsíci

    KUMBE Mh. MBUNGE MSUKUMA ALITABIRI KUWA WABUNGE WENGI 2025 ITAKUWA VIGUMU KURUDI? SUALA LA BANDARI LIMEKUWA MWIBA KWENU WABUNGE. Mhhhhhh? Bandari zetu zirudi.

  • @thomasgeoffrey7904
    @thomasgeoffrey7904 Před rokem

    😂

  • @YudastoNyerere-mj9bt
    @YudastoNyerere-mj9bt Před měsícem

    Raid ajae