MJUE ALIYEKUWA RAIS WA IRAN - EBRAHIM RAISI: MBABE ALIYEFARIKI KWA AJALI YA HELIKOPTA...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 05. 2024
  • MJUE ALIYEKUWA RAIS WA IRAN - EBRAHIM RAISI: MBABE ALIYEFARIKI KWA AJALI YA HELIKOPTA...
    Dunia imekumbwa na mshtuko kufuatia taarifa za kifo cha ghafla cha Rais wa Iran, Ebrahim Raisolsadati anayejulikana zaidi kama Ebrahim Raisi, aliyefariki baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria kupata ajali, tukio lililotokea Jumapili ya Mei 19, 2024.
    Katika ajali hiyo, helikopta iliyokuwa imembeba Rais Raisi, ilipata ajali Mashariki mwa Azerbaijan ambapo ndani yake, kulikuwa na viongozi wengine kadhaa. Msafara wa Rais Raisi ulikuwa na helikopta tatu, lakini isivyo bahati, ni aliyokuwa amepanda yeye tu ndiyo iliyopata ajali ambapo saa kadhaa baadaye, taarifa ilitolewa kwamba watu wote waliokuwa ndani ya helikopta hiyo wamefariki dunia, akiwemo Rais Raisi, taarifa zilizoushtua mno ulimwengu.
    Kufuatia tukio hilo, watu wengi wamekuwa na shauku ya kutaka kumjua kwa undani Rais Ebrahim Rais na hapo ndipo Global TV ilipoona haja ya kukuandalia makala haya ambayo yatachambua baadhi ya mambo ya msingi katika maisha ya Rais Ebrahim Raisi.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 64

  • @NellyDibaling
    @NellyDibaling Před 12 dny +2

    Safi kabsa alinyonga watu muache aende

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 Před 13 dny +3

    Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima. Ukimkataa umekwisha kuhukumiwa. Pole kwa familia na wananchi wa Iran

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 Před 11 dny +1

    Marekani noma

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Před 10 dny +1

    Huyo kama IdAmin Dada

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před 13 dny +3

    Poleni sana ndugu zetu wa Iran

  • @carolinemuli1862
    @carolinemuli1862 Před 13 dny +3

    Kuna mungu mbingine mwenye anatetea wenye hawana uwenzo

  • @vomalizavomaliza746
    @vomalizavomaliza746 Před 9 dny +1

    Huyu Ali fanya kusetewa

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t Před 11 dny

    Ihurumiwe Dunia nzima Kwa huruma ya Mungu

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 Před 13 dny +1

    Pole sanakwakuondokewa na wajina

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Před 13 dny

    Mungu ndiyo kila kitu🙏🙏🙏

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c Před 13 dny +2

    Hapo mtasema Israel imetungua kumbe ni mungu

    • @berry4726
      @berry4726 Před 13 dny

      Jibu ndio hilo. Amka unywe kahawa.

  • @mudikiongozi9505
    @mudikiongozi9505 Před 11 dny

    Mungu ampe pumzik jema

  • @user-my5qz6xt4e
    @user-my5qz6xt4e Před 13 dny

    Poleni ndugu zetu wa iran

  • @jumamohammed2748
    @jumamohammed2748 Před 13 dny +2

    innalillahi wainnailaihi rajiuun

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Před 10 dny

    Mungu katoa aliyenyongaA

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Před 8 dny

    Haita ondoka nafsi ila kwamaandiko ya Allah ,Mola akusameheni makosayenu ,Dunia nimapito wala haijalishi wewe nani

  • @MussajumaMiheza
    @MussajumaMiheza Před 11 dny

    Aliua wengi sana

  • @NellyDibaling
    @NellyDibaling Před 12 dny

    Mpinga kristo mkubwa uyo mungu hazoelek acha afe

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Před 13 dny +1

    Angalieni Marekani rais akisafiri na helicopter na ni ulinzi wa kutosha hiyo helicopter hata upepo unaisukuma

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 Před 13 dny +1

    Innah Lilah waina ilah rajiun

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 Před 10 dny

    Innalilah waina lilah rajiun

  • @YahyaKhamis-dn8zg
    @YahyaKhamis-dn8zg Před 13 dny

    Inalillah

  • @samsonjackson6873
    @samsonjackson6873 Před 6 dny

    Ase

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 Před 12 dny

    Innalillah wainna illaihi Raajiun 😢😢

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 Před 13 dny

    Katika yote YESU anakaribia kurudi, huu ni wakati wa sisi wanadamu kutubu na kuacha kushabikia hizi vitu, maana Biblia imesema mkiona mambo kama haya changamkeni kwa maana wakati wa kurudi YESU KRISTO aliye njia na kweli umekaribia na unyakuo uko njiani, tuamke na kutubu

  • @RashidiMubiri
    @RashidiMubiri Před 13 dny

    Inna lilahi wa inna ilaihi rajiuun

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f Před 12 dny

    Polen San Wana iran

  • @user-pd4qb7uz8b
    @user-pd4qb7uz8b Před 10 dny

    Binadam ni kiumbe kizito na allah kuna watu amewanyima akili kabisa niseme tu innalilah wainnailah rajiona

  • @stevensosipita
    @stevensosipita Před 13 dny +2

    SOME TIME MUNGU ANATENDA KWA KULIPIZA KWA ROHO ALIZOTOA

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Před 13 dny +2

      Kwasababu kifo sio dhambi. Basi ahadi ilifika. Na wewe utakufa pia. Mwenyezi Mungu sw atampa kheri

    • @stevensosipita
      @stevensosipita Před 13 dny

      @@hilalalhabsi2047 YAH HAKUNA ATAKAE BAKI WOTE SAFARI INATUHUSU PIA

  • @pidiusDominick-qi7nl
    @pidiusDominick-qi7nl Před 13 dny

    Marekani anamuwekeaje vikwazo wakati wao ndio wauwaji wakubwa

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg

    Mlinzi ni mungu tu

  • @yahyasupeyo7689
    @yahyasupeyo7689 Před 13 dny

    Innalilahi wa innalilaih rajiuun

  • @umaima1178
    @umaima1178 Před 13 dny

    Allah ampe kauli thabit yaarab msamehe makosa yake

  • @NellyDibaling
    @NellyDibaling Před 12 dny

    Ni dicteta muache ache katili mkubwa uyo

  • @user-td3ss6nk2d
    @user-td3ss6nk2d Před 13 dny

    Dikteta 🤭🤭🤭 kauaaaa sana

  • @mrajani786
    @mrajani786 Před 13 dny +1

    Saudi Arabia sio chinja chinja nyinyi global ni viraka wa marekani sisi wafrika tuna kasumba hao iran walitupa mafuta bure Tanzania katika miaka ya thaminini na wewe Ibrahim

  • @user-ch3hw7zq3x
    @user-ch3hw7zq3x Před 13 dny

    Pumzika mwamba

  • @richardodoyo7558
    @richardodoyo7558 Před 13 dny +1

    Ukilani israeli naww unalaniwa alijaribu kugusa wayaudi naye kaguswa ogopa atari

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 Před 13 dny +2

    Unajua Ukweli utakuja kujulikana. Kama zilikuwa tatu iweje moja tu ipate ajali. Ni aibu kutangaza aibu ya Iran iliyojinadi ina nguvu ya kijeshi. Kusema iltunguliwa ni mpaka vizazi vipite kama ilivyo kwa Farao wa kale. Au Goliathi. Alikuwa muuji muoga alivizia wasio na hatia. Aliwachinja wairan waliofungwa mikono na macho! The Butcher of Tehran dead!

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 Před 13 dny +1

      Wewe amechinjwa baba yako au shobo tu za ushoga wenu

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 Před 13 dny

    Kafiri mpinga kristo kachinjwa Bado kafiri mwenzio putn nae kifo Cha aibu kinamsubilia

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 Před 13 dny

      Hata wew pia kinakusubir kwann ucjiandae nacho unapigia mahesabu wenziwako

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt Před 12 dny

      Astghafirululah.watu.wanajuwaWaoWamwishoKufaMahesabukwawenzaotu​@@mussakarata6650

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Před 13 dny

    Hapo wasingiziaji mliozoea kuwasingizia islaeli haya haya jimbo liko wazi wasingizieni tena

    • @berry4726
      @berry4726 Před 13 dny

      Upo wapi wewe wamelitungua amka unywe kahawa.

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 Před 13 dny

    Muuwaji kafa

    • @mussakarata6650
      @mussakarata6650 Před 13 dny +1

      Hata acye muuaji pia hufa kwasababu ni lazm wote tufee

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 Před 13 dny +1

    Tuna mjuwa huyo mpinga Christo, shetani mkubwa. Kachokoza taifa teule ya Mungu Israel na amekipata